KUWA NA FEDHA NYINGI BILA MUNGU NI USHIRIKINA NA ZINAGEUKA KUWA SUMU" PASTOR MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Hii ni kweli kabisa, ndio maana wengi hupenda injili za kubarikiwa wala sio za kuutafuta ufalme
Ufalme wa Mungu namaanisha
True. Wengi hutaka Baraka Na Maisha mema Ila hawatak kuongea kuhusu kutafta ufalme Wa Mungu
Ameeeeeeeeeen
Mungu akubaliki Sana kwa mafundisho mazuri pastor
Amen Amen Amen 🙏
Be blessed man of God ukweli wambie baba 100% umenena
Kweli kabisa mchungaji 🇰🇪
Mungu akupe Bingunii Iz suku Biko nguvu kupata Mutumishii Wa kusema Ukweli kama Weyeeee
Iz Siku Dunia inaitaji Batu kama weye Balikiwa Baba🙌🙌🙌 Nakuomba Uje BURUNDI tunakwiitajii
Kalibuu
Sema baba tupone 🇳🇦🇳🇦🇳🇦
Asante baba hayo yako kwangu baba
Huo ni ukweki mtupu mtumishi wa Mungu...endelea kutubariki kwa neno la Mungu na uzidishiwe zaidi.Mie ni Victor Kiage kutoka Kenya.
Iyo kweli kbs pasteur
Ameeeee3
Amen mtumishi, msema kweli hupingwa na wengi, ibada zako znamafumbo ambayo inahitaj roho mtakatifu kuzifumbua, ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
Umenifungua macho
Amina 🙏🙏🙏🙏 mtume
Wapo baba
Hiyo ni kweli, na , Amina 🙏🙏
Yeeesssssss
Amen
May God deal with our inner person as he blesses us with physical blessings
Ameeeeeeeeeeeeeeen
Ameeeeeeeeeeeen
Nakupenda sana kwa mahubiri yako askofu mwenyezi MUNGU akulinde milele na milele Amina
Barikiwe pastor mungu amekutuma utambie ukwer mungu akubariki
Asante kwa somo, Mungu akubariki. Nafata nikiwa Drc
Haya mafundisho yanavunja mifupa yanafanya hata uparalyse Mungu akubariki sana mtumishi
Amen mchungaji wangu wa ukweli
Napenda mahubiri yako mchungaji.
Pasta ni kweli kabisa Mungu akumbariki sana kwakuturekebisha
Oooohhhh Alleluaaaaaaa Alleluaaaaaaa Alleluaaaaaaa Mungu atusadie
Balikiwa mtumishi wa mungu nakupaya 5/5 🙏🙏
Watu hawapendi ukweli lkn ukweli usemwe watching from Kenya napenda mahuniri yako bure
Asante sana kwa lisala yako
Ameni, mtumishi
Pastor kweli uliitwa na Mungu niambie ukweli na mwisho ni muone Mungu be blessed to sana from Kenya 🇰🇪
Unani patia pastor 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikupimwa kabisa
AMEN
Hauna sera Mzee. Mwamposa Ni mtumishi Tu ajasema kwamba yy Ni Mungu haujamsikia vizur
Amen 🙏🏾 Pastor
Amen
Amen 🙏