Muhammad Bachu MAZINGE ANAFANYA KAZI NZURI||WALIPO ACHA WENYE KUSTAHIKI WAKASHIKA WASIO STAHIKI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 92

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ampe umri shekhe mazinge ana fanya kazi mzuri na kubwa masikini Mungu amuhifadhi ampe maisha mema inshaallah jazza yake atapata kwa Mungu inshaallah..khadija said Nahdi mld kenya

  • @fadhilimpandula4965
    @fadhilimpandula4965 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli INATAKIWA tuwasapot wakina Mazinge,Kinyogoli na Shaffii na wengine ktk hao na pale wanapokosea basi tuelekezane mihadhara iendelee.Allah akupe nguvu sana Shekhe Muhammad Bachu

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah!!.. sheikh Muhammad Bachu nakuelewa sana,uko vizuri endelea kutuelimisha,Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 3 ปีที่แล้ว

      Aaamin yaa Rabil Aalamin

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc ปีที่แล้ว +1

    Bachu kaacha mtu kwa kweli, allaah akuhfadhi

  • @abdalahngozi5455
    @abdalahngozi5455 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran jazeela sheikh, hua uko straight forward kuusu elimu, Allah akujaalie mema zaid

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bachu akuzidishiye ilmu zaidi tunafaidika kukusikiliza mawaedha yako mashaallah Mungu akujazi kheri inshaallah..khadija said Nahdi mld kenya khadija

  • @salehjuma3926
    @salehjuma3926 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh muhammad shukran sana tunaelimika kwa kuran na sunah

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 ปีที่แล้ว

    الحمد لله على نعمة الاسلام، كلام الأستاذ جميل جدا، شكرا وجزاك الله خيرا.

  • @khamisy87khamisy-vr5rq
    @khamisy87khamisy-vr5rq ปีที่แล้ว

    Mashaa allah mungu akuhifadhi shekh

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 ปีที่แล้ว

    Shukran Muhammad bachu mungu akupe afya njema kwakazi yadawa

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah akuzidishie kheri katika maisha yako amiin

  • @mkomwaaweso5109
    @mkomwaaweso5109 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah tabaraka Allah
    Allah akuhifadhi sheikh wetu Muhammad Banchu

  • @aliy3303
    @aliy3303 3 ปีที่แล้ว +7

    Leo najifunza mutembee vijijini huko zanzibar..utalii na makafiri wanaharibu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว +1

    Hasaa we shekh nakukubali sana

  • @abouuwaysrajab8579
    @abouuwaysrajab8579 ปีที่แล้ว

    Allaah akuhifadhi na amrehemu baba yako..
    قل الحق من ربك فمن شاء فليؤمن ومن شاء فليكفر.

  • @sheikhabdikadir6312
    @sheikhabdikadir6312 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh walahi nimekupenda sana

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah baarakallah

  • @yussufakilimali
    @yussufakilimali 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheiri

  • @raakyaraakya116
    @raakyaraakya116 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazingi Allah ampemwisho mwema amin

  • @yunnusmiraj529
    @yunnusmiraj529 3 ปีที่แล้ว

    Shukrah al akh allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika kupitia ww

  • @meekman1805
    @meekman1805 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah! Jazakallahu Kheyr.

  • @adamally6
    @adamally6 3 ปีที่แล้ว +5

    samahan shekh wangu uliposema kwamba hawana elimu cio kweli kwan hta hiyo walio nao ni elimu inawezekna hta ww huna

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 3 ปีที่แล้ว +1

    Akhy hapa umeongea point Sana, wale wazee wa fitna na misifa badala ya kuwanasihi wahadhili na ma tabligh wao wanaanza kuwaongelea kauli za kuwatenza nguvu na kuwasengenya na kutoa kauli za kuwadharau wakidhani Kama wanajenga kumbe wanabobea..
    Jazakallah khair

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallah bwana @muhammad bachu unatalbis manhaj imekupoteya umekuwa mtu wakujigonga kw kufuata matamaniyo ya nafsi hivi hujaona maneno ya salaf juu ya kutangamana na kuwasifu watu wa bidaaa huoni majibu ya shekhe al fawzan alipouzwa je yafaa kutaja mema ya watu wa bidaa wakat unawaradd akasema haifai huko ni kuwafanyiya hadaaa waislam vipi wew unawasifu mche Allah wew na mim nakunasih na nainasihi nafs yng

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah tabarakaAllahu

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 4 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi sheikh, lakini wahadhiri wa Kiislamu hawapati uungaji mkono kutoka katika jamii ya Waislamu hasa, wapo wanao waona kama wapotevu, wasio na kazi za kufanya, au matapeli, kwa maelezo kwamba wanafanya urafiki na makafiri, wakiwa katika mkutano kama hawajuani lakini pembeni wanajuana. Hakika wanasemwa mambo mengi ya kuwavunja moyo. Zipo taarifa kwamba sheikh Mazinge amewaingiza katika dini ya haki maelfu ya manaswara.

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว

    Jazaka Allah khaira

  • @khamismohd5290
    @khamismohd5290 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @omarsima2763
    @omarsima2763 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amekuongoza endelea kutoa fatwa ishaallah utaelimisha wengi

  • @abushahir2556
    @abushahir2556 3 ปีที่แล้ว +1

    La kusikitisha nyinyi waislamu munakufurishana.

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah
    Maneno mazima hayana ufa

  • @masjidmum3265
    @masjidmum3265 3 ปีที่แล้ว

    Maashaa Allah..

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂sihabaa mawahabii hamujaharamishaa maana nyie nomaaa Kila kitu haramuu kwenu

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekh Samahani,,,somo la Lugha vp?

  • @nascentos
    @nascentos 3 ปีที่แล้ว

    جزاك اللهُ خيرً

  • @issaally7928
    @issaally7928 2 ปีที่แล้ว

    Apo muhammadi sawa wao wanamakosa kutokukumbusha hao kina mazinge na wewe inabidi umtafute mazinge umkumbushe na kumpa elimu msipondane wote dini moja tunatofautiana matendo

  • @HamadBohero
    @HamadBohero ปีที่แล้ว

    Masheik wa sikuizi ni masheik mitandao kazi Yao nikujisifu tu, ili waonekane kama niwasomi, lakini ni kweli tushatabiriwa masheik atakua wengi lakini watakua kama mapovu tu kazi ni kuingiliana wao kwa wao. tu.. (jiulije ww unayemuita mwenzako mazinge kua Ana elmu, tangu aanze dwaawa ashaingiza zaidi Ya watu milioni katika dini Ya ALLAH ww na usomi wako umeingiza wangapi? Acheni ushamba

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 2 ปีที่แล้ว +1

    Binafsi nimejifunza mengi kupitia dibet za mazinge

  • @criminal03mostwanted71
    @criminal03mostwanted71 3 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah

  • @saidkinyogoli6611
    @saidkinyogoli6611 3 ปีที่แล้ว +1

    🤝

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 3 ปีที่แล้ว

    Mashekh walinganieni kina shekh mazinge na wenzio kwanza katika sunnah na wakiitika biidhinillah inshaallah itakua sababu ya kufanya vzuri zaidi na kuleta tija zaidi katika da'wa hiyo adhwiim kabisa. Mana ni miongon mwa wachache Allah amewabaariki katika kuwafahamisha vitabu mbalimbali

  • @elimikanamadrasa5490
    @elimikanamadrasa5490 3 ปีที่แล้ว +2

    AJIFANYA AJUA SANA MPAKA KAJITOA KWENYE USALAFI MPUMBAVU SANA

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 ปีที่แล้ว

      Wewe Umesoma Ama i Chuki inakusumbua

    • @elimikanamadrasa5490
      @elimikanamadrasa5490 3 ปีที่แล้ว +1

      NAAM NAMCHUKIA KWA UJINGA WA KUTOITAMBUA MANHAJ SSALAFI

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 ปีที่แล้ว

      @@elimikanamadrasa5490 wewe Uja soma pia Una Unalo Lijua Zaid Ya Kuishi kimazoea Ssa Akitokea sheikh Akikemea Mnamuona Ajasoma kwavile Mlikua Mwazo mnaishi kimazoea Ya kiislam ilo ndilo Ttzo kubwa Kirk uislam wtu

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 2 ปีที่แล้ว

      Usalafi ni dini acha kufru

    • @osmansuleiman6236
      @osmansuleiman6236 2 ปีที่แล้ว

      Kwahyo unataka alinganie usalafi badala ya uislamu??

  • @aliy3303
    @aliy3303 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @hudaonlinetv
    @hudaonlinetv ปีที่แล้ว

    Hadithi hiyo umeitowa wap

  • @aassumane7179
    @aassumane7179 2 ปีที่แล้ว

    cazi gan ya nayo fanha mazinge

  • @amirmape6474
    @amirmape6474 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe ulitaja jihad ya ulimi na mkono lakini umeizungumzia jihad ya ulimi(majadiliano) ila jihad ya mkono aujaichambua

  • @al-noortvburundi22
    @al-noortvburundi22 3 ปีที่แล้ว

    ماشاءالله

  • @OmarOmar-wx9zg
    @OmarOmar-wx9zg 3 ปีที่แล้ว

    Hakika kabisa

  • @abuuirfan9523
    @abuuirfan9523 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata wasomi wakubwa wanaofanya kazi hiyo Dr.Zakir Naik wanawapinga

