Zuu atapona next episode juu kuna moja tulionyeshwa wako wote kwa ep 29 halafu candy ataachana na Kai na candy na Sonia pia urafiki utaisha Ila kwa chiko na Bibi ndio siezi imagine kutakuaje😂😂😂
Hayah wanaitwa mashoga Huwa n kawaida tu kushare 😂😂😂 chuma hicho kendi enjoying from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 yaaani mzigo hauchelewi busaliti mko chapchap nawakubali jameni
Aya aya tena kumekucha kwa busat tv mambo 🔥🔥 np hap mm . Mwana kama mwana waif za bure z warabu karibu san 🇴🇲🇴🇲 jaman wif yangu zuu mung yup p moja na ww ishallah utakuwa saw
Waaaauuu leo imekuwa tamu najuwa zuuu anaenda kupatikana..team zuu jamani mnipee like ata kumi tuu kutoka kenya jamani
✔️❤️✌️
Ipo siku busati tv itashika namba moja kama unakubaliana nami gonga like ❤❤❤❤❤
No way, they! have got a long way to go. They have got a lot of poor characters but the idea of storyline they're trying.
Wangpa waona amin zuu akishaletwa Kwa huyu shosh atapona...hio Calabas ya huyo nyanya ikiekwa kwa kichwa cha zuu nq kuzungushwa mwili mwake ashapona😅😅
Aisee binadamu wabaya sasa mutu unaona hayuko Sawa unamumwangia maji kisa nini munaloho mbaya watu wengine ❤❤❤
Ndio binadamu walivyo hivyo
Wanaomwombea zuu apone warudiane na kai gonga like hap
❤❤🎉
Natamani zuu apone waludiyane nakai❤❤❤🎉
Vp kwani ni mgonjwa kweli sio ni kwenye mchezo
Mim mwenyew na muombea san zuu apone arudie kai haraka iwezekanavyo na candy mabaya alio mfanyia zuu ya mrudie mara dufu
@@hamadali3231 ni movie tu lakn si kafanyiwa vibaya na candy
Kuigiza chizi kipaji hongera zuu god
Kabisa
Nikweli amewezkujichetua
Mwenye bahati mbaya atalike chipati kwanini mimi naomba1❤🎉❤🎉
Angalau nimeingia mapema nipeeni 10 tu❤❤❤❤
Watu mpo vizur kufuatilia 1 minute mshaenea ndo raha ya muvi nzur ❤❤
Tunakosaje kwa mfano😅
Tunakosaje kwa mfano😅👌🏻
Tunakosaje kwa mfano😅👌🏻
@@Edna-w3z 🥰🥰🤝
Uhakika
Kwa mala ya kwanza naombine like jman Tim zuuu
Nahitaji nijue wng tupo kwny maombi zuu na kai wawe sawa pamoja na baba kai 🎉
Sanatu
Zuu atapona next episode juu kuna moja tulionyeshwa wako wote kwa ep 29 halafu candy ataachana na Kai na candy na Sonia pia urafiki utaisha Ila kwa chiko na Bibi ndio siezi imagine kutakuaje😂😂😂
Chiko unalana wahaika namakahaba mkeo mzr ivo
@@maysaghjii5058 wallai
Tupo kama woteeee
😍Congratulations wote move nzuri mpo vizuri😍 sanaaa toa coment siyo kuomba like
Yaan dakika 6 tu mmejaa hivi duh hongereni bas 🎉🎉🎉🥰🥰🥰
Napenda muvi zenu jamn naomben like hata kumi
Waoooo nilikuwa nssubiri kwa hamu nijue zuu anaendeleaje na kai love more timu zuu na kai ❤
Nipo ndani kabisa amazing episode from busati tv 🐔
Wale mnaoikubali kazii hii Ya house girl na tunaomuombea zuu Apone gonga like na twende Kwa pamoja na episod ya 30❤❤❤
Kwani hii ep ya ngapi?
