MAPYA yaibuka SAKATA la Prophet MALISA na MKEWE, mtu wao wa karibu afunguka MAZITO kuhusu NDOA yao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 502

  • @soleotanzania2015
    @soleotanzania2015 ปีที่แล้ว +5

    Mbona unamlaumu huyu kaka wakati anaongea very straight, pia ni kawaida kumchagua mtu unayemuamini kufuatilia TALAKA yako.

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake Mungu anawaona, niliwa kulazimishwa na mke wangu, akisema nikamwache kanisani, huku akijua kuwa kanisa haliachanishi ndoa Tena akinisumbua sana

  • @justusjulius9279
    @justusjulius9279 ปีที่แล้ว +9

    Wanawake wa kileo wanafikirisha sana na sisi vijana tunayo kazi kubwa sana

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว +17

    Tobaaaaaa anayejiita mtumishi wa Mungu anazidi kuharibu, kujiaibisha

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +4

    Manabii njaa kali sana. Mmeanza kurap kwenye media baada ya kumuasi Mungu.

  • @tuponisalile5984
    @tuponisalile5984 ปีที่แล้ว

    Moja kwa moja wewe mbaba ndiye unavunja ndoa ya Hao watu,wewe ni mtu mbaya sana, Acha kumfundisha kazi Waziri Gwajima,

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +4

    Eti apostle mbona huongei ukweli???

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 11 หลายเดือนก่อน

    Yaan hilo tmbo nakuombea sana Mungu akuponye

  • @neemamourice
    @neemamourice 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Kristo alituambia tutawatambua kwa matunda yao na pia tuache magugu na ngano vimee pamoja Yesu atakuja kubagua ngano na magugu

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂Makubwaaa chawa Wamtumishi

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s ปีที่แล้ว +1

    Ivi uyu anajielewa kweliii 😂😂😂😂 aseeh kwel bora ujiombee mwenyew

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 ปีที่แล้ว +8

    HUWA NASEMA MBINGUNI KILA MTU ATAKWENDA PEKE YAKE MAMBO YA NDOA NI YAHAP DUNIANI TU .NDIO MAANA WA ASEMA MWILI MMOJA SIO ROHO MOJA😊

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sana

  • @hellen9056
    @hellen9056 ปีที่แล้ว +4

    Dunia imeisha YESU tusaidie

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mungu kwako wala kwa Malisa! Mlinganieni Mungu nawwomba

  • @tupokigwemwakabanga9769
    @tupokigwemwakabanga9769 ปีที่แล้ว +4

    Najaribu kufikilia mke wa mtumishi mkubwa Lisa kaiba pafumu ya mtumishi mwingine wa hapo kanisani na kesi ipo ostabey polisi dah!!! Pole dada Lisa uliotungiwa ni mengi lkn Mungu pekee ndio tumaini lako.

  • @estherynyagawa6839
    @estherynyagawa6839 ปีที่แล้ว +4

    Mungu turehemu! Mungu nifundishe kunyamaza!

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 ปีที่แล้ว +3

    Mwisho mba ya Kwa Huduma ya Mungu, Watu Wa Mwamini Nani waende Kwa Nani Kama Watumishi ni hivyo ,tumeangamiza wengi Kwa Namna hii

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 ปีที่แล้ว +8

    Ivi bado kuna watu wanaenda kwenye kanisa la uyo baba 😂😂😂😂kah kweli binadamu tumekosa utu wala akili yani mtu mpaka anatia hasira 😢 ivi unajiita mtumishi wa Mungu kisha unakuja kwenye media kuongea vitu kama hivi

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 ปีที่แล้ว +2

    Mnaacha kutafuta hela mnashindana na mlikotoka. Wanawake -always handle with care wanafanyaga maamuz yao wakati mwngne kwa kuongozwa na hisia.
    Muhurumien mpeni anachotaka apite hivi otherwise mtachafua jina la kanisa na utumish wake.
    Kingne elewen huduma hiz Za kiroho zna vita sana pigeni kaz achaneni na kesi.

