MUME WA ZARI AKERWA NA ALICHOFANYA DIAMOND, Afuta PICHA Zote "Haukuwa chaguo langu" WAMSEMA "Pumbavu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @kokusimabuberwa259
    @kokusimabuberwa259 7 หลายเดือนก่อน +3

    come Zari njoo bongo utuchangamsheee

  • @rehemamatale6707
    @rehemamatale6707 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mchukue zuchu tu na wewe

  • @DoriceStanslaus
    @DoriceStanslaus 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu zari nae mweee hakui? Huyu shakb ndo anae pendeza nae. Zari atakuwa na shida

  • @theresedusabe6056
    @theresedusabe6056 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mutaumbukaa keshi na comments mbaya nu vyashala hamujuwe banafanya vyashala pamoja?''' batoto yabo banabaleya pamoja aca batafute pesa namweye mubaki namaneno yenu habajali they know what they do guys😮😮😮😮😮😮

  • @laranmod5147
    @laranmod5147 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kajifunze na English vizuri basi u translate wrongly 😅

  • @janefadhili8384
    @janefadhili8384 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂 Ila wewe shakib siulimchukua zari kwa Diamond sasa akirudi kunaubaya wamezaa na wakirudiana siyo mbaya wanalea vizuri watoto wao

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kiki kuzima vedio ya Mario nahamo na kuzima l made it lakini too leit🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 7 หลายเดือนก่อน

      ndio hio ni kiki tuu

  • @IreneMuge
    @IreneMuge 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume jiamini

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kivuruge na danga la dunia wameanza kazi upyaaa kiki kama kawaida yao hawajali mtu mwingine anajisikia vipi. Shakib sepa when you can achana na mataahira hawa.

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 7 หลายเดือนก่อน +1

    Izozote nimakiki Diamond tumekuchoka namakoti makumbwa unatuchezeya

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila jamani msitegem ee diamond aachan e na zari ni mzazi m wenzie huyo unyum ba wawatoto haufi

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 7 หลายเดือนก่อน +2

    Picha zimekua achieved

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zari kama umwrejea diamond utadhalilika dada etu kwani huwezi kutulia 😂😂😂 sasa mama chibu atakuchuliaje

    • @theresedusabe6056
      @theresedusabe6056 7 หลายเดือนก่อน

      Arakini muko bazima?nivyashalaaaaa Dai arisemaga Tanguy zamani zari ivi nikama nduguyake zari naye arisemaga Dai now they are good Friends than love Sasa munataka Nini kwa Dai n'a zari?ni bazazi nabado mutawumiyaaaa kwa zari n'a Dai mujinyonge let,s Tiffa and Nilan enjoy kwa bazazi babo hakuna cuki between them shakib kama haelewe basi

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu zari kuchonga mbavu kwajili ya shepu yani hujapendeza

    • @IreneMuge
      @IreneMuge 7 หลายเดือนก่อน

      Kabla hujamsema mtu jitazame wewe kwanza

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 7 หลายเดือนก่อน

    Dogo alijichanganya tu.
    1. Hana mkwanja
    2. Hana umaarufu
    3. Umri mdogo sana
    Kiufupi analelewa Zari alitaka tu kuondoa stress.

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 7 หลายเดือนก่อน +1

    Malaya hajifichi mengine jiongeze

  • @Marthakibasa92
    @Marthakibasa92 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki tu izo hakuna lolote!!!!

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 7 หลายเดือนก่อน

    Zari n mzee kww shakib never folow awoman becouse she have money

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kuna ubaya gani kukiwa na kitu

  • @VicKi-ot7pq
    @VicKi-ot7pq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zari muze

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ningependa Zuchu asiseme lolote.

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 7 หลายเดือนก่อน +2

      Zuchu aseme Nini na yeye ndoo anajitakisha

  • @MujawamariyaTheopiste
    @MujawamariyaTheopiste 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kabisa! Safi sana

  • @Bravo-or8oy
    @Bravo-or8oy 7 หลายเดือนก่อน +1

    mtaumbuka 😂😂😂

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani wanaume hizo ndizo matunda za wanaume wakuolewa mwanaume tafuta pesa wanawake ni maua tu hunawiri na kusinyaa

  • @NeemaMghamba-h7x
    @NeemaMghamba-h7x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana Simba,

  • @ayshajooma6377
    @ayshajooma6377 7 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muganda hawanchwi

  • @HanifaKassim-p4e
    @HanifaKassim-p4e 7 หลายเดือนก่อน

    RF😅

  • @queenshomba8412
    @queenshomba8412 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mumeee

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 7 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond aliimbaga, kuchapiwa ni siri ya ndani... Shakibu kuwa na kaba kama la njiwa.😂😂😂😂😂

  • @sifasifaabdala
    @sifasifaabdala 7 หลายเดือนก่อน

    E

  • @pilidaud7862
    @pilidaud7862 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu nyama,a kimya