KUMBE SI MUNGU ALIMTUMA MUHAMMAD! //NI NANI BASI? SIKIZA HADI MWISHO.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 73

  • @JohnArobogast
    @JohnArobogast 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwalimu uko vizuri

  • @dunstanRupia
    @dunstanRupia 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaabudu shetani bila kujua. Asante Mwalimu

  • @EvaFMlambo
    @EvaFMlambo 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mbarikiwe sana.

    • @trusted777
      @trusted777  2 วันที่ผ่านมา

      Tubarikiwe sote

  • @GoodluckTumaini-o7p
    @GoodluckTumaini-o7p วันที่ผ่านมา +2

    Mwalimu nenda uungane nawalimu wenzako akina ndacha.ubarikiwe

    • @trusted777
      @trusted777  วันที่ผ่านมา

      @@GoodluckTumaini-o7p hapana... Shamba la BWANA ni kubwa. Mimi nafanya huku na wao wafanyie kwingine.

  • @Alithoya-qr7di
    @Alithoya-qr7di 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukristo niupofu kweli yaani Kila kitu Kiko wazi lakn kuelewa ningumu itabidi tuanze kufundisha lugha

  • @EvaFMlambo
    @EvaFMlambo 2 วันที่ผ่านมา

    mwingi yao 😂😂😂 Nasiiiiiii

  • @hamadrashid7859
    @hamadrashid7859 14 นาทีที่ผ่านมา

    Mtoa msda hata akili huna hiyo soma aya za nyuma kwenye hiyo sura huna akili ya kufahsmu maneno ya Allah

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 34 นาทีที่ผ่านมา

    Huyoo ni kibaka kama vibaka wengine tuu

  • @JosephMbunda-k7v
    @JosephMbunda-k7v 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Basi ni kikundi Cha mapepo bila shaka

  • @EvaFMlambo
    @EvaFMlambo 2 วันที่ผ่านมา

    Eti, nasi, yani ni wengi wa mungu (mwingu yangu) 😂😂😂 niatari sana.

    • @omaar5693
      @omaar5693 วันที่ผ่านมา +1

      wewe hujasoma MWANZO 1 26?

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@omaar5693
      MWANZO 1 26 Mwenyezi Mungu alikua anazungumza na Mwanae Yesu Kristo!
      Yohana 17:5 "Na sasa Baba, nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa."..

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli mnaujua. Lkn mnasoma maandiko nusunusu bila kumaliza mpaka mwisho na mengine mnayapindisha Ili msikimbiwe na watoa sadaka.

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 วันที่ผ่านมา

      Lete andiko sasa lililokamilika

    • @omaar5693
      @omaar5693 วันที่ผ่านมา

      ​​@@joramsengi9123 21 25. Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu.
      MAANA YA NASI

  • @EvaFMlambo
    @EvaFMlambo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jambo!, Mpendwa Mwalimu.

    • @trusted777
      @trusted777  2 วันที่ผ่านมา

      Salama mjoli. Barikiwa

  • @SabaMandalasi-y8p
    @SabaMandalasi-y8p วันที่ผ่านมา

    Pia huu ni mtihani hata aya kufasiri haujui ebu isome vzuri hyo aya juu ya Muhammad kutumwa na mungu soma vzuri co kwa kupotosha utaelewa nn kimekusudiwa hapo inasikitisha sana kuona unajitoa umesoma kumbe hauna elimu kabisa ya kiroho

    • @amosethantheking8815
      @amosethantheking8815 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa si utafsiri wewe, nasi ni wakina nani na Mungu ni shahidi tu??? Kivipi???

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 35 นาทีที่ผ่านมา

    Kama ni msomi hawazi kukaa na kubaka maneno ya Allah na mtume wake kuyakatakata kama unaakili wwe mwezangu unayetizama au unayemsikiliza utajigunza nni kwake kama lipo niulizeni mmi niwaeleweahe

  • @IssaRamadhani-yg1xy
    @IssaRamadhani-yg1xy 37 นาทีที่ผ่านมา

    Asalaam alaykum warhamatullah wabarakatuh wenye akili naomba mnielewe hawa walimu wa TH-cam ni wapiga Hela tuu hadi huku kwenye TH-cam kumekua kama kanisani wanataka kuwadanganya kama wanavyodaganya kanisani lengo wapate kula naomba muelewe hilo ila nyinyi ni wenye akili hapo hakna msomi kuna kibaka wa TH-cam na maneno ya mwenyezimungu

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 วันที่ผ่านมา +1

    Hauna tofauti na WA Israel ambao hawamtambui Yesu mpaka muda huu. Walimkataa ingawaje alitabiriwa na vitabu vya kale kama Muhammad alivyotabiriwa na vitabu vya kale.

