Part2_USHUHUDA WA MCH.FRANK ALIYEKUWA KICHAA KWA MIAKA 3 YESU AKAMUOKOA AKIWA KWA SANGOMA MIEZI 6

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amejaa Neema na Rehema. Tunamshukuru Mungu kwa Uponyaji wako mtumishi wa Mungu. Jacktan Barikiwa sana kwa mafundisho haya. Barikiwa

  • @tantinemwemendi8790
    @tantinemwemendi8790 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze mtumishi wabwana

  • @mutabirwakashasha5428
    @mutabirwakashasha5428 3 ปีที่แล้ว +3

    Neema ya Mungu bado inatenda kazi. Mungu ni mwema ametuokoa kwa upendo wake. Yesu Kristo ni mwema sana.

  • @amissingongo5152
    @amissingongo5152 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen kaka ubarikiye

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Barikiwa Sanaa

  • @joelongamo
    @joelongamo 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu abudiwe

  • @mshambawayesu
    @mshambawayesu 3 ปีที่แล้ว +1

    Amennnn, Hakika Mungu ni Mwema sana

  • @joelmutie2149
    @joelmutie2149 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana

  • @sheillahwairai4691
    @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +1

    Atukuzwe mungu awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina
    Mungu awe nawe mtumishi na akutie nguvu zaidi na zaidi.
    Barikiwa sana Mr Jacktan you're God's chosen vessel. You are Blessed to be a blessing to others.🙏🙏🙏🙏 From Kenya nafuatilia kazi nzuri inayofanyika P. TV na mungu awainue kuliko station ingine ile.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Amen, asante na ubarikiwe pia

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 3 ปีที่แล้ว

      Sasa jacktan mbona ushuhuda wa yule mama wa kigoma aliyekufa akafufuka ulikaa kimya

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว +1

      Ipo siku tutauleta, endelea kufuatilia

    • @sheillahwairai4691
      @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว +1

      @@PromovertvTz Ameen am happy to hear that 🙏🙏🙏🙏

    • @sheillahwairai4691
      @sheillahwairai4691 3 ปีที่แล้ว

      @@PromovertvTz Amen 🙏🙏🙏

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว +3

    Waganga wote watangaziwe maombi yahukumu waanguke nakufaaaa yaani fireee🔥🔥🇿🇦🇿🇦🇿🇦

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว +2

      Siyo waganga waanguke na kufa,unapaswa kuwaombea ili wafunguliwe na kuokoka,maombi ya jinsi yako ni dhambi,soma Biblia vizuri

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว +1

      @@josephmusagasa5566 pole sana mganga ninani sinimchawi haya biblia inasema usimwache mwanamke au mwanaume mchawi kuishiiiiii uko dunia yangapi

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว

      @@liesharehema5193 Yesu hakuja kuangamiza bali kuziokoa Roho zilizopotea,kwa uelewa wako kila aliyepotea afanyiwe maombi ya kuangamiza na kuuawa,sijui Kama wewe ni mwema kiasi gani,wasaidie waganga na wachawi kumjua Kristo,kuzijua dhambi zao na kutubu,usiwe hivyo kwani hata Kristo hakuwa hivyo. Pili,usomapo Biblia kuwa makini ili uelewe msingi wa Yesu Kristo wa kuwafia wadhambi,ubarikiwe

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว

      @@josephmusagasa5566 na wewe ubarikiwe sana ila mimi kwakweli kwaupande wa waganga, wachawi sina unachoweza kunieleza maana wanaua watu wanafanya watu kuwa vichaa sasa hapo niambie nenda wewe kawahubirie waokoke nawengine wanazuia injili yamungu isiende mbeleee nasema wafeeeeeee

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว

      @@liesharehema5193 Biblia inatuambia kuwa kuna Amri kumi za Mungu kwa wanadamu,na katika zote hii ndiyo iliyo kuu "UPENDO" Mpende Mungu wako kwa ..................na Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hivyo usipende nafsi ya mtu mwingine iangamie,hivyo fanya yote lkn Upendo ni silaha kuu katika imani ya mkristo

  • @mussaphodogo1146
    @mussaphodogo1146 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Kila kitu kikubwa huanza kidogo kidogo

  • @ruthfasha7166
    @ruthfasha7166 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu wetu

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 3 ปีที่แล้ว +1

    God is good...all the time...

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว +1

    Songa mbele kaka yangu hata mimi mungu anazungumza na mimi kila siku kuwa nijamtumikie nikiingia tu kwenye maombi sauti yamungu huwa inazungumza kabisaaa

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 3 ปีที่แล้ว +1

    Halleluyah be thy name

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 3 ปีที่แล้ว

    Yesu wa ajaabu

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 3 ปีที่แล้ว +2

    Jactan tafuta mkewee na bbi yke
    Watakuwa na mengi ubarikiwe

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 3 ปีที่แล้ว +2

    Jacton nipee number ya huyu mtumishi nili isave lakini nikama ilipotea plz

  • @SuzanaNyanda
    @SuzanaNyanda 4 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa MUNGU JUU ALIYE JUU YA YOTE

  • @annkim2690
    @annkim2690 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Bibi Mimi ningependa kumjua kweli jamani Jacton fanya umhoji huyo Bibi atupee mafunzo kidogo

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Amen,siku moja tutamtafta

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo nasikiliza nikiwa arusha sinoni hapa promover mbarikiwe