Adhuhuri ukiingia msikiti I unaswali Sunna rakaa mbili unatoa salamu kisha unaswali Tena Sunnah rakaa mbili ukijumlisha zinakuwa nne Ila hauswali rakaa nne ni rakaa mbili mbili,kisha unaswali faradhi rakaa nne ambazo unaswali mbili unakaa atahiyatul ndogo kisha unamalizia rakaa mbili ukishamaliza kwa kutoa salamu baada ya dhikri na Dua nyingine unaswali Tena Sunnah ambayo ni baadia Sasa unaswali rakaa mbili,hivyo jumla kablia rakaa nne na baadia rakaa mbili,Allah ndio mjuzi in Sha Allah
Allah tuko pamoja nawe kwa kutuelimisha
Asiyejua maana haambiwi maana. Sheikh endelea kuelimisha umma, wasikuzohalishe wenye maoni finyu.
Allah awafahamishe nao. Amin.
Shukran allah akuzidishie kila la kher,,,,🤲🤲🤲🤲🤲 to
Sisi wailamu tunaimani na haya anayo tuelimisha sheikhe.
Allah akulipe sheikh wetu kwa kutueilmisha
Aminayarab inshaalah amlipe kheir yeye na wazazi wake
Shukran kwa kutujuza ya kheri Allah akuzdshie
Shukran jazillah sheikh kwa ukumbusho mzuri sana
Jazakallah khaillah shehe. Allah atufadhishe nasi tuyajueyote nasi tuyatekeleze. AMYN
Ahsante shekhe Allah akuzidishie
Naomba no zakosheikh
Shukran jazakallahu kheir
Mashaallah Jazallahkheir
Mashaallah sheikh wtu mungu akupe nguvu inshaallah
MashaAllah shekhe
ALLAH akupe kheir sheikh wetu
Mash Allah tabarak Allah kheri shekhe, Jazzak Allah kheri.
Maashallah barqllah❤
Mashallah Asante Mungu akupe umri mrefu
Shukran Jaziylan
Insha Allah
mashaallah shehee kwa kutuelimisha elimu ya akhera
Jazakallah kheir
Maashaallah shekhe kwa ufafanuzi nzuri.
JazakAllwahu khairan
MashaAllah shekh
Assalaam aleykum
Jazzak Allah Khair ❤️
Niko tayari kufanikiwa
Amina rabila alamina inshallah
Mola akuzidishie kheri
Assalam allaykum najee tarawee inaswaliwa
Ramadhani tu au wakali wowote?
Naam sheikh mi nauliza swali je unaposwali ukasoma kimoyo moyo je inafaa yani usitamke ila moyoni unasoma ndo nimemaan8sha ivo
Sio shee ila hairusiwi mdomo lazm ucheze utoe sauti ambayo unajiskia
Asalam alaykoum warrahmatullah wabarakatuh, sikuelewa sheikh sunna kablia na baadia ya dhuhri ni rakaa nne, nne? Yaani 4 kablia alafu 4 fardh na 4 baadia naomba ufafanuzi..... natanguliza samahani🙏
Adhuhuri ukiingia msikiti I unaswali Sunna rakaa mbili unatoa salamu kisha unaswali Tena Sunnah rakaa mbili ukijumlisha zinakuwa nne Ila hauswali rakaa nne ni rakaa mbili mbili,kisha unaswali faradhi rakaa nne ambazo unaswali mbili unakaa atahiyatul ndogo kisha unamalizia rakaa mbili ukishamaliza kwa kutoa salamu baada ya dhikri na Dua nyingine unaswali Tena Sunnah ambayo ni baadia Sasa unaswali rakaa mbili,hivyo jumla kablia rakaa nne na baadia rakaa mbili,Allah ndio mjuzi in Sha Allah
Yaani siri ya Allah wewe kiumbe uje kuijua?acheni kuwapoteza watu.