Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Mara kadhaa hushuhudiwa watoto wa nje ya ndoa wakitambulishwa misibani au kutambulishwa wakiwa tayari ni watu wazima, suala ambalo huibua sintofahamu wakati fulani.
    Je ni utaratibu upi unaweza kutumika katika kuwatambulisha watoto wa nje ya ndoa kwa familia zao bila kuwepo na athari kubwa, kwa upande mwingine ni kwa kiasi gani familia iliyoficha watoto wa nje ya ndoa inavyoweza kuathirika au kuhujumiwa. Lakini swali kubwa ni kwanini baadhi ya watu huficha watoto wa nje ya ndoa?.

ความคิดเห็น • 4

  • @Simulizihubtv
    @Simulizihubtv ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wanaokataa watoto wa nje wa mume ake asili zao ni uchoyo tu ,kwani mwanaume ndo mpambanaji na ndo anawatunza wote

  • @ramsaymtando1742
    @ramsaymtando1742 ปีที่แล้ว +2

    Vip kama huyo baba marehemu aliye kuwa kwenye ndoa na akazaa nje ya ndoa Sasa amefariki na aliyacha watoto wake wa kwenye ndoa kwa nini wasipimwe dieniei ichukuliwe ya mtoto mmoja wake wa damu wa ndoa na huyo wa nje.wakapime kama damu zitaendana.sababu wote nidamu ya baba moja

  • @ikungetajohnluketa8601
    @ikungetajohnluketa8601 10 หลายเดือนก่อน

    DNA inawezekana kuchukuriwa hata kwa Baba na mtoto. Bila kumhusisha mama.

  • @goodteam7890
    @goodteam7890 ปีที่แล้ว

    Kisharia ya kiislam mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kurithi kwa babaake na hata ubini haifai kuitwa kwa jina la babaake