PILIPILI YA KUKAANGA - KISWAHILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 589

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว +13

    IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH, KINDLY FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/6sDcy1JDpTU/w-d-xo.html

    • @priscillacharo9597
      @priscillacharo9597 4 ปีที่แล้ว +2

      Aroma of Zanzibar siki yaitwaje kwa kizungu

    • @ninayamat8213
      @ninayamat8213 4 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar naomba kuuliza siki ni nn

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +5

      @@ninayamat8213 Siki ni kiswahili , na English ni vinegar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      @@priscillacharo9597 vinegar

    • @neemamsuta2650
      @neemamsuta2650 3 ปีที่แล้ว

      Vinegar

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 6 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa Allah ...Shukran kwa ku share recipe yako...pili pili inaonesha imepikika na tamu sana

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante sn my Mom mana unanifanya nione maisha yatabadilika

  • @khadijamalifedha6008
    @khadijamalifedha6008 6 ปีที่แล้ว

    Yaani najivunia ww mamyy naringa najua kupika yote ni kwa ajili yako nakupenda sana Allah akupe maisha marefu

  • @halimaibrahim8672
    @halimaibrahim8672 4 ปีที่แล้ว

    Jazakhumullah kher Dada shukrani kwa ilmu ya mapishi unotupatia 🙏

  • @dianageorge1805
    @dianageorge1805 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Dada, hakika mapishi yako yananikonga, umenifunza mengi mno.. Allah akujalie afya njema.

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว

    Masha allah hiyo pilipili kwa kila chakula itamu....allah akujalie kila khery habibty...

  • @zeinabsubra3903
    @zeinabsubra3903 6 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH..Aina mpya ya kuteneza pilipili Can't wait to try this...Nimeshukuru sanaa Aroma of Zanzibar.."Allah(swt)akupe ya Kheri pekee na akuepushe na Shari za kila aina"AAMIN

  • @salmahamad9814
    @salmahamad9814 7 ปีที่แล้ว

    awww Allah akubarik thanks habibty ....wallahy ni saa 6 na nusu usiku Tanzania ...naingalia mashallah asubuh naipika hiii mate yamenitoka wallahy 😊😊😊 Allah akubarik I love all your recipe

  • @fatumabadi8
    @fatumabadi8 7 ปีที่แล้ว

    MashaAllah tabaraq Allah habbty nimeipenda sana Allah akulipe heri unatufanza mengi wallah

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana dada kwa kuzidi kutufunza mapishi....napenda sana pilipili mie..

  • @zainabyasin3293
    @zainabyasin3293 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nakupenda bure mashaallah ni tamu kwa kweli

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Alhmdulilah

    • @tumahamaro6611
      @tumahamaro6611 4 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar Dada naomba niunge katika group yako

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว

    Njema! Ahsante sana Aroma of Zanzibar. Ahsante pia kwa kunitamanisha na hiyo pilipili ilhali tumboni kuna miji donda kibaaao!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Pole sana, dawa yake ni kula yogurt after any spicy food. Karibu , mbona umepotea sana.

  • @undertraderforex7230
    @undertraderforex7230 4 ปีที่แล้ว

    Really you are my only memory link to my mum god rest her soul I miss her cooking.....bcos of u I can enjoy my Tanzanian cooking again

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 7 ปีที่แล้ว

    SIJAINGIA HUKU SIKUNYINGI ILA HII VIDEO NIKITULIA NTAITENGENEZA PILI PILI NA SHEMEJI YAKO ANAVYOPENDA HII KITU.... NITAKUONYESHA KWA VITENDO..... TUKO PAMOJA MUMMY......BIG UP TUFUNDISHE MAMA.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sister najua uko busy , hii pilipili is the bomb. Take your time, ahsante kwa kupitia mitaaa hii

  • @halimahussein6589
    @halimahussein6589 ปีที่แล้ว

    My all time chef🤗Allah keeps u safe

  • @helamamohd7318
    @helamamohd7318 4 ปีที่แล้ว

    Aroma mi nakupenda na mapishi yako mia mia uko👌

  • @marymwakajira4765
    @marymwakajira4765 4 ปีที่แล้ว

    Ninzuri sana nimeitengeneza ni nzuri

  • @daiyomuu8445
    @daiyomuu8445 6 ปีที่แล้ว +2

    ma shaa Allah nimeipenda hii pilipili ahsante

  • @mamahamida6807
    @mamahamida6807 7 ปีที่แล้ว +3

    Assalaam aleikoum dada Leo nimejaribu hii pilipili sijawahi kula pilipili tamu kama hii wallah mungu akubariki saaana uzidi kutupa maujuzi wanawake wenzio na dua tunakuombea

