#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #EXCLUSIVE: MZEE RUNGWE AIBUKA na URAIS - ''NITAWAPA CHAKULA, WANA NJAA, NINA NGUVU''...
    GLOBAL TV tumepiga stori na Mwenyekiti wa CHAUMA Tanzania Mzee Hashim Rungwe maarufu kama Mzee wa Ubwabwa ambaye amezungumzia juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini na namna alivyoona mabadiliko katika uongozi mbalimbali uliopita...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 10

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว

    Ninyi waandishi msitutowe kwenye maadili, Mzee kama huyo unpataje kigugumizi Cha kumuakia ?Shikamoo Mzee

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Wengi mnoo mlio yokea kigoma ni wakimbizi tuu,ndo maaana hamuwajali watanganyika,watanzania. Hamna lolote..sisi tukutane 2025.period.

  • @robertnkovuma7488
    @robertnkovuma7488 ปีที่แล้ว +1

    Ila watu wakigoma tunataabu ukisema tu kigoma ww ni mkimbizi

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว

    Samia hajali wananchi.
    Kwa kifupi ni hivyo!
    Like it or not.

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว

      Tena, hayupo wa kumpa kura period.

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว +2

      ​@@wadeelegbogun3015 Atapita kwa kura nyingi kinyume na Matarajio yenu. Mtabakia kuwa wasaga Sumu tuu. Mtasubiri sana.😂😂

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      Huyo Rungwe anashidikiza wwenzake. Umri tumeenda. Namshauri Dr Samia amuongezee bajeti amelizie umri wake😂😂

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      unataka akutawaze mavi?

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว

    Wakimbizi tu hamna lolote.