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +5

    Mtajua wenyewe bhana

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 11 หลายเดือนก่อน

    Dunia imeisha hekima ya kibinadam inaangamiza wanadamu .YESU anakhitaji wewe mnenaji

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 ปีที่แล้ว

    Goshhh Yani hii Dunia ina Mambo.. I'm floating here.. there's lisa n there's malissa.. uuuweeeeh tz iko na Mambo..

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 ปีที่แล้ว +1

    Nilichokiona hapo huyo Lisa kapata kiburi kisa anatoka na kiongozi mkubwa serikalini.
    Kuna baadhi ya waimbaji wa kike wakubwa ndoa zao zimevunjika kisa vigogo wa serikalini wengine ndoa ziliyumba baada ya vikao vingi ndiyo zikatengamaa.
    #Mungu_Aturehemu

  • @hellenmwasalwiba6555
    @hellenmwasalwiba6555 ปีที่แล้ว +2

    I wish SNS msirushe vitu hivi. Haya maisha ya ndoa yana changamoto sana. Ukirudi nyuma utakuta hata dada zako na shangazi zako wanapitia hayo. Sasa suala kuyarusha haya yanasaidia nini?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +6

    Mngefanya maombi kwanxa,hiyo itakuwa ni vita,wa2 wa2 tofauti walisemaga kwa malisa wapo waxee wa kanisa wanaishi gamboshi,huenda wanaharibu ndoa yake.

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 ปีที่แล้ว +9

    Ninawahurumia kondoo wa hili kanisa sijui watakuwa na hali gani kutokana na mgogoro huu wa wazazi wao hawa wa kiroho.Tuwaombee ili jaribu hili liishe ili shetani aaibike na kazi ya Mungu iendelee

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wachungaji wanakuwaga na mapito jamani tuwaombee sana

    • @zainabuabdallahlindi
      @zainabuabdallahlindi ปีที่แล้ว

      Kabisa kipenzi sio kuwalaumu nikuwaombea nao wanawindwa na ibilis jamani

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว +2

    Mbona naongea kama mwijaku au baba levo😀😀

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 ปีที่แล้ว +6

    Kwann unamchafua mwenzio chanzo wanajua wao na Mungu Haina haja ya kumchafua wenyewe wapo kimya lakini wewe unamchafua dada wawatu siyo vzur

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton ปีที่แล้ว +1

      Kwa haraka haraka hapo alikuwa anamtaka😅😅 mwangali ndevu zake😅

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 11 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo wew nimtumishi wa Mungu 😢 unaongea utumbo sana nakama Malisa anafanya uovu mbona watu wanafunguliwa kwenye kanisa lake kwa upeo wangu kama mtumishi au mtu yeyote mweny Mungu akifanya maovu, Mungu awezi kuwa ndani yke ata hivyo na watu wasingefunguliwa.

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 8 หลายเดือนก่อน

      Upeo wa mdogo hata shetani anaiga miujiza kaka sio Kila nabii akiponya mtu anakuwa mtumishi wa Mungu Kuna waganga wa kienyeji wanajiita manabii na malisa yumo ndani.Ndio maana umewaambia utawatambua Kwa matunda yao

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 ปีที่แล้ว +8

    Kazi ya Mungu inahitaji MOYO

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th ปีที่แล้ว +5

    Huyu mbona ni kama chawaa jamani

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi kma mungu anaweza kumkomboa mtu!? Alishijdwa vipi kumuokoa Nabii!?

  • @Noel-bp1xd
    @Noel-bp1xd ปีที่แล้ว +13

    Jamaa kanyoosha sana, story balanced, wanawake muache mihemko ya kishamba japo ndio mmeumbwa hivyo. Huyo dada ni mshamba sana kama alichoongea na kunacho semwa hapa ni kweli . Akafie mbali

    • @hellenmwayole8715
      @hellenmwayole8715 ปีที่แล้ว +2

      Tena akafie mbali kusikojulikana

    • @stellalwesya8790
      @stellalwesya8790 ปีที่แล้ว +1

      Jaman Mambo ya ndani anayajua Lisa Sasa mkichangia kwa kumtukana anajua mungu mwenyewe