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Aleikum Musalaam, ahsante kama mpenda pilipili ni nzuri sana. Amin kwa dua njema

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว

    Oooh haya ndo mambo yangu swirry thanks for sharing wiiiii ntajaribu kwakweli

  • @NimoAbdulkadir
    @NimoAbdulkadir 6 ปีที่แล้ว +5

    U r my favourite chef.... I love the way I explain things

  • @mamyssmoe6706
    @mamyssmoe6706 7 ปีที่แล้ว

    Aroma of zanzibar bismillakh mashallakh nimeona hp saiv mate tele tamu sn umenikumbusha sn nyumbani zenjibar na nimemiss mama angu Allah akuzidishie ameen 💋💋

  • @saimaali7677
    @saimaali7677 5 ปีที่แล้ว +4

    I really love you from the bottom of my heart and share with us a videos that help us a lot MA sha Allah Allah akulipe love 💞💕💝💘💗💖💋❤

  • @latiffashemgaa1452
    @latiffashemgaa1452 6 ปีที่แล้ว +9

    jaman 😭😭 kwann sijakufaham mapema.. yan nimefurah kwel leo nimetizama video za vitu vyote nnavyopenda kula na kupka, nimekuelewa sanaaaaa.... vtu vingi nlikua sifaham ila leo nimejua mengi asante sana... Allah akutunze kwajil yetu INSHAALLAH!! 💖💖

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Hujachelewa bado, hamna tabu. Ahsante sana

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 6 ปีที่แล้ว

    Shukraan Jazilaan. Naomba mapishi ya Sambaro yaan achari ya Carrots.

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว

    Mhh. Masha allah 😋😋 mambo muruwa Na pilipili mbuzi harufu yake unaona chakula kinateremka tu 😊😋allah akulipe kheri shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Shukran, chakula kina teremka na kila zinapanda maana inakufanya ule bila kiasi ;)

  • @maryam4va538
    @maryam4va538 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Aroma of zanzibar. Jazzakallahu lkheir.

  • @maysoonothman5223
    @maysoonothman5223 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah
    Habbty naomba kujua kuna pilpil au achari zinazouzwa unakuta kuna harufu flani nzuri na ipo juu..ile huwa ni kitu gani?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Sijui dear inategemea zinatokea wapi na wanatumia chemical gani ku preserve

  • @sabirasajjad7906
    @sabirasajjad7906 7 ปีที่แล้ว

    Wow nimependha👌👌

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว

    Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan.
    Licha ya Siki na Mafuta mengi ni Kitu gani kingine kitakachohifadhi pilipili kwa muda mrefu ili isiharibike?
    Naomba unijulishe kwani nafanya Biashara hiyo ya Kuuza pilipili ni mjasiriamali mdogo.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Mi najua hivi viwili tu vilobakia ni chemicals amabazo sio nzuri kutumia

  • @mwinyiherymohamed5308
    @mwinyiherymohamed5308 4 ปีที่แล้ว +1

    Inakaa kwa mda gani bila kuharibika?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Ukifata recipe kama nilivoeleza kiasi miezi 6

  • @loycer176
    @loycer176 6 ปีที่แล้ว

    Itakaa kwa siku ngapi...lakini wee!!!!inaweza ninavyopenda pilipili

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Kwenye friji kiasi wiki 3 hivi au zaidi

  • @patriciakidaha8296
    @patriciakidaha8296 5 ปีที่แล้ว

    Aroma Mungu azidi kukiweka miaka yote ili tuzidi kupata darasa kutoka kwako inshaallah.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว +1

      Amin kwetu sote, ahsante kwa dua njema

  • @mikaelabanda6574
    @mikaelabanda6574 5 ปีที่แล้ว

    Dada hongera nataka nikutafute

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Utanipata Instagram kwa jina la fathiya.ismail au Facebook aroma of zanzibar

  • @halimakambi7669
    @halimakambi7669 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah! Ningependa kujua siki ni nini?

  • @Zaynab-yo9sh
    @Zaynab-yo9sh 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran nimejifunza❤

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah kwa sie wapwanii milo haipandi bila pilipili, ntajifunzaa hii recipe yako inshaaAllah. ..rabby akuwekee mpenzi uzidii kutujuzaa vingi♥

  • @maimunammbaga2752
    @maimunammbaga2752 7 ปีที่แล้ว

    MaashaaAllaah.... Soo sweeet

  • @abuibra
    @abuibra 6 ปีที่แล้ว

    MAMBO YAKO YOTE UNAYO TUONESHA MAZURI SANA ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI,SUALI JE HUJAFUNGUA KIWANDA KIDOGO TUPATE KUNUNUA PRODUCTS ZAKO HAKIKA UCHU UNANITOKA KILA NIKIZIANGALIA SHUKRAN AZAKALLAH’KHEIRAN.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      AHSANTE SANA, MIE NIPO AMERICA KAKA NA PRODUCT NNAZO ONLINE LAKINI NI SPICES TU

  • @sarafinasalvatory2074
    @sarafinasalvatory2074 5 ปีที่แล้ว

    Nimekwelewa sana. Lakini siki ndio nini?

  • @yasirfarah399
    @yasirfarah399 2 ปีที่แล้ว

    Jasho inanitoka kuangalia asante

  • @rukiaali846
    @rukiaali846 7 ปีที่แล้ว +2

    masha allah asante sna kwa mchapuzo kama huo siku nyengine nomba utupikie sambaro mammy insha allah

  • @haniyaashur3615
    @haniyaashur3615 6 ปีที่แล้ว

    Asalamu alekum vp habibty naomba rcpy ya labania zakungumanga

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Aleikum Musalaam, sorry dear mimi sio mtu wa labania sio vyakula vangu hivyo jaribu shuna's kitchen

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 3 ปีที่แล้ว

    somo zuri sana😍🔥

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 6 ปีที่แล้ว

    Jazaki Allahu Khairaan
    Je nyanya hazichanganywi ktk piliplili?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Huo ni uamuzi wako dear kama utapenda sio vibaya

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว

    shkran ukt kwa kutujuza mapishi mbalimbali, napenda uliza swali hii pilipili inaweza kukaa kwa muda gan bila kuharibika?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Mie naweka kwenye fridge kiasi miezi 2-3

    • @reycakesjikoni9085
      @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว +1

      ok asante ukt namm ntaweka kwa fridge

  • @jonahmwangi5101
    @jonahmwangi5101 6 ปีที่แล้ว

    Nimeitafuta recipe hii mda mrefu. Ahsante Sana kwa maarifa yako

  • @neemaclemenc7219
    @neemaclemenc7219 6 ปีที่แล้ว

    nimependa adiraha nakupenda sana chanely yakodd

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sana.l really needed this

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 2 ปีที่แล้ว

    salàm alekum mashallaah

  • @devothajoseph5386
    @devothajoseph5386 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana! inadumu kwa Muda gani?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Devotha Joseph ukiweka kwenye fridge hata miezi 2 inafaa

  • @fahmyayoob5775
    @fahmyayoob5775 5 หลายเดือนก่อน

    Wonderful ❤❤❤❤❤👍👍👍👍👍

  • @arasa904
    @arasa904 6 ปีที่แล้ว

    Ila shukran sana Allah akubariki

  • @blackgold4964
    @blackgold4964 7 ปีที่แล้ว

    keep up the good work nauliza ukitia vinegar it will not spoil and stay fresh for weeks or

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Mie huwa naweka kiasi wiki 6 hivi lakini mahali sio penye joto sana bila fridge lakini kwenye fridge I have gone up to 3 months lakini ilikua sikuiona au ingekua imeshakwisha

  • @danielx8
    @danielx8 5 ปีที่แล้ว

    Maji ya siki ndio vinegar?

  • @catherineassenga1936
    @catherineassenga1936 4 ปีที่แล้ว

    Maji ya siki ni rose water?

