TAZAMA DJ MISSO MISONDO NA WAZEE WA SUTI WALIVYOTINGA EFM, BALAA LAKE KWENYE MASHINE NI HATARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 10 หลายเดือนก่อน +4

    Vijana wako vizuri sana,dj majizo nakupongeza sana kwa kutambua vipaji vya hao vijana wetu,Mungu akubariki sana uzidi kuwainua hao

  • @masoudhamad1592
    @masoudhamad1592 10 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee DJ anavyochanganya huu mziki vibe kama zote Mbwa Misondo

  • @AminaNgondi
    @AminaNgondi หลายเดือนก่อน

    Asant san mung ukulind il ulet mambo mapy kaka yang nakupend. San ❤❤❤❤❤🎉

  • @aloycetz2022
    @aloycetz2022 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu miso missondo yaan dogo anabaraaah amenichanganya aina ya nyimbo anavyobadilisha daah mungu akupambanie ufike mbali sana 🔥🔥🔥🔥

  • @FaustinaLameck
    @FaustinaLameck 10 หลายเดือนก่อน +1

    Honger sana miso misondo had saiv najuwa stahil za kucheza

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 10 หลายเดือนก่อน +2

    Misso missondo mi nimeisha hivi ni kawaida ii❤❤

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ubunifu mpya 2023 _2024 happy new talent miso misondo p

  • @MichaelHerry
    @MichaelHerry 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baba ni bonge la burudani 2023 ,2024 MUNGU aisimamie kazi yenu mtafika mbali sana😁😁😁😁😁♥️🤝

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mjukuu wangu mungu aendelee kukupandisha juu usaidie wazazi wako na vijana wenzio usibague mtu

  • @righitkileo
    @righitkileo 10 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee misso na mipunqa ikujie kama mvua .upate Mihela❤❤❤❤❤❤

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 kazi nzuri sana,jamaa wamekuja na makoti yao

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kutoka Kanda maalum wazee mpo vizuri ila Mbona Amna mapanga mbona ivyo

  • @ChengoKelvin
    @ChengoKelvin 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba mkali Sana nakubali vibe la nguvu naenjoy nikiwa Nairobi Kenya 💥💥

  • @MeshackMwebesa
    @MeshackMwebesa 10 หลายเดือนก่อน

    😀😆🤣Napenda sanaa.. style hiyo ya uchezaji aiseee..singeli mmeipoteza kiukweli

  • @samkutoka6038
    @samkutoka6038 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amakweli mungu akiamua kukutoa anakutoa to xa hawa jamaa asaivi wanakula mama nchi et kwa kifupi kaz nzur inabamba sana

  • @AmosJarom
    @AmosJarom 7 หลายเดือนก่อน

    I like this song

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 10 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali hawa jamaa balaa hongera zenu

  • @JohnjacobMnyuka
    @JohnjacobMnyuka 10 หลายเดือนก่อน

    Makini sana miso

  • @BuruanHussein
    @BuruanHussein 6 หลายเดือนก่อน

    Noma

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤wazee wa Makoti mmetisha

  • @samwelmkanula1290
    @samwelmkanula1290 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awatie nguvu mfike mbali maswaiba

  • @JamesNguruwe
    @JamesNguruwe 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂nakubariiii saaanaaa vijana wangu

  • @FredyKanjunda-nf6dc
    @FredyKanjunda-nf6dc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good job

  • @PeterKimario-u8q
    @PeterKimario-u8q 8 หลายเดือนก่อน

    Madogo wanaweza na wako vzr

  • @humila168
    @humila168 10 หลายเดือนก่อน

    Wap vizur sana vijan wanaweza😂😂

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 10 หลายเดือนก่อน +1

    Majizo akili kubwa!hongera sana

  • @MusaManga-ou1pb
    @MusaManga-ou1pb 10 หลายเดือนก่อน

    Miso mwanangu sana nakubali

  • @AgnessStephano-fb8op
    @AgnessStephano-fb8op 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana hawa jamaa wapewe maua yao

  • @tumuombesalvatory6272
    @tumuombesalvatory6272 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie🎉

  • @EvodiJoseph
    @EvodiJoseph 10 หลายเดือนก่อน +1

    jamaa wanajuasana ❤❤❤❤

  • @PiliShakri
    @PiliShakri 10 หลายเดือนก่อน

    Hatareee sanaaaa

  • @saintlouisnacreyon
    @saintlouisnacreyon 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @AshuraRamadhan-h7x
    @AshuraRamadhan-h7x 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @anataliaElias
    @anataliaElias 10 หลายเดือนก่อน

    Nouma Sana mzee❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wizzyculture7315
    @wizzyculture7315 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤Bonge la burudan

  • @Kareem-z8h
    @Kareem-z8h 10 หลายเดือนก่อน

    nawapenda Sana missondo

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 10 หลายเดือนก่อน

    Leo ndiyo nimewaona zamani nilikuwa tu nasikia miso misondo sikujua nia akina nani

  • @KeyweezBrown
    @KeyweezBrown 10 หลายเดือนก่อน

    Apo alipochanganya regea na singel duuh hatari

  • @WillbardPhotunatus
    @WillbardPhotunatus 10 หลายเดือนก่อน

    Balaaaaaa mjini 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Kisra-yw3qz
    @Kisra-yw3qz 9 หลายเดือนก่อน