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 ปีที่แล้ว +1

      Sikweli uyu mbaba katumwa

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว

      Takataka wewe

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว +2

      Huyo na bii wako malaya

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtu ajuae ukweli ,there is something behind hapa wanajua wao wanandoa....
    Mpaka mwanamke amefikia kuanika mambo hadharani basi ujue kuna tatizo mahali ,all in all Mungu aingilie kati kwa wanandoa wote but njia ya muongo ni fupi

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +9

    Wewe baba muogope Mungu

  • @rogathengowo1099
    @rogathengowo1099 ปีที่แล้ว +12

    Yaani wanaume wa nchi hii wameamua kuwa hivi eeh Mungu wangu linda uzao wa tumbo la mwanamke!!!kitu gani hichi 😊

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +3

    Kwani wewe ninani sisi tunataka kumsikia mke sio wewe lazima utamtetea mwanaume mwezako kwendaaaaaaaaaa

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 ปีที่แล้ว +5

    Nchi ya dar es salaam e! 😯😯😯😂😂😂

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว

      Uongo ukizidi labda😂😂😂

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 unajua ukiongea kitu cha uwongo ndo shida Lisa anahistory huyu kapewa gazet asome😊

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 ปีที่แล้ว

    Hilo limwanamke lizinzi mke mlakondoo jueni Mungu yupo mtapata shida Sana

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 ปีที่แล้ว

    Huu ujinga mmeutowa wapi. Kama talaka ilitoka jwa nini isihodhoreshwe na mali walizomgaiwia. Huyu baba si mtumishi mzuri

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv ปีที่แล้ว +12

    Walio kwenye ndoa wana majibu yao, na wenye akili timamu wanajua mpatanishi kwenda kwenye media anatafuta nini,na wanamajibu je ni mpatanishi au vinginevyo.

  • @rahelkisendi355
    @rahelkisendi355 11 หลายเดือนก่อน

    HIZO TARATIBU ZA KIMILA ZA KUISHI NA KUZAA NA MWANAMKE MWINGINE HALI NDOA OG IKIWA KWENYE MGOGORO WA MIAKA MITATU. MWILI ULIMSHINDA MTUMISHI🤗

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 ปีที่แล้ว

    Haya mashetani na matapeli makubwa mtujuta mbwa nyinyi matapeli makubwa.Mungu anawaona .

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 ปีที่แล้ว +3

    Watoto hamuwezi elewa anachokiongea huyu mwamba

    • @veeJesus
      @veeJesus ปีที่แล้ว

      Hawawezi

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th ปีที่แล้ว +2

    mbona kama anajicreem

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ukweli hapa!
    Forensic seers tulishaona, mnachokitafuta ni kufanya defamation tu

  • @zakiajuma2022
    @zakiajuma2022 ปีที่แล้ว

    Ata ivyo unamzalilisha adi pafium yawizi mnaitaja apo wakati uo pafium bei Gani?

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +21

    Duh ila wachungaji wa sikuizi wana tetea adi upuuzi 😢😢😢. Yani muongo mkubwa na ka base upande mmoja ata roho yake ina mshuhudia 😢😢😢🙌🏻🙌🏻

    • @garruwsuntilibreaththislif3681
      @garruwsuntilibreaththislif3681 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio muongo kweri kweri kwann umetoa hukumu moja kwa moja na ukaamini kuwa ame base upande mmoja

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 ปีที่แล้ว +4

      ​@@garruwsuntilibreaththislif3681 hata kama asinge chukua upande kiongoz wa dini msuluhishi huwez kuja kumwaga vitu vya watu hewani hivi.. kibusara alipaswa kuwaacha wayamwage wenyewe. Hana ethics mwamba 😅

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton ปีที่แล้ว +4

      Kama angekuwa ni mtumishi wa Mungu angewaita na sio kuja kuongea ovyo Kama yeye ni mtu mzima anajikanyagakanyaga tu😅

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      ⁠@@garruwsuntilibreaththislif3681
      Tushaona msg zenu za grupu nje mitandaoni mumtete mzee wenu😅😅

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +1

      @@YothamBraitonkweli

  • @kisakageorge7706
    @kisakageorge7706 ปีที่แล้ว +2

    Huyu baba simtu mzuri

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 ปีที่แล้ว

    Ya Mungu tumuachie yeye. Na ya Kaisali tumpe kaisali. Imeniuma kwakweli kuachana s vzr

