Majibu yote ya Shamsa kuhusu hii ya mapenzini na Nay wa Mitego

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @florencemzungu7319
    @florencemzungu7319 8 ปีที่แล้ว +2

    love you girl napenda movie zako

  • @dateededdy5833
    @dateededdy5833 9 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana nmependa ***** naomba mwaliko wakutembelea studio yako

  • @ramlaidd8257
    @ramlaidd8257 9 ปีที่แล้ว +1

    wee dada muhogope Mwenyezi Mungu mwenzio kaondoka we unaingia ujiulizi kwann Ney anawatoto na aishi na mama zao ni jinsi gani anaakili ya maisha but awezi ishi na mke, istoshe ulivyo na tabia chafu unavaa nguo za Siwema unafanyia mazoezi, Ipo cku na wewe yatakukuta tuu waulize walotangulia hapo. Siwema kajenga nyumba na Ney but kafukuzwa sasa wewe je?

  • @frujamesfrighton742
    @frujamesfrighton742 3 ปีที่แล้ว

    Am the #SNS’s Best #MVS,

  • @godlivingkanza7685
    @godlivingkanza7685 9 ปีที่แล้ว

    Daaaaahhh millard sjui nilikuaga wapi kumbe unavitu hadim namna hii very trick questions and atractive enter views never miss ur sessions

  • @eugenmhagama5254
    @eugenmhagama5254 9 ปีที่แล้ว +1

    Ahahaha Millard wewe aah hongera sana mkaka naipenda sana kazi yaki

  • @andrewdegera4413
    @andrewdegera4413 9 ปีที่แล้ว +1

    Saluti sana mtu wangu wa nguvu damdammilele

  • @mkwavi
    @mkwavi 9 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha yaan hana ujanja ume mkamata vizur sana al in al kazi nzuri brther kept up!!

  • @scholasticasasi950
    @scholasticasasi950 9 ปีที่แล้ว +3

    Schola stica simion hivi shamsa hujiurizi kama ney alizaa mwanamke then akamfukuza wewe je atadumu n wewe kuwa makini

  • @ericklamela6518
    @ericklamela6518 9 ปีที่แล้ว +1

    Millard we ni shidaaaaaa!!

  • @jaywilz9157
    @jaywilz9157 9 ปีที่แล้ว

    hongera sana millard kwa kazi nzuri

  • @khadijakibwana5278
    @khadijakibwana5278 9 ปีที่แล้ว +1

    Ney atakutongoza yy huyo ww tulia kama vile humtaki inaonekana shamsa anakupenda sana.

  • @kivukivuyo604
    @kivukivuyo604 9 ปีที่แล้ว +1

    kwa habari za mume wake mi siwezi judge sana kwa sababu
    yeye mwenyewe ndiye anajua ukweli ila kanifurahisha sana sababu anaonekana tayari kumkubali Nei kimapenzi.

  • @raphaelgodifrey8971
    @raphaelgodifrey8971 9 ปีที่แล้ว +2

    Shamsa upo juu ila api umevulg mdada!!!!

  • @robinsonmwakasinga6378
    @robinsonmwakasinga6378 9 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur bro Millard...shootout to you brother

  • @erickepimack9417
    @erickepimack9417 9 ปีที่แล้ว

    nice sana bro mungu akuongoze

  • @alphokzkiza2206
    @alphokzkiza2206 9 ปีที่แล้ว

    hahaha haamua kujiweka wazi jamani, anayo yasema ndo alicho kimaanisha upande wake.....wakujiuliza ajiulize mmengi ila jibu mnalo tiyari kwakuwa kawaambiya huaziiiiiiiiiiiiiiiii dar huko jasiri shamsa...... naipenda saaa movie yako yachausiku yaaani sishibagi nayo kwaule ugonvi uliyo kuwa nao kwaile picha ....

  • @halimabakari5078
    @halimabakari5078 4 ปีที่แล้ว

    Love you Ayo😘😘

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 ปีที่แล้ว

    ayo tv asante 😀😀😀😀😀😀😀😀😀keshapenda huyo muache ajiingize tu kwenye miba

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndo utamadun
    hawa wasanii ndo utamadun wao wao

  • @josephmwita1996
    @josephmwita1996 9 ปีที่แล้ว +1

    shamshaaa!
    ni Shiidaaaaa!

  • @davidf.j.m6284
    @davidf.j.m6284 9 ปีที่แล้ว

    Aaaaaa!!!!,bhaaaaaaaas!!!!......hauhitaji kufafanuliwa sana....,kwa namna bimdada alivyo zungumza.....inaonyesha dhahiri kua they are dating,I mean yy na ney wa mitego......