    Nomaa😂😂😂

  • @HamisiKazumari-y5i
    @HamisiKazumari-y5i 10 หลายเดือนก่อน

    mnajua sanaaa daaa hatariii

  • @SeifMrisho-hz3hm
    @SeifMrisho-hz3hm 10 หลายเดือนก่อน

    Sana mwanetu

  • @NeemaZawadi-z9i
    @NeemaZawadi-z9i 10 หลายเดือนก่อน

    Yani huy dj kasha kuwa wamoto had watt washa mjua

  • @ShedruckKakwama
    @ShedruckKakwama 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukwel dj majizo wanatakiwa kupewa santa kwa kutulete vipaji kama hivi

  • @YunusHodi
    @YunusHodi 10 หลายเดือนก่อน

    Mamae miso misonda dah aisee ww dogo unajua sana

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 10 หลายเดือนก่อน

    Hatima yake nn kupata ajila au unatembea na upepo wao na kuwatelekeza

  • @FaustinaLameck
    @FaustinaLameck 10 หลายเดือนก่อน

    Jamn miso misondo ulikuwaga wap cku hiz had stahili za kucheza nazijuwa

  • @napendahuruma3320
    @napendahuruma3320 9 หลายเดือนก่อน

    kuna mmoja atawasaliti wenzie nishamuona

  • @rajabumrete4522
    @rajabumrete4522 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RashdaShabani
    @RashdaShabani 6 หลายเดือนก่อน

    Hamiwezi mushizo ata aamuke upyaaa

  • @jumwakadenge5906
    @jumwakadenge5906 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂😅

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 10 หลายเดือนก่อน

    nimecheka jamani

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws 10 หลายเดือนก่อน

    Kiongoz wa hiz kaz alovaa kilemba frn km alkaida na wa mwixho kabisa yy fujo za pekeake huy alovaa suruali nyeupe na kofia lake km bakuli la jela 😂😂😂😂

  • @tordokunjumbi4789
    @tordokunjumbi4789 10 หลายเดือนก่อน

    Wauni sio poa

  • @YunusHodi
    @YunusHodi 10 หลายเดือนก่อน

    Miso misondo umepigaje apo

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 10 หลายเดือนก่อน +5

    Alafu mjue apo wazee was makoti Kuna mkali wao kiongozi MTU m bad alievaaa suruali brown na flana njano ndani ana kiremba Cha njano kama alkaida 🏃🤾🤣🤝

    • @halimamangolosho7931
      @halimamangolosho7931 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio bana atamie nimeliona ilo anajua anajua tena

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nnawapa siku 90 tu watakuwa hatuwajui tena. Kuna njiwa wa kufugwa na Tetere wa porini. 😂😂😂

    • @faidhacute
      @faidhacute 10 หลายเดือนก่อน

      Roho mbaya😢

    • @hamisimshamu8968
      @hamisimshamu8968 10 หลายเดือนก่อน +1

      ACHA rohombaya inaonyesha huwa unafurahia kuona watu wakifeli

    • @donnngeta
      @donnngeta 10 หลายเดือนก่อน

      acha roho ya kichawiii

    • @peterlyimo6696
      @peterlyimo6696 10 หลายเดือนก่อน

      Aina hizi za roho mbaya ni hatari sana kwa ukuaji wa jamii ikiwemo na wewe mwenyewe pia.

  • @HussainMaula-mw8vz
    @HussainMaula-mw8vz 10 หลายเดือนก่อน

    Hiiii imeeenda umepigaje hapoooooo

  • @jumamussa9413
    @jumamussa9413 8 หลายเดือนก่อน

    Thamini kipaji chako

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 10 หลายเดือนก่อน

    Kinata MC alipotelea wapi? Mpeni airtym pia...arudi Kwa game...tanatukoshaga

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 10 หลายเดือนก่อน

      Soon D Voice nae atakuwa historia

  • @NikolasAdamu
    @NikolasAdamu 5 หลายเดือนก่อน

    Nikolausi

  • @BukiloSaidiKamuna
    @BukiloSaidiKamuna 10 หลายเดือนก่อน

    Magizo akil kubwa San hngra

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 10 หลายเดือนก่อน

    Upepo wa D Voice umeishia baharini😂... kwisha habari yake🎉

  • @athumanijuma9137
    @athumanijuma9137 10 หลายเดือนก่อน

    dogo.komaa.wengi.wanatoboa.mjinj.

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe msondo kuwa DJ tu Mziki achana nao Hao wamakoti Warudi kwako kwani mjini Kuna mengi

    • @YonaSimon-um9cj
      @YonaSimon-um9cj 10 หลายเดือนก่อน +4

      Akili hauna wèw unazani watunwependa miso apan hawa jamaa nao wusaidia.kumutanzangaza la unakubaliana na mm weka.like

    • @syliacussylivester5957
      @syliacussylivester5957 10 หลายเดือนก่อน

      Mwanaume Huwa hamvunji moyo mwanaume mwenzio inagali sote tunatafta riziki ww mwenyewe huna pambna Kwa ajili ya familia yako akaibe ndo umsifie

    • @MwimaNgoi
      @MwimaNgoi 10 หลายเดือนก่อน

      Makoti ndo wanaleta Radha ya miso,hao ni madancer wake kama ilivyo wasanii wengine na madancer wao

  • @IdrisaSuleiman-f4k
    @IdrisaSuleiman-f4k 10 หลายเดือนก่อน

    Kila raheli

  • @FaustinaLameck
    @FaustinaLameck 10 หลายเดือนก่อน +3

    Honger sana miso misondo had saiv najuwa stahil za kucheza

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @jumwakadenge5906
    @jumwakadenge5906 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂😅