Nchi iko shwari kabisa na ndivyo inavyo takiwa nchi kuwa shwari siyo ombi iyo ni razima iwe shwari ,Asante Jeshi la Police kwa kufanya kazi nzuri iliyo tukuka Kwa kwakweli Mh IGP unakiti chako mbinguni cha kudumu baraka
Vita haina macho. Ukishakutwa uwanja wa vita jua tu namna ya kukwepa risasi. Kuilaum polisi ni sawa na kudhani polisi ni miungu na wanaweza kujua wewe ni nani ghafla tu. Hapo ishukuruni polisi kwa kuweza kuwatambua mapema na kuwaachia bila kuumizwa. Polisi wanayo elimu, ila waandishi wa habari msome mazingira, na hizo ndo changamoto za kazi yenu.
Kwa kweli polisi mmevuka mipaka mkumbuke nao wapo kazini kama nyie kwa kwl inauzunisha mno kwa kitendo mlichokifanya kwa Waandishi wa habari ukizingatia walikuwa wanatimiza majukumu ya Taifa letu 😢😢
Mnazungumzia kukamatwa na kuzuiwa kutekeleza wajibu wenu,huku mnachekacheka,kama vile hakuna kilichotokea? Kwa waandishi wanaojitambua siyo kichekesho hicho,bali ni kosa la kikatiba na walio wakamata wanapaswa kuwaomba radhi kama siyo kuwajibika. 😂😂😂 East Africa mnacheka wenzenu kukamatwa.
Kwa stairi hii Tunako ElekeA kubaya sannaa Poleni sana wa Andishi Wa habari mwenye kumariza matatizo Niki Ongozi mkubwa lRa Asipo TambuA iro NiA Tali sana lna skitisha sana 😂😂
Vyombo vya habar msiogope kuwasema wanayo yafanya viongozi wa nchi na polisi waooo,,,mnatakiwa kuwakemea na kutangaza ujinga wanao Fanya polisi wa nchi hiii ya kishamba kabisa
Nilichokiona hapa acha watutwange tu na kutuonea maana tumewaendekeza sana,tunasubiri malaika aje atuokoe,maana kama mwandishi anaongea hv means hata wao kioo cha jamii wanaendeshwa kijinga hv,so sad ase!
Vzuri 😂 mwandishi umezungumza kuhusu elimu, swala la maana kabisa hili, hawa mabwana wanachukuliwa form four failures, matumizi ya akili ni kidogo sana, nguvu na kisirani ndo silaha yao
Nyie manyumbu waandishi bahasha mnadhani wanaokamatwa na kutekwa ni chadema tuu .Wakiwakosa chadema wanaofuata ni nyie,So Toeni habari za ukatili wa hii serikali acheni uoga mbwa nyie
Lema aliwaambia waandishi wa habari kuwa huu Ukatili hautoishia kwa CHADEMA tu bali kila mtu ataguswa. Leo mmepewa kionjo kidogo 😂😂😂
Mnashangaa hawafati sheria hao vibaraka waccm hovyo sana hao ntarahamwe
Waandishi wa habari kwani nyie si mnapiga kura??,,basi kazi kwenu
Iyo ndo ccm tuikatae tumechoka huu usenge
pole xn
Ndio mjue hayo maandamano ya chama democracia chadema ni ya haki za kimsingi ukweli watu wanakamatwa kamatwa bila kutolewa taharifa
Poleni.sana ila kuweni.makini juu poli Awana undugu.wanafanya walicho.ambiwa.
Waandishi wanajionaga wapo salama sana kuliko wanainchi na matatizo ya wanainchi sio hao. Poleni
Mtangazaji LISEPSHEN ndio RECEPTION?? Chombo kikubwa nakipya lkn makosa yanajirudia
Mnashaangaa!!! Haoondiyoo watekaaji kwani hamjuiii kama huna Haki ya kutoa tarifa Kwa nduguu niyaoo n NN kama sikuwapoteza kusipojulikana shwaniiii.
Hadi leo waandishi amjui kwamba polisi ni wavunja sheria
Duuuu jaman jaman😢😢😢
Yani MUNGU aingilie kati 😢
Poleni sana kama wandish Mnajulikana je? cc tusiojulikana wa2 wakawaida je mtetezi wangu nani?
