MPINA;IUNDWE TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MAGUFULI/MAKONDA,CHALAMILA WATAJWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 291

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 5 หลายเดือนก่อน +47

    Nakuunga mkono kwenye uchunguzi wa kifo cha JPM

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 5 หลายเดือนก่อน

      Ben Saanane Na Wengine Vp Waliopotezwa Nakuuawa Mf Alphonce Mawazo?

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 5 หลายเดือนก่อน

      @@qonquererqanquerer1781peleka tume na wewe

    • @AlanMbilinyi
      @AlanMbilinyi 5 หลายเดือนก่อน

      HAKI NI HAKI HATA KAMA UNA PESA AU,MHESHIMIWA HAKI ITENDEKE.MPINA OYEE KAZA UZI MHESHIWA TUAKUNGA MKONO.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 5 หลายเดือนก่อน +40

    Kati ya wabunge Bora huyu Nampa asilimia 98.5 kwa kusema hoja bora

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 5 หลายเดือนก่อน +3

      Unfortunately he is alone😢

    • @Lubango-gj3ud
      @Lubango-gj3ud 5 หลายเดือนก่อน +2

      Haungwi mkono na wenzake (ccm ) yawezekana hana u-ccm wanaoutaka!! It's very wonderful!!

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni mtu sahihi ana hekima na ni mzalendo

    • @Brno984
      @Brno984 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 5 หลายเดือนก่อน

      Hana lolote huyo ni maumivu ya kuukosa uwaziri tu huyo, Katika yote aliyosema hilo la viongozi ambao siyo raia na kwenye uongozi kwamba lifanyiwe kazi hilo ndo namuunga mkono, huyo hapo akipewa uwaziri hautamsikia tena

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน +35

    Nakuunga mkono sana mheshimiwa mpina.Mungu azidi kukulinda na kukupa maisha marefu zaidi

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 5 หลายเดือนก่อน +3

      ni mwendawazimu tu ndie anayeweza kuamini kuwa Dr.Magufuli hakukatizwa maisha yake na maadui zake ambao wote wamerudi madarakani baada ya kifo chake..

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน +37

    Sanaaaa wachunguze Sanaaaa hiyo kweli kabisa kifo chake kinatuuma Sanaaaa wstanzania

    • @joycengoda6567
      @joycengoda6567 5 หลายเดือนก่อน

      Waliomshambulia. Tundu Lisu pia ichunguswe

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

      @@joycengoda6567 Sawa kabisa wote wachunguzwe hakuna siri duniani ukiuua ndiyo umejimaliza ukimpiga mtu risasi umejimaliza siri zote nje ccm oyeeeee kazi inaendelea watajisema wenyewe la kila kitu wafanyacho kinaharibikia wanabaki na wasiwasi wa roho Mungu tenda miujiza

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 5 หลายเดือนก่อน +33

    NAUNGA MKONO HOJA, NAUNGA MIKONO HOJA, NAUNGA MIKONO NA MIGUU HOJA, NAUNGA MWILI MZIMA HOJA ,,, mpina you are the legend 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 5 หลายเดือนก่อน +10

    Safiii mpina,.we ni jembe!..hakuna aliyeweza kuzungumza hayo ila wewe umeweza!..big up sana mungu akulinde!..wasije wakakuuwa na wewe

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 5 หลายเดือนก่อน +22

    Uko sahihi kabisa mheshimiwa mpina japo wengi watakupinga nchi yetu inatakiwa wabunge kama wewe

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 5 หลายเดือนก่อน +21

    MWILI HAUPO...LAKINI ROHO YAKE BADO IPO HAI KABISA BILA UBISHI.....ANATUSIKIA

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 5 หลายเดือนก่อน +35

    Kwakweli mpina una maono marefu, ingefaa uwanie urahisi wa 2025

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      Hiii imeenda

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      Anatoka povu

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu kijana ni mzuri sana, ila huwa wanampinga sana, hakika uovu wote uliofichika utafichuka kwa jina la Yesu, na ndio hao hao waliojificha wanaanza kumtukana rais aliyeko madarakani

