Yaani tunamsikiliza huyu Bashe huku tunapoishi katika nchi zawatu Na kwasababu tunajiandaa kurudi nyumbani ili tujukujikita kwenye kilimo ndani ya nchi yetu Ila hayo Makato ndo tulikua tunayajadili kwanini tozo zinakua kubwa?tulikua tunajiuliza Sana Kwa maamuzi haya ya Waziri Bashe tumeyakubali Sanaa na Mungu akulinde Na maadui waizi katika hiyo nchi yetu Ili turudi kuja kujishuulisha Na kilimo tumeshachoka kukaa nchi za watu tushakuwa watu wazima Sasa Tuju nyumbani kuendelea Na majukumu mengine INSHA ALLAH
Mungu akubaliki bashe endelea tuko nyuma yako na mungo yup mbele yako
VIVA MH. WAZIRI BASHE.
Good leader respect to you bashe
masha Allah
one love east african
Yaani tunamsikiliza huyu Bashe huku tunapoishi katika nchi zawatu Na kwasababu tunajiandaa kurudi nyumbani ili tujukujikita kwenye kilimo ndani ya nchi yetu Ila hayo Makato ndo tulikua tunayajadili kwanini tozo zinakua kubwa?tulikua tunajiuliza Sana
Kwa maamuzi haya ya Waziri Bashe tumeyakubali Sanaa na Mungu akulinde Na maadui waizi katika hiyo nchi yetu
Ili turudi kuja kujishuulisha Na kilimo tumeshachoka kukaa nchi za watu tushakuwa watu wazima Sasa
Tuju nyumbani kuendelea Na majukumu mengine
INSHA ALLAH
Allah akulende kaka
Mama akistaafu majaliwa wazir mkuu kile kiti aachiwe bashe kwa moyo wa dhati kabisa bashe wazir mkuu ajayo
Vipi utabili wa mke wa Madeleka?
Sikuwapi sasa
Rais asimtoe kwenye kwenye kilimo akitoka tutatumia sana wakulima
hivi viti viwili huyu jamaa anaweza muda kaka jaribu 2939 kitu cha urais baada ya mama ukishindwa uwazir mkuu wa kupe ulo vzur
masha Allah
one love east african