  • @wicksonmwaipopo4624
    @wicksonmwaipopo4624 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @witneywilly
    @witneywilly 9 ปีที่แล้ว +1

    The way you talk about Ney... you are in love i can say

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 9 ปีที่แล้ว +1

    Kati watu ambao nilikuwa nawaona wa maana sana katika industry ya bongo movie Shamsa ulikuwa kama mtu wa nne, ukiongozwa na cath rupia, wastara juma, odama kwa watu niliokuwa naona wanajiheshimu sana kumbe na ww takataka tu! Ivi unadhani kuna ndoa ambayo haina mogogoro?? Mbona umekuwa mmwanamke mpumbavu sana kias hicho! Kwanini msijifunze kutoka kwa Cath Rupia kutulia katika ndka zetu! Ivi mnadhani huyo dada hakutani na mitihani katika ndoa yake? Lakin hatujawah kumskia akizungumza habar za mume wake hadharan!! Kwann msijifunze kutoka kwake? Mara ya kwanza Ney alishawaponda wanawake wote wa bongo movie akasema kuwa makahaba wenye viwango wako bongo movie, ni ww shamsa ulikuwa wa kwanza kwenda katika kipind cha zamaradi kwenda kulalamika ukitaka kuhamasisha kumvalia njuga Ney kwann kawatusi! Cha kushangaza leo hii ww uliyekuwa na kiherere cha kufanya vile unatoka na huyo huyo Ney ili kumthibitishia kuwa alichokiimba ni kitu cha kweli! Ney huyo huyo alikuwa anadate na Nisha ambaye naye ni wa bongo movie! Kumthibitishiwa kuwa kwel bongo movie ni makahaba wenye viwango kakutaka na umemkubali! Kweli wanawake makahaba wenye viwango mpo bongo movie!! Unajisifu kabisa et mwanamke yyt aayemfaham vzr Ney akimtongoza hatoweza kukataa!!! Mweeeeee shame on you!! Nyie ndo mlioimbwa na Ney!

    • @bettygb2711
      @bettygb2711 8 ปีที่แล้ว

      shamsa anajielewa ww,kama m2 haelewki aendelee kung'ang'ania ili iweje?amemvumilia akampa nafas mara kbao m2 habadilik

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 5 ปีที่แล้ว +1

    Au shemeji yetu alikuwa anataka aonje biriani la Dubai dada shamsha????

  • @fadhilially8024
    @fadhilially8024 9 ปีที่แล้ว +5

    maendeleo kidogo unamkataa mumeo au kisa co super star
    amkaa shamsa unapotea

    • @beatricejoseph4584
      @beatricejoseph4584 9 ปีที่แล้ว

      Kwaio mwanaume akutese umgande tu kisa ndoa maisha yenyewe mafup hiv lazma utafte sehem utakayokua na furaha et kamkataa mumewe unauhakika gan

    • @fadhilially8024
      @fadhilially8024 9 ปีที่แล้ว

      kwa maelezo yk kama unaakili timamu unagundua ki2, dada yng acheni kupenda starehe za muda mfup mwisho wake nimbaya

    • @hassanchake1250
      @hassanchake1250 9 ปีที่แล้ว

      @fezo yangoswe hayo,... Makahaba wenye viwango wapo bongo movie

    • @fadhilially8024
      @fadhilially8024 9 ปีที่แล้ว

      kweli kabsa Hassan Chake

    • @hassanchake1250
      @hassanchake1250 9 ปีที่แล้ว

      Pa1 Sana fadhili ally

  • @johnchikolo5028
    @johnchikolo5028 9 ปีที่แล้ว +1

    Poa 2

  • @tiffahmohamedy5044
    @tiffahmohamedy5044 9 ปีที่แล้ว

    Nampenda xana shamsa jmn

  • @robinsonmwakasinga6378
    @robinsonmwakasinga6378 9 ปีที่แล้ว +1

    Hata kiziwi ataona kwa macho jinsi mood ya bidada ilivyo iko dey r in love n maisha mema kwao

  • @martinkasiga7398
    @martinkasiga7398 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni mshenz malaya alifumaniwa na mmewe akiwa na mtoto mchanga

  • @khadijasaidi3465
    @khadijasaidi3465 9 ปีที่แล้ว

    Jamani eeeeee ndoo usiyo ibeba ujui uzito wake muacheni Shamsa hayo ni maisha yake

  • @Didah-hf4pw
    @Didah-hf4pw 4 ปีที่แล้ว

    Naisubiri kwa hamu hiyo movie

  • @jamessadiki3375
    @jamessadiki3375 8 ปีที่แล้ว

    nice

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    💃

  • @zuhraramadan6696
    @zuhraramadan6696 9 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Kweli wakimya ndo sumu,
    Ney chelewa kumtongoza shamsa atakutongoza wewe 😊😆😆

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 9 ปีที่แล้ว

    Well well well, Shamsa. mchumba huyooo!!!

  • @aminaayoub6400
    @aminaayoub6400 9 ปีที่แล้ว

    Mmh hao bn itakuwa kuna(?)hapo.......

