Ila mimi nahisi hawa mbowe na lisu labda watakua na makubaliano ya kuchalenchi watu ila lengo lao mbowe awe mwenyekiti na lisu agombee urais hiyo kama naiona
Dudu baya Mbowe amesha tengeneza mtandao wa ushindi hata mh Tundulisu afanye nini hatamshinda Mbowe ,mbowe amewatengeneza watu waushindi ataiba kura mbowe ni sawa na CCM kazi yao ni kuiba kura
Mbowe chadema itamfia mkononi asipokua makini,watanzania tunahitaji demokrasia na demokrasia huanza na chama kwanza asiwape wapinzani wake tusi la kuitukana chadema .
Dudu baya siku nikija Dar nitakutafuta tupige picha pamoja kwa sababu licha ya kukataa baadh ya mambo yako kwa asilimia 2 kati ya 100 Nakuona kabisa una hofu ya mwenyez mungu
Nilicho mpendea Lisu japo nilimkataa siku nyingi ni pale alipo sema chama changu kina shida mim nampenda mtu anaye fagia had kwake sio kila siku unaangaika na CCm na kwako kunaoza
Habari ni Uenyekiti ....sio ubunge . Nyie Mbwa msiokwenda shule kweli hamna mchango hata wa mawazo kwa taifa . Wengi hatupendi siasa kwasababu ya wapinzani wenyewe hasa suala la kujipiga vifua . Chama hakipaswi kuwa cha mtu au kikundi cha watu .
Ndg mm ni mtu wa Kagera kumbuka kwa hayat Magu ilikuwa Kagera zaman lakin speed yake ya kubadilisha chato kwao ilikuwa kubwa mpaka unajiuliza uyu jamaa anatumia mbinu gan kuleta maendeleo iv? Kwa hiyo kwa magu ilikuwa ngumu mtu yoyote kumtoa kwa maneno
@TibihikaGerad ni msanii sana ukiangalia chadema ni chama kinachopendwa na watu wengi ila tatizo ni yeye hana ushawishi ila bado anaendelea kugang'ania
Ujue konki kuna siku unaongea point japo kuna siku kidogo unazingua kama binadamu mm ni Ccm kiukwer lakin nilipenda lisu awe mwenyekit wa chadema kwa sababu chama akiwez kuongozwa na mtu mmoja kwa miaka 20 na Ccm haifanyi ivo Lakin by the way lisu naye anazo mbinu anacho kifanya anakijua maana kakaa kwenye chama kwa mda mrefu
@deluxermahyono5290 sikupingi hoja Yako Sasa hiyo ni wew kwamba unatumia mbinu gan kuwatoa sio story za kuota moto na bibi Yako ukadhan zitawatoa CCm madarakan
Nahawa jamaa wanauana wenyewe alafu wanaanza kutukana police, au ccm ,kumbe wao wana uana wenyewe na kwa namna hii wasifikirie kupata nafasi ya kuwa na Rais atokee kwa chama chao wasahau kabisa
Dude baya konk anaakili sana wegi wanategemea mbowe apumike ira pesa za mama abduli zinamsuta mbowe anajua ataaibika kwa maela ya mh samia
Genius brother unasemaga ukweli mzee ukweli ambao hawapendi kuuskia
Mi nawajua vzur awa watu nimeishi sana mikoa iyo wabinafsi na awana tabia za kitanzania
Subiri Lisu atoke chadema watatafutana watatamani wakaombewe lakini watakuwa wamechelewa, watabaki moshi, na chadema lazima ife, Act wazalendo watakuwa mbadala wa chadema
Unachokiongea kipo ,ila mboe atakuja kuhaibika akipita lisu ataona walio mshauri hawana akili wote
Dudu baya ni mtu wa ruler ,kanyoka Sana.
Ila mimi nahisi hawa mbowe na lisu labda watakua na makubaliano ya kuchalenchi watu ila lengo lao mbowe awe mwenyekiti na lisu agombee urais hiyo kama naiona
Hawawezi kufanya huyo muchezo maana chama kimeshagawanyika tayari
sasa hv nimeanza kumwelewa mch msigwa
Dudu baya Mbowe amesha tengeneza mtandao wa ushindi hata mh Tundulisu afanye nini hatamshinda Mbowe ,mbowe amewatengeneza watu waushindi ataiba kura mbowe ni sawa na CCM kazi yao ni kuiba kura
Lissu for life
Ndo tutakihama hiki chama Cha mtu
Umesema ukweli nkoki master.
Kitabaki kilimanjaro na arusha tu iko chama
Mbowe chadema itamfia mkononi asipokua makini,watanzania tunahitaji demokrasia na demokrasia huanza na chama kwanza asiwape wapinzani wake tusi la kuitukana chadema .
