urembo na asili
urembo na asili
  • 146
  • 218 855

วีดีโอ

JINSI ya KUTENGENEZA mafuta ya KUNG'ARISHA NGOZI
มุมมอง 2524 หลายเดือนก่อน
JINSI ya KUTENGENEZA mafuta ya KUNG'ARISHA NGOZI
Fanya hivi Kila mara unapoosha nywele zako ili kupata matokeo mazuri
มุมมอง 1224 หลายเดือนก่อน
Fanya hivi Kila mara unapoosha nywele zako ili kupata matokeo mazuri
STYLE ZA KUBANA TWIST//12 STYLES OF MINI TWIST ON SHORT NATURAL HAIR
มุมมอง 284 หลายเดือนก่อน
STYLE ZA KUBANA TWIST//12 STYLES OF MINI TWIST ON SHORT NATURAL HAIR
jinsi ya KUTENGENEZA hair mask nzuri sana kwa kutumia yogurt//maziwa mtindi😋
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
jinsi ya KUTENGENEZA hair mask nzuri sana kwa kutumia yogurt//maziwa mtindi😋
Fanya hivi Kila unapofumua style hii ya nywele bila kukata nywele//mini twist take down.
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
jinsi ya kufumua mini twist bila kukata nywele #nywele #subscribe
JINSI YA KUCHANA NYWELE HATUA KWA HATUA BILA MAUMIVU WALA KUKATA NYWELE .
มุมมอง 724 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUCHANA NYWELE HATUA KWA HATUA BILA MAUMIVU WALA KUKATA NYWELE .
DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI BILA KUJICHUBUA NA CREAM KALI😋
มุมมอง 874 หลายเดือนก่อน
DAWA YA KUNG'ARISHA NGOZI BILA KUJICHUBUA NA CREAM KALI😋
VIFAA 10 vya MSINGI vya kuwa navyo katika safari ya KUKUZA NYWELE kwa wanaoanza//For beginners
มุมมอง 774 หลายเดือนก่อน
VIFAA 10 vya MSINGI vya kuwa navyo katika safari ya KUKUZA NYWELE kwa wanaoanza//For beginners
JINSI YA KUWEKA STEAMING KWENYE NYWELE NATURAL//HAIR STEAMING//DEEP CONDITIONER
มุมมอง 2.3K5 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUWEKA STEAMING KWENYE NYWELE NATURAL//HAIR STEAMING//DEEP CONDITIONER
madhara ya kuweka dawa kwenye nywele.
มุมมอง 2545 หลายเดือนก่อน
madhara ya kuweka dawa kwenye nywele.
faida za karafuu kwenye nywele. @urembonaasili7153
มุมมอง 2346 หลายเดือนก่อน
faida za karafuu kwenye nywele. @urembonaasili7153
JINSI YA KUWEKA UNYEVU KWENYE NYWELE
มุมมอง 30211 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUWEKA UNYEVU KWENYE NYWELE
JINSI YA KUSUKA TWIST NDOGO NDOGO/1Million twist🤔 KWA KUTUMIA BIDHAA 1 TU!!
มุมมอง 15911 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUSUKA TWIST NDOGO NDOGO/1Million twist🤔 KWA KUTUMIA BIDHAA 1 TU!!
JINSI YA KUTENGENEZA STEAMING YA NDIZI//FAIDA ZA NDIZI KWENYE NYWELE//BANANA 🍌 HAIR MASK
มุมมอง 32111 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUTENGENEZA STEAMING YA NDIZI//FAIDA ZA NDIZI KWENYE NYWELE//BANANA 🍌 HAIR MASK
KUZA NYWELE KWA MBINU HII//INCH 2 KWA USIKU MMOJA!!🤔😳//UHAKIKA 💯💯
มุมมอง 7K11 หลายเดือนก่อน
KUZA NYWELE KWA MBINU HII//INCH 2 KWA USIKU MMOJA!!🤔😳//UHAKIKA 💯💯
jinsi ya kubadilisha NYWELE nyekundu kuwa nyeusi.
มุมมอง 772ปีที่แล้ว
jinsi ya kubadilisha NYWELE nyekundu kuwa nyeusi.
MAFUTA YA KUKUZA NYWELE HARAKA🤔
มุมมอง 793ปีที่แล้ว
MAFUTA YA KUKUZA NYWELE HARAKA🤔
sababu za kukosa HEDHI kwa mwanamke @urembonaasili7153
มุมมอง 553ปีที่แล้ว
sababu za kukosa HEDHI kwa mwanamke @urembonaasili7153
Leo najibu maswali yenu yote mliyo uliza🤗
มุมมอง 63ปีที่แล้ว
Leo najibu maswali yenu yote mliyo uliza🤗
KUZA NYWELE KWA BAMIA 😍
มุมมอง 189ปีที่แล้ว
KUZA NYWELE KWA BAMIA 😍
Jifunze kujisuka mwenyewe style hii nzuri ya nywele ❤️🥰
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
Jifunze kujisuka mwenyewe style hii nzuri ya nywele ❤️🥰
JINSI ya kutengeneza mafuta ya kukuza NYWELE//how to make hair growth oil 😍#growthoil
มุมมอง 36Kปีที่แล้ว
JINSI ya kutengeneza mafuta ya kukuza NYWELE//how to make hair growth oil 😍#growthoil
hair density ni Nini? //ZIJUE NYWELE ZAKO vizuri.
มุมมอง 35ปีที่แล้ว
hair density ni Nini? //ZIJUE NYWELE ZAKO vizuri.
JINSI ya kuondoa WEUSI chini ya Macho👀.
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
JINSI ya kuondoa WEUSI chini ya Macho👀.
JINSI YA KUWEKA PROTEIN KWENYE NYWELE//PROTEIN TREATMENT ON NATURAL HAIR
มุมมอง 976ปีที่แล้ว
JINSI YA KUWEKA PROTEIN KWENYE NYWELE//PROTEIN TREATMENT ON NATURAL HAIR
ZIJUE NYWELE ZAKO//JUA MUUNDO WA NYWELE YAKO//WHAT IS YOUR HAIR TEXTURE ??
มุมมอง 29ปีที่แล้ว
ZIJUE NYWELE ZAKO//JUA MUUNDO WA NYWELE YAKO//WHAT IS YOUR HAIR TEXTURE ??
JINSI YA KUBANA NYWELE FUPI//STYLE ZA HARAKA HARAKA @UREMBONAASILI
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
JINSI YA KUBANA NYWELE FUPI//STYLE ZA HARAKA HARAKA @UREMBONAASILI
MITINDO 14 YA KUBANA RASTA YA FASTA//TANZANIAN YOUTUBER//@urembonaasili7153
มุมมอง 12ปีที่แล้ว
MITINDO 14 YA KUBANA RASTA YA FASTA//TANZANIAN TH-camR//@urembonaasili7153
KWANINI NYWELE ZAKO HAZIKUI?//SABABU 9@urembonaasili7153
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
KWANINI NYWELE ZAKO HAZIKUI?//SABABU 9@urembonaasili7153