    • @PhilemonLaizer-wz9wu
      @PhilemonLaizer-wz9wu วันที่ผ่านมา +1

      Naomba Aya inayoonyesha Muhammad katabiriwa katika vitabu vya kale

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Waislamu hawana tofauti na WA Israel ambao hawamtambui Yesu kristo Mwana wa Mungu aliye hai...wanamtambua yesu feki kwa jina issa bin maryam

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko na ujinga mingi uko na kichwa kubwa lakini imebeba kinyesi wacha kuwadanganya watu kama kweli ukristo dini mbona huna ukweli

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wacha ukora maana kila saaa ni Muhammad Muhammad tafuta kazi kijana

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 วันที่ผ่านมา

    Yusphhasssan96 nakuliza Nazi ninani jivi swali wacha asira

  • @254trends
    @254trends วันที่ผ่านมา +1

    Umfwate Muhammad usimfwate haipunguzi kitu na uislamu utaendelea

    • @trusted777
      @trusted777  วันที่ผ่านมา

      @@254trends njia ya upotevuni ni pana nao ni wengi wanaoenda kwa njia hii. Muddy ni nabii wa uwongo.

    • @254trends
      @254trends วันที่ผ่านมา

      Abu Jehal, Abu Lahab, wote walimkata na bado uislamu inaendelea

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uislamu utaendelea hadi jehanam......habari ndo hiyo!!

    • @254trends
      @254trends 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@chapchap-oz1ou ya Muhammad mpaka mwisho mungu ndie anahukumu si wewe

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Aliyekuwa ni adui wa Jibril ndiyo aliyeiteremsha Quran? Adui wa Jibril ni nani kama siyo shetani? Utume wa Muhammad unatoka kwa shetani na quran inatoka kwa shetani vilevile. Njooni kwa Yesu nyie Waislamu mpate uzima wa milele, huko mliko jiko litawahusu

    • @trusted777
      @trusted777  6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen Amen... Yesu Kristo yuko tayari kuwapokea.

  • @chamhamis5027
    @chamhamis5027 2 วันที่ผ่านมา

    Unasoma kitabu kwa nia ya kutafta kile unacho kitaka na sio kile kinacho takikana kwenye mstar moja unakubali maneno furan na unakataa mengine huo ni udogo wa elim.

  • @254trends
    @254trends วันที่ผ่านมา

    Anatafuta kiki na Muhammad sadaka imepungua enda ukalime bro ata yesu alikataliwa na wayahudi kabila lake sembuse Muhammad

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 วันที่ผ่านมา +1

      Muhammad anakataliwa kwa ushetani aliouleta . lakini Yesu alichukiwa kwa kuihubiri kweli

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Waislamu ndo wayahudi wa zama hizi...mnamkataa Yesu Halal, mnamkubali yesu haram kwa jina issa bin maryam.

  • @MwanjaSulaiman
    @MwanjaSulaiman วันที่ผ่านมา

    Ninan sasa hao tone majibu

    • @trusted777
      @trusted777  วันที่ผ่านมา

      @@MwanjaSulaiman ndio tunasubiri majibu yao sasa

    • @omaar5693
      @omaar5693 วันที่ผ่านมา

      ​@@trusted777 kama unaelewa qurani jifunze AYA hii ila kuwa kweli 21 25. Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu.

  • @MwijakaSwalehe-dg4hw
    @MwijakaSwalehe-dg4hw 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We falaa,yule alyesema tuumbe mtu kwa mfano wetu,walikuwa wangapi

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na malaika

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Roho mtakatifu na yesu lkn kwenu mungu Hana mshirika

  • @AlmasiLukamya
    @AlmasiLukamya วันที่ผ่านมา

    NAHITAJI MJADALA NAWW ULETE HOJA ZAKO IZO DHAIFU MBELE YA UMMA

    • @trusted777
      @trusted777  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AlmasiLukamya niko kwa mjadala hapa Kenyatta road nairobi. Shekh Anwar, shekh Ndeda wako hapo

    • @trusted777
      @trusted777  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AlmasiLukamya njoo hapo rafiki kama ukiwa tayari