  • @evebalushi4258
    @evebalushi4258 4 ปีที่แล้ว

    hi dear
    I'm looking for wali cake recipes

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Wali cake recipe..I don't understand

  • @christerexavery611
    @christerexavery611 7 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri. Nitapata wapi siki au jina jingine inaitwaje?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Christer Exavery Siki kwa English inaitwa vinegar, ukienda dukani uliza

  • @ummuzahrah714
    @ummuzahrah714 7 ปีที่แล้ว +1

    Wow nakukubali mummy

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu 7 ปีที่แล้ว +2

    Omg nimefurahi sanaaa kupata recipe hii. Jinsi Ninavyopenda pilipili, kwa mhogo, embe bichi, Asante mpendwa. 😊😍😍

  • @ramlahalawi3883
    @ramlahalawi3883 6 ปีที่แล้ว

    Baaraka Llahu fiik Ukhti ninapenda kujua habanero ni pilipili gani? hamna jina lingine ambalo latumika

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Ramlah Alawi Habanero ni pili pili kutoka Mexico ndio zinapatikana huku Marekani wewe tumia pili pili utalazopata huko uliko kila nchi na mji kuna mazao ya pili pili tofauti

  • @abudebinabri1287
    @abudebinabri1287 7 ปีที่แล้ว

    shukran mungu akuweke

  • @beatricemkinga3351
    @beatricemkinga3351 4 ปีที่แล้ว

    Inaweza kukaa mda gani bila kuharibika usipoweka kwenye friji? Plz nijuze mpnz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Inategemea na mazingira unayo ishi , hii haiwezi joto inachemka na kuchacha

  • @shaizanajamal5834
    @shaizanajamal5834 7 ปีที่แล้ว +1

    Yummy. Wonderful recipe

  • @lelaobama4384
    @lelaobama4384 5 ปีที่แล้ว

    Mamy kwaiy apo umesaga bila maji??

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Ndio kama nilivyo onyesha na kueleza sukutumia maji

  • @jeanmyk
    @jeanmyk 7 ปีที่แล้ว

    Asante kwa Hii video. Je, utumii nyanya?

  • @harunisimkonda6873
    @harunisimkonda6873 6 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri dada kwa mapishi

  • @ruthjmkombozi5990
    @ruthjmkombozi5990 3 ปีที่แล้ว

    Hellow nimeangalia recipe za pilipili je naweza kutengeneza kama ya biashara na itatumia muda gari kutoharibika?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 ปีที่แล้ว

      Nimeeleza kila kitu kwenye hiyo video dear

  • @adamnditi6564
    @adamnditi6564 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongezee asante

  • @jacklinefrank4858
    @jacklinefrank4858 5 ปีที่แล้ว

    Samahan Dada Mimi new comer kwenye hii pilipili naweza kumix na nyanya?

  • @Suumerlinfifo1
    @Suumerlinfifo1 7 ปีที่แล้ว +35

    Woow Aroma mummy nakupenda sana naringa ju ya upishi MashaAllah ..yote nacopy kwako mpenzi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Hongera kwa jitihada yako

    • @idewairene2542
      @idewairene2542 6 ปีที่แล้ว +3

      Siki ni nini?

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 6 ปีที่แล้ว +1

      @@idewairene2542 Vinegar

    • @chasydaniela1233
      @chasydaniela1233 5 ปีที่แล้ว

      Idewa Irene hata mm hilo jina nimeliskia hapa Kudos TZ w/Swahili language

    • @heriethmnyanda4989
      @heriethmnyanda4989 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar ina uwezo wa kukaa kwa mda gani.

  • @hamoudmkhamis8726
    @hamoudmkhamis8726 5 ปีที่แล้ว

    Mama. pilpili sauce from The aroma of Zanzibar ilikuwa nzuri sana sana. God bless you.

  • @teddynkwabi4502
    @teddynkwabi4502 6 ปีที่แล้ว

    Siki ndo vinegar hivo eh?

  • @xoxomacx2539
    @xoxomacx2539 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dear, I really enjoyed this recipe. Can you please please do a recipe on samosa filling. What I have found online is more Indian style.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      You are welcome dear, glad to know you enjoyed it. I have done a samosa filling when I did the potato chops, heres the link th-cam.com/video/3_SfsJEcMD8/w-d-xo.html

    • @xoxomacx2539
      @xoxomacx2539 6 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar Asante dada. Sukran 🤗🤗😀

  • @BillysFamily
    @BillysFamily 7 ปีที่แล้ว

    Nitafaidi sana hii kwa ndizi na mshikaki. Dada have you ever get mbilimbi huku ugaibuni. Tafadhali ukipika biriani tufunze pishi lako

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Billy's Family Ahsante, Biriani mbona imo ya zamani sana ipo ya nyama Na ya kuku pia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Billy's Family mbirimbi zipo kwa wachina tena umenikumbusha

    • @BillysFamily
      @BillysFamily 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar hahahaahhahaahhaha ngoja nitaenda China market basi .

