ROSE MAYEMBA AENDELEA KUKIWASHA JIMBO LA MAKETE ATOA ELIMU KWA WANANCH KUELEKEA CHAGUZI ZA KISERIKAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • IPINDA ONLINE TV.....Asante kwa Kuchagua Ipinda online tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu

ความคิดเห็น • 5

  • @WebyNgogo-nj3fx
    @WebyNgogo-nj3fx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki akina Mayemba kwa kikipambania chama chetu cha Chadema:

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 3 หลายเดือนก่อน

    Bravoo

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 หลายเดือนก่อน

    Asante dada yetu Rose Mayemba,yaani unaongea ukweli mtupu mambo ambayo yanafanywa na ccm kuwalaghai wananchi wakati wa uchaguzi,kisha uchaguzi ukiisha wanaendelea kutesa wananchi kwa kodi kubwa,ghalama za vitu kupanda,huduma za hospitalini ni duni! na mengine mengi! Wananchi amkeni tusiwe wajinga kudanganyika na hadaa za ccm! tuwakatae uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi ccm na vibaraka wake wote mtajutia sana hii miaka 5 ijayo na kuendelea!Mwananchi Usikubali kushiriki dhambi kuchagua kiongozi yeyote wa ccm.

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwaerimu ya Kira mahar

  • @festofute58
    @festofute58 3 หลายเดือนก่อน

    Tupo pamoja m/kiti.