MANGE KIMAMBI amshambulia Mama DANGOTE kisa HAMISA MOBETTO "ZARI anamuogopa wewe umekua mpole sana"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #MangeKimambi #HamisaMobetto

ความคิดเห็น • 414

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 4 ปีที่แล้ว +95

    Tulio busy na show ya mange tujuane😍😍😍

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 4 ปีที่แล้ว +14

    Asante Mange... mwenye Asiejiheshimu hawezi kuheshimiwa!! umempa doz kali kweli kabisa..alafu nimependa hiyo dance yako!

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +14

    Khasante sana *MANGE KIMAMBI* umenikosha sana, 😘😍
    *Mama dangote kachangia bwana na Hamisa* ndio maana anaonyesha chuki ila yatamshinda mtu mzima 😏😏😏😏😏

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +20

    Kwani mama dangote ndio Ana rizki za hamisa

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว +34

    If people don't want to forgive you, live her and continue with your life, what can you do? Because this woman is bad for you, you can't change the past Hamisa wangu

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว +1

      @Zeinab Farah I agree with what you say Hamisa needs to move on from this family because they are not good for her she will be more successful without this family

  • @pendomgandi1016
    @pendomgandi1016 4 ปีที่แล้ว +14

    Ndomaana nampendaga mange kimambi 😂 😂 😂 haogopagi mtu yeyote hata uwe president 😂 😂 😂 huyu huongea FACTs alwayz

  • @khadijaoman4085
    @khadijaoman4085 4 ปีที่แล้ว +3

    Mamama wa mastaa wote wametulia ila huyu mchawi mshamba huyu anapaa bila kujijua haya sasa puu kaangukia police akijiona haongelewi anamtaja taja hamisa ili atajwe tajwe na yy kijitu kizima ovyo kushindana na watt mitandaoni chefu kabisa jitu zima lisilojieshimu linatakiwa lirudishwe uttni ili lifunzwe adabu kwanza wote huu ni ushamba wa kuvamia umaarufu kwa pupa wengine sio fani zenu jamani nendeni shamba mkalime msiwarudishe nyuma watu na nyota zao love u hamisa❤👌

  • @kiniyabh8646
    @kiniyabh8646 4 ปีที่แล้ว +16

    Diamond angepata mwanamke kama Akothe au Gigy basi mama Dangote angenyoooka sawa sawa 😄🚵

  • @AaAa-qg1pc
    @AaAa-qg1pc 4 ปีที่แล้ว +31

    Mie mwenyewe nimeumia sana hamisa kwenda kuongea pale asingeenda au asingeongelea hayo maana kama wanaelewana na dai wanalea mtoto basi inatosha

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว +1

      wanawake wa simba chenye kinawaribu ni mdomo tuu

    • @subiraboi9397
      @subiraboi9397 4 ปีที่แล้ว +3

      Ati mm nlimlea wangu bila bba nkansomesha nkamuozesha bila bba na sai ashapata kazi mbona hamisa yuwanitia baridi mwili wangu n itumie njia gani nikuelimishe kuhusu hili

    • @cestlaviecestlavie4073
      @cestlaviecestlavie4073 4 ปีที่แล้ว

      Aa Aa • , kwanza ujuwe ameongelea ndani studio WCB kwa ruhsa ya Mondi, na ye Mondi alikuwa anajuwa kitambo yatakayo ongelewa, kinacho muumiza bibi Sandra ni watu kujuwa ukweli, tukiambiwa Hamisa kamuharibia zari sivyooo 🙄, Hamisa alikuwepo na Mondi kitambo kabla hata ya Wema, bibi Sandra alitaka Hamisa afichwe, halafu wapate kumpora mali yote zari, kumbe zari alikuwa ameisha wagunduwa na ndilo hilo chuki la bibi Sandra kwa Hamisa, kwani wafkiri wanampenda zari ? never ! walikuwa wanataka kumuibia mali zake zote, na zari kapita anawaepuka mapema, ila chaguo la Mondi ni Hamisa, na chochote Hamisa ahitaji kwa Mondi apewa, ila bibi Sandra tu ndo anambania Hamisa 🙏😏...