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 5 หลายเดือนก่อน +13

    Naunga mkono hoja,nawew ujue sio mbunge wa kisesa tu ila ni Mbunge wa Tanzania nzima maana wabunge wengi hawapo na wananchi wamebaki kuwa machawa tu

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 5 หลายเดือนก่อน +12

    Yani apo ndipo mambo yanapochanganya vichwa..kuna viongozi wanaongozwa na kuna viongozi wanaongoza na kuna viongozi wanaongozana 🦧

  • @ndilibangokaruhawe9335
    @ndilibangokaruhawe9335 5 หลายเดือนก่อน +16

    Ni sahihi Mimi naamini ipo siku uchunguzi wa kweli utafanyika kwa Sasa wakweli Ni wachache

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 หลายเดือนก่อน +15

    YAANI HATA MKE WAKE HAKUJULISHWA UGONJWA WA MUME WAKE. ?. HII SIYO HAKI KABISA.

    • @bint8178
      @bint8178 5 หลายเดือนก่อน

      Inauma sana

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 5 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu na MAKONDA mmoja awe rais mwingine makamo full story

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 5 หลายเดือนก่อน +11

    Nakuunga mkono mpina sanaa sanaaa juu ya jambo hilo

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 5 หลายเดือนก่อน +10

    Naunga mkono mpina akili kubwa sana ee mungu mlinde mpina

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 5 หลายเดือนก่อน +17

    Mpina 1 mpina 2 mpina 3 wewe ni mtetezi wa wanyonge ila kaka yangu wataku ua maana kapuku huna nafasi magenge ya kishenzi yanayo Linda matumbo Yao na vizazi vyao hawana uchungu na nchi Bali matumbo Yao na familia zao ira hio ni raaana Hadi kwa vizazi vyao kwa zuruma kwa watanzania ira muenderee kuiba na kufuja Mari za wanchi ira ipo siku nyinyi baazi ya viongozi mtukura nyasi tu hata mbinguni kwa mungu

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo wewe ni mnyonge??

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 3 หลายเดือนก่อน

      @@hassanmsumari1200 kakojoe ukatoe jicho

  • @MweraRiro
    @MweraRiro 5 หลายเดือนก่อน +18

    Lakini Pia watanzania hawakupewa taarifa Kwa mujibu Wa katiba ibara ya 18(2)

  • @GONGALIFESTYLE
    @GONGALIFESTYLE 5 หลายเดือนก่อน +9

    Wanajua wamefanikisha malengo yao

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 5 หลายเดือนก่อน +16

    Natamani uwe raisi na mimi niwe makamu wako, ninaamini Tanzania ingekuwa kama nchi ya Ujerumani, Austria, Italy, Swizlend, na ufaransa. Wako vizuri, wanajali raia, na barabara za ndani mpaka mlangoni

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa maliasili tulizokuwa nazo tungekuwa kweli kama Ulaya

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      Hamna mtu apa

  • @justice607
    @justice607 5 หลายเดือนก่อน +13

    Uchunguzi ufanyike😢😢

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 5 หลายเดือนก่อน +18

    Ni hatari kumwaga damu isiyo na hatia;ipo siku itakuwa waz tu

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 5 หลายเดือนก่อน

      Yeye alikuwa anauwa watu wasio na hatia, kilichompata kilimstahili

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 5 หลายเดือนก่อน +2

      alimuua nani mbona baba yako bado yupo

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@samwelsimon7392 Baba yangu yupo hai ?. Wewe umelewa asubuhi ?. Dawa za kulevya azitakusaidia,

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 5 หลายเดือนก่อน

      @@romanamassawe814 una matatizo wewe

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 5 หลายเดือนก่อน

      @@samwelsimon7392 sawa, Mimi Nina matatizo, Hilo sipingi, Nina matatizo makubwa Sana, ila naomba uelewe Mimi sijawahi kuvuta sigara, sijawahi kuvuta bangi, sijawahi kula mirungi sijawahi kunywa pombe, sijawahi kutumia coken, sijawahi kutumia broen sugar, sijawahi kutumia hirone, Wala Dawa yoyote ya kulevya,na hata Sasa situmii ulevi wowote, na nitskufa bila kutumia ulevi wowote, wewe endelea na hayo maisha yenu ya ulevi kwenye umasikini ulio kisiri mwisho utauwona, mwenzio alikuwa anavuta bangi, aliwahi kulazwa milembe hospital Dodoma, hospital ya vichaa, na hakuacha bangi mpaka mwisho na matokeo ya maamuzi yake unayaona yalivyokuwa ya ovyo, afadhali yeye alipata bahati ,je wewe ?. Tafakari kwa kina hayo maisha ya Dawa za kulevya

