TANZANIA INAONGOZA AFRIKA MASHARIKI UCHUMI IMARA, “WAWEKEZAJI WANAKUJA KWA KASI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 119

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 23 วันที่ผ่านมา +6

    Safi.
    Sasa hivi tuhakikishe hali ya maisha ya wananchi wetu pia inakuwa bora zaidi katika kuwapa huduma bora za kijamii kama afya, maji, barabara,umeme n.k.
    Pia tufanye transfer of technology hasa kutoka katika nchi marafiki za mashariki ya mbali na Scandinavian countries.
    Mungu ibariki Tanzania.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 23 วันที่ผ่านมา +6

    Ulimwengu mzima mambo ni magumu lakini Tanzania 🇹🇿 kusema kweli iko mbele lakini BinaaDaam hawana shukrani.
    Kwani Marekani au Ulaya hakuna shida?Au Arabuni hakuna shida?
    Pongezi Tanzania 🇹🇿. 😊

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 24 วันที่ผ่านมา +6

    PIGA KAZI KUZA UCHUMI WAKO NA NCHI KWA UJUMLA , HACHA LAWAMA , NO FREE LUNCH , HAPA KAZI TU, KAZI INAENDELEA ,

  • @mustaphakisanzo479
    @mustaphakisanzo479 24 วันที่ผ่านมา +9

    Haya kwenu wakenya hebu vimbeni tena tuone

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 24 วันที่ผ่านมา +7

    Slowly, quietly, humbly but SURELY TANZANIA DOES THINGS. Angurumapo simba mcheza nani?🎉🎉🎉

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 24 วันที่ผ่านมา

      Angurumapo Simba yanga ikokimbia.

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 15 วันที่ผ่านมา +1

      @Brunn-mh2bq
      Tanzania 🇹🇿 leads others follow.
      Yaani Miradi ya Tanzania inaonekana wazi kabisa na jinsi inavyokwenda kasi.
      Yaani Balaa.
      Tuseme ukweli

  • @thomaspangani9201
    @thomaspangani9201 24 วันที่ผ่านมา +5

    Congratulations SSH❤

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 24 วันที่ผ่านมา +8

    Uchumi unaoongeleka huko kwenye mifuko ya wabunge na makada wa ccm

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂kabisa

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 24 วันที่ผ่านมา +1

      UNAWEZA INGIA KWENYE SIASA PIA UKAWA KADA au MBUNGE PENYE NIA PANA NJIA na Ukaleta mabadiriko ya nchi yako na maisha yako.

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 13 วันที่ผ่านมา

      Chap Kaz Changamkia Fursa ..😂😂

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 24 วันที่ผ่านมา +10

    Tanzania is the hub of Africa and the football power house of East and Central Africa yet an Economy King of Africa

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 24 วันที่ผ่านมา +1

      Babu kiingeleza ndio kimeishia hapo nini maana kila sehemu comment ndio hiyo hiyo

    • @donking-d4t
      @donking-d4t 23 วันที่ผ่านมา

      Yaani sijui alikopi wapi, hili ni tatizo ​@@fidodido9578

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 23 วันที่ผ่านมา

      @@fidodido9578😂😂😂😂

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 24 วันที่ผ่านมา +7

    Ethiopia has 35% on GDP debt ratio while Tanzania has 47% wale midomo mikubwa wana 71% kunyaland

    • @latenitepiano
      @latenitepiano 24 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ni asilimia % ya madeni ya kukopa ama 😅? 🤣

    • @worldtechlab
      @worldtechlab 24 วันที่ผ่านมา

      @@latenitepiano yes GDP debt ratio 😅

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 23 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 Eti Kunyaland

    • @CamilasJohn
      @CamilasJohn 10 วันที่ผ่านมา

      Kunyaland😅😅😅

    • @CamilasJohn
      @CamilasJohn 10 วันที่ผ่านมา

      Kipato gdp ujasoma ndio maana huelewi

  • @Januarybernardy
    @Januarybernardy 24 วันที่ผ่านมา +4

    Hizo ni propaganda za kisiasa, Zina uhusiano mkubwa na joto la uchaguzi mkuuu

  • @muksinmkahakala8604
    @muksinmkahakala8604 24 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera tz

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 19 วันที่ผ่านมา

    Brain of Africa

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hao wawekezaji mnaojisifia ndo hao wachina wanaokuja kuiba kazi za wazawa, magerage ya kichina kibao, mpaka barafu wanauza sikuizi