    • @dotomohd9156
      @dotomohd9156 4 ปีที่แล้ว +1

      Anakiranga huyu Dada

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว

      Acha aseme tu, Mama ni shida yule

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว +22

    mange kumbe wajuw kuchez lkn inabid mtu asisoge karibu man wawez mpig Kofi

  • @shillahmahiri855
    @shillahmahiri855 4 ปีที่แล้ว +8

    Mange ww ni kiboko wa Insta 🤣🤣🤣

  • @lucianawakio1032
    @lucianawakio1032 4 ปีที่แล้ว +6

    I wish Mange ndio angekua mama Dilan.ukoo huo ungeipatapata

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyo hamisa naye kazid Bila Mondi haishi au
    Wacha atukanwe mbweha huyo
    Wanaume kibao kila cku kujipeleka tu kujizalilisha mara oh nimezaa naye siwez kukaa mbali wangap wamezaa naye wamekaa chonjo
    Au yye uliona akiwa fata
    Ngoja uzalilike SSA danga tu😠😠

    • @ashabakari1448
      @ashabakari1448 4 ปีที่แล้ว

      Yaan huyu hamisa angekua mwanangu ningemchapa unang'ang'ania mond wa nn mbweha ww c ulee mtoto wako mwenyew

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 4 ปีที่แล้ว +14

    🤣🤣🤣🤣 nimecheka Mange bwana ushauri wake ila jinsi nnavyompenda Hamisa halafu huyu bibi anachonga sana duh!! Achana nao wanini bibi kama huyu khaaa

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 4 ปีที่แล้ว +1

    Sina timu ila mama diamond si umfukuze oncle shante uowane na mtoto wako diamond nyooh 👹🔥

    • @elit3_furor517
      @elit3_furor517 4 ปีที่แล้ว

      Mange uko sahihi ndomana nakukubali wangu nitaweka insta

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 4 ปีที่แล้ว +20

    Huyo mama Diamond Mshenzi Watabia mtumzima hovyo😏

    • @malongosalim6826
      @malongosalim6826 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa nimemuona gigimane nyumba alohamia alimuamsha tibwili kwamjumbe wake wamtaa Wii bibi kizee huyu angejinyea ila hayupo vizuri huyu mama hata mimi ningemfumua tukagawana majumba ya selekali

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 ปีที่แล้ว

      Jamani shoo kubwa kwa dada wa tz

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mama sibule huyu anakilanga

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 ปีที่แล้ว

      Mange mbona km upo na yondo sista

  • @alikassim9191
    @alikassim9191 4 ปีที่แล้ว +14

    Ni kweli kabsaa mama ndio kila kitu kwa Diamondi Platnumz

  • @zashamloli1233
    @zashamloli1233 4 ปีที่แล้ว +4

    piga kelele kwa zari simbaaaaa # team zar tusipite bila kelele

  • @messaabbas8346
    @messaabbas8346 4 ปีที่แล้ว +26

    Aisee mange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣but she’s absolutely right 😂😂😂😂😂mother she is very different with other mothers ,,,god 🙆🏼‍♀️

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 4 ปีที่แล้ว +3

    If a man cant control the mum n wife kila mtu na lane yake then heshima haiwezi dumu .inshort Nasibu will nvr marry kisa Mama sandra #zarialltheway

  • @elinamanongi965
    @elinamanongi965 4 ปีที่แล้ว +5

    Inabidi mama dangote afanyiwe Dna kama kweli ni mama wa Diamond

  • @salisali174
    @salisali174 4 ปีที่แล้ว +15

    Mimi namlaumu Dai kukubali haya yote yamtokeye mwanae, haya DNA imesha towa majibu, maskini daylan jamani😭

    • @aseelaisaa428
      @aseelaisaa428 4 ปีที่แล้ว +2

      Masikini mtoto akikukua na kujua yalotokea very sad. Kwa kweli inasikitisha sanaaaaa.

    • @salisali174
      @salisali174 4 ปีที่แล้ว

      @@aseelaisaa428 hivi Dai hakujifunza kitu kutokana na maisha yake na baba yake, Mungu atufanyie nini kweli ili tubadilike jamani?

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 4 ปีที่แล้ว +1

      Hamisa achana na huyo mama.mladi dai anajua umuhimu wako inatosha.ongea na bwana mkalia kiti.achana na kuku wapekua chini

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 ปีที่แล้ว

      Kama kamkataaa baba yake akapewa baba mwengine mama nu mtihani walaj

  • @leilamdoe9178
    @leilamdoe9178 4 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali sana mange

  • @timamohammedtimz9549
    @timamohammedtimz9549 4 ปีที่แล้ว +16

    Gigy ni kiboko

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 4 ปีที่แล้ว +2

    Mange you are very right hamisa bora mondi anakupendacwengine wasikukere.