Ya 30@@youthmediatv1
Episod ya 30
❤❤❤
Kwel alone jaman
Wale mnapitia mkisoma comments gonga like wakuu❤❤
aki mnarauka kwel mm nachelewa tu.kila siku🎉🎉
Da nizury mno sio mfuatiliaj lakin kwa hii muv da ❤❤❤ tuombe tu muwe mnatulushia ata vipande viwil jaman
Aaaaaa nyie wanaume ni baba zetu na kaka zetu lakini ni mbwa hawa khaaaa chiko mkeo mzuri lkn wapi doooh
Hayah wanaitwa mashoga Huwa n kawaida tu kushare 😂😂😂 chuma hicho kendi enjoying from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 yaaani mzigo hauchelewi busaliti mko chapchap nawakubali jameni
Safi sana
Dama nakuona uko uku twende kazi
@@Ramacomedian au cio 😂😂
@@DamarisDammie 🙏
Dk ya 34 jaman nipeni like zanguu team zulii
Naomben likes za wachelewaj 😂😂😂
Aise nimewahii Léo Naombeni hâta lik basii wenyewe munalala mutandaoni
Busati TV mko good 👍 kabisaa yaani hana MBA mba mba much love 💕 kwenu nyote mnao shiriki Allah awaongezee mfike mbali zaidi na Zaidi ❤❤❤❤❤❤
🥰🥰🥰🥰
Hatimae leo nimewahi bhana na mimi nipeni like nijue faida yake huenda ntapatà mihela😂😂😂😂
Sema move yenu mwanzo ilikua nzur ila cku hz uchiz mwing sana mpaka inapoa
Pungezen uchiz mmbak na uhalisia
Am watching from gulf naomba like aky
I love this movie so much 🎉❤😊
Jaman wakwanza naombeni ata like moja tu
❤ nawapenda sana vipenzi tunaoendelea kusaport kazi za wenzetu Sina mengi tu nawashukuru Sana umwaaaaaah ❤❤❤❤ be
🥰🥰🥰🥰🥰
@@busatitv waooo thanks
Nawapenda busati hamjawah kuzingua ❤❤
Jaman atakae omba like asipewe teeh mwatak kuzila badal yaku enjoy nakuombe kaband kasiishe 😂😂😂
Mkuje mabestie mlike mana nawalike sana
Zuu jamani 😢, msipite bila likes guys please pinga like ukipita
Jamani leo munapopitia wengine naomba mnikumbuke🎉🎉
Kwani na nyie hzo like mnazipelka wapi mmekuwa gonga like gonga like hamuwez kukoment mpka like
Jamani mungu mlinde zuu mahali popote alipo🙏🙏❤️
Jaman nihurumien bc ata kamoja like mmmmh
Kazi nzuri kweli na naona ndoa wiki hii ❤❤❤❤
Mashallah asanteni sana washilika mungu abaliki kazi zenu mbona amtumi linki jamani
Jamani nyie Busati mtupe episod mbili mbili ,moja mnaturusha roho
Na mm Leo naomben like
Nina hakika zuu atapona wewe je? Nipe like nione
Wakwanza mimi nipen like zangu ❤❤
Zuu unajua kuigiza Mom 🎉🎉🎉🎉 nimependa hapo ulipo nyamazisha mtoto
Alahamdhullilah nmewahi lakin kaz ni tamu hiii silali hata ikajitokelezea saa nane❤❤❤
Wa kwanza kutoka Kenya wapi likes zangu jamani
Pongezi sana team nzima mnafanya kazi nzur❤
Jamani nimeisubiri kwa hamu ❤❤
Kumbe chiko anabibi mzuri den anag'ang'ania vimalaya😊
Kwan like zin faida gani kwa viewers tujuzane naona kila mtu anaomb like😎😎
Toba Kumbe Mimi wa Mwisho Sawa Tuu 😂😂😂 Khaa Watu Mmeweka Vigorodo Busati Tv 😅😅😅🙌🙌🙌
😂😂😂
Adi uku upo kumbe😅
Alafu baadae anatuwekea episode ya 31😅😅😅😅@@rosemarenga832
Hu msemo wa naomba like ni wang jmn naombeni sana msiniibie😂
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
Nipen lak namimi jaman kutoka south Africa zingine mupen zuuu🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri San ila tunaomba ikiwezekana mtuekee mbili Kila siku
Aya aya tena kumekucha kwa busat tv mambo 🔥🔥 np hap mm . Mwana kama mwana waif za bure z warabu karibu san 🇴🇲🇴🇲 jaman wif yangu zuu mung yup p moja na ww ishallah utakuwa saw
