Shekh,yawezekana umeghafilishwa kuhusu majina ya Allah kwani hakuna maelekezo tuliyopewa kuita Mungu kwani tulipotoshwa tangu zamani na walimu wetu,hivyo ni sisi kubadilika.(halafu shekh ndevu zako umepeleka wapi?
NI KWAMBA UISLAM HAUJAACHA KITU,ALLAH ALIMALIZA KUTUFUNDISHA TUMWITEJE,TUMUOMBE KWA MAJINA YEP! YEYE ANAITWA SUNGUSUNGU VP UKIMWITA SISIMIZI ATAFURAHI? KIFUPI TUNAKOSEA SABABU YA MAZOEA.
Wewe usibabaike na maneno mengi kwenye ukweli panajulikana,kwanza angalia wanaume wote wanao nyoa ndevu zao wanavyofanana,kama kama limao lisilo na maji videvu vimekakamaa,Yote ni sababu ya kukhalifu sunna, Angalia wote wanao achia ndevu zao wanapendeza mashallah.Pia mitume woote hakuna alienyoa ndevu zake sababu ni amri ya MOLA wao. Ndo tukaambiwa tupunguze sharubu tuachie ndevu ili kujitofautisha na mayahudi/ manasara.kwani wao walinyoa ndevu na kufuga sharubu. Usiwasikilize watu wa bidah,ndo maana wanakwambia Ramli inajuzu wewe unasemaje!
Amina
Shukran sana sheikh
Barakallahu Fiik
Shukran
Waweza kusikiza iwapo utakuwa mahali twahara
Jazakallahu kheri
Aaaaaaaaamiiiiina
Aaaaaaaaamiiiiina
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh,Je kama nitaweka tape kusikiliza Suratil Baqrah mashetani watakimbia?
@@mamuamtoto Bila shaka watakimbia hata kwa kuweka tape,ikasikilizwa kwa mazingatio yafaa kabisa.
Wa alaykumu salaams wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh
Hio kwa kweli sijui
Shekh,yawezekana umeghafilishwa kuhusu majina ya Allah kwani hakuna maelekezo tuliyopewa kuita Mungu kwani tulipotoshwa tangu zamani na walimu wetu,hivyo ni sisi kubadilika.(halafu shekh ndevu zako umepeleka wapi?
Mashallah ❤💗 mashallah ALLAH atuongoze palipo na salama
Ameghafilishwa kivipi Sheikh Juma. Tufafanulie. Tupe Ilmu
NI KWAMBA UISLAM HAUJAACHA KITU,ALLAH ALIMALIZA KUTUFUNDISHA TUMWITEJE,TUMUOMBE KWA MAJINA YEP! YEYE ANAITWA SUNGUSUNGU VP UKIMWITA SISIMIZI ATAFURAHI? KIFUPI TUNAKOSEA SABABU YA MAZOEA.
Jichangany kuuliza ndv kaweka wap au omba kukutana nae uulize swala la ndev uone kama ata ww hutanyoa