TUNDU LISU AMEACHIWA HURU MUDA HUU BAADA YA KUKAMATWA, KATIBU VICTORIA OBADIA AWEKA WAZI KILA KITU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • #SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates

ความคิดเห็น • 44

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Lisu baba na raisi wa wanyonge tusamehe tumetishwa mno nguvu kubwa imetumika wanao tunakupenda 😭😭😭😭 maandamano bado TUnahitaji

    • @MesiakiKayan-qm7tv
      @MesiakiKayan-qm7tv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwakweli nguvu kama hii pia itumike kulinda wananchi wasitekwe

    • @BarakaSimon-xy9mp
      @BarakaSimon-xy9mp ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@lovenessvisent9408 wanaweza wakalinda na bado uhalifu usikome Coz ni jeshi lakini wanafanya mambo kihalifu... Mi nadhani Tanzania kama in ajeshi strong kama hili kwanini wasipelekwe kusaidia vita Nchi jirani Congo huko Naona..hawatambui nini majukumu yao kwa raia

  • @JedoneClever
    @JedoneClever 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Clear factual ✌️

  • @fabby1181
    @fabby1181 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Good news and well said, wenye kuelewa tumesharlewa maandamano yamefanyika. Majibu ya hoja ni mitutu ya bunduki barabarani

  • @BarnabaPangani
    @BarnabaPangani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hakuna kupoa

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    CCM MNAICHAFUA NCHI AMUONI AIBU HIPO SIKU WATU WATU WATACHOKA NYINYI

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ccm.kwisha.tatizo.ni.polisi.mnatumika.vibaya.tuachieni.ccm.tuwapakate.ni.watu.wetu

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yani Polisi. Mnachokifnya Sio kuilinda ccm Watu Wameshaichoka ccm

  • @FlontinaAwect
    @FlontinaAwect ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nisehemu ya maisha yetu wasemakweli munguakutienguvu 😢😢😢😢😢

  • @MesiakiKayan-qm7tv
    @MesiakiKayan-qm7tv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema kila wakati

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 21 นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana. Kusemea wengi kuna gharama kubwa ulimwengu wa leo.

  • @AhmedDimoso
    @AhmedDimoso 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wasaka tonge

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu anayaona yote, pole Sana Lisu.

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ccm mbwa tu

  • @KadsonRoja
    @KadsonRoja 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ibarik chadema

  • @KasimMamboleo
    @KasimMamboleo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fact

  • @MihamboFrancis
    @MihamboFrancis 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ibariki chadema tubariki wapiga kura mwakani siyo mbali kwa mwaka wa uchaguzi

  • @PauloKulaya-x2c
    @PauloKulaya-x2c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa waliwakamata wa nini😂😂😂

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We bb majambazi wanakozi mm nilifatwa nikaambiwa funguwa mlango mm afande

  • @RukiaSalum-n4m
    @RukiaSalum-n4m 54 นาทีที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa mnaimalika msikate tamaa

  • @JafariLiwehe
    @JafariLiwehe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Police Acha kutumika kama misekule ya ccm

  • @KawaduAmada
    @KawaduAmada 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanaoteseka siyo Wana chadema bal niwatu wote na binadamu wote nisawa

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wote watatoka

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 15 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu ndio alikua kiongozi madhubuti aliyejitambua.Hakua anauma maneno.Hakua tayari kuishi kwa kupiga magoti.

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni inchi nzima

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu yupo kazini ni suala muda tu kimsingi chama kinachotawala kwa mtutu au bunduki ni kwamba kimepoteza uhalali wake kwake chenyewe na wananchi au wapiga kura kwa kifupi ni kwamba CCM haipo miyoyoni mwa watanzania tena ladha yake imeisha polisi endeleeni kukilinda maana kwa nguvu hizi ni kwamba mmeacha majukumu yenu ya kulinda raia na mali zao badala yake mmekuwa CCM B ila kaeni mkijua Kuwa wenye nchi ni wananchi siku yaja kila kitu mnachosaidia CCM kukificha kitakuwa waziiiiiiii ni suala muda tu

  • @GideonLenard
    @GideonLenard ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiii nchi gani

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kitaeleweka 2025

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    CCM mavi tu

    • @AMUUNEWVISSION
      @AMUUNEWVISSION 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha ushabiki tumia akili na self consciousness

  • @hashimkassim7043
    @hashimkassim7043 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    polisi imefanya kazi vzr sana hakuna hata mtu aliyezabwa hata
    kibao RAISI BADO ANAWABEMBELEZA hamjajua tu

  • @faridisalehe4302
    @faridisalehe4302 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao jamaa wanaozuia maandano halali ni mayahudi weusi.

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata ivo ni mbumbumbu atakama wamesoma lakini hamnakitu

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mioyo ya Watanzania zinalia na mungu.. Juu yenu ukikaa kimya ninyi ndio tayari taifa limeangamia lisu Wewe umepewa akili kubwa na mungu na tunqmatumqini mungu anakupenda pia...

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    No ccm no 🇹🇿way nimeichoka 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @pendomalisa9308
    @pendomalisa9308 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Had I aibu

  • @OrganKomba-t4t
    @OrganKomba-t4t ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Police wameajiriwa kwa kazi ya kulinda raia na mali zake na tpdf ipo kwa ajili ya kuhakikisha nchi iko salama hakuna raia kutoka nje kuvamia nchi pasipo kuwa na kibali so why police wana wapandisha upinzani kuzungumziwa nchi nzima na wajibu wao kulinda raia na mali zake wanafeli wapi

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    You can't be a leader by using force sorry

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani alikuwa na kosa basi tu kuzuia mambo ya kij8nga kumfuata nyumbani kwake utadhani jambaIanatafutwq.
    Kwa nini hawakuafanya hayo kuwatafuta waliomuua Kibao na waliotekwa.
    Mambo ya utopolo tuu