ความคิดเห็น

  • @oman5875
    @oman5875 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimejaribu hivyo nione ila ninaimani yataniweka ngozi yangu ng'avu na nyonyororo🙏🏿😍

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Natumaini yatakubali ngozi yako

  • @RahelMhezi-f9o
    @RahelMhezi-f9o 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi leo nitaanza kutengeneza, ila pia nimefrai wewe unajibu sms za wadau sio kama wengine❤❤

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 13 วันที่ผ่านมา

      Asante sana mpenzi nimefurahi pia

  • @veelilyn7635
    @veelilyn7635 19 วันที่ผ่านมา

    Oil ya bamia inatengenezwaje???

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 18 วันที่ผ่านมา

      Endelea kufatlia channel nitaleta video hiyo pia

  • @KulwaAndrew
    @KulwaAndrew 20 วันที่ผ่านมา

    ❤inafanyankaz kwa mda gan???

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 18 วันที่ผ่านมา

      Wiki 1 tu utaanza kuona matokeo

  • @JastnMlelw
    @JastnMlelw 22 วันที่ผ่านมา

    Ok

  • @sabitiomary
    @sabitiomary 25 วันที่ผ่านมา

    Unavichemsha?

  • @ChristinaFaustine-ld1hk
    @ChristinaFaustine-ld1hk หลายเดือนก่อน

    Samahan hv kusuka twist ni jelly gn tunatumia

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutumia gel yoyote au mafuta yoyote tu dear

  • @CaristaMapunda
    @CaristaMapunda หลายเดือนก่อน

    Kwa nini ukiosha nywele zinarudi? Nifanyeje ili zisiwe zinarudi?

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Kawaida nywele yenye afya ya asili ukiiosha lazima inywee kidogo hivyo usiogope ukiona hivyo kinyume chake ifurahie nywele yako kua yenye afya Kinyume na hapo labda uiwekee dawa

  • @lorriebenga7702
    @lorriebenga7702 หลายเดือนก่อน

    Kam situmiyi tangawizi ni Saw?

