Sababu za Shetta kuachwa na mke wake, na kaikataa hii zawadi akaondoka zake.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 125

  • @jackmassawe402
    @jackmassawe402 9 ปีที่แล้ว +1

    Mallard upo vizuri ,,shetta anatia huruma wifi msamehe rudi hme ulee family.. Usimnyime mwanao malezi ya wazazi wote wawil

  • @maureenkahindi7013
    @maureenkahindi7013 9 ปีที่แล้ว +2

    Dont let her go sheeta win her heart again achana na mambo ya vizawadi grow up bro tena wife kichuna

  • @kelvincosmas4692
    @kelvincosmas4692 7 ปีที่แล้ว +3

    Shetta hapo ulipiga baba omba msamaha yaishe.....Sisi wanaume aliyetuumba anatujuwa Dakika moja mbele Risasi zimesha rindima

  • @vincentokeno4645
    @vincentokeno4645 9 ปีที่แล้ว +3

    uyu jamaa simjui lakini anapiga smile kijanjez.....anazidi sungura uyu!

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna muda tunapaswa kuthamini UPENDO WA KWELI , maana tamaa za mwili zinaponza na ni za muda tu pole sana sheta na kama ulifanya basi unastahili maamuzi ya mkeo

  • @jacqulinemushi5849
    @jacqulinemushi5849 6 ปีที่แล้ว +1

    Honestly umekuw muwaz kusema kuna tatizo kujua tatizo ni mwanzo wakulitatua plzz calm down mama Kaila matatizo kwnye mahusiano ni jambo la kawaida hkn uimara bila changamoto rudi homeee usisikize maneno ya watu wngi ni wivu unawasumbua shikilia ndoa yako Kaila afaidi malez yenu wazazi.

  • @noelsanga9602
    @noelsanga9602 9 ปีที่แล้ว

    Millard Ayo uko vizuri you such an inspiration to youth #respect

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 9 ปีที่แล้ว

    Kwnza hongera sana shettas umeingia kwenye ndoa bado mdogo sana then umeweza kui handle kwa muda mrefu hata hivyo.
    Matatizo kwenye familia yapo sana haswa kwa watu kama nyinyi marufu.
    Nacho kushauri kua makini tu sana but natumai atarudi home.

  • @fatmababaz6573
    @fatmababaz6573 9 ปีที่แล้ว

    Thnx very much *****

  • @jacqulinemushi5849
    @jacqulinemushi5849 6 ปีที่แล้ว +2

    Never promise when your happy never decide when your angry.

  • @shangweyussuf640
    @shangweyussuf640 2 ปีที่แล้ว

    Muhimi arudi. Lakini usimuwekee mwanamke anayevumilia daily maumivu. Ikifika basi. Hata umnunulie Jet!!! Hatorud

  • @bethaaloyce2681
    @bethaaloyce2681 7 ปีที่แล้ว +1

    vishawishi ni vingi sana has aukiwa kwenye ndoa au mahusiano na staa kudai talaka nikitu simple kukitamka ila ukisha ipata ndo waweza juta ikumbukwe ndoa ni kitucha heli na kimpendezacho mungu ludi kwa mumeo makosa kaumbiwa mwanadam same he saba Mara sabin

  • @sittamasanja7303
    @sittamasanja7303 7 ปีที่แล้ว

    Tumia mazaifu yake kumrubuni na ikiwezehana ishalaah muwe pamoja , unajua mazoea yanatabu na kumbuka na mtoto wenu. poa pole bro

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna Sisi wanazingua na zawad huwez kupata mweee🤣🤣 kweli maisha yanatofautiana

  • @mercykobay2908
    @mercykobay2908 9 ปีที่แล้ว

    kueli hata nikikuagalia unamupenda mkeo ,so dnt be stres wife atarudi doa ya upedo wakila siku aidumu lazima kuwe na kukosana na kuelewana,mi nasema mrudiane .💓

  • @dateededdy5833
    @dateededdy5833 9 ปีที่แล้ว

    Nawaombea mrudiane na muish kama zaman kwa mapenz yke Allah inshaallah kheir iwe kwenu

  • @khadijamzee7304
    @khadijamzee7304 9 ปีที่แล้ว +1

    aki Jamani Tanzania nayo imezidi kwa umbea na udaku yani mtu atatafuta mbinu kila aina ilimradi tu akwaruze ndoa ya mwenzake nahuyo dada alie acha Sofia kwa gari Kwani aliamka nakuingia kwagari naiokofia kichwani naalijua yuko safarini na sialikua na handbag Kwanini asiweke apo handbag yake au alifanya kusudi kuacha kwa gari acheni tabia mbaya kina dada kuharibu ndoa zawenzenu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว

    Atakuja Juta Kwa nini aliondoka siku tayari siku zimeenda mno. Kwa sisi tuliokaa Kwa ndoa miaka mingi nakushauri urudi mana bado Sana kuamua kuondoka .