  • @DoreenMwakibinga
    @DoreenMwakibinga ปีที่แล้ว +1

    Mi ninachomshauliwa mwanamke ni mapenzi yameisha mali si kitu tafuta upya utapata mali si kitu hauzikwi nayo mtafute Mungu atakupa kila kitu. Mapenzi yameisha. Usije ukatengana na mungu wako kisa kuachana

  • @ednajustin4763
    @ednajustin4763 11 หลายเดือนก่อน

    Hatareeee 😢

  • @stellalwesya8790
    @stellalwesya8790 ปีที่แล้ว +4

    Shetan anaweza kukop vyote isipokuwa utakatifu tu

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 ปีที่แล้ว +1

    Pole Kaka Malisa Nnachojua mm una Mungu moyoni majibu atakupa tu. Hii kama ya Mbasha 😢😢😢

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 11 หลายเดือนก่อน

      Kamuachamke wake sababua azai

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 ปีที่แล้ว +2

    Ushauri wangu kwa kusikia leo kwanza majina ya lizza sijui lissa ni ya kukaa nayo mbali sana hawafai kwa umalaya pili mchungaji malisa achana kabisaa na huyu mtu anaitwa lizza km ndoa imevunjwa asikusumbue huyu kinyago oa mke mwingine kabisaa nikuambie tuu ulioa pepo la ngono halifai

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 ปีที่แล้ว +5

    Kwani hivi unafaidika na nini wewe??? Mbona inaonekana kama una peraonal issue na huyo Lisa? Aisee wanaume kuweni makini na mirafiki kama hii

  • @vijanafurniture1810
    @vijanafurniture1810 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume tumefikia hali hii.. kha!!

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 ปีที่แล้ว

      Mwijaku wakanisa😂😂😂

  • @GloryJohn-nm5wo
    @GloryJohn-nm5wo 11 หลายเดือนก่อน

    Sheria ilikuwepo kabla yakuja Imani lkin sasa hayupo chini ya Sheria basi hapo yalibid maombi t Kwan kama anaweza kuiludisha ndoa lilizo vunjka kwann yake anakubali ivunjke

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว +2

    Yaan hata mtengeneze uongo sis tupo pmj na lisa hyo malisa kwa muonekano n mlev na mvuta bang

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว +1

    Lisa hana akili anamwambia mpaka mange maneno ya ndani😅 mwanamke si mtu wa kumuamini,

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 11 หลายเดือนก่อน

    Nilicho kiona hapa huyu bro anajaribu ku mdifendi huyo mume wa lisa...
    Nikama ametumwa kuzima moto....bro hujengi unaharibu cv za watu..
    Inaonekana jamaa upo hapa kumkandamiza huyo dada ukweli huyo dada anao na wew bro humjui huyo dada kaka anavyo mjua mume wake,acha ushabiki wa kidunia hauto kusaidia mno

  • @julianamkonda5693
    @julianamkonda5693 ปีที่แล้ว

    Huyu siyo mtumishi wa Mungu kabisaa

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว

    Duh utapeli sio poa hukumu zote zilipatikana kata huyo lisa alifika? Na hukumu inatolewa bila mgawanyo wa mali? Huyu jamaa ni noma

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 11 หลายเดือนก่อน

    Ukisoma school of cancelling hurusiwi kufunua mambo ya, washauliwa wako public... Wanaoruhusiwa kuweka undani wao ni wauhusika wenyewe..... HUYU SIYO MSHAURI KABISA... Akutakiwa kuweka kesi ya pufyum.... Huyu aliitwa kumsikiliza Lisa akamgeuka Lisa

  • @godfreykovaga3454
    @godfreykovaga3454 ปีที่แล้ว

    Wewe umjui malisa mkewe ndo anamjua vizuri

  • @mike9619
    @mike9619 ปีที่แล้ว +1

    usikosee kuoa #mwanangu narudia tena usikosee

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kitu hatari kwa siku hizi za mwisho kama haya makanisa

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke akitaka talaka yake ni haki yake kabisa .Kama hampendi mume wake.kwa Dini y kislam kwenye kitabu kitakatifu Quaran iko sura nzima inazungumzia kuhusu Talaka

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wanajishauaga sana mwanzoni lakini baada ya kulipata wanalolitafuta huwa wanakuwa wapole sana.