Bila Lissu no Chadema
Sio kwwli
Nyie wasenge kweli democrasia ipo
I
Dudu baya siku nikija Dar nitakutafuta tupige picha pamoja kwa sababu licha ya kukataa baadh ya mambo yako kwa asilimia 2 kati ya 100 Nakuona kabisa una hofu ya mwenyez mungu
Nilicho mpendea Lisu japo nilimkataa siku nyingi ni pale alipo sema chama changu kina shida mim nampenda mtu anaye fagia had kwake sio kila siku unaangaika na CCm na kwako kunaoza
Ushaitwa dudu baya na mawazo yako mabaya
Tutahama CDM
Mm namshauri tundulisu aje ACT WAZALENDO ATAPATA NGUVU MARA MBILI ZANZIBAR NA TANZANIA BARA NA HII ITASAIDIA KUPATA USHAWISHI MKUBWA HUKU ZANZIBAR
Kwa ccm hapo umebug
Huyu dude anajua maana ya uchaguzi?
Wapayukaji ni balaa katika jamani kwani juu hawanazo.
Au?
Mbowe tumemchoka
Chadema itakufa tuu
Huyu jamaa anaongeaga ukweli tu
Kwan Mangufulia amekuwa Mbunge miaka mingapi??? 😂😂
Habari ni Uenyekiti ....sio ubunge . Nyie Mbwa msiokwenda shule kweli hamna mchango hata wa mawazo kwa taifa . Wengi hatupendi siasa kwasababu ya wapinzani wenyewe hasa suala la kujipiga vifua . Chama hakipaswi kuwa cha mtu au kikundi cha watu .
Ndg mm ni mtu wa Kagera kumbuka kwa hayat Magu ilikuwa Kagera zaman lakin speed yake ya kubadilisha chato kwao ilikuwa kubwa mpaka unajiuliza uyu jamaa anatumia mbinu gan kuleta maendeleo iv? Kwa hiyo kwa magu ilikuwa ngumu mtu yoyote kumtoa kwa maneno
Sasa Magufuli unamfananisha na mbowe.?mbowe ni mhuni tu
@@RenatusMatungwa-o7c Mbowe anazeeka na usanii inauma sana ich inataka kupiga hatua yeye analeta usanii😂😂😂
@TibihikaGerad ni msanii sana ukiangalia chadema ni chama kinachopendwa na watu wengi ila tatizo ni yeye hana ushawishi ila bado anaendelea kugang'ania
Ujue konki kuna siku unaongea point japo kuna siku kidogo unazingua kama binadamu mm ni Ccm kiukwer lakin nilipenda lisu awe mwenyekit wa chadema kwa sababu chama akiwez kuongozwa na mtu mmoja kwa miaka 20 na Ccm haifanyi ivo Lakin by the way lisu naye anazo mbinu anacho kifanya anakijua maana kakaa kwenye chama kwa mda mrefu
CCM pia iache kututawala miaka buku
@deluxermahyono5290 sikupingi hoja Yako Sasa hiyo ni wew kwamba unatumia mbinu gan kuwatoa sio story za kuota moto na bibi Yako ukadhan zitawatoa CCm madarakan
Nahawa jamaa wanauana wenyewe alafu wanaanza kutukana police, au ccm ,kumbe wao wana uana wenyewe na kwa namna hii wasifikirie kupata nafasi ya kuwa na Rais atokee kwa chama chao wasahau kabisa
Acha kuongea usenge,polisi-ccm ndio unaua watu wanakwenda na matukio
Umefurahi kutukana, humu nimtandaoni kilamtu anauhuru wa kutoa maoni sio kutukana
@@DeogratiusAndrew-zi7zv hayo si maoni NI upuuzi unaongea ,watu wanapotelewa na ndugu na wanaumizwa na polisi na watu WA usalama ww unaongea ujinga
Hii inayoonekana kweli
Kwani huyo mwanga kaishiwa MPAKA anashindwa kunyoa
Jeshi la police linakytafuta
Uyo sio mpaka poda wewe
TUNDU LISU HAWEZI KUONGIZA CHADEMA NA AKICHAGULIWA KUWA KIONGOZI MKUU CHADEMA INAKUFA NA UTABIRI AU NIA YA !!!?????;ITAFIKIWA
Najua umekopi kwa yeriko nyerere
....😅😅😅😅😅😅😅😅
Mm nna B1 na sio M
Tupo na mbowe
Nimesoma jina lako tu swai ndio walewale wa kaskzni ukabila umewajaa na wabinafsi
Choko
@emmapaul1766 Blafakini wewe
Nan?
Takataka