Kwa Nini Yusuf Manji Alipandishwa Mahakamani Peke Yake? Majibu Yako Hapa!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @abbymsa6858
    @abbymsa6858 7 ปีที่แล้ว +1

    kumpeleka teja kwa nguvu ni kazi bure, hawa wanatakiwa waelemishwe mpaka mwenyewe aelewe madhara na atake kupata matibabu.

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    Kweli serikari round hii iko na kazi

  • @christopherkizigo5454
    @christopherkizigo5454 7 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @tembaj3532
    @tembaj3532 7 ปีที่แล้ว +1

    Hajajibu swali...

  • @emmanuelasheri7037
    @emmanuelasheri7037 7 ปีที่แล้ว

    swali zuri mwandishi wa habari,majibu mazuri kamanda

  • @hashimmusa9485
    @hashimmusa9485 7 ปีที่แล้ว +1

    kwa nin manji msimpeleke sober au hao walioko sober wakitoka muwapeleke mahakamani ili haki iwe sawa

    • @estherwangare9759
      @estherwangare9759 7 ปีที่แล้ว

      Hashim Musa kweli kama anatumia it's better apelekwe sober

  • @asmahamis9141
    @asmahamis9141 7 ปีที่แล้ว +1

    mbona anakwepa swali huyo

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 ปีที่แล้ว

    Mwandishi wa habari nimeyapenda saaaaana maswali yako. Ni kweli kabisa watumiaji ni wengi sana Tanzania na wengi wamesha fariki lakini mahakamani ni Manji na Wema tu ndio tunaowaona. Kwanza kabisa TID kesha dhibitisha kwenye media lakini hatumuoni mahakamani ni uonevu wa hari ya juu na wakati wote ni Watanzania❌

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 ปีที่แล้ว

    I see....

  • @japharyprosper8833
    @japharyprosper8833 7 ปีที่แล้ว

    hapa shikiki tz

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 ปีที่แล้ว

    swala nyeti. wengine kizimbani wengine wanapewa bond

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 7 ปีที่แล้ว

    mkuu uko op vibaya mno yaani ingekuwa necta nshisi ungechora

  • @abubakarmushi5059
    @abubakarmushi5059 7 ปีที่แล้ว

    8