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 43 นาทีที่ผ่านมา

    Acha uongo Kisina Yesu ni wapi alikua akiingia kanisa, wanaslim ata mbele yakina Ndacha acha wewe

  • @SabaMandalasi-y8p
    @SabaMandalasi-y8p วันที่ผ่านมา

    Hauna elimu ya kiroho swala la kurogwa mbna limeelezwa mala nyng kwenu wakristo tukakupeni hadi mfano kwa ayubu pia nawe ilimtokea mitihani kama hyo na ungekuwa kama kweli unaelimu hyo ebu waambie watu why Muhammad alogwe au ayubu na co kusema tu

    • @amosethantheking8815
      @amosethantheking8815 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ayubu ndiyo Yesu? Kama una ushadidi wa Yesu kurogwa tuambie.

  • @254trends
    @254trends วันที่ผ่านมา

    Muhammad ni mtume wa Allah si wa yesu mungu wenu si mnasema Allah ni jiwe jeusi sasa unaongelea mungu mgani?

    • @DouglasThuranira
      @DouglasThuranira วันที่ผ่านมา

      Allah never exist repent and accept Jesus as your Lord and savior before it's too late please

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t วันที่ผ่านมา

    We nguruwe kwani huna kazi nyengine ya kufanya?

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nguruwe ata nyie waislam mnakula ila mmeambia mle kias

    • @AlbertSabo-hp3ss
      @AlbertSabo-hp3ss 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa hasira na matusi ya nini?? Inaonyesha ulivyokarorishwa. Kama una hoja weka mezani.

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 วันที่ผ่านมา

    Wacheni uongo wenu kila kitu ni documented.Munapotosha tafsiri kwani yenu haiendi sawa na Uislamu.Christianity is a pagan religion.

  • @chamhamis5027
    @chamhamis5027 2 วันที่ผ่านมา

    Ndio mtume Muhammad s.a.w. aliwasomea majin qur an. Kwa sbb alikua anakamilisha agizo la allah. Pale alipo mwambia sikuumba wa2 na majin. Isipokua waniabudu. Soma kwanza acha chuki elim yako ndogo san.

    • @Skeletonking2116
      @Skeletonking2116 วันที่ผ่านมา

      NI SAWA NA ILE AYA YA KWENYE BIBILIA INAYOSEMA "NA TUMFANYE BINADAMU KWA MFANO WETU"

    • @wakeshojana
      @wakeshojana วันที่ผ่านมา +1

      @@Skeletonking2116
      Mungu alituumba kwa mfano wake...sio kwa mfano wa majini!!

    • @PhilemonLaizer-wz9wu
      @PhilemonLaizer-wz9wu วันที่ผ่านมา +1

      @@Skeletonking2116 tufundishe Hawa nasi ni kina nani ?

    • @trusted777
      @trusted777  วันที่ผ่านมา

      @@PhilemonLaizer-wz9wu hili swali hawawezijibu hata iweje

    • @trusted777
      @trusted777  วันที่ผ่านมา

      @@Skeletonking2116 si sawa kabisa... Ya quran niya majini

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt วันที่ผ่านมา +1

    Wakristo mungu wao aligeuka kuwa mwanadamu yesu alafu , binadamu wakaamua mungu yesu , mungu gani mwanadamu Wakristo hawana dini ni uchawi ndio kazi zao na ushoga kwa kanisa umekubalika

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Waislam mungu wenu yuko makah kila mkiswari swar zenu znaelekea makah

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kaa kwenye mada, acha porojo

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @daudimichael7338 mada gani ? Ukristo sio Dini . Ati yesu ni mungu , mbona yesu aliposulubiwa alilia akisema mungu wangu mbona umeniacha , sasa ni mungu gani akimlilia na yeye ndio mungu ? Kweli ukishandana akili punguani utaishia pabaya. 😆 🤣 😂

  • @yusuphhassan9619
    @yusuphhassan9619 วันที่ผ่านมา

    Tafuta kazi ya kufanya upate riziki ya halali usilimu uwe mwislam ufe ukiwa umesalimika itakuwa kheri kwako

  • @AlmasiLukamya
    @AlmasiLukamya วันที่ผ่านมา

    HAWA NASI NI WINGI WAKUJITUKUZA

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Lugha huelewi nini....nani hajui NASi ni zaidi ya mtu mmoja????? kwa hiyo aya waliomtuma ni NASI NA mungu ni shahidi!!