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 4 ปีที่แล้ว +16

    mange nakupenda bureee😂😂

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 ปีที่แล้ว +17

    Yaani mange ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 4 ปีที่แล้ว +4

    Lkn hamic si ungefany yk t, mbona ht majzo umezaa nae shida iko wp! Kila ck dai, kuzaa n mtu cio lzm umgande, mm dai cio mwehu jmn nyio hamuwz jua kuna nn chini y kapet.

  • @marymollel9319
    @marymollel9319 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama mtu mzm hajitambui. mzzzzwww .kasuuzwa km bakuli 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว +15

    Kweli mange teteya mutazania mweziye ❤️❤️❤️❤️🇫🇮🇫🇮🇫🇮🔥🔥🔥👌👌

  • @giftgasper6501
    @giftgasper6501 4 ปีที่แล้ว +5

    Amisa nae kakosea kwani angeliruka ilo swali la mama angekufa siyow lazima mambo ya familia kuweka kwa Public hivyo.

  • @dggxxxxfgff3876
    @dggxxxxfgff3876 4 ปีที่แล้ว +3

    Hajamushauri vibaya kwasababa uyo mama hajieshim

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 4 ปีที่แล้ว +2

    Mange umeongea UKWELI KABISA 💯👍💓💓

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 4 ปีที่แล้ว +18

    Mange umejua kumpa doz bi mkubwa big up mangee💪

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 4 ปีที่แล้ว +2

    Mange umeongea point maana uyo mama hajieshimu hata kidogo kushindana na wakwe ndo nini anajikuta msichana wakati ni mbibi dunia tunapita kama mali hatuendi nazo zisituhadae

  • @victorialucas9094
    @victorialucas9094 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa huyu mama kila mkwe hampendi ana matatizo gn

  • @deriodubose4199
    @deriodubose4199 4 ปีที่แล้ว +14

    Ukweli kabisa mangi unaakiri sana.

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 4 ปีที่แล้ว +3

    Maman dangote akifa atayenda wapi jamani?????fanya uokoke ujuwe yesu na utubu dhambi samahani kama ntakuwa nakoseya 🙈🙉🙊🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @faithjoseph6641
    @faithjoseph6641 4 ปีที่แล้ว

    Tunapiga mama mkwe wenye viherehere,visebengo na wenye roho mbaya kama Mama dangote kwa bei nafuu na mikoan tunakuja😂😂😂

  • @mankajohn8582
    @mankajohn8582 4 ปีที่แล้ว +4

    Lazima amuope Zari anajua atampostia zile picha za zamani

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama mkwee ni mtu mzima ovyoo!!!!

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 3 ปีที่แล้ว

    Misa. Muache. Huyo. Ni. Limbuken. Kapata. Mali. Uzeen baadae. Watakutafuta. Kumtaka mtt. Huyo bibi. Anamtaka. Mwanae.

  • @alwattanchinga
    @alwattanchinga 4 ปีที่แล้ว +5

    Diamond yuapoteza hii story kwa kugawa pesa huko 😂😂😂😂😂,jamani family ina vituko hii,shetani uyo yatalawa

  • @nurukwilabya2790
    @nurukwilabya2790 4 ปีที่แล้ว +6

    Yaaaan Hamisa anazidi kuponzwa na Rafiki yako Mange

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 4 ปีที่แล้ว +1

      Wamama kama hawa hawatakiwi kuwepo maana nikerokubwa sana hawapendiki hawabebeki

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 4 ปีที่แล้ว +1

    Maman dangote atakuwa ni mchawii kwasababu kumchukiya mtoto mdogo vile damu yenu kama siyo uchawi ni nini

  • @OmanOman-fu8xy
    @OmanOman-fu8xy 4 ปีที่แล้ว +8

    Ni kweli jamani 💪💪🤣🤣👏

  • @stanslauselias9002
    @stanslauselias9002 4 ปีที่แล้ว +4

    Hamna mtoto anaye acha kumsikia mama hapo hujatoa ushauli mama anajua alipo toka na mtoto wake hapo umefeli

