I appreciate you President Ruto. Congratulate for inviting all Kenyans to sit together for the good future of Kenya. May my God strengthen you and keep you alive.
true let us respect our kenya let us respect our president And let us repect our seif plz kenya ni yetu na itabaki kuwa yetu tushikaneni mikono tuijenge pamoja God bless kenya
Biblia inasema heshimu lila mamlaka iliyopo duniani mama hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu amwasie mwenye mamlaka anapingana na Mungu, mtapata hukumu kali Duniani na Mbinguni maana mnapingana na Mungu
Toka ww mwenyewe kwa ofisi uwatafute kama ulivyo zunguka ukitafuta kura zao,, eeeh Mungu sikia kilio cha wananchi na uyaone machozi ya wanao kufiwa na watoto wao ju ya huyu mtukufu mabavu
Iko hvi ni kwa nini watu wafikie kufanyaa uaribifu hivo manake kuna tatizo wewe rais inatakiwa kuchambua hayo kwa umakini zaidi ishi sio kupeleka jeshi kupiga raia hapna unakoseaa ndo ule msemo kuku ni wa kwako mwenywe manatii ya niniiiii
Vijana wa kenya mumekosea bunge pamoja na mamlaka mliyoipa kazi mgesubiri muda ufike mfanya mnavyotaka so kuchoma bunge na uharibifu mwingine mwingi so akili
Utawashughilikiya kivipi? Utawawuwa one by one? Ruto ulisema you stand with Israel wakiwuwa wa Palestinians. Even you killing machine. Ruto tukupenda kumbe nawewe nimuwuwaji wa roho mbaya alafu unajifanya pastor
Rais bro Mungu akusaindie to
Ruto must apologize before Kenyans for calling us criminals 😅
Ruto mungu akuongoze na pia awaongoze vijana waache Vita na mungu akusaidie nchi yako iwe na amani
I appreciate you President Ruto. Congratulate for inviting all Kenyans to sit together for the good future of Kenya. May my God strengthen you and keep you alive.
You pastors you are BRIBED
A wise man senses his threat. I believe you are wise mr. president
Unaongea vizuri Raisi Ruto
true let us respect our kenya
let us respect our president
And let us repect our seif
plz kenya ni yetu na itabaki kuwa yetu
tushikaneni mikono tuijenge pamoja
God bless kenya
Wakenya jamani acheni maandamano kwani Rais wenu anataka amani Sasa Kama hamtaki amani mtasababisha nchi yenu kuwa masikini kupita mnavyo waza.
Mr president you are going to cause cheos in your country, if you looking to deal with one to another things Wil be worse
Mbn umekua mpole sanaa ruto fanya kazi
Address the issues and solve them achana na hao vijana
Leo utatenga ngapi
Wew ruto mwamerika nirafiki Yako, endelea kutotoa kafara Rutu must go,kwenda
Hao wabunge wote walipiga yes hatutaki kuwaona tena bungeni
MUNGU ingilia kati ,mungu ibariki kenya.
Huyu baba hakubahatika
Mbona alivyokuwa anaomba kura alisema utakuwa pamoja na masikini leo wamekuwa wabaya tena
Umeshindwa kazi
NDIO RUTO WASHULIKIE👏👏👏👏👏👏
Kuwashughulikia😢
He is wise as leader
Umetenge ngapi hio bunge😊😊😊😊😊😊😊😊
You PASTORS YOU are defiling the church...REMOVE POLITICS IN CHURCH.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kenya mkiweka ukabila mjue amani ndo inatoweka mazima
Waombe Israel wakusaidie silaha uwamalize vijana wa Kenya.❤
Mhhh
Ruto is very wise real wise!
All these will end if you leave office.
