Asalamu aleykum warahmatullah wabarakatu shekhe jazakallah khayri kwa somo ...ningeomba uwe una andika na dua na kwa kiarabu wengine kusoma hivyo inakuwa ngumu ,,,InshaAllah
@salehmahrooqi4383 ALLAHUMMAGHFIRLIIY DHANBIIY KULLAHU DIQQAHU WAJILLAHU WA AWWALAHU WA AAKHIRAHU WA ALAA NIYYATAHU WA SIRRAHU ALLAHUMMA INNIY DHALAMTU NAFSIIY DHULMAN KATHEERA WALAA YAGHFIRU DHUNUUBA ILLA ANTA FAGHFIRLIIY MAGHFIRATAN MIN IN DIKA WARHAMNIIY INNAKA ANTAL GHAFUURUR RAHEEM RABBANAA AATINA FID DUN YAA HASANA WA FIL AAKHIRATI HASANA WAQINA ADHAABAN NAAR
Asalamu Alaikum ustadh Alhamdu lillahi Rabil Allamina namshaukuru sana kwa ilimu yako mzury lakini hiyo sua naomba unge onhesha ili Rahisi zaidi .wasalamu napatikana mozambiki.
Allahum-maghfirli dhanbi kullahu,diqqahu, wajillahu, wa awwa-lahu, wa aakhirahu wa ‘ala-niyyatu wa sirrahu (Oh Allah, Forgive me all my sins, great and small, the first and the last, those that are apparent and those that are hidden)
Maa Sha Allah dua za huyu Sheikh ni nzuri sana mimi nimezisoma na kwa uwezo wa Allah nimeona matokeo ila tunaomba awe anatuandikia Allah amjaze kheri
@@mayimunanjeri8846 shukran sana bi idhn llah tutafanyia kazi
Allahumma ghufirliy dhambi kullahu, dikkahu wajillahu ,waawwalahu waakhirahu waalaa niyyattan wasirrahu. Allahumma inniy dhwalamtu nafsiy dhulman kathiyra ,walaa yaghfiru
dhunuuba illa anta ,faghfirliy maghafirattan min indika, warhamniy innaka anta lghafuuru rahiim . Allahumma Rabbanaa atinaa fii dunia hasanattan wafil akhiratu hassanatan wakiqinaa adhaaba nnaar
Aamin ya Rabby Aamin insha'Allah shukran jaziillah ustadh wetu baraka'Allah fiik
ALLAH atufungulie milango ya rizki tupate na husnal hatima inshallah
Jazaakal kheir Khairan sheikh
Ngalkua unatuandikia dua hapo ingependeza zaidi
Shukran sana wa jazakallahu kheiyr
@@mgenimoosa5252 insha allah tutafanyia kazi
Jazakrllah khaillah
Shukrani jazaka nllahukhaira
Jazzakallah khaira
Tuandikie shekhe
Shukran ustadhi Allahu hafidh yaarab
ustadh unge tumalizia majina 8 ya allah kwahisani yako jaza yako iko kwa allah
Shukran jazakallahu lkheyr
Sheh Dua kubwa iyo kuhifadh kdg mtihan
Ma Sha Allah ahsante sana
Asalaam Alaypum warhmatullah wabarakatuh Alhamdulillah Allah kareem
Usthi tunakuomba uwe unatwandika dua
@@meckymdeka3789 wa alaykum salaam insha allah
Asalamu aleykum warahmatullah wabarakatu shekhe jazakallah khayri kwa somo ...ningeomba uwe una andika na dua na kwa kiarabu wengine kusoma hivyo inakuwa ngumu ,,,InshaAllah
Insha Allah
Nashukuru sana naomba uniambie jinsi ya kutia nia,
@@HusseinMwajabu uswalliy rakaa tain lillahi taala
Shukrani shekh ila tunasubiri yale majina yalobaki
Insha Allah ni darsa linalo fata
asalaam ghalyk sheikh kwakweli kweny upande wa rizki mimi kwang bado mno ila najitahidi mno dua ulizo tufundisha ila naon mungu bado hajanikadiria
Uskate tamaa hata kidogo endelea kupambana bi idhn llah utaona
@faidikatv amiiina amiiina inshallah
A.alykum sheikh wetu .naomba unifahamishe kutia Nia ya swala hii ya sunna Kabla hujaiswali .