  • @elishasanga2604
    @elishasanga2604 9 ปีที่แล้ว

    Endapo mkewe akird basi jamaa atulizane ac muumze mwenzaka ksa superstar. ...

  • @gracehassan5801
    @gracehassan5801 9 ปีที่แล้ว

    I swear Millar you rocking. .....love you

  • @sunrajasan3393
    @sunrajasan3393 8 ปีที่แล้ว

    Kiukweli bloo, kaachini naufikiri. Jaribu kum wialadhi, umuite ukaenaechini uongeenae.poa bloo

    • @hashimeidd3285
      @hashimeidd3285 8 ปีที่แล้ว

      Mapenzi siyo Pesa wala gari. Huyo wife ataendelea kukusumbua hata ukimpa chopa (ndege )ukiwa nae hutafanya kazi kwa uhuru. Msahau jipange. Huyo kesha zingua,

    • @omarbakubigwa5051
      @omarbakubigwa5051 6 ปีที่แล้ว

      mambo ni moto

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 7 ปีที่แล้ว +2

    wewe dada rudi ukiolewa na mtu anajulika ndo hivyo wengine yalitukuta hayo lakini wasichana wengine wanatongoza wenyewww nuksii usitoke washenzi tu mifani hiyo mimi nayoo mpk sasa nakwambia nipoioo nakula raha zangu na mpz wangu wtt weeee viruka njia acha navyooo wangu alikua mtu anayejulikanaaa kisawsawaaa bongo wapiiiiii wameshindwaaaa

  • @khadijamzee7304
    @khadijamzee7304 9 ปีที่แล้ว +2

    napia napenda kusihi saana huyo dada kabla hujachukua uamuzi kudai talaka kaa chini kwanza uangalie kunaukweli wowote wajambo Hilo hata udai talaka maana ukifata mambo yakuambiwa nawatu Au marafiki watatibua akiliako baadae utajuta nawao watabaki kukucheka tu Ukitaka kuishi nakudumu naupendo Kua kiziwi kaunalo lisikia Nakua kipofu kwa usilopenda kuliona hivyo utaishi kwa furaha nakuomba dadangu zingatia Haya usifuruge ndoa yako kwa jambo lakusikia pls

  • @stevenbrown7234
    @stevenbrown7234 9 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sheta MTU WA ROMBO hata anavyoongea inaoneka hamuhitaji mkewe eti "nimemnunulia gari" we fwala nn

  • @jichomtandaoni8281
    @jichomtandaoni8281 9 ปีที่แล้ว +2

    huyo mdada anakimbia ndoa kisa picha...wenzake wanavumiliaga hizo......we unataka kuolewa na msanii halafu changamoto ka hizo znakunyima usingizi

  • @innocentblandina1549
    @innocentblandina1549 9 ปีที่แล้ว

    Niache unafiki shetta anajenga maswali kuliko majibu sina lakusema hatujasikia upande wa pili asante mtu wangu wa nguvu

  • @rashidzinu9280
    @rashidzinu9280 6 ปีที่แล้ว

    Ujana, kupata vijisent ukiwa bado mdogo, kushindwa kumiliki umaarufu, kukosa washauli wazuri, hebu fikilia kuingia chumba cha kuchua mwili, anatokea mwanadada anakufanyia unachotaka hapo hapo, unakwichi kwichi, what's this

  • @blaqrose4832
    @blaqrose4832 9 ปีที่แล้ว +3

    what an irony .. sheeta usilete ukimwi nyumbani kaka .. lol

  • @dalisadamy5123
    @dalisadamy5123 7 ปีที่แล้ว +2

    nimekupenda shetta, unaongea ukweli na unaonekana unampenda mkeo sana

  • @khadijasaidi3465
    @khadijasaidi3465 9 ปีที่แล้ว

    Mdogo wangu sheta mkeo ataki vizawadi zawadi anataka zawadi kubwa ya UAMINIFU men jitahidi umtafutie

  • @MajuraSTMajura
    @MajuraSTMajura 9 ปีที่แล้ว

    Dah, mi nakutakia mema tu mwanangu...mahusiano ni magumu sana...Arudi tu ki-home more mtoto, mambo ya single parents tena sio poa...

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 8 ปีที่แล้ว +1

    sasa kwanini Rose asikusaidie kuongea na wife jamani au kweli he he he pole aisee,

  • @yusuphmasoud9454
    @yusuphmasoud9454 9 ปีที่แล้ว

    Duh pole bana...