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwambie hyo aliyekauka mwili

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว

      @@azizayassin3623 kabisa

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 4 ปีที่แล้ว

      Inamaana kila mwanamke atamkwamisha dai sio hamisa peke yake maana kila mwanamke wa dai ni mbaya kwa mama mkwe

  • @munam7104
    @munam7104 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hamisa ilobaki lea mtoto wako fanya kazi zako hidunia ni mapito tu hakuna mkubwa hii dunia ispokua mungu tu na malipo ni haha duniani akhera ni hesabu think about it hamisa God loves you mungu hachuki mtu bwana

    • @janemusa9529
      @janemusa9529 4 ปีที่แล้ว

      Kwani wanaume wameisha Tanzania?? Lazima tu Dee

  • @princesbimkhamis6446
    @princesbimkhamis6446 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera mange

  • @fatumaali747
    @fatumaali747 4 ปีที่แล้ว +2

    Hta sielewi kwa nn hakai na msichana wala haoi na pesa anazo masikini huoa ila yy sababu ni nn au mama ndo hataki mwanae aoe maana atakosa nafasi kwa mwanae mapenzi, bsi kaa mbali na wao hta huyo dai usijipendekeze snaaa na ww

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +2

    Very true mange nakubali mamy wangu😍

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wewe hamisa bila mondi huwezi kuishi umezidi na wewe ngoja wakunyanyapae

  • @umibana6759
    @umibana6759 4 ปีที่แล้ว +1

    Mange uko wright 💯🥰 huyu mwanamke mbaya kama sijui kitu gani!Anaringia mtt wake huyo 1, sijui ana muonaje huyo Dai wake! Ila ni maskiini akipata malizia..... pumbavu zake

  • @sabraali9941
    @sabraali9941 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Imechangamka jamani kila siku yanaibuka mapya hamisa nae amezidi kwenye interview alivyoulizwa swali kuhusu mama dangote angepotezea tu sio lazima ajibu ona Leo anavyochekwa anaonekana analazimisha ukoo

  • @Anasa-m2q
    @Anasa-m2q ปีที่แล้ว

    Mimi sijasikiliza alicho akiongea mange nikiangalia video tu ya mange😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว +1

    Mange leo nimekupenda sana,tatizo yule mama kashazoea kutembea na watoto wadogo,kina omi dimpoz wamesha mgalagaza,ndio mana anawaonea wivu wakwe zake

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 4 ปีที่แล้ว +8

    Mange kimambi angenyamaza tu coz ndo anachochea kabisaaa

    • @husseinmkongomkongo8447
      @husseinmkongomkongo8447 4 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @OmanOman-hr6cb
      @OmanOman-hr6cb 4 ปีที่แล้ว +3

      Kwani mama dangote ni mungu yeye mwenyewe anamakosa yake kibao ifike mahala watu waishi kwa kuheshimiana kila mwanamke anayetoka kwa diamond anasema chanzo ni mama afadhali apashwe tu mtumzima ovyo

    • @RynlizzyTheBoss
      @RynlizzyTheBoss 4 ปีที่แล้ว

      @@OmanOman-hr6cb 😹😹😹

    • @Beingme2024
      @Beingme2024 4 ปีที่แล้ว +1

      Very true

    • @johnmwadime4590
      @johnmwadime4590 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 4 ปีที่แล้ว +3

    Cku zote ukimpenda sana mwanaume zaidi ya anavyokupenda ndo inavyokuwa, mapenzi alionayo kwa Dia ndo yanamfanya anyanyasike

  • @mamajd269
    @mamajd269 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa , next Time Hamisa mbingirishe uyo Mama tu maana ajiheshimu na hana hekima 😂😂

    • @mosekombo3657
      @mosekombo3657 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 4 ปีที่แล้ว

      Km hakubingilishwa mwenyewe chezea taisoni ww

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli kabisa,hio familia usipokodoa macho watakuzoea

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 4 ปีที่แล้ว +1

      Hadi alichapwa ka mtoto na amenyamaza,ningeamka nayeye hadi alazwe hospitali

  • @louangesid
    @louangesid 4 ปีที่แล้ว +11

    Ndio anamuogopa zari😔

  • @martharugwana2130
    @martharugwana2130 3 ปีที่แล้ว

    Mama Dangote hawezi from no where akamkataa misa ,Kuna Jambo kubwa hapo ambalo hata kwenye vyombo tulisikia, la kutaka kumdhu Ma dangote na Diamond (ushrikina). Pengine anahisi hiyo Tania bado anayo !