  • @mariamidrisa8791
    @mariamidrisa8791 9 ปีที่แล้ว

    Ninoma sanaaaa

  • @mamawanyumba103
    @mamawanyumba103 8 ปีที่แล้ว

    Millard 😁😁😁😁😁si kwa pongezi hizo kwa shamsa

  • @kudurahamidu4402
    @kudurahamidu4402 9 ปีที่แล้ว +2

    binamu nyama ya hamu

  • @hamzamussa8727
    @hamzamussa8727 9 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @saidysharifu7954
    @saidysharifu7954 9 ปีที่แล้ว

    Da umeuliza maswali hadi umempata we noma pull up

  • @pierreadams3114
    @pierreadams3114 9 ปีที่แล้ว

    Duhhhh hapo mwishoni sasa

  • @dalalicharles9645
    @dalalicharles9645 9 ปีที่แล้ว

    Wabongo mmezidi vaa chupi simvae vizur

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 9 ปีที่แล้ว

    Congrate millad

  • @hassanchake1250
    @hassanchake1250 9 ปีที่แล้ว

    Yangoswe.....

  • @veecash1603
    @veecash1603 9 ปีที่แล้ว +1

    loh

  • @AzizWillyGreataziz1
    @AzizWillyGreataziz1 9 ปีที่แล้ว

    Wafanye kazi tunaisubiri movie tujue star ni nani na jambazi ni nani, vema nawapongeza

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 9 ปีที่แล้ว

    Well, well, well, Shamsa mchumba ndio huyooo!!!

  • @shaacirmilionea9408
    @shaacirmilionea9408 8 ปีที่แล้ว

    My bae what's up .

  • @meddyakimana4104
    @meddyakimana4104 8 ปีที่แล้ว

    Shamsa kwa hiyo ya Chausiku na mimi nilimukubali kalibu nivunjike mbavu nacheko!

  • @seifsalum8693
    @seifsalum8693 9 ปีที่แล้ว

    Huyo tiali

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 9 ปีที่แล้ว

    Sawaa shemej wetu

  • @mwasitimariri9450
    @mwasitimariri9450 9 ปีที่แล้ว

    Duuuuh

  • @ashaomar901
    @ashaomar901 9 ปีที่แล้ว

    Tusubiri movie wanjera ilileta maswali mengi kama tunavyojiuliza sasa.kwa hivyo wadau subra huvuta heri

  • @christianluvanga2673
    @christianluvanga2673 9 ปีที่แล้ว

    Sawa shemej

  • @leonardgervas953
    @leonardgervas953 9 ปีที่แล้ว

    Lud kwa mmeo ww unajifanya msanii matako ww unajua nn maana ya ndoa

  • @leksonboy5987
    @leksonboy5987 6 ปีที่แล้ว

    Ney amewekeza macho apo

  • @leksonboy5987
    @leksonboy5987 6 ปีที่แล้ว

    Ney
    Shikilia apo

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 5 ปีที่แล้ว

    Kwa yule anayehitaji matibabu juu ya matatizo yake,kupanda cheo kazini,tatizo la mapenzi ,ndoa,mtoto,mashetani au majini,mikosi,husda na mengine. Tiba zangu natumia kitaabu na dawa za kisunna,nipo Zanzibar. 0772 299278/0715 299278

  • @leksonboy5987
    @leksonboy5987 6 ปีที่แล้ว

    Ney
    Amesha Maliza ngombe kumebaki mkia

  • @chumsabby9510
    @chumsabby9510 8 ปีที่แล้ว

    binamu kazingua sasa HV..

  • @samweliabisalum9804
    @samweliabisalum9804 9 ปีที่แล้ว

    Ney tayar kashachukua chombo shamsa umetsha

  • @inocentkimaro4582
    @inocentkimaro4582 9 ปีที่แล้ว

    hata mbuyu ulianza kama mchicha,,,, upgaj uendeleee

  • @dalalicharles9645
    @dalalicharles9645 9 ปีที่แล้ว

    Ovyo

  • @merrshayo7112
    @merrshayo7112 9 ปีที่แล้ว

    mmmmmmmmmhh! ogera dada

  • @heriethndimbo1746
    @heriethndimbo1746 9 ปีที่แล้ว

    mmmmmhhhhhh

  • @migeshytanzania6720
    @migeshytanzania6720 9 ปีที่แล้ว

    Mhh

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 ปีที่แล้ว

    Wanamchezo wanacheza mbilini .

  • @samsonmalekoayo2922
    @samsonmalekoayo2922 9 ปีที่แล้ว +1

    MTU wa nguvu pamoja sana ila naomba tuwasiliane kwa hii namba 0768282410

  • @petercharles1472
    @petercharles1472 4 ปีที่แล้ว

    Habari Kiongozi.
    Ninashida Na Kioffice
    Nawapataje Kwa Hapa Mwanza?
    Nina Biashara Yangu Nataka Mnitangazie
    Hebu Nigei Namba Ako
    Au Nipigie 0788880634

  • @neemaclement112
    @neemaclement112 9 ปีที่แล้ว

    huhuhuhuhuhuhuhu

  • @jamii_yetu
    @jamii_yetu 9 ปีที่แล้ว

    ushauri zaidi 0752914211 naitwa dj bryson

  • @suzandeogratious4181
    @suzandeogratious4181 9 ปีที่แล้ว

    Kama amekubali kidizain fulani hivi but no bad they are all singiroo they can date u now love just saying

  • @andrewdegera4413
    @andrewdegera4413 9 ปีที่แล้ว +1

    Saluti sana mtu wangu wa nguvu damdammilele