  • @zuhuraramadhani2011
    @zuhuraramadhani2011 8 ปีที่แล้ว +8

    Km Huyo mkewako sheta hakutaki njoo kwangu asikuzingue kwani alipewa risiti

  • @jichomtandaoni8281
    @jichomtandaoni8281 9 ปีที่แล้ว

    kitchen party: ndoa inalindwa haikimbiwi.......utakimbia ngapi? fight for ur marriage darling kwani kakuzidi nn huyo unayedai anakuibia mali yako(tena mali ya halali)? looooooh!

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 8 ปีที่แล้ว

    masha allah in sha allah atarud

  • @kechbowkech9138
    @kechbowkech9138 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana mdogo wangu,..mambo yata isha
    We miss at mombasa my nigga, both my young brothers Awwab, Ismail, Mansur, Muhammad, Muniba are praying for you our star.

  • @freezykid2946
    @freezykid2946 9 ปีที่แล้ว

    Hope itakuwa Fine

  • @ufunuomwilenga8654
    @ufunuomwilenga8654 8 ปีที่แล้ว

    shetta mwanang ndoa nikuvumiliana tu zaid ya hilo hakuna mwanamke au mwanaume asie na mapungufu kaa chini utafakari

  • @saidndolingo8514
    @saidndolingo8514 6 ปีที่แล้ว

    Sema una mpenda mkeo ila hujajua taimeng za mke jipange dogo make MTU mkubwa sanaaaaa

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว +1

    Umekulaga Shetta. Bisha!

  • @robbyfurniture5508
    @robbyfurniture5508 9 ปีที่แล้ว

    hayo mambo ya kawaida yanatokea ktk mahusiano usiogope hatalud 2 mwanangu shelta

  • @tz0832
    @tz0832 9 ปีที่แล้ว

    It's okay to get angry but don't let them break U mama kaila, been there it hurts bora wewe Huna hata ushahidi wa Nguvu, it's hurts so bad but does it worth to sacrifice the whole book over a single page?

  • @afamily2505
    @afamily2505 9 ปีที่แล้ว

    Nice studio bro

  • @khadijamzee7304
    @khadijamzee7304 9 ปีที่แล้ว

    shetta wacha mchezo io mambo si madogo kaachini ufkrie uta tatua vp zawadi sio suluhisho

  • @shylahnekesa6376
    @shylahnekesa6376 8 ปีที่แล้ว +2

    Mambo ya kuoa mkiwa wachanga

  • @saidndolingo8514
    @saidndolingo8514 6 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo huna dem sheta sema

  • @alisufian1781
    @alisufian1781 9 ปีที่แล้ว

    shetta mdogo angu dah xtory ako kama angu

  • @rickmahelela6680
    @rickmahelela6680 9 ปีที่แล้ว

    pole shetta atarudi tu

  • @albinmmasi3355
    @albinmmasi3355 9 ปีที่แล้ว

    Kua makini sana ndoa sio kitu cha mchezo

  • @doraexplorerr5982
    @doraexplorerr5982 7 ปีที่แล้ว +1

    if you think about it, he is very honest I say

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 6 ปีที่แล้ว

    shetta the doni

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 7 ปีที่แล้ว +1

    wabongo nao nimewachokaaa kwa unafikiii

  • @lossojunior4145
    @lossojunior4145 9 ปีที่แล้ว

    Bado bwana mdogo kachoka mboga moja so mwache aonje zingine,yawezekana aliwahi kuoa sababu alitia mimba

  • @prettygrl2793
    @prettygrl2793 9 ปีที่แล้ว

    tulia na mke wako kaka angu maneno ya watu sumu wanakupenda ukiwa na mkeo shida waalibu ndoa Yako so be careful

  • @ARi-gp3cm
    @ARi-gp3cm 8 ปีที่แล้ว +4

    Don't talk about your relationship to others....a car is not the solution kid!!!

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 8 ปีที่แล้ว +1

    zuhura ramadhani umetishaa hahahaaaaa

  • @samiranassor849
    @samiranassor849 9 ปีที่แล้ว

    Insha Allah atarud.

  • @sekelahstiward4690
    @sekelahstiward4690 7 ปีที่แล้ว

    mmh kwani ina tv ndani asikuzingue bhana

  • @benanita7652
    @benanita7652 9 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @dalalicharles9645
    @dalalicharles9645 9 ปีที่แล้ว

    Usijali muombe Allah atarudi

  • @khayrahawaahmed2400
    @khayrahawaahmed2400 6 ปีที่แล้ว

    pole

  • @yasinimwinyi371
    @yasinimwinyi371 9 ปีที่แล้ว

    kuwa makin bro... ndoa siyo ya kutabasamu issue kama hiyo

    • @paulbuchira28
      @paulbuchira28 9 ปีที่แล้ว +1

      Dogo waulize wakubwa au fatilia maisha ya wenyendoa salama wamefanikishaje?? Usikulupuke kuongea ishu za ndoa kwenye media

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 6 ปีที่แล้ว

    Ogopa Sana mwanaume mwenye macho manene Malaya umbwa huyu kaka

    • @sallybaekimdolly9126
      @sallybaekimdolly9126 6 ปีที่แล้ว

      Malaya una uhakika au unaongea tuuu. Acha ushabika wa kipumbavu.

