Pastor Nashukuru kwa Somo nzuri na la kututia moyo na njia ya kuwa Imara ata wakati wa changamoto Mungu akubariki siku zote na hili Somo liwake rohoni mwetu🙏🙏
Pastor barikiwa sana.natolewa kwa kiwango kimoja Hadi kingine thank God for you.may he continue to give you more revelations in the mighty name of Jesus Christ
Nimebarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji. Mungu wangu anisaidie niweze kukupa zaidi kiroho, sala mara kwa mara, kusoma neno la Mungu na kusaidia wengine. Asante sana.
Pastor Naomba unisaidie kunipa jibu kwanye somo lililopita tafadhali.Mungu Ni roho na shetani Ni roho Mungu anapatikana mahalo popote lakini mbona shetani haezi kupatikana mahali popote na yeye ni Roho? Mungu anatumia watu vile vile shetani anatumia mawakala .
Ndugu, umeelewa vibaya, Kwa kweli Mwenyezi-Mungu ni roho na yupo popote, na shetani naye ni roho pia na yupo popote. Shetani hana mipaka kama vile Mungu Mkuu naye hana mipaka. Ungelisema shetani ni roho ila mbona hajui ya rohoni?? Ila mwenyezi Mungu anajua yandani ya roho😊
amina pr mbaga naomba uniombee nimepata reaction ya dawa nilizotumia fibronex taxenamic acid zimeniletea reaction ya kuwasha ndani ya koo na kifua na koo kukaba lakini kwa imani nimeleta hizi changamoto uniombee ni mimi blandina
Amina , ashukuriwe mungu kwa fundisho lake limenibariki sana,barikiwa mchungaji na familia yako
Asante mchungaji, hili nisomo ziri
Nashukuru Mungu kwa Nuru kubwa anayoiwasilisha kwetu kupitia kwako Pastor, Bwana aendelee kukufanya kuwa chombo kiteule kwa wokovu wetu na watu wote.
Ubarikiwe sana mchngji,ninapokusikiliza,huwa unaniongeza nguvu na kuniimarisha kiroho,Bwana akubariki sana.
May the grace of God continue guiding you, for you are a blessing to many
Mungu akubariki sana mchungaji,naomba mungu anisaidie nikue kiroho
habar pastor nnashda na mawasiliano yako tafadhal nna cku mbili leo na kesho naomba unipatie mawasiliano yako kwa rehema za mwenyez Mungu asante
Nabarikiwa sana, hivyo mungu wa mbinguni azidi kuku bariki mchungaji.
Asante sana Mchungaji naitaji maombi yakukuwa kiroho mimi nafamilia yangu🙏
Pastor Nashukuru kwa Somo nzuri na la kututia moyo na njia ya kuwa Imara ata wakati wa changamoto Mungu akubariki siku zote na hili Somo liwake rohoni mwetu🙏🙏
Amina. Naomba Mungu anisaidie nikue kiroho na kujibu maombi makuu ya moyo wangu.
Amen 🙏, nashukuru MUNGU wetu Niko Kwa kipepeo , niombee niendelee zaidi nifike viwango vingine Kwa Imani.
Pastor barikiwa sana.natolewa kwa kiwango kimoja Hadi kingine thank God for you.may he continue to give you more revelations in the mighty name of Jesus Christ
Nimebarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji. Mungu wangu anisaidie niweze kukupa zaidi kiroho, sala mara kwa mara, kusoma neno la Mungu na kusaidia wengine. Asante sana.
Eee Mwenyezi Mungu nisaidie nilijuwe neno lako na kuishi katika mapenzi yako katika jina la Yesu Christo. Amen
Amen pastor nime balikiwa sana
Asante saana kwa mafundisho mema mungu azidi kukubariki 🙏
Ubarikiwe sana mchungaji kwa mafunzo mema na mungu akujaze na roho wake mtakatifu🙏🏽🙏🏽
Amen asanteee Sana mchungaji kw mafundisho mazuri,Hubarikiwe siku zote
Bwana yesu asifiwe , mimi naitaji maombi kwa ajili ya familia yangu
Mungu azidi kukujalia na akutumie kwa ajili ya utukufu wake
Barikiwa Sana mchungaji kwa muongozo huu
AMINA🙏🙏🙏🙏🙏
nime barikiwa Mungu akuongezeye
Somo hili limenibariki sana sana Mungu atukuzwe
Mungu anisaidie sana niweze kuludi kanisan nianze mwanzo mpya
Baba Na shukuru MUNGU sana Tena Sana
Listening from USA. PLEASE PRAY FOR MY FAMILY FOR SALVATION.
Hili somo nilangu kweli mm nikakakuona , Mungu nisaidie
Ubarikiwe
Amina Mchungaji kwa kututia nguvu.
I could use prayer 🙏🏾 tuition, job, and school.
AMEN HALLELUJAH 🙏
Nimebarikiwa sana na somo hili
Barikiwa kupitia mafundisho yako!!
Huyo ni Kristopher mwakasege alipofiwa na mwanawe kipenz hakika alikuwa mbeya kwny mkutano wa injili hakukatisha mkutano ila alimshukuru MUNGU
Amen 🙏🏿
AMEN
Amina. Hiyo tabia tuko nayo,next week utakuja ama ni leo tu??
Amina
🙏❤
Mimi niwekeni kwa maombi niweze kumaliza deni nko nayo na nisichukue deni ingine pastor
Mungu akutendee muujiza
@@MahubiriPrMmbaga pastor naomba mawasiliano yako
Pastor nimepata kitu
Pastor Naomba unisaidie kunipa jibu kwanye somo lililopita tafadhali.Mungu Ni roho na shetani Ni roho Mungu anapatikana mahalo popote lakini mbona shetani haezi kupatikana mahali popote na yeye ni Roho? Mungu anatumia watu vile vile shetani anatumia mawakala .
Ndugu, umeelewa vibaya, Kwa kweli Mwenyezi-Mungu ni roho na yupo popote, na shetani naye ni roho pia na yupo popote. Shetani hana mipaka kama vile Mungu Mkuu naye hana mipaka. Ungelisema shetani ni roho ila mbona hajui ya rohoni?? Ila mwenyezi Mungu anajua yandani ya roho😊
Niombee naumwa
Hizo nyimbo zinanifanya nilia
amina pr mbaga naomba uniombee nimepata reaction ya dawa nilizotumia fibronex taxenamic acid zimeniletea reaction ya kuwasha ndani ya koo na kifua na koo kukaba lakini kwa imani nimeleta hizi changamoto uniombee ni mimi blandina
Ndugu Bwana akupe uponyaji wa kweli
@ModestMTito asante sana nimepokea mbaraka
muchungaji Nahitaji number yako ya whathap kweli nahitaji mawasilano
+255 755 932 283
Amen ❤
Amina