    • @BillysFamily
      @BillysFamily 7 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar ngoja nitaicheki kipenzi

    • @BillysFamily
      @BillysFamily 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar mbilimbi huku wanaitaje mana nikidhani nikiwaeleza kwa English hawaelewi. Is there specific name of China

  • @njeshkaris8957
    @njeshkaris8957 6 ปีที่แล้ว

    Wow mashallah nitategeneza yangu asantee dadaa

  • @aminahemedi3479
    @aminahemedi3479 6 ปีที่แล้ว

    hyo siki inapatikana wapi?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Tafadhali ukenda dukani uliza , inatwa vinegar kwa English

  • @rennymakapo4261
    @rennymakapo4261 6 ปีที่แล้ว

    hello mamy nafatilia sana mapishi yako na huwa natoa vitu sawasawa na vyako nikitaka kutengeneza pilipili ya kuuza niweke nini ili ikae kwa muda mrefu?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Ahsante, mimi huwa nafanya kwa nyumbani na siki/vinegar inasadia kukaa kwa mda lakini naweka kwenye fridge sijawahi kuweka nje. Jaribu kidogo mwenyewe ku experiment uwone itakaa mda gani

  • @everlynemwangi3847
    @everlynemwangi3847 7 ปีที่แล้ว

    Asante mama.Kuuliza si ujinga..lakini pilipili hii ukishatengeza waweza kutumia na chakula kipi?Na baada ya kupika,unaweza refrigerate?Sijaiva Kiswahili vile

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Everlyne Mwangi Hi pilipili unaweza kulia chakula chochote utakachopenda kama aina yoyote ya wali, ndizi, vitafunio kama Kabab, katlesi n.k . Ndio ni muhimu kueka kwenye fridge

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Everlyne Mwangi This is the link to the English version th-cam.com/video/6sDcy1JDpTU/w-d-xo.html

  • @beckytreats5875
    @beckytreats5875 5 ปีที่แล้ว

    Siki in mini??

  • @amboka2001
    @amboka2001 5 ปีที่แล้ว +2

    Siki ni vinegar, Asante kwa recipee

  • @therealafricana1372
    @therealafricana1372 4 ปีที่แล้ว

    Love her..siki ni nini.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      White Vinegar

    • @therealafricana1372
      @therealafricana1372 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar thanks dear..umenifundisha something i use regularly but sijawahi jua jina lake la kiswahili. Thanks and keep up the good job.

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 7 ปีที่แล้ว

    Shukran habbty me nataka kujua vp unapika vijoya please

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Salaam, mimi vijoya sio katika vyakula ninavypenda kwa hivyo sijawahi kupika , sorry

    • @maryamkhamis9493
      @maryamkhamis9493 7 ปีที่แล้ว

      Ok habbty hamna tatizo

  • @camiliamibenge5345
    @camiliamibenge5345 7 ปีที่แล้ว

    Aksante sana
    Siki ni nini dada ?

  • @rafanasadiki31
    @rafanasadiki31 7 ปีที่แล้ว +1

    Thx my lovely sister mi am inlove with pilipili. Thx so mwaaa

    • @azizaali8506
      @azizaali8506 ปีที่แล้ว

      Mimi natamani niipate namba yake muda mrefu lakini sijui vipi inapatikanaa

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 5 ปีที่แล้ว

    Hii pili pili inaweza kukaa muda gani kwenye fridge au nje ya fridge?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Kwa hali ya hewa ya joto ni vixuri kuweka kwenye fridge mpaka miezi 3 mpaka 4 hakikisha hutotumia kitu chenye maji kuchotea

  • @christinekwamboka2302
    @christinekwamboka2302 6 ปีที่แล้ว

    siki ni nini?

  • @GFNas83
    @GFNas83 4 ปีที่แล้ว

    Hi can you please show us how to make siki ya ndimu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Sorry I don't know how to make siki ya ndimu but I do know how to make achari ya ndimu though

  • @shamtheboss4459
    @shamtheboss4459 6 ปีที่แล้ว

    nimeipenda ila vinega c yoyote tu au kuna tofaut labda?

