JINSI ya kuondoa WEUSI chini ya Macho👀.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @fortunaterjuventus9589
    @fortunaterjuventus9589 ปีที่แล้ว +1

    Asantee dada nami nasumbuliwa na huo weus chin ya macho

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @AnethKanza
    @AnethKanza 4 หลายเดือนก่อน

    Mm ninatumia imenisaidia pia hat ukiungua na jua kiaz kiboko pia natumia na manjano na asali rang yang nzur San

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  4 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana dear nafurahi kusikia umepata matokeo mazuri♥️

    • @AnethKanza
      @AnethKanza 4 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 Sawa kipnz changu ucjar tupo pmj mung akulinde kipnz

  • @JulianaMwakanemela-j9x
    @JulianaMwakanemela-j9x 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unapatikana wapi?

  • @juliethvalentine9414
    @juliethvalentine9414 ปีที่แล้ว +1

    Dada m ninaweus chini ya macho nautoaje

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  ปีที่แล้ว

      Tumia mchanganyiko huu ukimaliza Kuna sabuni na mafuta mazuri ukitumia Tatizo linaisha dear karibu.

    • @MariamuJuma-t7o
      @MariamuJuma-t7o ปีที่แล้ว +1

      Mafuta yanaitwaje na sabuni yake kipenzi

    • @MariamuJuma-t7o
      @MariamuJuma-t7o ปีที่แล้ว +1

      Na kama inasababishwa na kuvaa miwani? Mana nina weusi chini ya macho ila ni kwasababu ya miwani ninayotumia ya macho

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  ปีที่แล้ว

      @@MariamuJuma-t7o unaweza ukajaribu pia

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  ปีที่แล้ว

      @@MariamuJuma-t7o 0672394004 nicheki Whatsapp

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 6 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani ukisuka rasta kuhusu kuspray maji kichwani hii inakaaje naomba nisaidie

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  6 หลายเดือนก่อน

      Ukisuka Rasta kwa upande wangu nikspray maji Huwa nawashwa sana so mbadala wa kuzipa nywele unyevu nikiwa nimesuka Rasta Huwa napaka leave in conditioner na mafuta ya maji

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 6 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 Asante kipenzi

  • @AmissaLulu
    @AmissaLulu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Er

  • @EmmanuelAssey-d8f
    @EmmanuelAssey-d8f ปีที่แล้ว +1

    Unachuja unaweka maji au hivyohivyo

  • @Mgeni-q3n
    @Mgeni-q3n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm dada natumia lkn bado cjaona matekeo yuyote sasa nitumiy nn tena tiba ya asili

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153  6 หลายเดือนก่อน

      Pole dear nitaleta video nyingine inayohusiana na hii

    • @AnethKanza
      @AnethKanza 4 หลายเดือนก่อน

      Tumia manjano dear Kam ngoz yako ya mafuta weka asali na limao Kam sy ya mafuta limao usiweke

    • @CheenWizoo
      @CheenWizoo 4 วันที่ผ่านมา

      Nina weusi chin ya macho na uso wangu wamafuta nimejalibu ila bdo avitoki