  • @JohnKamugisha-b3y
    @JohnKamugisha-b3y 24 วันที่ผ่านมา +5

    Asa Mbona kama wawekezajiii wengiii Mbona maisha ya watu Bado magumu ajira ngumu

    • @EmanuelMandoo
      @EmanuelMandoo 24 วันที่ผ่านมา

      Haupo kwenye soko

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 24 วันที่ผ่านมา +1

      Ni siasa tu hata GDP per capita imeshika Hadi billioni 79 Na HDI Uganda wanatuzidi watu wao wana maisha mazuri kuliko Tanzania hata Kenya 🇰🇪 wako juu

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 23 วันที่ผ่านมา

      SUBIRI FREE LUNCH DK SLAA AKICHUKUE 😢😢😢😢😢😢

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 23 วันที่ผ่านมา

      @@Kabwela776 ni kweli izi ni kauli za kisiasa ata rais wa Kenya nae kauli zake zile zilikuwa za kisiasa kuwatuliza GENZ kuwaaminisha kwamba wafanye Kaz waongeze uchumi wa Kenya wakati yeye ndo anajua shida iliyopo so kaamua kutumia njia iyo ya Tanzania ili wakenya na vile Kuna ubishana zidi ya raia wa mataifa Aya mawili ndo akaona pa kuponea ndo apo

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 23 วันที่ผ่านมา

      Unatumia kigezo gani kuthibitisha kuwa Uganda na Kenya watu wao wana maisha mazuri?mimi nipo Uganda kaka,usijidanganye kabisa na propaganda za wanasiasa.​@Kabwela776

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 23 วันที่ผ่านมา +2

    Wakenya wanadaiwa mpaka kunguni zao kenya kwishaaaaaaaaaa

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 24 วันที่ผ่านมา +5

    Wanakuja kwa wingi sababu tumefungua milango, madirisha, mpaka maget yako wazi

    • @kelvinMakene
      @kelvinMakene 24 วันที่ผ่านมา +1

      Usidanganywe na rostam aziz

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa afrika wazungu wametuweza sana. Ili uwe na uchumi mkubwa IMF inazingatia madeni na mikopo.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 24 วันที่ผ่านมา +3

    Afya ya uchumi ndio Nini angalieni kwenye Human development index indicators zote na Tanzania haifanyi vizuri Uganda 🇺🇬 na Kenya wako juu ya Tanzania Hadi Rwanda 🇷🇼

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk 23 วันที่ผ่านมา +1

      Chief upo sahihi kwa mtazamo wako ila jua huwezi kua bora kila eneo kaka🇹🇿🇹🇿💖

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 23 วันที่ผ่านมา

      Haya mambo ya taasisi za kimataifa zipo kwajili yakutwist akili za watu, hao aliosema Kafulila, hao hd development na zingine nyingi ni kubrain wash tu akili za mamilioni ya watu.
      Ndio maana wengine wakaja na umoja wao unaitwa BRICS ili kuondokana na janja janja zinazofanywa na washika dau.

  • @msailomsailo5840
    @msailomsailo5840 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie mnaosema hamna hela pambaneni mubuni biashara mtengeneze pesa huo uchumi unao kuwa kuna wenzenu wanapambania maisha yao ndo maana na nchi inaonekana inasogea

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 23 วันที่ผ่านมา

    SSH❤YUKO KAZINI 🙏🏾🙏🏾KAZI IENDELEE

  • @abuuawalina2625
    @abuuawalina2625 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera viongozi wetu

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 15 วันที่ผ่านมา +1

      @@abuuawalina2625 Rais Samia Suluhu Hassan.
      Amejaribu kusema kweli.
      Tanzania 🇹🇿 Hoooyaah.

  • @vusumuzi_mathumo
    @vusumuzi_mathumo 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania bado ni inchi maskini sana poleni

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 14 วันที่ผ่านมา

    UKIONA UNASIFIWA SANA JUWA UNARIWA TANZANIA MAZARA TUTAANZA KUYAONA 2030

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 23 วันที่ผ่านมา

    Pongezi Tanzania 🇹🇿

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi ni mtanzania haya mambo ya kukua kiuchumi labda mifuko Yao hao wanaopeana rakini kwa wananchi mh maisha makali na mgumu

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 24 วันที่ผ่านมา +1

    Tukibadirisha tu mfumo wa elimu nchini yani tukawa na mfumo wetu wenyewe mbona Tanzania itakuwa China ya Africa katika kipindi kifupi tu

