Mawaidha yako 😢yamenifanya nimebadilisha Kila kitu changu 🥰 nimepata mafunzo mazur sanaa shukuran Allah akuhifadhi uweze kutuongoza nyemaa na maneno matamu ya Allah (sw)
Asalam Aleykum I salute you from Namibia ama kwa hakika Sheikh you are legend, nimesoma dini Kenya nafurahi kukusikiliza sheikh WA kigoma dini waijua sana
Asallam aleykum warahatullahi wabarakatu shekhe nauliza kuhusu sala hiyo yasunna rakaa2 Kambla ya dhuhuri ñisuna gani naomba mwenyezi mungu aniwezeshe kwa Yale unaetufundisha
Nampenda Shekhe huyu kwa ajilinya Allah anajuwa kufahamisha wallahi Shukran
Aslm alkm ww...... Masha Allah!!!! Tabarakallah. Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
Allah akubarik kwa kutuhimiza mema
Allah atuwezeshe kuweza kuyafanya yote kwa uwezo na rehma zake
Ameen
Allah akuzidishie zaidi na zaidi ili upate kutupa darsa.
Shukran Shekhe kw kutupa somo zuri allhmdullillah ALLAH akujaalie Kher y Dunia n Akhera 🙏
Mawaidha yako 😢yamenifanya nimebadilisha Kila kitu changu 🥰 nimepata mafunzo mazur sanaa shukuran Allah akuhifadhi uweze kutuongoza nyemaa na maneno matamu ya Allah (sw)
Maanshaallaah mwalimu wangu shekh hashimu rusaganya
Shukran sheikh, jazzak'Allahu kheri
Asalam Aleykum I salute you from Namibia ama kwa hakika Sheikh you are legend, nimesoma dini Kenya nafurahi kukusikiliza sheikh WA kigoma dini waijua sana
Mashaallah
Asallam aleykum warahatullahi wabarakatu shekhe nauliza kuhusu sala hiyo yasunna rakaa2
Kambla ya dhuhuri ñisuna gani naomba mwenyezi mungu aniwezeshe kwa Yale unaetufundisha
Jazaka Allah lkhery mwenyez mungu akupe husn lhatima jema akupe shada kabla lmauty
Wallah sheikh napenda sana kukuskiliza mawaidha Yako yananijenga sana kiimani,Allah akupe mwisho mwema
Masha'Allah Shukraan Sheikh,
Asalamualaikum warahmatullah wabarakatu.Alhamdulilah kwa elimu Allah awalipe kwa darsa.Allah atujaliye tuwe Wenye kumuabudu Allah ukweli wankumuabudu.
Shukran shekh jazazakallah kher
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa lenye Mafundisho na Mazingatio makubwa sana.
Allah akujaalie kila la kheir sheikh wangu
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
Shukran sheh mung akulip kilalakher
Shukaran saana sheikh Allah atuwezeshe kuziswali inshaa Allah
Shukurani sana
Namuelewaga sana shekh rusaganya...Allah akulipe ujira mzito
sheikh na kupenda sana mawaidha yako ya mesha nipa faida nyingi sana na pako fundisho nzuri mungu akuzidishie umri mrefu na uxid kutupa faida
Ma Sha Allah tabaarakallah..Allah akuhufadhi yaa sheikh
Shukrani shehe kwadarsa mungu akulipe
Shukran shekhe
Shukrani jazak Allahu Allahu kheri kwa ufaamu, ya sheykh
Allah atakulipa shekh unatufundisha mengi sana aamin
Shukran Shekhe 🙏🙏 Allah akulipe kheri duniani na akhera
Jazaakallah lkheir, tunafaidika sheikh
Allah Akuoe swiha njema uzidi tupa elimu pia tuifanyie kazi kwa uwezo wake Manan
Manshaallah Allah Akuoe swiha njema uzidi tupa elimu na tuifanyie kazi
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Jazzakumllah Khery
Shukurani sana ❤❤❤
Jazakallahu kheyr
Jazak Allahu khaira
Jazakallah
Shukran sana shekh
Shukran yaa Rabbi.
Kheryy ishaallah.
allah akubarik
Aamiin
Maashalllah
Tunaomba namba za sheikh watu wa media,
Allah bariki mtu ana swali rakaa 4 bila salamu ama 2 2 ninaomba kufafanuliwa
Naomba namba yako sheikh
Naomba kunifahamisha ni vipi nanuwia hizo swala za Sunnah kama swala ya dhuha , kabla ya alasr na baada ya alasr
AKUPE SWIHA NJEMA
She wetu allah akulipe kher
Allahuma amiiina
🇬🇦
sheikh naomba number yako.
Shukurani shekhe
Shekh naomba ufafanuzi zaidi kuhusu sun at zawal hii sala haina atahiyyatul au unasali vp shekh naomba niwekee wazi
Swala ya dhuha inaisha mdagani
Mida ya saa sita sita kupinduka jua huko usifike ndugu