MWANA MPOTEVU: SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 22

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Neema ni ana moyo mwema sana ni bora kamsamee ndugu yake ❤

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 ปีที่แล้ว +4

    Neema ana moyo wa msamaha,maana kama ni mwengine hangepata msamaha.lakini naye alipata funzo kuchkua mume wa dadake .simulizi nzuri sanaa

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +1

    Shikrani LUCAS LUMBASI na shirika wenu na mshikamano mkubwa kati yenu na wanasimulizi mix kwa kutupa ubora wa burudani na kutuhakikishia Kuwa tuna ipata elimu bora ili mtu kama Nuru aweze kubadiĺika na kuishi maisha mapya

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว +2

    Neema ni Dada wa kuhikwa Hana moyo zuri msamah ni kitu cha muhimu Sana nashukuru mungu kwa moyo wa neema asente Sana Elinai

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg ปีที่แล้ว +2

    Pamoja sana bro no 2🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-ut6yp7ot9o
    @user-ut6yp7ot9o ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa burudani nzuri

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +2

    Kawaida tunainjoi tuu n simulizi tamuu 🥰🥰

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว +2

    Yes! Pamoja sana ❤❤❤❤

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli Nuru ni wengi ambao hawana aibu wala huruma ila wanatanguliza tamaa mbele na tamaa ambayo haitawasaidia kwa lo lote ila baadae baada ya kuharibikiwa na maisha ndipo watakapo kumbuka kuwa ubaya na kuburi sio kitu ila umegeuka kuwa mateso na machungu unao mtesa mshutumiwa .ila Neema wapo ingawa ni wachache na wanao weza kuwa samehe bila kukumbuka cho chote na kumwachia MUNGU yote ili awasaidie kuyasahao yote ili hata katika pale MUNGU aliwapa pakuitafutia baraka zariziki zao wawe na amani na kupata mafanikio mengi.

  • @matesomoci6376
    @matesomoci6376 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว

    Msamaha ndio Kila kitu katika maisha ahsante simulizi mix Ina mafumdisho makuu

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 ปีที่แล้ว

    Asante sana lucas nimejinza kitu

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    Usiombe penzi wako afungwe inauma sana sitak kukumbuka 😂😂😂

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    Chozi la mke mwema na bado malipo ni dunian

  • @sophiapinda9955
    @sophiapinda9955 ปีที่แล้ว

    Neema dada wakweli damu zito jamani

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
    @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI 9 หลายเดือนก่อน

    Duuuu

  • @carlossirya5016
    @carlossirya5016 ปีที่แล้ว +1

    Nimengoja chizi wa kike jamani

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว

    Yaani kama simulizi mix ndio stendi ndio nimefika 🌝🌝

  • @santosmwakomo755
    @santosmwakomo755 ปีที่แล้ว

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว

    Kuna mchezo ukicheza pekee yako lazima uwe mshidi lakini kwa huu wa Nuru hapana.pole japo mwimba wakujitakia huna pole.