PART1:MFANYABIASHARA WA DUKA ALIEKUWA ANAWALISHA DAWA WATEJA KWENYE BIDHAA WANAPONUNUA DUKANI KWAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuh tumekula vingi dunia hii, unaweza kusema sijawahi kula mifupa na damu za wanadamu kumbe ulishalishwa siku nyingi tena kwa wingi tu.

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana Mr every thing story Kali ilikuwa ya zabroni yule jamaa noma alitisha sana

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      @@benjathekingofficialshows we nini bwana

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 ปีที่แล้ว +2

    Waoooo leo I've been number one

  • @janethhendry6734
    @janethhendry6734 2 ปีที่แล้ว +2

    Story nyingi unaachia njiani ,unaanza nyingine sio vizuri maliza Kwanza story ndio inapendeza

  • @suzanadeimamo7726
    @suzanadeimamo7726 2 ปีที่แล้ว +1

    Duniani

  • @paulkibenzi3242
    @paulkibenzi3242 2 ปีที่แล้ว

    Mr Davi zipo story nyingi unazianza humalizi unatukata stimu sana!

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv หลายเดือนก่อน

    Mnazungumziaa dawa tuu adi story inakosa mvutoo

  • @mungatanamedia5157
    @mungatanamedia5157 2 ปีที่แล้ว +2

    Story ilikua ya zabron

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +2

    Nowdays Mimi usema whether tule sumu aita tudhuru maana hivyo ndo bibilia imesema Marko 16:18

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 ปีที่แล้ว +2

      Nimesoma. Watashika nyoka hata wakinywa kitu chakufisha hakita wadhuru kabisa wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata afya. Asante kwa neno la Mungu zuri🙏🙏

    • @Patience.67
      @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

      @@inongee1141 ameeeen

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 2 ปีที่แล้ว

    navile napenda kula zile free tropical sweets kwa maduka za wahindi kenya🤔 the end

  • @chazp6436
    @chazp6436 2 ปีที่แล้ว

    Yaaaaa nipo hapa kwenye chuo hichi cha NTC kwa kazi maalum na huyu ni jamaa yangu anayehojiwa

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 2 ปีที่แล้ว

    Duuhh AISSEH nimecheka
    Kuna maduka kama mawili Hivi nikienda kununua kitu uwa napewa sana jojo🤣🤣🤣🤣nikikata ananipa tende

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣🤭