Je nikweli Sheikh Nassor Bachu Aliwahi kuwa SHIA??Ukweli ni huu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 ปีที่แล้ว +6

    ALLAH amtilie nuru kaburini mwake sheikh wetu wa ki sunnah , na amlipe pepo ya juu kabisa amiin

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 ปีที่แล้ว +13

    MASHAALLAH, hakuna binadamu asiyekuwa na kasoro lakini ALHAMDULLILAH amejitahidi Allah alivyomuwezesha tumejifunza mengi ALHAMDULLILAH alichokosea Allah amsamehe

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +14

    Allah Amrehem Sheikh Nassor Bachu, Allahumma Amin ya Rabb 🤲

  • @sabihamakami3720
    @sabihamakami3720 3 ปีที่แล้ว +12

    Allah akurehemu shekhe nassor bachu 😪😪😪😪

  • @omysule7118
    @omysule7118 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah. Allah akusamehe makosa yako na akulipe kila la kher, sheikh wangu mpendwa namba 1. Tuunashkuru pia kwa kutuachia dhahabu ambae ni mwanao

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 3 ปีที่แล้ว +8

    ALLAH amuhifadhi amrehemu sheikh wetu.

  • @chulululicious6061
    @chulululicious6061 2 ปีที่แล้ว +3

    Tulipoteza sheikh mkubwa sanaa ..nmejifunza mingi sheikh wangu ..Allah akurehemu sheikha nassor bachu

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu na amsamehe sheikh wetu .

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah amrehem shekhe wetu kipenz salafi wa Zanzibar

    • @ramadanismail3052
      @ramadanismail3052 ปีที่แล้ว +1

      Ameen Yarab

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 10 หลายเดือนก่อน

      Xio xalafi Sunna

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamicpina1151ni salafi sheikh nassor

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 2 หลายเดือนก่อน

      @@ALIKHAMIS-un4fv sio salafi mjomba maana hakuwa na mambo yakubishana yeye ilikuwa anatowa daawa na sifa ya salafi ni kushindana mambo ya hoja weeee adi kazi ya mtume kzi ya kumtangazia ALLAH kwa wasio mjuwa na kulingania wasiomuabudu ALLAH kwa salafi haipo wao mambo ya hoja tuuu kwa shekh nassoro hakuwa mtu wa ivi yeye ni daawa tuu na kuufundisha umma misingi ya dini bx

  • @suhel5209
    @suhel5209 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuweke salama ulipo ustadh al marhum Bachu.

  • @maseledotto8490
    @maseledotto8490 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah amjaalie kila la kheir huko akhera alipo

  • @ramadhanomar8093
    @ramadhanomar8093 3 ปีที่แล้ว +5

    Sijaona kama sheikh nassor bachu east Africa...eee mola mrahamu sheikh wetu

  • @tigersterling5417
    @tigersterling5417 3 ปีที่แล้ว +8

    Ya Rabbi murehemu sheikh wetu na wanachooni wetu wote.

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว +3

    Yoyote anaemuabudu asiekua Mwenyezi Mungu mmoja Subhanahu Wataala atakua si muislam, na yoyote anaemshirikisha Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala na yoyote katika ibada zake, dua zake na ufalme wake huyo pia atakua sio muislam

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +6

    Hata MI nisha fundishwa na nina hakika wengi tumesha kaa mbele ya ma ustadh wa bid'a. Ila kwa kudra za Allah akatufunulia elimu zaidi yaku tofautisha Kati ya hawa washirikana na watu wa Sunna

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu amrehemu Sheikh wetu

  • @kombomakame7547
    @kombomakame7547 ปีที่แล้ว +3

    Allahumma ghufirlahu warhamhu filnannah

  • @salmaalisalim2462
    @salmaalisalim2462 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah alikuwa shujaa sheikh nassor Allah amrahamu

  • @jardiniddy3205
    @jardiniddy3205 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah amrehemu .Allahuma thabit'hu bi qauli tthabit

  • @idrisaaly3557
    @idrisaaly3557 3 ปีที่แล้ว +6

    Kaka usichoke kurusha video za sheik wetu marehem Nassor bachu Allah akulipe kila la kheri na nichukue na fursa hii kumuombea dua sheik Nassor bachu Allah amlaze mahali pema peponi (amin)

  • @mohammedsalim7051
    @mohammedsalim7051 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH AMREHEMU SHEIKH NASOR BUCH

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna alieweza kuwazungumza vizuri mashia km shekh qasim allah amuhifadhi

    • @vitalcool9266
      @vitalcool9266 3 ปีที่แล้ว +3

      Sababu wewe ndivyo ulivyokaririshwa

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 3 ปีที่แล้ว

      @@vitalcool9266 hapna huo ndo ukweli hao wengine wote KAZI Yao ni matusi tu

    • @habibuchipeka7934
      @habibuchipeka7934 3 ปีที่แล้ว +1

      We nawe una matatizo

    • @khalidmussa3769
      @khalidmussa3769 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe umeanza kusikika mada za mashia kwa qasimu lkn kuna kina sheikh Saalim barahiyani wamezungumzia sana kuhusu mashia

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 3 ปีที่แล้ว

      @@khalidmussa3769 barahiyan nae ni shekh 🤣

  • @kitosio
    @kitosio 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumaji. ALLAH AKULIPE KILA KHERI

  • @safinahighschool2179
    @safinahighschool2179 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amrahamu shekhe Nassor na amjaalie kizazi chake kuwa katika kundi la wafuasi (Shia) wa Mtume s.a.w na ahlulbayt na swahaba zao wema. Amin

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah amraham sheikh bachu

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin mzee mwenye busara zake ila huyo mtoto kisunzi😄😄

