BANDA BORA LA KUKU WA KIENYEJI | CHOTARA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Banda bora la kuku wa kienyeji - ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara
Banda bora ni Sehemu maalum palipo andaliwa vizuri ili kuwapa kuku wa kienyeji mapumziko ya amani ili wakupe matokeo mazuri na upate faida kibiashara
#bandalakuku #kukuwakienyeji #kukuchotara
Banda kama hili Lina weza kugharimu shingapi
I love the good work
banda likiwa halijapigwa simenti au lilotengenezwa na mabanzi linaweza faa kwa kufugia kuku chotara, msaada tafadhali. Ahsante
Banda la kuku linawekewa niru, haijalishi ni mabanzi au tofari
ndio
Ndiyo ila vumbi halifai
Jaman nime omba kama vifaranga wakienyeji wenye bodi kubwa sana
Sawa
Brother nashukuru sana kwa somo zuri.kaka naomba unipe vipimo vya banda LA kuku 400 aina ya kuroila
I want to start kuku kienyeji,,
Munaongea tu kwenye banda bovu
Good idea
Pamoja mkuu
mko vzr sana
Shukrani pia
Naomba unipe vipimo vya banda la kuku 500 aina ya kienyeji, pia uni unganishe na fundi anijulishe material zote zinazohitajika kwa ujenzi, tuelewane bei ya kunijengea. Tafadhali.
Banda linatakiwa kuwa na urefu wa 10m na upana wa 6.5m. Litakuwa na ukubwa wa 65m² ambalo litawatosha kuku 500 wa kienyeji watakaokuwa wanafugwa nusu ndani nusu nje au huria.
+255622460105 namba ya fundi
Somo zuri ndugu zanguni mie nipo kenya nitajiunga vipi kwenye group ya whatsapp na malipo natuma vipi
Kujiunga tuma Ksh 500 kutoka safaricom kwenda m-pesa namba 0752209073
Changamkia Fursa shouldn’t it be 150 Ksh if it’s 3000 TZs? 500 Ksh is way too much. Its equivalent to 3 members fees and some changes.
Buku 3 wazee ndefuu fanyen buku
Nipo mwanza mafundi wa banda bora nawapataje???
Jamani namba zenu huwaga hazipatikani siku zote
Paulo kajala
Ni somo zuri je Unapatikana wapi ? kwa anaye hitaji ushauri wa kina
Mbezi beach Dar
asante mafunzo mazuri sana. natafuta elf 3 ya kujiunga na group ili nifaidike zaidi.
Karibu ndugu kwenye group la wafugaji
@@changamkiafursa hivi niulize nilikua na kuku wa3 wawili wametaga mpaka kuangulia watoto na watatu ndio anaanza Sasa hivi naweza kujua kwanini iwe hivo kuchelewa
Kila kuku anataga pale mayai yake yanapokuwa yamekomaa
Hbr naweza pata mafundi Wa banda kwenu?
Safi sanaa!
Pamoja
ChangamkiaFursa Tv Asante kwa masomo yako nataman kufuga naomba gharama za ujenzi wa banda bora la kuku
Ivi banda la 25m x 10m linauwezo wa kuweka kuku wangapi wa kienyeji? Na garama yake ni Tsh ngapi?
Niko dar nahitaji incubator ndogo mayai kama 30 kakin sjui pakuipata naombeni maelekezo kwa wanaojua
Ingia Instagram watafute AFI Green ndio wauzaji wa incubator
Naitwa Masele Kitalonja wa Habiya kata ya Bumera Itilima Simiyu. Mimi tayari ni mteja was ufugaji kuku chotara na kienyeji ambao nimenunua Sikh ya name name Nyakabindi,changamoto ninayopambana nayo ni kuku kutokula kwa usahihi, je nifanyaje I'll kuku wangu wale ?
Nahitaji kujenga ila sijapata fundi Niko Tarime
Ivi naweza kuchukua kuku mfano singida nije kuzifugia dar
nashkuru kwa masomo yako kaka najifunza mengi.
Pamoja mkuu, support yako ndio kitu cha msingi
hivyo viota unatengenezaje
umesema kuku 275.natakiwa niwe na lakin 9 kwaajili ya chakula kwa mwezi mbona sijaelewa mwezi mmoja tu unatosha mpaka naanza kuokota mayai?
Unafundi wako maalum?
Hatafundi wako naweza kumpa maelekezo akafanya vizuri
Ila jamaa unaongea taratibu sana adi unaboa
Pole Sana itakua simu yako ndio inashida ya sauti 😂😂😂
Pole
Nini suluhisho la kuku wanao nyonyoka manyoya...!?..na nikeanini?
Kuku wanao nyonyoka manyoya wana upungufu wa madini muhimu mwilini, kuku wangu walipo nyonyoka manyoya nilishauriwa kuwapa majani mabichi mf mchicha au majani pori wanayo penda Kuku. Ndani ya wiki Moja au mbili ukimkagua Kuku uta on a manyoya yameanza kuota. Lakini pia majani yatamfanya kuku kuwa na rangi angavu na yakuvutia. Bila kusahau mayai yenye rangi njano iliyo kolea.
hao kuku wamekosa madini mwilini mwao kwa jina la sawa hapo waweza kumwona mganga wa mifugo kwani hata Mimi ilikuwa hivo katika kuku wangu
mchanganyiko wa chakula nalo unatakiwa kuangalia
ni 3000 za kenya ama tanzania?
Za Tanzania
Kiingilio na hakuna ada ya mwezi
Banda linafagiliwa mara ngapi?
Najiyunga vipi? Niko hapa kla Uganda
Naomba no ya admin ili nijiunge kwenye gp hili
nahitaji fundi wakunijengea
Mkuu habar yako, mm nahtaj msaada naomba kusaidiwa inawezekana kufuga ndan kwa ndani kuku wa kienyeji kuanzia umri miezi mitano hadi sita bila kutoka nje na wasipate majanga yeyote?
Inawezekana lakini kuku wa kienyeji hawafanyi vizuri kwenye mfumo wa ndani
@@changamkiafursa Asant mkuu nimekuelewa Je ni mfumo gani unafaa ili wafanye vizur?
Nahitaji kujifunza mniunge kwenye group 0675001410
naitaji kujiunga no 0626720778
karibu, tuma elfu3 M-pesa 0752209073 au tigo pesa 0712404341 Kisha tuma sms inavyoonyesha Jina lako na namba unayotaka iungabishwe what's app
Unalipia 3000 kila mwezi au wakati wa kujiunga tu?
Kujiunga tu
Namba za kujiunga na kulipia ni zipi?
Naitaji kujifunza 0746455493
Nahitaji kujenga ila sijapata fundi Niko Tarime
Ielewe video kisha fundi yeyote mjenzi wa nyumba muelekeze atakujengea
Moon