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 6 ปีที่แล้ว

      sallybae kimdolly nauhakija ndio unasemaje kwahiyo ungekuwa sio Malaya ungee nda kubaka mwana funz huwez kutulia na kuma moja tulia na mkeo umbwa ww

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 6 ปีที่แล้ว

      sallybae kimdolly wewe ndio mshabik mbaka kwenye vyombo vya habal huna haya mzinzi mkubwa Una mzalilisha mkeo

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 6 ปีที่แล้ว

      Naima Yusuphu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @jackmuta8303
    @jackmuta8303 6 ปีที่แล้ว

    jaman millady sauti yako nikiisikia mi hoiiii

  • @richardmalley530
    @richardmalley530 9 ปีที่แล้ว +2

    huyo dogo bado mdogo ku handle ndoa!!

  • @mwaminiyoram2998
    @mwaminiyoram2998 9 ปีที่แล้ว

    uaminifu wa moyo wako ndo zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya dunian

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 ปีที่แล้ว

    toto la juzi2 kumbe hahaha shetani.

  • @halimamlili8803
    @halimamlili8803 7 ปีที่แล้ว

    asikuzinguue akikataa achana nae owa tena

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

    Ulikula kabisa

  • @arabianlady6303
    @arabianlady6303 8 ปีที่แล้ว +1

    nakuoneya huruma kaka lakini unampenda tu lakini simzuri kama wema awo lulu awo vanessa

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

      Arabian Lady mwanamke mzuri ni yule aliyewekwa ndani yaani kaolewa. wema na. Lulu hawana hawana sifa ya uzuri. ZARI NITAKUBALI.

  • @nassoroburiani7383
    @nassoroburiani7383 9 ปีที่แล้ว

    Kitu cha mark X

  • @zuhraramadan6696
    @zuhraramadan6696 9 ปีที่แล้ว

    Kuolewa na celeb kwataka moyo

  • @monnalyssahjames531
    @monnalyssahjames531 9 ปีที่แล้ว

    Buyin her a car won't buy her heart stp being a freak n beg 4 mercy .......bongo guyz mmmmh

  • @deogratiascostantino6867
    @deogratiascostantino6867 9 ปีที่แล้ว

    Hey xhettah watxup mona her

  • @paulswai1237
    @paulswai1237 8 ปีที่แล้ว

    aya

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 7 ปีที่แล้ว

    M bwana ningekwambia rekibisha ilii ulindee familia

  • @neemaclement112
    @neemaclement112 9 ปีที่แล้ว

    That sound nervous buh hopefully she will back soon.......

    • @neemathomas9383
      @neemathomas9383 7 ปีที่แล้ว

      Wewe rudi kwammeo, ndoa ngum ndiyo mana cheti kwanza mitihani inafata.Kama huwezi mitahani kwanini ulitaka cheti acha mchezo na masomo hakuna somo jepesi.

  • @franklytemu8609
    @franklytemu8609 9 ปีที่แล้ว

    ni shida

  • @mtisiclever6146
    @mtisiclever6146 9 ปีที่แล้ว +1

    tatzoo umalaya

  • @abdulshaibu6357
    @abdulshaibu6357 9 ปีที่แล้ว

    hatareeeeeee

  • @florencemzungu7319
    @florencemzungu7319 9 ปีที่แล้ว

    hatari

  • @saadalacha5579
    @saadalacha5579 6 ปีที่แล้ว

    Hainaga ushemeji

  • @aggysteven1139
    @aggysteven1139 6 ปีที่แล้ว

    CVC

  • @saidisalumu6557
    @saidisalumu6557 7 ปีที่แล้ว +1

    kawaida

  • @abditito3712
    @abditito3712 8 ปีที่แล้ว

    Hhhh lol babakayla acha mchezo ww

  • @hellenpeter6936
    @hellenpeter6936 7 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaa uwiiii

  • @ivonjoseph5946
    @ivonjoseph5946 9 ปีที่แล้ว

    ndoa s mchezo" again

  • @saidndolingo8514
    @saidndolingo8514 6 ปีที่แล้ว

    Kofia unaijua funguka wewe

  • @sekelahstiward4690
    @sekelahstiward4690 7 ปีที่แล้ว

    mmh kwani ina tv ndani asikuzingue bhana