  • @tumainipallangyo776
    @tumainipallangyo776 11 หลายเดือนก่อน

    Malisa songa mbele mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Na ukiwa na kusudi la Mungu ndani yako hata mke anaweza kutumiwa na shetani ili auwe kilicho ndani yako.

  • @ejkholdingscompany186
    @ejkholdingscompany186 ปีที่แล้ว

    Mmmh ndoa hizi

  • @sarafinamwandi2444
    @sarafinamwandi2444 11 หลายเดือนก่อน

    Nikijua nimesikia yote kumbe Bado ee Mungu baba nifundishe kunyamaza

  • @annethmagese4372
    @annethmagese4372 11 หลายเดือนก่อน

    Sina hakika kama huyu nimtumishi wa Mungu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika ปีที่แล้ว +8

    Wanawake wamwogopeni Mungu tu. Izi kesi za ubakaji zimekua fimbo kwa Wanaume wengi haswa wanawake wanapo amua kubadilika . Mimi hapa nilipewa kesi ya ubakaji na mke wangu kisa miradi tuliyo fungua na meneja mmoja wa benki. Malisa akubali yaishe kwa usalama wake na angalie watoto wake . Mke ukuzaliwa nae ni mtoto wa mwenzio siyo wako. Watoto wako ndiyo wakwako. Wanawake wengi ni tatizo haswa kukiwa na mwongozazi kwa picha. Ndiyo maana niliamu kukaa mbali nao. Wengi ni zaidi ya shetani na mashetani. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani kamanda. Amen.

    • @elenlazaro3192
      @elenlazaro3192 ปีที่แล้ว +1

      Watoto ni wa mdogo wake Lissa ....waliwachukua kuwalea baada ya mdogo wake kufariki

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 ปีที่แล้ว +2

      Yaani baadhi ya wanawake wanastahili kwenda jehanamu,wamejaa wivu,roho mbaya wapumbavu sana

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni mwanamke , na kesi kama hizi kweeeeli zimekuwepo hasa pale mwanamke anapopata pedeshee , na kwakuwa tumemeonekana kuwa tinanyanyaswa basi tunatumia njia hiyo kuwachapia watoto wa watu wa kiume , tukasahau na sisi tuna watoto wa kiume ,na hiii tabia imekuwapo sana .

    • @amisamaurid1882
      @amisamaurid1882 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabixa

  • @gracemsalila7735
    @gracemsalila7735 ปีที่แล้ว +12

    Wachungaji wengi huduma ikikua wanawanyanyasa wake zao sana

  • @mtaakwamtaa4425
    @mtaakwamtaa4425 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza wewe ni nani mshenga ,msimamizi wa ndoa ,au msemaji wa ndoa hiyo na kwa nini sasa jambo la ndoa ya watu lizungumziwe kwenye media wakati wewe sio muhusika wewe ni muhuni kama wahuni wengine toka hapa

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg ปีที่แล้ว +1

    Ukweli askofu hatakiwi kuwa mtu asiye na lawama na mawaa Sasa kanisa ligawanywe Kwa sababu yatamaa ya sadaka za watu

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg ปีที่แล้ว

      Ndo maana yesu alisema huwezi kutumikia mabwana wawili Mali mke watoto na KAZI ya mungu ona Sasa yanayotokea aibu tupu

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 ปีที่แล้ว

    Ongea YAKO unayejiita mtumishi wa mungu iko wazi umesetiwa na upande wa malisa

  • @comraderashid_nuru_m5260
    @comraderashid_nuru_m5260 ปีที่แล้ว +3

    Bila kujali wewe ni nani ktk jamii, ugomvi ktk ndoa unatatuliwa na wanandoa wenyewe ukiwa mkubwa kidogo utaenda kwa wazazi na mshenga basi, ikizidi hapo hakuna mwanandoa hapo bali watu wawili wenye viburi vilivyopita kiasi. Unakuta binti anasema ukifanya iki ntaenda kushitaki ofisini kwenu, mara ntasema kwa majirani na mambo ya ovyo kama hayo sasa unakuwa unaishi na mtu anayepambana na wewe, adui yako