❤❤❤nawaombea zuu na Kai wawe sawa alafu candy nahiyo mimba yake awe kichaaa ateseke Hadi akomee 😢😢
Cjawah kupata like mbili mm😢😢😢 nipeni ata tatu tu
Ulizopata zinatosha
😂😂😂 @@YasmeenKhalifa-zq1zk
Umenichekesha et
Wakwanza mimi
Tengeneza muvi yk ili upate like,Sy usubir muvi za wt like like Kila Mt anaomba Nd nb
Busatitv mnatunyanyasa iyo ep 31 mbn hamtumi tunaisubiri mpaka mabando yanakata bhn😅
Mm pia maombi yangu ni zuu na kai waowane❤❤❤❤
Mhhh nimesbr sana❤
Thanx ,mnafanya vzuri sana hongereni♥️♥️
Busati anakimbiza yuo tube mau yako busati 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Jamani jamani naipenda hii movie mwendelezo tafazali 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Nawapenda sanaaaa ❤❤ mashabiki
Daa mh dakika tano tu msha kua miloni humu ndani mmmmh hhhhhh sawa tuna kubatiya busaty yetu haya team zuu tujuane hapa
Ila wanaume sijui tunashida gani yani ukimwangalia huyo mke wa chiko alivyo pin Alaf mwamba anahangaika na viyande pembeni huko 😁 daah
Saw mnatoa kila sku ila tunaomba muongeze mdu inadakika chache sana tunawapendaaaaaaaa
Mmezingua sana kwenye hizo episode kwakwel
Ainisha na tulichozingua Boss wetu ili Vijana wako tusije kuzingua tena
Waoooh leo nimekuwa wakwanz
Iyi mouvie inaanza mauzauza haina tena utamu wake kama tulivyo ianza jamani
Hongereni sana tim nzima mnafanya vizuri
Asante sana 🙏🙏
Kwang VIP mbon mnatuchangany mafaili yenu hatuelewi IPO ndo house girl
bro chiko unakwama unamwacha mke mnzur uyo unaenda kwa malaya kwel bro chiko
Wakwaza leo🎉🎉🎉
Naomba like bx na mm🎉🎉🎉🎉🎉
Namuombea mungu zuu apate usaidizi apelekwe kwa bibi kendi utajutia muchipuko kachukuliwa na rafiki yako utakula ulichokipanda 😂😂😂😂😂😂
🥰🥰🥰
🙏🙏
Nimefurahi kutuletea zatiti busati tv🎉🎉🎉🎉 kazi inaendelea kunoga Mashallah Allah Azidi kuwasaidia❤
Zuu kacheza vizuri hii sehem ya Uchizi
Itakuwa nasema mengi mm kwajili yababa na zuu adi wawe pamoja nakai nitakuwa natiya❤❤❤❤❤❤❤tu
🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️busati tv mpoo juu
Chko nae karogwa tayar 😂😂😂😂😂noma sana
Busati tv ,soon itaongoza💓💗,kazi nzuri sana
Kawaida wakenya tupo ndani❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama kawa
W kwanza Leo Kuna watu humu ndani watok 😂😂😂😂kazi mzur 🎉🎉🎉🎉🎉
Jmn cjachelewa sana cety eeeh gong likes hapo kipenz nawapendaaa❤❤❤❤❤
🥰❤❤❤
Jamani wakwanza from kenya ❤🎉
Wewe mkenya vp maandamano uko
Daaah jaman kenya kumeharibika sana watu wanakufa ju ya maandamano jamani tusaidieni kwanza huku mombasa ndo kabisa jmn
Poleni sana jmn msiandamane jmn mtaacha watoto yatima vipenz mutapoteza vijana wengi acheni hayo mambo😢😢@@SelinahKeny
Mapema ndo best nipeni likes za zuuu, she knows how to act❤❤❤
🥰🥰🥰
Kazi nzur san🎉🎉🎉
Candy n rfiki yke wamechnganyana 😂😂chiko mkeo uwalia jmn we hbr huna wanaume nyinyi jmn😢 zuu pole wapitia magumu jmn😢
😭😭
Mwenzi Mungu awapony zuuh na kay
Hawa watu bhna wanajua mpka wanajua tena 🔥🔥
Leo wamwisho like yangu 😢,5tu
Me ndowameisho Leo jamn naomba like
Nmewahi leo ❤🎉
Bongo noma
🤣
Yeah kwa sababu dawa aliyo fanya candy zina mwisho azitafanya kaz
Msiunzungushe sana mchezo utakosa ladha
Awa watoto WA 2000 noma sana
😅😅😅😅malaikà unatakà kuolewà nà babà mwenye nyumbà ako😅😅😅😅