Waizi hao police
Wallah Bongo tutaonewa mpaka siku ya kiama hebu fikiria unaambiwa twendeni hakuna hata anayehoji Tunaenda wapi ni upuuzi tu
Ivi police ni WA Tanzania au
😁😁 mnao wasifiaga kwa televisheni zenu leo wame wageuka 😂😂
😅😅
N hi inaendeshwa kihuni. Sio kufuata sheria
Inchi isha oza hii
Majemedari tutawa enzi kizazi na kizazi lisu, mbowe, lema
Walitaka kuwateka ubwa hao wa ccm
Yani uzembe Kam huu kungekuwa na Sheria nzuri Happo jeshi wanalipa
Ndo mjue kuwa hata nyie mko hatarini maana mnapoona chadema wanachofanyiwa mnafikiri wanastahili. Nchi hii siyo salama
😂😂😂 tulieni hiyo ni rasha rasha masika inakuja😅😅
Kwani nani anatafuta habari si wenyewe 😂😂..na tbc c wanayo ndio chombo chao
Siwasifii polisi maana wanasaporti uonevu kwetu
Unashangaa,,ipo siku utapotea kweli nchi hii,,wenzako walishapotea kitambo,,
Hawajui Shelia polisi wa tanzania
Naikumbuka hii siku na nilikuwa nacheka yaani polisi wanajua kutumia nguvu bila kufuata utaratibu
Kiufupi kesho lapolisi Halima ilimu
Mbona polisi wa TZ wanatesa wananchi wao kinyume na sheria? Yaani hamuwezi kusemezana ( reason) na raia wenu?
Kwa hali hii Tz mtaraji vita
Hizi nchi nyie acheni ila Mungu yupo na yote yanayofanyika anayaona
Nchi ya kisenge sana hii
Nchi iko shwari kabisa na ndivyo inavyo takiwa nchi kuwa shwari siyo ombi iyo ni razima iwe shwari ,Asante Jeshi la Police kwa kufanya kazi nzuri iliyo tukuka Kwa kwakweli Mh IGP unakiti chako mbinguni cha kudumu baraka
watu wanatekwa na kuuwawa utasema Hali ni shwari?Kwa hiyo watu wasidai haki zao za kikatiba wakati katiba imebainisha kuandamana kunaruhusiwa.
kosa lenu mtalijua tu kwani picha si wamebaki nazo
Tatizo awaa awajalii alfu elimuu ndogo sana wao wataka wee utii ila wao awatiii ni upumbavu sanaa
Kwaiyo ilitakiwa tusipite
mlitii amri, sio sheria
Kwani hata waandishi hii inch sasa😳😳😳😳
Ni haki kutoa taalifa 😂😂😂😂😂
Wabunge tumieni nguvu yenu ya haki kutulinda haina maana yakuwa na ninyi watu tunatekwa hovyo na kuuwawa
Wabunge wapi sasa hawa wa com mwenekiti wao ni nani😂😂😂😂
Mtangazaji AIZA ndio Either??
Niliachaga uandishi wa habari baada ya mwandishi wa habari kuuawa pale Iringa majukumu ambayo.yatakuingiza kwenye hali.hatarishi mbaya sana..
Lazima tuchukie tabia za hovyo
Eti urafiki wa Tom &Kweli aki nacheka kama mazuri vile
Mtangazaji LISAA ndio SAA??
Bibi Zanzibar bana
Askari waliowadhalilisha waandishi wa habari wachukuliwe hatua ili kukomesha ubabe.
Izo picha wanatunza waje wawateke
Walikuwa wanatumia nguvu
Vita haina macho. Ukishakutwa uwanja wa vita jua tu namna ya kukwepa risasi. Kuilaum polisi ni sawa na kudhani polisi ni miungu na wanaweza kujua wewe ni nani ghafla tu.
Hapo ishukuruni polisi kwa kuweza kuwatambua mapema na kuwaachia bila kuumizwa.
Polisi wanayo elimu, ila waandishi wa habari msome mazingira, na hizo ndo changamoto za kazi yenu.
Kama katiba inavurugwa jee habari
Kwa kweli polisi mmevuka mipaka mkumbuke nao wapo kazini kama nyie kwa kwl inauzunisha mno kwa kitendo mlichokifanya kwa Waandishi wa habari ukizingatia walikuwa wanatimiza majukumu ya Taifa letu 😢😢
Ndio mjuuwe nchi inavyopelekwa
MAPOLISI WA TZ 80% NI MENTAL. SIKUFICHI HUWO NDOUKWELI SERIOUS KABISA.WAHUNITU
amjapelekwa kalakana
hao askari ni ccm kabisa haipongwi
Hao askali hawana akili ni ubabe tuu Yan haya yatakwisha tuu
Sasa tusimame kwa pamoja sasa hakuna kuangalia chama wala dini
Tuamke watanzania kama kenya tuache kull kama kenya
Nchii yetu imetoboka toboka sas hiviiii
Sasa nanyinyi msiandike habar zao
watakula nini?