Uswalliy rakaa tain lillahi taala allahu akbar
Jazakallah khayri kwa kunielewa ,,,wallah nimeskiliza hii video naona nimepata tu furana na amani sijui kwanini yarab
Assalam Allykum?
Naomba untumie hiyo dua
@@LilaSilima wa alaykum salaam
🤲🏾🤲🏾
Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh ustadh tusaidie dua tuko inje Bado hatjapata makaratasi inshaallah naiyo Ina FAA?
Naam inafaa tumia kama unahiji dua zaidi basi tuwasiliane
Tuandikia hiyo dua
@salehmahrooqi4383 ALLAHUMMAGHFIRLIIY DHANBIIY KULLAHU DIQQAHU WAJILLAHU WA AWWALAHU WA AAKHIRAHU WA ALAA NIYYATAHU WA SIRRAHU
ALLAHUMMA INNIY DHALAMTU NAFSIIY DHULMAN KATHEERA WALAA YAGHFIRU DHUNUUBA ILLA ANTA FAGHFIRLIIY MAGHFIRATAN MIN IN DIKA WARHAMNIIY INNAKA ANTAL GHAFUURUR RAHEEM
RABBANAA AATINA FID DUN YAA HASANA WA FIL AAKHIRATI HASANA WAQINA ADHAABAN NAAR
ALLAH AKULIPE MARA DUFU INSHAALLAH SHEIKH WETU
Sheikh please tunaomba uwe unatuandikia dua ingependeza zaid! JazakkaAllah lkheir 🤲
Nimeandika angalia ktk comment
Asalamu Alaikum ustadh Alhamdu lillahi Rabil Allamina namshaukuru sana kwa ilimu yako mzury lakini hiyo sua naomba unge onhesha ili Rahisi zaidi .wasalamu napatikana mozambiki.
@@AbdulChacuro masha allah shukran sana tutafanya ivyo
Asalamu alaikum.samahani sana ustadh umisema Allhahuma hufrlli dhamb kullahu sasa hapa umisema zikahu au dhikahu ?samahan naomba unijulishe vizur nianze na herufi gan?
Dikkahu
Allahum-maghfirli dhanbi kullahu,diqqahu, wajillahu, wa awwa-lahu, wa aakhirahu
wa ‘ala-niyyatu wa sirrahu
(Oh Allah, Forgive me all my sins, great and small, the first and the last,
those that are apparent and those that are hidden)
Asante Allah swt akujaalie upate mahitaj yako ya moyo inshallah
@aminakassim831 Allahumma aamin aamin
Dua nzuri lakini hatufahamu maana yake. Tutafsirie baada yakuisoma
Tuandikie hiyo dua mwalimu
Asalaam alaykum warahamatullah wabarakatu shukrani sana Allah akulipe kheri shekh nikishaswali hivi naweza malizia na witri?
Wa alaykum salaam shukran pia naam ndo inavyo takiwa haswa
assalam alaykum
Wa alaykum salaam
naomba kuuliza izo rakaa mbili unanuwia vip sala ipi witri au itighara@@faidikatv
@MaryamTwahir-r4b uswalliy rakaa tain lillahi taala
Ostadh ungemaliza Yale majina nane ya Jana, halafu ukatupeleka Kwenye Somo jingine jipya
Ni darsa lijalo insha allah
Tunaomba Na Cm tuwe tunaongeza na ww
Kuongea kwa kiswahili hairuhusiwi?
Asalaam alaykum warahamatullah wabarakatu shukrani sana Allah akulipe kheri shekh nikishaswali hivi naweza malizia na witri?