Eti breakfast nahastler wamelala njaaa
Zakayo bado anakiburi ilikuwa acalm down but bado anakiburi
Usalama na Amani ni Bora kuliko madai malalamiko maandamano na fujo.Mbaya zaidi yakiwa yana mkono wawana siasa au vibaraka wa nje
Kwakua bunge imechomwa ndio wataka kuongea na wakenya kama isingechomwa bunge usingesema wataka kuketi na wakenya kwenda na huko
Rutonakupenda sana
Biblia inasema heshimu lila mamlaka iliyopo duniani mama hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu amwasie mwenye mamlaka anapingana na Mungu, mtapata hukumu kali Duniani na Mbinguni maana mnapingana na Mungu
Kiler Ruto, mtajiju w Kenya
ruto ume bip peoples power kuwa mpole waombe wananchi samahani la sivyo yatakuta ikuru hayo majamaa
Ruto mast go
Wale vijana waliuliwa na police, onaona je Mr Ruto???
Walipata mshahara
Ni wezi
We have a PLAN for them .Tuko na MPANGO.Mbure kabisa.Resign
Hiyo waja office and all this will come to a halt.
SASA VIJANA MUTASHUULIKIWA
Toka ww mwenyewe kwa ofisi uwatafute kama ulivyo zunguka ukitafuta kura zao,, eeeh Mungu sikia kilio cha wananchi na uyaone machozi ya wanao kufiwa na watoto wao ju ya huyu mtukufu mabavu
Vijana wamechoka kudanganywa na hawakutaki
Umeshatutumbukiza kwa Freemason ondoka, tunataka kuingia kwa debe
Lol 😄 huyu sikawauwa tayari na wamezikwa huyu vipi .mbona mmeuwa hao unasema vijana wenu
Iko hvi ni kwa nini watu wafikie kufanyaa uaribifu hivo manake kuna tatizo wewe rais inatakiwa kuchambua hayo kwa umakini zaidi ishi sio kupeleka jeshi kupiga raia hapna unakoseaa ndo ule msemo kuku ni wa kwako mwenywe manatii ya niniiiii
Kuchoma bunge ukute napokisi wengine awamtaki
so unaelelea wapi
Naenda huko umekuwa watu hata aibu huna
Umemwaga damu zisizo na hatia nenda kwenu
shinda nini😂😂😂😂😂
Nyie viongozi wa kiafrika dawa yenu ni maandamano viongiz wa kiafrika hamjui waajiri wenu ni wananchi masiki
Wacha uongo
Na ww mungu atakushughulikiaa
Hhaahaa which plan ???
Yuko na mpango kila mkutano the same word
Unaleta vulungu upya hiyo achana nayo
Hawana adabu hata kama mnataka kusaidiwa vp sasa mtapataje msaada wakat mmeharibu bunge achen.ujinga fikilin kabla ya kutenda
Acha nchi mlegwa ulikuwa sio wewe dam ya yakenya ulio wapoteza ndio hiyo achaia
Mpaka tikufundishe wumechemuka
Vijana wa kenya mumekosea bunge pamoja na mamlaka mliyoipa kazi mgesubiri muda ufike mfanya mnavyotaka so kuchoma bunge na uharibifu mwingine mwingi so akili
Kupigana na ufisadi Harambee zipiwe marufu
Ulipo chukua uongozi ulikuwa ushakubaliana kufanya kazi iweje tena baada ya miaka miwili unataka kuaa chini kuongelea vitu za miaka mbili uliopita?
Wakenya komaa huyu hawezi kuwadharau kiasi hicho
Wakala wa NATO wakala wa shetani kabisa
Bora tuu ukaembali watu wamekuchoka
Ruto ni umbwaaa mda wa kuongea uliisha enda sogoi you must go
Akishuka plan ni gani?
Mpaka wanachoma Bunge polisi na jeshi lilikuepo wapi. Ni uzembe WA vyombo vya usalama wa kenya
Kundu wako sawa
We enda tu
Zakayo ushuke tu
They is no religious or God in you if you was thinking about people in Kenya you couldn't go to begg in America daily wunawawunga mukono
Utawashughilikiya kivipi? Utawawuwa one by one? Ruto ulisema you stand with Israel wakiwuwa wa Palestinians. Even you killing machine. Ruto tukupenda kumbe nawewe nimuwuwaji wa roho mbaya alafu unajifanya pastor
Nachukia sauti yako shindwe shetaniiiii wewe umbwa gasia
Unaongea vizuri Raisi Ruto
Hana ata shep ya kuwa rais. Kazi yake ni ile ile ya kufuga kuku. Na akili yake ilishafanana na kuku.