Pilipili aina 5 | Jinsi yakutengeneza pilipili aina 5:pilipili ya maembe,samaki,sambaro na ndimu .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +4

    If you would like to watch this video in English language press the link ➡️ th-cam.com/video/XBKrSJR14fM/w-d-xo.html

    • @hamidangitu227
      @hamidangitu227 4 ปีที่แล้ว

      iyo mbegu kwa kiswaili inaitwaje

    • @marthamlinga
      @marthamlinga 7 หลายเดือนก่อน

      Y44ôî😊😂😊😅​@@hamidangitu227

  • @samiraamer5911
    @samiraamer5911 4 ปีที่แล้ว +2

    Teacher Wang wamapish nmekua mpish mzur sababu yako Allah akuzdshie

  • @zeinabaliali11
    @zeinabaliali11 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante bi rukaya Kwa pili pili zako nzuri Sana m.mungu akuhifadhi daima ameen.

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allaah

  • @peterstano4759
    @peterstano4759 3 ปีที่แล้ว

    Very clear dear raiz it up

  • @lilianmwinamila9506
    @lilianmwinamila9506 ปีที่แล้ว

    Yummy 😊

  • @esterisrael6543
    @esterisrael6543 3 ปีที่แล้ว

    Love you and blessed.

  • @tonytouchfx8511
    @tonytouchfx8511 4 ปีที่แล้ว

    hi, thanx for your videos. where can i get that ginger garlic jar

  • @lilianmwinamila9506
    @lilianmwinamila9506 ปีที่แล้ว

    😋 hii masala ya Ingia ni paprika ama ni nini?

  • @fatmasaleh1067
    @fatmasaleh1067 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah Asante habibty nimependa na mm nitafanya

  • @anabuda7436
    @anabuda7436 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwamapishi

  • @magretmtenga7278
    @magretmtenga7278 4 ปีที่แล้ว +2

    I love de way u say pilipli I ni Tamu Tamu hajabu😅

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      🙈🙈🙈😂😂😂

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 4 ปีที่แล้ว

    Hio manjano ndo tunayopaka usoni?

  • @gaudeciusmwikali1296
    @gaudeciusmwikali1296 3 ปีที่แล้ว

    I love your videos Bi.Rukia

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว +1

      Thank you soo much 🥰😘

  • @herself7545
    @herself7545 4 ปีที่แล้ว +5

    Rukia I'm always motivated by you so much love❤️❤️❤️❤️

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you 😊 🥰,I really appreciate

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

    Mashallha nzuri sana rakini hizo mnegu za kwenye pipili ya kwaza sijajua kiswahili inaiywaje

  • @radhiasalim8602
    @radhiasalim8602 3 ปีที่แล้ว

    Ama ni mapendeleo yako mwenyewe kueka, by da way uko vzuri katika kutengeneza vtu zako MashAllah Mungu akuendeleze hvo hvo 😊

  • @florencekyambati9991
    @florencekyambati9991 ปีที่แล้ว

    majano ni nini kwa kingereza?

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว

    Shukraan Jazilaan.
    Mbona hujaweka vinegar?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว

      Sipendi harufu yake huwa natia ndimu tu

  • @peterstano4759
    @peterstano4759 3 ปีที่แล้ว

    Hii uwatu ni nn daa?

  • @verachikulupi8063
    @verachikulupi8063 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana safi

  • @peterstano4759
    @peterstano4759 3 ปีที่แล้ว

    Madam Rukia nko class na sipendi nikosa kabisa cz unanifanya star pia nami ni chef

  • @paulmwangi4315
    @paulmwangi4315 4 ปีที่แล้ว

    Kindly answer me nitumie spice gani kama sina biryani masala

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Garamasala

    • @paulmwangi4315
      @paulmwangi4315 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia Thank you for finally replying

  • @Sarah-joyy
    @Sarah-joyy 3 ปีที่แล้ว

    Masala ya unga ni gani ? The red one ? Is that paprika? Just asking?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว +1

      Noo chilipowder

    • @Sarah-joyy
      @Sarah-joyy 3 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia thanks

    • @Sarah-joyy
      @Sarah-joyy 3 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia Thanks. Please link your ingredients so it easier to follow your great recipes ❤️❤️

  • @tuumaabdinoormursal8132
    @tuumaabdinoormursal8132 4 ปีที่แล้ว +1

    I love ur video haki keep going sister

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Thank you soo much 🥰

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 4 ปีที่แล้ว

    Salaam sister nataka hiyo pilipili ya Kwanza kwa oder nitakupata vipi .

  • @boygama194
    @boygama194 3 ปีที่แล้ว

    Rukia Masha Allah mm naomba kujua mbegu za Rai jina jingine nn

  • @vanessawanjiku2959
    @vanessawanjiku2959 2 ปีที่แล้ว

    🥰

  • @ruqyarecitation
    @ruqyarecitation 4 ปีที่แล้ว

    Mapishi ya rukia ni ajjab 👌😍

  • @beautypie7462
    @beautypie7462 4 ปีที่แล้ว

    Sambaru waeza tia papayu?

  • @farhiaaddedadeed1836
    @farhiaaddedadeed1836 4 ปีที่แล้ว

    That’s delicious

  • @josephkanyongo3081
    @josephkanyongo3081 4 ปีที่แล้ว +1

    😋😋😋😋 apo nyama choma tu ndo penyewe

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      😋😋😋👌exactly

    • @kalsumable
      @kalsumable 4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe kwa kutuelimisha

  • @nassriyaissa5159
    @nassriyaissa5159 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah😘🤗

  • @fatmajuneid3386
    @fatmajuneid3386 4 ปีที่แล้ว

    Hii pili pili ya green nimeitamani

  • @rashidamzungu2389
    @rashidamzungu2389 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @lydiashoki8974
    @lydiashoki8974 3 ปีที่แล้ว

    Nameza mate jamani uwiiiii

  • @radhiasalim8602
    @radhiasalim8602 3 ปีที่แล้ว

    Nauliza mbna katika ile video ya kwanza ya pilipili sambaro umetumia papai bichi na embe hapa kwa hii hujatumia

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @lilysikiku211
    @lilysikiku211 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hautumii tangawizi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว

      Unaweza ikiwa wapenda

  • @peterstano4759
    @peterstano4759 3 ปีที่แล้ว

    Na mbegu zarai kwani hazina jina zingine cz nakorogeka na hyo majina

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mustard seeds in English

    • @peterstano4759
      @peterstano4759 3 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia thank you nmekuelewa ss