UPENDO WA YESU Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Upendo wa Yesu ni wa ajabu mno hauelezeki. Karibu sana Mpendwa mtazamaji uendelee kubarikiwa na kutafakari juu ya uzuri wa Bwana Yesu. Naamini hautabaki kama ulivyokuwa, utaanza kumwona Yesu kwa Viwango vya juu sana katika ulimwengu wa Roho kwa kuwa ni Yeye tu aliyetubariki kwa BARAKA ZOTE za Rohoni na Damu yake imetukomboa kikamilifu. Amen Karibuni

ความคิดเห็น • 23

  • @JosephObadia-kx1eo
    @JosephObadia-kx1eo 12 วันที่ผ่านมา

    Duuh safi sana ...yani bado unanitia moyo kujua kuwa bado sijachelewa kabisa kumtumikia Mungu ..
    Ila ni swala la muda tu.

  • @innocentlukas4531
    @innocentlukas4531 3 หลายเดือนก่อน

    Amina sana mwl Emanuel kibona mwalim wangu. Ubarikiwe, nyimbo nzuri sana hata Muumba anashuka.👏🏻👏🏻👏🏻🙏🏻🙏🏻♥️

  • @fanueljoel4270
    @fanueljoel4270 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kwa huduma Mtumishi wa Bwana, Mwenyezi Mungu akaibariki kazi ya mikono yako, Amen.

  • @deardadjohnMburuma
    @deardadjohnMburuma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu hongereni sana kwakufanikisha hii nyimbo wape hongera sna huima hapo mungu awabariki sana nyimbo inabariki sana 🙏

  • @sylviamukabwa6804
    @sylviamukabwa6804 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🙌

  • @KelvinaNyamaswa
    @KelvinaNyamaswa 2 หลายเดือนก่อน

    Amen nabarikiwa sana Na nyimbo zako

  • @harmonize1666
    @harmonize1666 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubar Sana teacher wangu by Paschal bakiliye

  • @MarthaBoniphace-b8j
    @MarthaBoniphace-b8j หลายเดือนก่อน

    barikiwa sana baba

  • @NahumSadock
    @NahumSadock 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @cvvc9961
    @cvvc9961 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen hallelujah 🙌🙏👏🏼❤♥💖Amen 🙏😊

  • @farajasungura6663
    @farajasungura6663 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa baba

  • @ChrizantMugorozi
    @ChrizantMugorozi 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika usikate tamaa mwalim mungu akutienguvu wako elvidius mugolozi

  • @JosephartDura
    @JosephartDura 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Barikiwa

  • @josephmichael8438
    @josephmichael8438 3 หลายเดือนก่อน

    Upendo wa Yesu ni mkuu sana.❤

  • @GeorgeAltonTz-cx8wx
    @GeorgeAltonTz-cx8wx 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @dolphinenyanchera5867
    @dolphinenyanchera5867 3 หลายเดือนก่อน

    You have blessed my soul man of God.

  • @faidikakidigitali
    @faidikakidigitali 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @ChrizantMugorozi
    @ChrizantMugorozi 3 หลายเดือนก่อน

    Asant mwlim by elvidius

  • @edfordshilla5727
    @edfordshilla5727 3 หลายเดือนก่อน

    Utukufu ni wake YESU ubarkiwe sana baba kwa hatua ingne moja zaidi

  • @AkleyMayage
    @AkleyMayage 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtumishi wa bwana mungu wa mbinguni akuongeze zaidi

  • @johnmashaka7893
    @johnmashaka7893 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa kazi nzuri Mtumishi wa Mungu

  • @pointkonyahoja4217
    @pointkonyahoja4217 3 หลายเดือนก่อน

    Mwlim wetu hongeraaa saana!! Good and super song