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน +19

    Mpina ni mzalendo wa kweli wa nchi hii na mbunge mwenye maadili mazuri sana.Utawala bora,utu,ubinadamu na haki huinua taifa na kutokomeza mafisadi.

    • @FADHILICHIKOLO-pb8iy
      @FADHILICHIKOLO-pb8iy 5 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu mbunge ndiyo amejitoa kusema kweli.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน

      @@FADHILICHIKOLO-pb8iy Wabunge wote wangekuwa kama huyu ,mifumo yote ya nchi na taasisi zote za nchi zingekuwa imara.Tungekuwa na Taifa imara na lenye utawala bora wenge kufuata katiba na kulinda sheria za nchi.wizi wa kura na tume ya hovyo ya uchaguzi visingekuwepo.ubadhirifu,ufisadi rushwa,mafisadi wala rushwa na wabadhirifu wangedhibitiwa.Utu,ubinadamu haki ,upendo na furaha vingeshamiri nchi.Hakika haki huinua taifa.Tunataka wabunge kama huyu wenye kutanguliza mbela maslahi ya taifa.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo Mbunge wa uhakika Mpina muache aseme Mzalendo wa kweli hata qampige vita vipi muacha ayamwage mwana wane yombaga sanaaaa Mwanazengo

  • @reginas1832
    @reginas1832 5 หลายเดือนก่อน +15

    Mh. Mpina Mungu akulinde upo hatarini maana ccm si watu

    • @harithimahmoud1577
      @harithimahmoud1577 5 หลายเดือนก่อน

      CCM NI ZAIDI YA MAYAHUDI fasta wanakutiya kaburini

  • @MweraRiro
    @MweraRiro 5 หลายเดือนก่อน +16

    Maana tungepewa taarifa hata tungemuuombea lakini Pia swala la raisi kuomba arudishwe akafie nyumbani ni haki yake kitaalaamu tunaita DAMA (discharge against medical advice

  • @ReginaJoseph-cm3cx
    @ReginaJoseph-cm3cx 5 หลายเดือนก่อน +11

    Big up. Mbunge wa Taifa zima

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 5 หลายเดือนก่อน +22

    Wanyonge ndo tuna umiaa kifo Cha maguu hatuelewi:::::?!!!

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo wewe ni mnyonge ????

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 5 หลายเดือนก่อน

      ???

    • @AlanMbilinyi
      @AlanMbilinyi 5 หลายเดือนก่อน

      WAONO PINGA KUUNDWA KWA TUME NI HAWO NDIYO WALIOHUSIKA KUMUA RAIS MAGUFULIBILA HIVYO WATAZOEA KUUAVIONGOZI WETU HATAKAMA NI WAHESHIMIWA,WANA 0RSA HAKI NI HAKI HAMUOGOPI MWENYE PESA WALA MHESHIMIWA.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 หลายเดือนก่อน +17

    Damu ya mtu haipotei

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 5 หลายเดือนก่อน +15

    Kiongozi leo umeongea jambo muhimu sana

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 5 หลายเดือนก่อน +9

    Mpina Mungu akukinge namabalaa yakila aina

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 5 หลายเดือนก่อน +3

    Naunga mkono Kwa uchunguzi kifo Cha magufili

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 หลายเดือนก่อน +2

    dah mpina unatutonesha vidonda halafu bado vibichi nahatujui vitapona lini ila naunga mkono hoja ya uchunguzi wakifo cha JPM weng tunajua kwamba rais wetu hajafa kifo cha kawaida2

  • @sujatatom5047
    @sujatatom5047 5 หลายเดือนก่อน +9

    Uko sawa Mh Pina. Nakuunga mkono. Hakika umethubutup.