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia ปีที่แล้ว +8

    Huyu amekula chake asubuh

  • @joycesikana4513
    @joycesikana4513 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni huyo mtumishi haina haja ya kumsema waombeni tuu Mungu ndio jibu lao huyu akaye pembeni haeleweki

  • @esterkilleo2638
    @esterkilleo2638 ปีที่แล้ว

    Mmmmh hiiyo ni hatari Malisa angekaa na mkewe watatue hilitatizo lakini watu wapembeni watawaharibia kila kitu hatajulikana yupi mkosaji wayamalize bwana wasameheyane

  • @Ostkans
    @Ostkans ปีที่แล้ว +5

    Kwa nini wazee maarufu nchini,ma Kamanda,mama mlezi na kadhaa waliotajwa hao wahusike kupinga taarifa hii ikiwa wameisikia wapo kimya ni ya kweli,wanaume tieni maji wembe mkavu waja.

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli Lisa aliitaka talaka kwa nini hakuhudhuria mahakamani?Nyie waongo wakubwa.Eti Prophet 😅.Nyie ni wapigaji tu,mnatumia matatizo ya watu kupata sadaka.

  • @mercyroy6396
    @mercyroy6396 ปีที่แล้ว +1

    Huu niuongo wanataka kumuharibia dada wawatu lakini ipo siku

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 ปีที่แล้ว

    Wewe ushapewa sadaka so Mwishi huujui

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 ปีที่แล้ว +8

    Eti alitumwa yeye Kwa sababu ya 'peofession' yake my foot!

  • @barakakings
    @barakakings ปีที่แล้ว +3

    Nime elewa jambo,ngoja nikae kimya.

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 ปีที่แล้ว

    Kwani magari feki haturuhusiwi? Tz

  • @tukuyufm
    @tukuyufm ปีที่แล้ว +1

    mh..

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

    kwani prophet mwenyew anasemaje ,

  • @PendoP-t8g
    @PendoP-t8g 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndo mwamuzi wa mwisho siku si nyingi atatoa majibu , tutajua mwema nani au mbaya nani

    • @BeullahBujah-lk3sx
      @BeullahBujah-lk3sx 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe waombee mtu wa Mungu Leo kwao kesho kwako!

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 ปีที่แล้ว

    Huyo mama kadanganywa sababu ya hizo Mali walizochuma na malisa ili wagawane

  • @magrethfaustine2665
    @magrethfaustine2665 ปีที่แล้ว

    Msijiite watumishi wa Mungu nyinyi hamuwezi kumtumikia Mungu kamwe ni njaa tu zinawasumhua

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 ปีที่แล้ว +6

    Wewebinaonekana ndio mvunja ndoa.kwa nini unakuja mitandaoni kumdhalilisha LISA..kama wewe ni mpatanishi kwa nn usiyamalize kiungwa

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton ปีที่แล้ว

      Na bado anasema kabisa et Mimi ndo nilifatilia taraka kwani yeye ndo alieoa kwanza ni mahakama Gani iyo ambayo inatoa taraka kwa mtu ambae sio muusika hapa kuna kitu Wanakificha Hawa watu,Maana wameona yule dada kaongea ukweli na kwanza yule dada ajataka kuvunja kanisa ametaka haki yake ya ndoa tukasikilize vizuri maongezi ya yule acheni kumchafua libaba lizima ovyoooo

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati ปีที่แล้ว

      Afai huyo kahongwa anatetea upande mmoja kwa nini

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwenyewe ndoa yako unashida.

  • @masumbukosendwa8359
    @masumbukosendwa8359 ปีที่แล้ว +1

    Toka pepo

  • @YothamBraiton
    @YothamBraiton ปีที่แล้ว +2

    Jamani hapo sijaelewa unawezaje kwenda kuchukua form 3sehemu yao ya zamani ambayo walikuwa wanaishi hapa kuna kitu wewe unaejiita aposto mbingu utaisikia