  • @winniealbert5530
    @winniealbert5530 4 ปีที่แล้ว +4

    This old women, how you call Mamma Diamond 😱😱😱.
    Unaweka AIBU kubwa sana wewe 🙈😳.
    Wacha watoto D na H.
    They Love each OTHER.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kweli kuna mtu kwenye maisha hajakosea hata mimi nakosea kila dakika sasa mwanae ataka watanzaina wampende in high level mpaka Rais anampenda sasa yeye kuchukia watoto wawezao anaona ni raha au sifa hivi watanzania wakiamua kuchukia mwanaye si mwisho wa habari kweli ni kutoa tambua nadhani watu inabidi wajifunze heshima na upendo avinunuliwe na pesa hata ila hawape maisha marefu hamisa na mwanaye watvyofaniwa kuliko huyo mwanaye ndio watajua malipo ni duniani hata Rais akiona hiyo hapendi kabisa sisi Taifa moja tupende tushikane ni aibu sana sana kunyanyasa watoto wa watu kila kati matukio manatokea huko tanzania kutekwa au kufanyiwa vibaya sasa akipata matatizo utaingia matatizo na sikiziwa kwsi bure acheni ujinga huu mtandaoni tunataka Amani kwa watanzia sio mabifu tena Hamisa amefanya vizuri sana kuongea kaweka wazi kwa ushauri wangu Hamisa fanya kazi watunze watoto wako pia saidia jamii tunakupa baraka zote hata Rais wako anakupa achana mtu asikujali hayo maneno mama yangu aliniambia mjali anaye kujali usipote Nguvu zako watu wasiokujali wewe ni mpenzi wa watu na walitegemea utandondoka ila mungu akushikilia pia watu wako be bless

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 3 ปีที่แล้ว +1

    Mange ako sawa tu waambie dadangu

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 ปีที่แล้ว +24

    It's true hamisa weka heshima na upole kando kuhusu hii familia,they don't deserve respect hata huyo diamond, they give you war give them war too,they talk shit talk shit too watakuogopa,ona zari hawaogopangi, ona tanasha she don't entertain them ila ww umefanywa duster.You are hardworking lady huyo Dylan unaeza mlea mwenyewe.....Mange anavyocheza tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @magrethmkira6250
      @magrethmkira6250 4 ปีที่แล้ว

      Mm pia huko kucheza kwa mange

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

      Kucheza kumenizubaisha, hamisa lakini aliulizwa kwa kuhojiwa na akaongea kitu kilivyo

    • @ikrammahonda4566
      @ikrammahonda4566 4 ปีที่แล้ว +1

      Hamisa awez kupambana kama zari cos nimdogo anaona aibu kumbambia yule mama zari yy nimkubwa anataka kukalibiana umri ndy mana anawakimbiza

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

      @@ikrammahonda4566 hata mie siwezi kuteta au kushidana na mtu ambae hazuilii rizki zangu kabisa kwanza nikujishusha na kujitowa thamani, uyo mama dangote hajajielewa kama mzazi kwani mzazi anasamehe hata chizi njiani

    • @aminasuleiman6402
      @aminasuleiman6402 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda bure mange😁😁😁😁😁

  • @faineschisunga7421
    @faineschisunga7421 4 ปีที่แล้ว +1

    yawezekana anatembea namwanae mbona anawivu nae Sana ndiomaana mwanae ataki kuowa anajuwa nae atakimbizwa tuu

  • @pazipazi1252
    @pazipazi1252 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kwani lazima kumshobokea achana nae

  • @qatarqqt8013
    @qatarqqt8013 3 ปีที่แล้ว +1

    Mange ndio maana nakukubali🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethnnko6382
    @elizabethnnko6382 4 ปีที่แล้ว

    Hichi kibibi sio bure, kuna kitu kimejificha kati yake na mwanae, haiwezekani kila mkwe anaekuja hamtaki, anaona wivu mwanae kua na mwanamke, kuna nn hapo? Mbona chenyewe kimeolewa na kitoto kidogo? Kwa nn na chenyewe kisiachike basi? Simpendi huyu bibi hata kidogo

