Mtoto asimulia chanzo cha maradhi ya majuto "Mama aligombana na mzee akaanguka"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2018

ความคิดเห็น • 46

  • @cutelove2686
    @cutelove2686 5 ปีที่แล้ว +23

    Yote tisa kumi na sisi wanawake tuna unafiki NIMEMALIZA😷😷😷😷

  • @bisurashedangio4380
    @bisurashedangio4380 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama ana tamaa inaonesha pia alichangia kifo cha mzee majuto ili apate mali . Ila watot wa mzee majuto simamen kwa allah haki itatendeka.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza kabisa mungu amlaze mahali pema mzee wetu majuto na jambo la pili na sema kwamba tunapoamua kuweka siri zetu za ndani yaan za kifamilia ktk media lengo letu ni nn? Lazma tujiulize je? Tutapata wakuli tatua tatizo letu? Na kama hakuna wakulitatua je ina haja gani yakulitangaza ktk vyombo vya habari?? Nakama hakuna wa kulitatua je hamuoni kua mnaji dhalilisha tu wana familia nakuji choresha???? Km hakuna hyo advantage ktk maamuz yakutangaza migogoro yenu bora mmalizane ktk vyombo vya sheria ambavyo vinahusik na mambo yenu binafs km ni mirath n.k hayo yote yanatatuliwa kulingana na dini yenu na wanasheria wa dini yenu yaan sheria za kiislam so sisi hatupendi kuona vitu vya kifamilia vinaongelewa ktk media bila ya nyinyi kupata utatuz kwa sababu mnavyo ongea kweny media km hv sisi huwa tuna shangazwa na kutuma comment hewa ambazo hazina natija yeyote isipo kua kumaliza mabando yetu na wengine wakishtumu km vile wana husika na hyo familia

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama angetulia hizi aibu zote hazingetokea

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 5 ปีที่แล้ว +5

    Mi nashangaa Sana Mara zote wanawake ndio wanoanzisha migogoro ya Mali Hali yakua mwanamke yake Ni thelusi tu ktk urithi.

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 2 ปีที่แล้ว

    Elimu elimu elimu! Duh! Hapo ni kutofahamu! Poleli, mzee majuto la! Hata Mimi aligusa, siamini Hadi Leo kwamba ni marehemu, dah!

  • @mwanaamrani5577
    @mwanaamrani5577 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu mam ndio ameyatafuta yote yaliyo ndan. kak hongera omeongea sawa kabisa. wa mam wa kufikia wabaya sana sio wote lkn weng wazush

  • @shu2524
    @shu2524 5 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake Ni wabaya sana.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 5 ปีที่แล้ว

      Siyo wote hapo kwenye hiyo familia ni huyo mzee vumbi ndo mnafik

  • @pendowilliam5201
    @pendowilliam5201 5 ปีที่แล้ว +1

    Me nawashauri wanaume kuwa na mke mmoja wake wengi ni tabu na stress

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapana nye hamna makosa bala yote kaleta huyo mzee vumbi kwani mambo ya famili hayamuhusu huyo babu atoke kabisa

  • @mirajiguga7904
    @mirajiguga7904 5 ปีที่แล้ว +1

    msijali achaneni nahe huyo mana hakili yake mbovu sasa kama kweli kama kaongopa chakufanya mwiteni sheeh apigeduwa kama kahongopa ayaone yamungu

  • @shemsakiobya6146
    @shemsakiobya6146 5 ปีที่แล้ว +3

    Nyie ni familia kaeni muyaongee jamani mnakuwaje jamani?

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 5 ปีที่แล้ว

    Nyie waislam ebu kaeni muyaongee huyo mzee amekufa ni wakati wake umefika msimshirikishe mwenyezi mungu

  • @mr.crazytv7649
    @mr.crazytv7649 5 ปีที่แล้ว +3

    Gusa kushoto ucheke kidogo

  • @salmadonne6327
    @salmadonne6327 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmm tutasikia mengi kam c kuona mambo ya wanadamu hayo

  • @user-id1me9ve1o
    @user-id1me9ve1o ปีที่แล้ว

    Kila binadamu ametiya saini yake kwahiyo ni wakati wake ulikuwa umefika imeandikwa hiyo na Anllah 😥😥

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 5 ปีที่แล้ว

    Kifo kimepangwa na Mungu. Mmmmmmhuu kuhusu mali tafuteni za kwenu hata mzee alijishughulisha ndio akazipata hizo mali. Pumzika kwa amani Baba yetu huku duniani umeacha vita dhidi ya mali ulizozitafuta kwa jasho.

  • @elizabethchainer4528
    @elizabethchainer4528 5 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P MZEE majuto

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 ปีที่แล้ว

    Wengi pia wamekufa kwa sababu ya wanawake Jamani.

  • @faridaabdala1316
    @faridaabdala1316 5 ปีที่แล้ว

    jamani.huyo mwanamke nae daa alafu waandishi jamani pia mmezidi mbona ya kwenu hayapo mitandaoni

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 ปีที่แล้ว

    Jamaa tamaaa sana.Katafute chako dogo

  • @willywajson7302
    @willywajson7302 5 ปีที่แล้ว

    Ety we unasemaje wa mpe mama yao haki zake za upendo au?

  • @Zuwena-jq7jf
    @Zuwena-jq7jf 5 ปีที่แล้ว

    Hayaa mambo yafamiliya zaidi

  • @rahimali1068
    @rahimali1068 5 ปีที่แล้ว

    Kwa haya maelezo yanaonyesha kabisa hawa jamaa wanatoleaa macho urithi .

  • @faymzalendo1728
    @faymzalendo1728 5 ปีที่แล้ว

    Huo ni u selfish wa huyo baba aliache kesi kama hii alijua kuna siku atakufa, na kaowa wake kila kona alikuwa anatakiwa ku acha will matokeo yake kaacha kero na fedheha kwa familia.

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 ปีที่แล้ว

    Masikini hana taaluma ya afya hajui anachoongea

  • @mirajiguga7904
    @mirajiguga7904 5 ปีที่แล้ว

    apa ndipo ninapo mkumbuka maluhemu samu wa ukweli nawimbo wake bola wali nyama kuliko mwalimwengu bola wali tembele kuliko walimwengu wanamaneno aho

  • @methodnishimwe6044
    @methodnishimwe6044 5 ปีที่แล้ว

    Way too many ads

  • @mariumngawanja6197
    @mariumngawanja6197 5 ปีที่แล้ว +1

    mi naona sawa tu akuzalilishae nawe mzalilishe yote hayo kayataka huyo mama kwakukosa subra angekuwa na subra yasingetokea hayo na mtasema mengi sana msipotuliza kichwa

  • @zenboy205
    @zenboy205 5 ปีที่แล้ว

    Acghen ujinga pigen kaz pumbafu

  • @christinasolomon8156
    @christinasolomon8156 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kila saa anapumua kama ana pumu vile.

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 5 ปีที่แล้ว

    🤓🤓🤓 mm hako kasaut tu ukikapiga kama ka biti

  • @shemsakiobya6146
    @shemsakiobya6146 5 ปีที่แล้ว +1

    mpaka Edda lshe jamani mbona mnaupoteza uislam

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 ปีที่แล้ว

      Sio kweli. Maradhi ya kiislamu inafanyika tu baada ya msiba. Kwanza mnalipa madeni yake yote kinachobaki ndio kinarthiwa soon hakuna cha baada ya eda ni uzushi

  • @zenboy205
    @zenboy205 5 ปีที่แล้ว +1

    We unaonekana mlafi sana ww