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 22 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli,

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 22 วันที่ผ่านมา

      Tupe Basi huo ukweli ningetegemea ungetoa majibu yako ya kina zaidi kuhusu uchumi zaidi kupingana na hoja za kafulila na siyo Pinga Pinga nyingi sizizo na maana yoyote hilee 😂😂😂😂

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @charlesmanongi6810
    @charlesmanongi6810 22 วันที่ผ่านมา +1

    🇹🇿🇹🇿🙌🙌

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 24 วันที่ผ่านมา +1

    Siasa takwimu za kupikwa wenye uchumi mzuri ni Ethiopia, Kenya Na Tanzania ya tatu , ila nchi kwenye Human development index ya mwaka huu Uganda 🇺🇬 na Kenya 🇰🇪 zina medimu HDI na Rwanda 🇷🇼 inakaribia medium HDI wakati Tanzania na Burundi 🇧🇮 ziko low HDI

    • @karimkinwary4668
      @karimkinwary4668 23 วันที่ผ่านมา

      Ww mtanzania kweli ??

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 23 วันที่ผ่านมา

      @@karimkinwary4668 tena ninayejitambua sana Na mzalendo ndio maana sitaki watanzania wadanganywe Uganda 🇺🇬 soon wataipita Tanzania 🇹🇿 Na hata Rwanda 🇷🇼 maana Tanzania Na utawala wa huyu Bibi Suluhu hamna kitu ni akili za matope tu

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@Kabwela776Bado hata hao unaowaamini ni takwimu za kupikwa tu, yawezekana Kwa sababu hiyo kitu inayokupa uelewa huo Ina jina la Kingereza ndio maana umweka Imani yako yote huko.
      Lkn wakati waja na Sasa umeshawadia, Waafrika wataamka na kujitenga na Filosofi za kizungu zisizo na uhalisia wa maisha Yao na kutengeneza filosofia zao zitakazoleta uhalisia ktk maisha yao.

  • @Mboro7
    @Mboro7 24 วันที่ผ่านมา +2

    Majirani hawapendi haya maneno (haswa hawa wa kingereza kingiii)kwann tusipige kimyakimya kwenye mshono?ingekaa poa sana

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 24 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂umenifanya nicheke wallah

  • @hudsson75
    @hudsson75 21 วันที่ผ่านมา +1

    + 254 🇰🇪 nawasalimu kwa Kiswahili

  • @Zxodes
    @Zxodes 23 วันที่ผ่านมา

    Ndio tujitahidi tuzaliane.JPM alisema watu ni hazina

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 21 วันที่ผ่านมา

    arusha mji wa kitalii lakini mtaro inayo pikea mji ni mbovu sanaa

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kènya mpo 😂😂😂

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 13 วันที่ผ่านมา

    ✍️✍️

  • @sylvesterf.mbonimpaye1413
    @sylvesterf.mbonimpaye1413 17 วันที่ผ่านมา

    Huo n mtego vip GDP ya bongo vs Kenya si wametuacha zaid ya mara mbili

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 24 วันที่ผ่านมา +2

    Tukiwaambia wakenya wasiendekeze kula mirungi hawatuelewi 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 24 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @franklinkartel9499
      @franklinkartel9499 24 วันที่ผ่านมา +2

      Hyo mirungi ungejua ni mojawapo ya kinacholeta hela ata usingeongea,kinachorudisha kenya nyuma ni uongozi mmbaya na ndio maana munaona tunaandamana

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 24 วันที่ผ่านมา +1

      @franklinkartel9499 Uongozi mbaya au hamfanyi kazi mkalipa kodi ipasavyo, we kila kitu kuandamana, pesa mnatafuta muda gani, tena mirungi ipo kwa kichwa 🤣🤣🤣🤣🤗

    • @franklinkartel9499
      @franklinkartel9499 24 วันที่ผ่านมา

      @@StrongbowArrow2004 hahaha,sasa tutakosaje kufanya kazi na elimu kwetu imejaa hadi kwa wamama wauza mboga,kuhusu uvivu tanzania munaongoza,hebu njoo kenya uone vyenye vijana wanajituma tofauti na tanzania,kuboreka kwa uchumi wenu sio ati munalipa kodi kutuliko sisi,kenya kinachotuharibia ni corrupt leaders,ile siku corruption itaisha kenya nakuambia ata mwaka hauishi tutakuwa mbali sana,