  • @sahalexcha3036
    @sahalexcha3036 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama dangote nisema tu hana akil yeye kama mtu mzma alitakiwa kutulia na kufrahia matunda ya mwanae anajifanya kijana san kisa pesa pesa ni pesa tu anajua umry wake ni kitu kikubwa sana Diamond tunakupenda ila mwambie mama yako kuongea sio kuyamaliza ivo

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 4 ปีที่แล้ว +1

      Mchawi mama dangote

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 4 ปีที่แล้ว

      Mamayako mbona naye hana akili

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 4 ปีที่แล้ว

      @@princess-uf5ux km alivo mchawi mamayako

    • @magdalenamagdalena8263
      @magdalenamagdalena8263 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂oi oi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rayfasuleiman3448
    @rayfasuleiman3448 4 ปีที่แล้ว

    Ila bi mkubwa anakosea yey ni mam angebaki km mm hapaswi kuingilia mapenzi ya mwanae anamchukia mtoto wa mwenzie km kunajambo w,,,,,,,,,.!!!!

  • @elizabethakinyi276
    @elizabethakinyi276 3 ปีที่แล้ว +1

    Haki usijali Mungu upo

  • @monyshaali181
    @monyshaali181 4 ปีที่แล้ว +1

    Santhaaa mange wkti mwngne inatakiwa hamisa jikaze kike dai sie mume pekee duniani xo kaa mbali na ile familia uache kujipendekeza wakikupiga madongo nae warushie matofali kwn iko nn dunia mapito buanaee

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 4 ปีที่แล้ว

    Hamiss Mimi mwenyewe Sina Kazi lakini namdharau huyo mama Kama tambara la deli lisilofungika kichwani au sembere la chupi lisilofaa kufanya dasta

  • @nurumohammed1133
    @nurumohammed1133 3 ปีที่แล้ว

    Hamisa kaa choncho ukoo umejaa huelewi tu hutakiwi kumbuka uluvyomtusi mama dangote mitandaoni ety walitaka uwafulie vyupi

  • @nurumohammed1133
    @nurumohammed1133 3 ปีที่แล้ว

    Hamisa kaa choncho ukoo umejaa huelewi tu hutakiwi kumbuka uluvyomtusi mama dangote mitandaoni ety walitaka uwafulie vyupi

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama Diamond ana wivu na wakwe zake.

  • @allynyoni4587
    @allynyoni4587 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo uyoo Amisa hana penda kumpere kea k yake mond sasa unafikili utaweza kueshimiwa kweli kwani una matatizo gani jina unalo pesa ya kula una parta kwa nn usikitu lize hicho kiwasha washa uka fanya mambo yko km wana wake wengine punguza kihele hele na wewe Angalia uduma ya mtoto hina kuja hicho ndo chaumu himu tafuta mtu mwengine mnyanduane kila siku wewe twou jitathi mini bc km mwana mke Uyo bimkibwa humjui km hana roho ya kiwizadi toto lake lina zarisha twou hana ushauli wowote wa kumpa kinacho mshindwa kuhowa nn km sio rahana hiyo ya mungu hikiwa pesa ya kula unayo Ngoja Aje kufia kwenye vinena

  • @nshimirimanacecile8430
    @nshimirimanacecile8430 4 ปีที่แล้ว

    damage kwakweli ukombali asante kumusha uri mobeto uyo bisadra atahishiyahivo mitandahoni Mbona chibu kuhacha ndohahachi amukataze chibu asihonani na mobeto ndotutahamini a nataka gisi yeye muze abdul alimutelekeza ndohanataka chibu amutelekeze hamisa Mbona kachelewa pole bisadra utaumwa akuna sawa Shanghai musosi bisadra mukubwa ayana nafu

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 4 ปีที่แล้ว +7

    Kweli kabisa

  • @beatricegilbert4334
    @beatricegilbert4334 4 ปีที่แล้ว

    Aachane nae mama mjinga huyo kutwa mtandani kujibizana na watoto. Diamond atabaki kuwa mwanawe tu wivu wa nini kwa wakwe. Mama dangote jiheshimu. Una bahati hamisa anakuheshimu. Kwa unayomfanyia ungekutana na Mimi! Bahati huna.

