DR MOSES KULOLA PINGAKRISTO ATATOKEA PACKSTANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @khadijaayubu4725
    @khadijaayubu4725 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana hakika tutakumbuka one day

  • @trizafrances4304
    @trizafrances4304 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏 Jina la yesu lizidi kuinuliwa

  • @paullazaro3127
    @paullazaro3127 2 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa sana mtumishi wa Mungu ila ninyi msijiharibie sifa ya kazi nzuri, kwa kuweka title inayokinzana na mahubiri,

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen mungu mwema kweli, kweli

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว +4

    Nawapongeza watumish wa Mungu mnaorusha mahubiri ya baba Kulola hakuna kughoshiwa tutayatunza kwenye flash

  • @imejachunga9958
    @imejachunga9958 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nijalie mwisho mwema

  • @linosjohn9020
    @linosjohn9020 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nipe unikomboe na matukio hayo Amina

  • @sakinamohamedy7506
    @sakinamohamedy7506 5 ปีที่แล้ว

    Yn ayo maneno yanafanana na kuruani vile vile. Iyo itakuwa siku nzito sn Baba hatomjua mtt na mtt hatomjua mama.

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      Kwan ujui kama Qran imekopy kila kitu kutoka kwenye injili torati na zaburi au ujui ilo?

  • @nichorausntajunja3144
    @nichorausntajunja3144 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu alikutumia sana injili kama hii saivi niadimu

    • @gedionelius55
      @gedionelius55 4 ปีที่แล้ว +1

      Shalom,, Injili Kama Hii Iko Kwa Bishop Zachary Kakobe

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiye Nabii wa Pekee wa MUNGU

    • @jairosjulius9447
      @jairosjulius9447 ปีที่แล้ว +1

      Mungu alimwambia nuhu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😊😮😢😂❤

    • @jairosjulius9447
      @jairosjulius9447 ปีที่แล้ว

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😮😂😅😊😂😅😂mungu akbrk

    • @jairosjulius9447
      @jairosjulius9447 ปีที่แล้ว

      😂🎉😢😢😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😂😂😂😮😮😮😮😅😅😅😅😊😊😊😊

  • @MussaAlly-j8o
    @MussaAlly-j8o 6 หลายเดือนก่อน

    Injili ya kweli kabisa

  • @mosesanosa9956
    @mosesanosa9956 5 ปีที่แล้ว +1

    Nani ataziba nafasiyako baba askofu kulola nakukumbuka baba

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @davidmhina4999
    @davidmhina4999 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hiyo Tittle mna laaana? Mnadanganya kama wapagani tuu ili mpate views

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว

    Issue ya moinga kristo ni complicated sana..namkubali sana mzee kulola lakini suala la mpinga kristo sikubali....
    Anti christ ni muislamu anaitwa Imamu mahdi sababu anatimiza unabii wote someni mfahamu...sifa zote zinamuangukia yeye

    • @hellenevarist5221
      @hellenevarist5221 4 ปีที่แล้ว +1

      Soma Biblia vizuri utakutana na aliyosema baba usisikilize story za uongo hilo jina ulilotaja hata kwenye neno la Mungu halipo neema ya Mungu ukufungue na pia YESU KRISTO AKUEPUSHE NA UPOFU WA INJILI.kwa neema tumefunuliwa neno lake.

    • @adamubushiri9594
      @adamubushiri9594 3 ปีที่แล้ว

      Hallelujah

    • @MussaAlly-j8o
      @MussaAlly-j8o 6 หลายเดือนก่อน

      Mpinga kristo hajajulikana mpaka saiv atatokea wapi lakini papa ana dalili za mpinga kristo