    • @franklinkartel9499
      @franklinkartel9499 24 วันที่ผ่านมา

      @@StrongbowArrow2004 n usiambiwa kenya kuna hela kushinda uko kwenu,huwezi linganisha kshs na tshs kwanza, tembea kenya uone kulivyo pendeza ndio ujue bado muko nyuma sana nyinyi watu

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 24 วันที่ผ่านมา

    Jamani fukuzeni mwizi kimya kimya nchi nzuri sana hiii wanasiasa ndio wanatulisha matango poli kuwa selikali yetu haifanyi chochote

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 23 วันที่ผ่านมา

    Wanabisha nibizaagani wanaotu udumia sisiwa tz chakula makayamawe wa kenya uganda wana tutegemea sisi

  • @YahyaAhya-m1v
    @YahyaAhya-m1v 24 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania ina uchimi nzuri ila Ina deni kubwa sana 90.7 trillion tsh si pesa ndo huyo. YaNi ni mikopo kwenda mbele

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 24 วันที่ผ่านมา +1

      Hebu tuwaulize Burkina Faso 🇧🇫, Mali 🇲🇱 wamefanyaje? Hawna deni tena ❤😊

    • @EmmanuelShausi-ff8fu
      @EmmanuelShausi-ff8fu 24 วันที่ผ่านมา

      Hizo taarifa umezipata wapi?

    • @YahyaAhya-m1v
      @YahyaAhya-m1v 23 วันที่ผ่านมา

      @@joycelinelyimo-fenske8745 ❤️

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@EmmanuelShausi-ff8fuhizo taarifa amezichokonoa mkunduni mwako, alivo kua anakufira,, deni la taifa haliwezi kufichwa matakoni mwa MTU, watu wengi wanajua.

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 24 วันที่ผ่านมา

    Kuibiwa nako 😂😂

  • @abdulshamids1197
    @abdulshamids1197 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wakenya hawataki hizi story,
    Wanaona propaganda

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 15 วันที่ผ่านมา +1

      @@abdulshamids1197
      Wa kenya 🇰🇪 Mpo
      Tafadhali tupeni Taarifa zaidi.
      Ni kweli hizi story?
      Naona kimya

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 24 วันที่ผ่านมา

    Wapi mange kimambi

  • @storytownTv
    @storytownTv 24 วันที่ผ่านมา +2

    Uongo, sa mbona maisha n magumu mtaan. 😢

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 24 วันที่ผ่านมา +3

      Fanya kaz mdogo wang

    • @ContentSmartphone-rq6po
      @ContentSmartphone-rq6po 24 วันที่ผ่านมา

      Njoo tukupikie ugali

    • @Pastorbarakamwanjala
      @Pastorbarakamwanjala 24 วันที่ผ่านมา +3

      Fanya kazi.

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 24 วันที่ผ่านมา +3

      Kama maisha magumu unapata wapi bando la kupost mambo ambayo huyaelewi. Fanya kazi kwa bidii kama mondi

    • @irenewile
      @irenewile 24 วันที่ผ่านมา

      Nchi nyinyi Zenye uchumi mzuri huwa ndio hivyo,,lazima kuangaika ujikwamue

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wadanganye vipofu nchi ya uchumi mkubwa iwe Tanzania kwa kipi asa 😂😂😂 yan tuwazidi uchumi kenya apana sio kweli ngoja tuwasubili Forbes magazine tuache kujitangaza sisi nyie mnaujua uchumi nyie

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 23 วันที่ผ่านมา +2

      @Sheba4651 vitu kibao vya Kenya vinauzwa Tanzania kuanzia dozi vidonge sijui makasha chumvi za Mombasa vitu kibao sisi tunachowazidi wale ni nafaka kwa wingi na kuwauzia wao ila kusema kenya inazidia na nchi nyingine za East Africa uo ni uongo sema AWA wakauu wa iz nchi mbili kauli zao ni za kisiasa bc

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Wewe unaelewa Nini kuhusu uchumi tuanzie hapo

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂Wewe unaelewa Nini kuhusu uchumi tuanzie hapo kwanza

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 23 วันที่ผ่านมา

      @@Sheba4651 😁😁😁😂😂alafu wanaandika made in kenya kama vya kwao vile

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@mohamedihamisi292labda! Wewe tuambie, ni vitu gani vinavo litambulisha taifa lako kua na uchumi juu