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rehemasalim4590 umeonaee yani anabusara japo tulikua wadogo akifariki ila clip zake zipo kwa sasa TH-cam tunamfatilia

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว +1

      @@omaar5693 😀😀😀😀

  • @wailusebea3511
    @wailusebea3511 2 ปีที่แล้ว +1

    Allh amrehemu shkh nasoro bacho na amsamehe

  • @abdillahbakar9850
    @abdillahbakar9850 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah amrehemu akhera aliko

  • @husseinfunga3272
    @husseinfunga3272 ปีที่แล้ว +2

    Rahmahullah Sheikhe Nasoro Bachu

  • @aliabdallah452
    @aliabdallah452 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah amsamehe na ampe rehma zake , lakini weka mpaka mwisho ili tufaidike

  • @bizuwena623
    @bizuwena623 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH AKULIPE KHERI KILA ULIPOPATIA.NA AKUSAMEHE ULIPOKOSEA KWA JUHDI YAKO.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +3

    Allahumma Amin ya Rabb 🤲

  • @jumaomar7602
    @jumaomar7602 2 ปีที่แล้ว +1

    Alla akurehemu akusamehe dhambi zako

  • @ayubumagumu4386
    @ayubumagumu4386 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah amrehemu sheikh

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran

  • @eaduruus8896
    @eaduruus8896 3 ปีที่แล้ว +5

    Assalamu Alaikum. Sheikh Muhammad, tunaomba utuwekee duruus za Tamaamul Minnah zilizofundishwa na Sheikh Bachu Allah amrehemu, ili tuweze kustafidi kielimu, baarakallahu feekum.

  • @khamismachu9612
    @khamismachu9612 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mungu amrehem

  • @suleimanjuma4443
    @suleimanjuma4443 3 ปีที่แล้ว +5

    Assalamu Alaikum. sheikh naomba uiweke yote na sheikh ukipata nafas hebu tuelezee na kusihana madhehebu ya salafii.Allah amrehemu sheikh wetu nassor bachu

  • @allysalimsalim4965
    @allysalimsalim4965 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sheikh Allah angempa pumzi paka SAS hv kwa uwezo wa Allah tungefaidika Sana ila Allah ndo mjuzi zaid ya hilo

    • @abdallahomarabdallah4244
      @abdallahomarabdallah4244 2 ปีที่แล้ว

      Allah anafanya mambo yake kwa mipango alimuondoa Nassor Bachu akamleta Muhammad Nassor Bachu nae huyo amefuata nyenendo za baba yake Allah amuhifadhi na amueke anapo stahiki sheikh Bachu.

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 ปีที่แล้ว +2

    Shia ni muslamu au ni nani.naomba ijibu?allah atulinde waisalmu wite duniani atupe mwisho mwema.

    • @rashidyusuphmwatebela8802
      @rashidyusuphmwatebela8802 3 ปีที่แล้ว

      Shia so muuslamu,
      Wao hawamuamini ALLAH ambaye tunamuamini sisi, ALLAH ambaye Mtume wake wa mwisho Ni Muhammad na khalifa baada ya Mtume huyu Ni Abubakar.
      Bali wao wanaamini maimamu wao 12, wanasifa za kiungu, na Kujua ghaibu n.k
      Hakika kwa hayo na mengi, wao so waislamu. Bali wanadai ya kuwa ni waislamu ...na madai pasina uhakika si lolote so chochote

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว

      Yoyote anaemuabudu asiekua Mwenyezi Mungu mmoja Subhanahu Wataala si muislam, na yoyote anemshirikishwa Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala na yoyote katika ibada zake, dua zake na ufalme wake huyo sio muislam

    • @khamisissa252
      @khamisissa252 3 ปีที่แล้ว

      @@rashidyusuphmwatebela8802 sahih.

    • @sittacharlesmaendeleo778
      @sittacharlesmaendeleo778 ปีที่แล้ว

      Shia ni kafiri

  • @adamtawete5865
    @adamtawete5865 2 ปีที่แล้ว +1

    Allahmdullilah ala manhaj Sarafi

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 ปีที่แล้ว +1

    Kwani nikulize wewe Muhammad bin bachu Una sumbuka naninii?
    Pia ikiwa ushaudhihirishiaa UMMA kwamba hii ndio batili na ipi ndio HAKKI usibabike na hao wanao watoa watu na kuwakufurisha watu.
    #Usibabike#

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว +3

    Nani ana mzushia ushia shekhe wetu

  • @hannanshekale5574
    @hannanshekale5574 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni babako huyu sheikh muhammad

  • @sultannassor4868
    @sultannassor4868 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunahitaji muendelezo

  • @meekman654
    @meekman654 3 ปีที่แล้ว +4

    Tupeni muendelezo

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 6 หลายเดือนก่อน

    ushia ndio ukweli

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 9 หลายเดือนก่อน

    Mashia ni waislam halisi wa nyumbani kwa mtume

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 9 หลายเดือนก่อน

    Mashia ni waislam halisi

  • @bilalihaji8431
    @bilalihaji8431 3 ปีที่แล้ว +1

    Hajanikinaisha kabsa yannnnnn

  • @abdillahbakar9850
    @abdillahbakar9850 3 ปีที่แล้ว

    Shekh muhammad bachu nakuuliza nasikia chichi amebadilika amekua shia hivi ni kweli

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

    Nguruwe za mashia ni makafiri wa waazi

  • @khaliddaud5352
    @khaliddaud5352 3 ปีที่แล้ว

    Acha kupotosha waitu wee hujui chochote unasababusha waislam kuuwana huna ilmui

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 9 หลายเดือนก่อน

    Bachu kafiri huyu anayetukana masheikh

  • @bilalihaji8431
    @bilalihaji8431 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallwaa...ushia utashinda....hahaha