@@DursunEren-lh9vzchakula
Ingekuwa hivyo ingekuwa vizuri sana
Hawana elimu 4feliaz😏
sihuwa mnatumika kutoa tarifa upande mmoja tulieni kama mlivo
Mnazungumzia kukamatwa na kuzuiwa kutekeleza wajibu wenu,huku mnachekacheka,kama vile hakuna kilichotokea?
Kwa waandishi wanaojitambua siyo kichekesho hicho,bali ni kosa la kikatiba na walio wakamata wanapaswa kuwaomba radhi kama siyo kuwajibika.
😂😂😂 East Africa mnacheka wenzenu kukamatwa.
Yule mdada alikuwa anafanya maombi na amekamatwa hiyo tz sii mnawafagilia nxie police leo mnasimulia wenyewe
Kwa stairi hii Tunako ElekeA kubaya sannaa Poleni sana wa Andishi Wa habari mwenye kumariza matatizo Niki Ongozi mkubwa lRa Asipo TambuA iro NiA Tali sana lna skitisha sana 😂😂
Hawa waandishi mpk yawakute
acha usenge wew kuma kwel wew
Vyombo vya habar msiogope kuwasema wanayo yafanya viongozi wa nchi na polisi waooo,,,mnatakiwa kuwakemea na kutangaza ujinga wanao Fanya polisi wa nchi hiii ya kishamba kabisa
Si ni nyie mlio kuwa mkisifia watu kutekwa
Mimi nadhani police elimu yao ndogo sana
Peter Mbogo kakamatwa hahahaha
Ndo mjifinze, si mnawapamba kwenye media, simamieni haki daima, pazeni sauti ya watu, hakuna faida kupamba hawa mapapa
Ndo mjionee sasa yanayowasibu watanzania wasio hata waandishi. Inamaana wewe ungekuwa raia wakawaida ulikuwa upigwe kama mwizi hivi.
Polisi wengi hawajui shelia kweli au wanafanya makusudi jamani hii inchi
Jeshi la polisi,kwa nini uwa mnakuwa hivyo?
Polisi ni panya road
Hadi waandishi kushikwa
Nilichokiona hapa acha watutwange tu na kutuonea maana tumewaendekeza sana,tunasubiri malaika aje atuokoe,maana kama mwandishi anaongea hv means hata wao kioo cha jamii wanaendeshwa kijinga hv,so sad ase!
Siku mtajikuta mnapata madhara hata mkiambiwa usipige picha nanyie hampigi subili siku kiwarambe wenzenu wanapiga kwaushaidi
Vzuri 😂 mwandishi umezungumza kuhusu elimu, swala la maana kabisa hili, hawa mabwana wanachukuliwa form four failures, matumizi ya akili ni kidogo sana, nguvu na kisirani ndo silaha yao
Viongozi wanashindwa kujielewa hususan badhi ya viongozi vya police... Majambazi tele hawakamatwi wanakatwa wanao dai haki
Sasa watu wana D 4 wanawezaje kuwa professional inatakiwa wachukue watu wanaofaulu shule na siyo wanaofail
Polis metafuta kuwa maadui wetu
Polisi na yeye yuko chini ya sheria
Nyie manyumbu waandishi bahasha mnadhani wanaokamatwa na kutekwa ni chadema tuu .Wakiwakosa chadema wanaofuata ni nyie,So Toeni habari za ukatili wa hii serikali acheni uoga mbwa nyie
Huku kwetu Ulaya police wakikushika uwezi ukahoji kama hivyo na ukiwazingua wanakubonda tu
Sio kweli, ulaya ipi hiyo ?
Hata mimi nashangaa labda Ukraina
Ulaya ya matakoni mwako
Ulaya gani upo wewe??make north america hiyo haipo
@@philemonnestory4239 sasa matusi ya nini au ndio unatangaza ushoga wako kwa nguvu tukujue
Police njo watekaji pol san
Hata usimuliaji wenyewe Ni unyonge mkubwa Sana yaan nachukia Sana mfyuuuuu
Ndio muwe na akili namna ya kuishi na CCM. Unafiki unahitajika. Sio wakihonga fedha media zenu mnajisahaurisha
Nani kweli.polis watu waajibu.kweli.ila tuchunge sana juu polis hawakos makosa nasii Tanzania tu duniani kote ndio.maana mimi sitak urafiki.wa polis.
Tatizo police asilimia 90 ni form four na darasa la saba
😂😂😂😂
Watu wasiojulikana
😂
Sasa wajafuta picha zenu
Hapo kwakwel polisi walizingua waliwakosea haki
Ni haki kutoa taalifa 😂😂😂😂😂