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 ปีที่แล้ว

    Yani huyoo mama sijui akifa ataliliwa na nani dunia nzima mama dangotee kila pakikucha mama dangotee wee mama unaroho ya shetwani kwani ulitaka uzae na mwanao dai au uncle shamtee akutoshelezii kuwa kama mama hamornize mama katulia mama anaejua kuwa pua yake imeangalia chini wee msgamba mama dangote usoo umekushuka kama rambo lililochomwa na jua unaata adabu 😒😒😒 ndomana mungu akukupatia urembo stupid you 😒😒😒😒

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 4 ปีที่แล้ว +1

    Mange wacheza ngoma gan

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 4 ปีที่แล้ว +4

    Hamisa huyo mama ni tatizo kubwa, mwanaye wa kike alipoolewa kwake ilikuwa furaha, lakini YEYE huyo mama Dangote hapendi watoto wa wanawake WENZAKE wsolewe na mwanaye.

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo ndio mange kimavi bhna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

    Nikwel mama mond s mtu mzl ovy kiukwel kam mbwai iwe bwai t yan uyo mama dangot nikekuwa mimi ananiletea ayo mbon angekoma kulinga uyo ningemchamba live uso kwa macho ten at makof ningempa yan mama shetan uyo ten amuombe mungu awe mzima t ivy ivy t siku zote asiombee alale kitandan maan awo anao sem wapo mbel yak kiukwel atajuta kwan pesa ndiy inamaliza matatizo yot hapan

  • @princess-uf5ux
    @princess-uf5ux 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwel jamani

  • @faridamatata1950
    @faridamatata1950 4 ปีที่แล้ว

    Hamisa ana adabu zake kalelewa hawezi kugomnana na Mazzini wa baba ya mtoto wake huyo mtoto alikuwa na slaws somebody ndio watajua

  • @Kanicynjuguna
    @Kanicynjuguna 4 ปีที่แล้ว +3

    This drama is to much .what about we ask them TV show..
    Diamond
    Zari
    Hamisa
    Tanasha
    Wema
    Drama Queen. Mama dagote
    Drama Queen. Mange

  • @amukoamercy1172
    @amukoamercy1172 3 ปีที่แล้ว +1

    Mange ana hekima sana, kudos

  • @hajiiddy4843
    @hajiiddy4843 4 ปีที่แล้ว

    mama yule kaisha kalea mwenyewe lakin hajui uchungu wa singo maza na hamisa alitaka malewano si kumta mondi tena hapana alitaka mazingira mazuri ya mtoto si kingine nilitegemea yjle mama awe sehemu ya suluhisho

  • @bijou5038
    @bijou5038 4 ปีที่แล้ว

    Hamisa alisababisha familia ya dai kutopata pasa kutoka kwa zari that why hawatomupenda hatakidogo

  • @azzehassan2432
    @azzehassan2432 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh mange unanichekesha iokucheza vp

  • @ashamohamed857
    @ashamohamed857 4 ปีที่แล้ว +1

    AHSANTE SAMA MANGE KWA KUONGEA HAYO MANENO MAMA MWANGA HUYO

  • @jhdf9956
    @jhdf9956 4 ปีที่แล้ว

    Mange nimuzimu wawapi mbona kanagonda Sana utatazani niga ka dude frani. Hamisa mayo Hana akiri Hamisa
    Burundi. Atubemberezi muzazi wabwana. Ahi tunapiga Sana bembereza Kazi Amisa. Maman dangote piga

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 4 ปีที่แล้ว

    Mange ushauri wako mmmh Ila hamissa asimtukane kamwe sababu ushazanao hainahaja yakugombana na ukoo Kama baba mtt akikukubali hainahaja ya mama mkwe akukatae nahainahaja mjukuu ampende akafie mbele Mama anamambo yakiswahili Sana

  • @zclassicfashionz
    @zclassicfashionz 4 ปีที่แล้ว

    𝐌𝐚𝐧𝐠𝐞 𝐊𝐢𝐦𝐚𝐦𝐛𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐭𝐚𝐫 𝐚𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨...

  • @imageimage9290
    @imageimage9290 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamisa you are sooo desperate stop it!!

    • @fifijoy6308
      @fifijoy6308 4 ปีที่แล้ว +1

      image image Thank you! I wonder why people are cheering for her. Let her move on if she is that beautiful as they say. Diamond is irresponsible; he should have made his mind no matter what; but he’s a piece of shit