  • @lorriebenga7702
    @lorriebenga7702 หลายเดือนก่อน

    Je nywele zinaweza kujaa?

  • @hildagabriel1003
    @hildagabriel1003 หลายเดือนก่อน

    Mbn nywele apo bado imetoka nyngi i mean kukatika

  • @ChausikuEzekiel
    @ChausikuEzekiel หลายเดือนก่อน

    Ukilal nayo inamadhar

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Vizuri uiache Kwa muda wa nusu saa mpaka saa Kisha ioshe

  • @Latipha-u5c
    @Latipha-u5c หลายเดือนก่อน

    Ukioxha uxiku na asubuhi ukiamia unaoxha na sabuni ety dada nimependa sana laking mim nywele zangu zinakatika sna

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Pole sana jaribu kufatlia video zangu zilizopita zitakusaidia

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 หลายเดือนก่อน

    Mambo mrembo naomba msaada maaana nywele zangu hazikui ni miaka 3 sasa sioni ukuaji

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Poa..pole umejaribu kutumia njia zipi?

    • @ellahjonas4881
      @ellahjonas4881 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 tangawizi na kitunguu maji

  • @AngelSamson-h9x
    @AngelSamson-h9x หลายเดือนก่อน

    Asantee kipenz

  • @NucryHadija
    @NucryHadija หลายเดือนก่อน

    Unapima mfumo mzima wauzazi

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 หลายเดือนก่อน

      Hapana Mimi sipimi ninatoa ushauri wa afya ya uzazi pamoja na tiba

  • @ummul-kulthoumhassan4998
    @ummul-kulthoumhassan4998 หลายเดือนก่อน

    Ahsnt kwa stiming

  • @tumainimroswa
    @tumainimroswa หลายเดือนก่อน

    Yale mayai uliosha baada ya nusu saa then ukapaka mafuta

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 2 หลายเดือนก่อน

    Naweza paka kwa nywele yenye Dawa?

  • @MariaBonfass
    @MariaBonfass 2 หลายเดือนก่อน

    umeweka karafuu na tangawazi na mafuta ya nanzi na nn

  • @nashoniMringo
    @nashoniMringo 2 หลายเดือนก่อน

    baada ya hapo unaosha ndani ya mda gani

  • @jajimkama2209
    @jajimkama2209 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa naosha mywele Kila wiki na vitunguu lkn mmba zipo mpaka Leo na nimenyoa

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 2 หลายเดือนก่อน

      Pole usingenyoa unhejaribu njia nyingine ya kuosha nywele mfano ungekua unaziosha Kwa kutumia apple cider vinegar nk

  • @ChausikuEzekiel
    @ChausikuEzekiel 2 หลายเดือนก่อน

    Kam sina mafuta ya nazi inakuwaj

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 2 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutumia mafuta yoyote uliyonayo ya kimiminika mf castor oil olive oil n.k

  • @ashampega3061
    @ashampega3061 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo dr samahn naomba unijibu .... mimi chuchu zinauma kuna mda nasikia kizungu zungu ... mbili unauma kama nina homa kichwa pia lakini maumivu nikiwa na jamiana ...uchafu mwingi kama maziwa ya mtindi ila mie napata hamu ya kula sasa naweza kua na p i d au mimba kwa maan mpka saiv sijazona period.. na siku imepita

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 2 หลายเดือนก่อน

      Hello pole nicheki whatsap kupitia 0672394004

  • @DicksonJamanne
    @DicksonJamanne 2 หลายเดือนก่อน

    na nikila baada ya muda gani dada

  • @DicksonJamanne
    @DicksonJamanne 2 หลายเดือนก่อน

    na nywele ya dawa pia tunaeza kupaka bila kwenda saloon dada

  • @adonikamdario6320
    @adonikamdario6320 2 หลายเดือนก่อน

    Yomb

  • @DorineKilingo
    @DorineKilingo 3 หลายเดือนก่อน

    Unachemsha au

  • @aishajuma-zc5lm
    @aishajuma-zc5lm 3 หลายเดือนก่อน

    Mayai lazm yaw ya kienyej

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana hata ya kisasa pia japo ya kienyej n mazuri zaidi

  • @asinamussa1156
    @asinamussa1156 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nywele zangu zina dawa inafaa kutumia au?

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio inafaa kbs

    • @asinamussa1156
      @asinamussa1156 3 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 asant kwa kujibu meseji yangu

  • @zacharyMkwaya
    @zacharyMkwaya 3 หลายเดือนก่อน

    Niunge nijfuze namna ya kutengeza wateja Wang n

  • @UpendoMjema-h4w
    @UpendoMjema-h4w 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kwa kutusaidia

  • @juliusfrank9760
    @juliusfrank9760 3 หลายเดือนก่อน

    Go to the point acha mbamba

  • @Felister-d1o
    @Felister-d1o 3 หลายเดือนก่อน

    That's nice👍

  • @ElizahBaraka
    @ElizahBaraka 3 หลายเดือนก่อน

    Mm ninazo hzo dalil za maumiv chn ya kitovu; kiuno na mgongo vinauma sana japo uchaf sitokw j n PID?

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 3 หลายเดือนก่อน

      Pole dear inaweza ikawa ni pid au uti ni vizuri ukapime upate uhakika Kisha tujue ni tiba gani sahihi itakufaa

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu

  • @HellenJohn-b3s
    @HellenJohn-b3s 3 หลายเดือนก่อน

    Naweza kutumia kwa mwezi marangap mam

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 3 หลายเดือนก่อน

      Jitahid uwe unayapaka mara 3 kwa wiki dear

    • @luluignas-u8i
      @luluignas-u8i 3 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 na me nanyoa lkn natamani kusuk itanisaidia kukua alaka nywele au

  • @AleniHappy-v2h
    @AleniHappy-v2h 4 หลายเดือนก่อน

    zikiwa na dawa inakueje

  • @AishaLwambo
    @AishaLwambo 4 หลายเดือนก่อน

    Numeipenda hiyo asant ❤

  • @ناصرالتوبي-ق6ش
    @ناصرالتوبي-ق6ش 4 หลายเดือนก่อน

    لهبتلقىبةتي😂😂😂😂😂😂😂ايوىرةلز لا ولله ما بة

  • @Georgebahemu__
    @Georgebahemu__ 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa mfano unatengeneza ili uuze mtu hawezi gundua umetengenezaje?. Na harufu ya mafuta ya nazi haisikiki?

  • @Mariam-z5e
    @Mariam-z5e 4 หลายเดือนก่อน

    Mapozi mengi hadi siyo poa

  • @dismaswangwe8903
    @dismaswangwe8903 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

      hapo mpenzi ujasema vyote ulivyoweka nimeona kama umeweka Asali

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

      mimi nywele yangu inaelea kwenye maji itakuwa kundi gani na pia natakiwa nitumie bidhaa zipi?

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Hapana sijaweka asali hiyo nyeusi n mafuta ya mlonge yamechanganywa na castor oil avocado oil palm oil nk nadhani nimeyataja

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni low porosity jitahid kutumia products nyepesi yan mafuta yawe mepesi/ ya maji ili iwe rahisi kufyonzwa kwenye vitundu vya ngozi ya kichwa na kwenye nywele pia

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 ikielea inakuwa haipo vizuri?

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 4 หลายเดือนก่อน

    Jamanii kumbe una katoto kazuri❤

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli nywele yako inakua taratibu sana jamani,pole my dear❤

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio,inakua pole pole sana n uvumilivu tu

  • @angelkirigini
    @angelkirigini 4 หลายเดือนก่อน

    Mim nanyoa saiv na ninahitaji nianze kusuka vip nikitumia itanisaidia au mpka mtu anae suka

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Sio lazima usuke unaweza kuyatumia kwa ajili ya nywele zako kuwa nzuri na zenye afya

  • @AnethKanza
    @AnethKanza 4 หลายเดือนก่อน

    Mm ninatumia imenisaidia pia hat ukiungua na jua kiaz kiboko pia natumia na manjano na asali rang yang nzur San

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana dear nafurahi kusikia umepata matokeo mazuri♥️

    • @AnethKanza
      @AnethKanza 4 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 Sawa kipnz changu ucjar tupo pmj mung akulinde kipnz

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

    samahani hivi naweza nikaweka kitunguu maji karafuu na hiyo tengawizi au taharibu?

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hilo sijalifanyia uchunguzi kipenzi

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

      @@urembonaasili7153 haya dear acha niifanye hii tu

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

    mimi mfuatiliaji mzuri sana lakini nimeshaanza kukereka yani maneno mengi pasipo vitendo

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

    Akuna kitu kizuri kama kuongea na kuonyesha vitendo ingekuwa inapendeza zaidi unakuta bando linaisha kwa Ajili ya kusikiliza tu inakera kiukweli

    • @urembonaasili7153
      @urembonaasili7153 4 หลายเดือนก่อน

      Pole,zipo njia nyingi za kujifunza Kitu ndo maana Kuna nadharia na vitendo dear