  • @husnaismaili4272
    @husnaismaili4272 6 ปีที่แล้ว

    Siki Ndio Vinegar?

  • @alexandrinadomaino1085
    @alexandrinadomaino1085 7 ปีที่แล้ว +2

    Asante mumy kwa somo

  • @franciscarachieng2203
    @franciscarachieng2203 6 ปีที่แล้ว

    maji ya siki ndo maji gani ?

  • @francispetro1944
    @francispetro1944 6 ปีที่แล้ว

    Inakaa muda baada ya kuiandaa kwenye moto la kawaida?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Moto wa kawaida ndio vipi, sijafaham

    • @francispetro1944
      @francispetro1944 6 ปีที่แล้ว

      No nlikua nauliza kwa joto la kawaida baada ya kutengeneza inakaa muda gani bila kuharibika au inafaa kwa matumizi kwa muda gain?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Sehemu ya joto la kawaida haikai sana labda wiki tu lakini kwenye fridge hata miezi 2/3 lakini uhakikishe haitiwi kitu cha maji yaani kama kijiko ukiwa una serve

    • @francispetro1944
      @francispetro1944 6 ปีที่แล้ว

      Sawa hakuna kitu kingine naweza kuongeza ili ikae kwa muda mrefu kwenye joto la kawaida?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      petro zzpetrol zipo chemicals Ambazo macampuni makubwa wanatumia sijui kama zinauzwa maduka ya reja reja x kama nataka kuuza ni bora utie chupa ndogo halafu mfahamishe mteja kama hii ni kitu fresh ni vizuri kuweka kwenye fridge atathamini kushinda kujua mna chemicals ili kishi mda mrefu (weka sticker)

  • @amilyhamiss1339
    @amilyhamiss1339 4 ปีที่แล้ว

    Samahani Dada nimetengeneza pilipili nzuri sana ila tatizo ukiifungua inamwagika mpaka chupa inabaki nusu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      kama umeweka sehemu ya joto itakua ni gesi hiyo sababu ya ukali inakua inachemka. ukiweka kwenye friji haina tabu

    • @amilyhamiss1339
      @amilyhamiss1339 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar samahani Dada sina friji hakuna njia nyingine

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      @@amilyhamiss1339 ni muhimu kuweka kwenye fridge dear nimeeleza hayo kwenye video

  • @mototv1599
    @mototv1599 6 ปีที่แล้ว

    *asalam alaykum.., je naweza kuchanganya na nyanya kiasi..?*

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Kama utapenda unaweza hakikisha unaipika vizuri mpka maji yote yakauke

    • @mototv1599
      @mototv1599 6 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar *ahsante sana*

  • @17arcdec29
    @17arcdec29 6 ปีที่แล้ว

    siki ni nini na inapatikana wapi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Siki kwa kingereza ni vinegar inapatikana dukani

  • @alfredinafelix836
    @alfredinafelix836 4 ปีที่แล้ว

    hivi maji ya siki ndio vinega?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Ndio vinegar

    • @alfredinafelix836
      @alfredinafelix836 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar asante kwa kunijibu ontime...nilifanya kama kubahatisha tu maana video niyazamani...thanks...yaani recipe zako dada zinanifanya nijipatie sifa hapa nyumbani kwangu...mchana nimepika pizza wqnangu wameenjoy japo sijui nimekosea wapi yaani imekuwa kali kama nimetia ndimu vile...nitajaribu tena....hapa natengeneza pilipili yako...ur amazing dear

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      @@alfredinafelix836 most welcome dear

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      @@alfredinafelix836 pizza imekua Kali basi ni tomato ongeza sukari

    • @alfredinafelix836
      @alfredinafelix836 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar sawa,next nitaongeza.thanx dear.

  • @a.w5552
    @a.w5552 5 ปีที่แล้ว

    What do you call maji ya siki in English?

  • @aliceaswile671
    @aliceaswile671 6 ปีที่แล้ว

    mamie hii pilipili sehemu ya joto inaweza kukaa kwa muda gani km inawekwa kwenye fridge?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Sehemu ya joto haikai sana labda wiki tu lakini kwenye fridge hata miezi 2/3 lakini uhakikishe haitiwi kitu cha maji yaani kama kijiko ukiwa una serve