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 ปีที่แล้ว

    Kwani ndugu yangu lazima uweke picha zenye kuashiria unamkusudia fulani

  • @alibanomary5339
    @alibanomary5339 3 ปีที่แล้ว

    ماشالله

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 3 ปีที่แล้ว

    Nione utatuambia vipi

  • @abdalhasaid8408
    @abdalhasaid8408 3 ปีที่แล้ว +2

    Nenda ww ukajidiliane nao ww sindio msomi upuuzi tu wao si niwaislam et masufi umuhimu mtu awe muislam alinganie wacha kuwapunguza nguvu hao wanao lingalia tunakuchukia

    • @mwaramimwarami1479
      @mwaramimwarami1479 3 ปีที่แล้ว +7

      Usiseme tunamchukia sema unamchukia,iongelee nafsi yako

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 3 ปีที่แล้ว +2

      Unamchukia wewe,Ila mche AllAh

    • @NinoNino-fm8dr
      @NinoNino-fm8dr 3 ปีที่แล้ว +3

      Unamchukia wewe namkeo lakini Sisi twampenda haswaaa "kwa ajil ya allah

    • @hamisimuhammad6225
      @hamisimuhammad6225 3 ปีที่แล้ว

      Acha chuki

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 ปีที่แล้ว

      @@NinoNino-fm8dr eti! Pengine Allah anampenda zaid

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 3 ปีที่แล้ว

    Nakusubiria hapo kwenye mlango wa jihadi

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh mbona unajigonga gonga wewe
    Nakushauri kasome sharhu sunna ya Sheikh Barbahari

  • @dhulkarnayn1515
    @dhulkarnayn1515 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya kuchapwa na Masalafi Jamaa kachanganyikiwa sasa, Rududi zilikuwa za moto sana duh, kina mazinge tena nao wasifiwa?!!!
    HUU NI UJINGA WA WAZI

    • @ummu2101
      @ummu2101 2 ปีที่แล้ว

      Mhm

    • @muhmmadilutando9561
      @muhmmadilutando9561 2 ปีที่แล้ว

      Kwann hasiwasifie wanafanya kazi ya Allah.usalafi sio kupinga Kila jambo

    • @saulomsangi5237
      @saulomsangi5237 2 ปีที่แล้ว

      mnaona kama mmebashiriwa pepo kilakitu mnapinga

  • @jumamsitu4296
    @jumamsitu4296 2 ปีที่แล้ว

    endelea kutuelimisha usivunjike ngu

  • @abubakariabdallahabubakari8054
    @abubakariabdallahabubakari8054 3 ปีที่แล้ว

    D

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

    Je wewe mtoto wa Bachu unafanya da'waa kwa wasio Waislam au kazi yako ni kubishana na Waislam? Sijaona ktk clip zako da'waa zaidi ya kuwaita Waislam wasomi kuwa ni washirikina utadhani labda wewe ndio unaegawa Pepo na moto badala ya Allah! Muogope Allah.

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 3 ปีที่แล้ว

    Barahiyan na kundi lake ndo ana hako kamchezo kachafu,aliwahi kufanya hivyo Tanga karibu na msikiti wa mabawa,miaka kumi naa iliyopita.

  • @asaduzamanalmaxmud7671
    @asaduzamanalmaxmud7671 2 ปีที่แล้ว

    wwe wacha matusi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 ปีที่แล้ว

    Eti mafuta wa tanga salafia jadida anaeema kumsikiliza maxunge ni haramu kwa sababu halinganii sunna

    • @muryd6999
      @muryd6999 3 ปีที่แล้ว

      Duh! Hatari

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 ปีที่แล้ว

    Wewe huna unalolijua kazi kuporoja tu ....sifa nyingi na huwezi kuwavunja nguvu masalafy ...na hayo unayoyasema ktk hicho kitabu ndo unayoyafanya ...eti unajisifu Zanzibar nzima hakuna anaekufika wewe

  • @abdalhasaid8408
    @abdalhasaid8408 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kazi ww haikufai sio unafosi tu Muhamed ww unaudhi

    • @abubakarmwasumilwe7070
      @abubakarmwasumilwe7070 3 ปีที่แล้ว +1

      Anaudhi kwalipi..
      Muone kwanza uso umekujaa chuki na ujahri..

    • @hamisimuhammad6225
      @hamisimuhammad6225 3 ปีที่แล้ว +1

      Anae kuuz ni ww kwasababu haupo ktk haki lakn sisi anatufurahisha natena twampenda kwa ajili ya Allah

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 ปีที่แล้ว

    Je hiyo ndo hekima yako ambayo unaitangaza hadharani

  • @leilahassan6157
    @leilahassan6157 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah