MBUNGE KISHIMBA AJA NA HII KALI, "WAFUNDISHWE SOMO LA KUTAFUTA PESA NA KUTUNZA /KIPAJI CHA KULIMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 7 หลายเดือนก่อน +22

    Dah! Hii ya somo la kutafuta Hela na kutunza fedha ni mzuri sana. Aliyemuelewa mbunge gonga like. Na hii nusu degree nayo!

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 7 หลายเดือนก่อน

      Mbunge huyu jimboni kwake haonekani. Mara ya mwisho katokea wananchi wamemwambia akienda bungeni aongee kelo zao kibao sio mara Bangi iwe legal. Mara ndio hiii..
      Alafu uchaguzi ujao utasikia kapita bila kupingwa.

    • @ernestdirangw804
      @ernestdirangw804 7 หลายเดือนก่อน

      🎉😂😂😂😂😂😂.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Inaitwa financial literacy au elimu ya fedha ni mfumo wa dunia kutokufundisha hilo somo ili wachache waendelee kutawala na wengi waendelee kuwa masikini babylon system...

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mh ni Great Thinker bhasi tu,Tunamchukulia pouwah

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dadek,huyu kabuni kitu kitamu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yani kishimba kuusu chakura masculinity ni miladi za walimu au watu furani hivi kila siku 1000chakula 1000 mitihani ya jalibio kilasiku ukija hapa hasa shule za maeneo ya mgulani taifa,ukija boko hakuna mitihani kiasi hicho na chakula bei nyinginesasa unawatoto 4kila mmoja 2000 zidisha kwa mwezi zen Mtu maisha siyanakuwa magumu

  • @jonathansehaba7441
    @jonathansehaba7441 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana hoja ya msngi

  • @umbaliche
    @umbaliche 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo ni kwamba Kishimba akionhea watu wanafurahi tu, wanaishia hapo.
    Kama mawazo yake yangechuliwa serious kungekuwa na mabadiliko.

  • @nivesmapunda694
    @nivesmapunda694 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni genius kwelkwel!

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 7 หลายเดือนก่อน +1

    somo la kutafuta pesa ni muhimu sana, uyu mzee anakitu. Kuna mtu mfanyabiashara mkubwa anaimba huu wimbo kila siku.

    • @bs5802
      @bs5802 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana ana hela

  • @SophiasaidiMushi
    @SophiasaidiMushi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kishimba wakuache kabsa hamna kuuza ng,ombe

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nafuta vijana wa kuajiri sharti awe na nusu degree ya kilimo na mifugo

    • @TimotheoSoteli
      @TimotheoSoteli 7 หลายเดือนก่อน

      Tafuta mwenye degree kabisa,siyo nusu degree,mimi nipo na Degree ya mifugo kutoka Sokoine University of Agriculture

  • @GodfreyMwambwalo-ev9nh
    @GodfreyMwambwalo-ev9nh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inatakiwa tupate wabunge wengi kama huyu Mzee Kishimba Mwenyezi Mungu Amjalie afya njema.mwenye namba ya simu yake naomba anirushie

  • @johncharlesmu37
    @johncharlesmu37 7 หลายเดือนก่อน +1

    IQ ya huyo mbuge ni kubwa sana

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 7 หลายเดือนก่อน +1

    Du huyu mzee aisee ni uzao wa quilification za kujua kusoma na kuandika. Prof anakazi.

  • @anthonylugoi6269
    @anthonylugoi6269 6 หลายเดือนก่อน

    Tulio soma Kishimba secondary tujuwane hapa 🙌

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 6 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa kiongozi unayeongozwa huwezi kufanya maamuzi yakinifu serikali zetu za Africa bado zinaongozwa na wazungu kifikra,kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni.
    We are not free na lengo la wazungu ni kulifanya bara la Africa kuwa masikini na tegemezi daima.
    #AfricaTuamke

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ina onekana wenye moyo wa uzalendo kama huyu mubunge hawapo kabaki peke yake kila siku ana ongea lakini hakuna mabadiliko

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee ni master mind, kwenye cabinet ya mawaziri wakipatikana angalau nusu ya wenye IQ kama yake tutapiga hatua.Imagine ni mtu wa elimu ya msingi lakini upeo ni mkubwa sana.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 7 หลายเดือนก่อน

    Generous

  • @nivesmapunda694
    @nivesmapunda694 6 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa kwanini hapewi PHD?

  • @perfectchoiceenterprises
    @perfectchoiceenterprises 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mmoja ana thamani ya wabunge 50

  • @barakaschaula8323
    @barakaschaula8323 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbunge afike mbinguni

  • @mirajiramadhanikyande6173
    @mirajiramadhanikyande6173 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anaongea uhalisia. Kwanini hapewi PHD

  • @YasintaCharles-g8x
    @YasintaCharles-g8x 7 หลายเดือนก่อน

    Waje huku tuwafundishe

  • @FanuelAloyce
    @FanuelAloyce 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wa aina hii Kwa Nini wasiwe mawaziri?

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu hawataki tujue hela inatuzwaje na inapatikana vipi.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 7 หลายเดือนก่อน

    Waambie wanaofukuza wamasai

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu anaongea uhalisia wa maisha