Hili ndilo gari la kifahari walilozawadiwa Davido na Chioma kwenye harusi yao, ni GN8 MPV la 2024

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 13

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 2 วันที่ผ่านมา

    Ongera kwao

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 วันที่ผ่านมา

    Hatar sn

  • @alibinali_
    @alibinali_ วันที่ผ่านมา

    Family car ulijua kuchagulia gari

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp 2 วันที่ผ่านมา +1

    China yanapigwa na vumbi t barabarani 😂😂😂😂ila kwel ni la kifahari san

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 วันที่ผ่านมา

    Hilo gari limekaaaa kama alphald toyota alphard kifamilia kiukoooo zaidi walisema eti bei yake ni milioni 124

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka africa nyie uliza ommy dimpoz cape Town nilitaka muzia akapenda Huyuuu munyama mwekunduu hiyoo gali ni R 350000 sawa na dollars 42000

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 วันที่ผ่านมา

    Muiteni mwambino aje aonematajiri😂😂😂😂 Nigeria ☄️☄️😍😍😍🥳🥳

    • @dannywillson5874
      @dannywillson5874 2 วันที่ผ่านมา +1

      Usisahau kukwita baba yako aje

    • @geoufo2858
      @geoufo2858 2 วันที่ผ่านมา +3

      Mwenetu Hana baba tajir Wala mjomba kajitafuta mwenyew ndomaana tuna m respect

    • @lucasngalawa8826
      @lucasngalawa8826 2 วันที่ผ่านมา

      Safi​@@geoufo2858

    • @johnrobert5097
      @johnrobert5097 2 วันที่ผ่านมา

      Tuliza komwe we kiatu Cha mond huvai

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 วันที่ผ่านมา

      Nikadhani aje akuone ww,, kumbe ndugu unawasifu Wanaume wenzako??.. 😂