  • @jeremiahbabalove5446
    @jeremiahbabalove5446 5 หลายเดือนก่อน +5

    Yani huyu mbunge ndo aliyebaki tu mwenye akiri kwa Sasa hivi katika bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania nafunga mkono Yani kwenye kifo Cha magufuli Mimi naunga mikono na viungo vyote vya mwili wangu

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli Watanzania tunataka ukweli khs kifo Cha Magufuli!

  • @gwamakagwamaka
    @gwamakagwamaka 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akuweke miaka mia mpina we nimkweli

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 5 หลายเดือนก่อน +10

    Amen kwawazo nzuri

  • @SylivestaKasele
    @SylivestaKasele 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mpina mungu akulinde

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 5 หลายเดือนก่อน +2

    NAUMGA MKONO IUNDWE TUME UCHUNGUZI KIHUSU WALIOHUSIKA KUUA RAI MAGUFULI HAKUNA KULINDANAMAUAJI YA VIONGOZI WA KITAIFA TABIA KAMA HII YA KUUA VIONGOZI WA KITAIFA ITAZIDI IWEFUNDISHO.NAUNGA MKONO %100 BILA HIVYO MAUAJI YA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA LITAENDELE.USIPOZIBA UFA UTAJENGEA UKUTA.

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina mungu akulinde vigogo wasije wakakumaliza na wewe km walvyofanya kwa Magufuli

  • @franksabas6339
    @franksabas6339 5 หลายเดือนก่อน +9

    Ndiye anayesimama na wananchi wengine ni kujipendekeza na kusifia tuu - proudly of you - we need you in a future - upo straight sana hupindishi upo transparent ingawa wengi hawakuelewi ipo siku watakuelewa

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 5 หลายเดือนก่อน +4

    Uko vizuri sana,nakuunga mkono maana aliyefariki alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hakuwa ....

  • @JaphetJohn-qo1yn
    @JaphetJohn-qo1yn 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi kwa nn hamchukui hatua inamaana hamsikii au ni dharau tutaonana 2025

  • @DanielMbilinyi
    @DanielMbilinyi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina anakitu ila itafika hatua ataongea kama akiamua jua polepole ndyo mwendo

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubaliana , kifo Cha magufuli Bado watu hawajui chanzo

  • @jamilijuma2738
    @jamilijuma2738 5 หลายเดือนก่อน +2

    ..nakuuunga. Mkono mpina ww ni kiiongz to bora

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watueleze Magufuli amekufaj, wengin walisema anapiga kz,why kimya cha mda mref

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ningekupongeza tu endapo ungeomba pia uchunguzi wa Kifo cha Ben Saanane and others.

    • @frimatuslupimo2031
      @frimatuslupimo2031 5 หลายเดือนก่อน

      Huyo saanane unaweza kuomba wewe tume iundwe

  • @MoricoWitlouw-y3h
    @MoricoWitlouw-y3h 5 หลายเดือนก่อน +2

    Na Unga mkono haja kichunguzwe kifo cha magufuri Nani kausika tuwajue

  • @DavivaNce-hn8jx
    @DavivaNce-hn8jx 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni kiongozi anayetustahili xana kwenye nchi hii namkubali sana na ni mwamba,jasiri xana

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naunga mkono yote uko vizuri tunataka ukweli

  • @GwamakaAngela
    @GwamakaAngela 5 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaaa haya anhaaaaaa

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 5 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ya Makonda na Chalamila tuachane nayo kubwa kifo cha kipenzi chetu Magufuli kichinguzwe ,Najua watalipotezea hilo

  • @SimonMaregge
    @SimonMaregge 5 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu wananchi wote tunataka kichunguzwe kifo cha jpm

  • @ludanishirima5102
    @ludanishirima5102 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati huo tunapofikiri kutunga tume ya Uchunguzi wa Rais wetu Magufuli pia tufikiri na kuunda tume ya Uchunguzi wa Walio mpiga risasi tundulizi pia maana na Yeye ni mtanzania pia

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naunga mkono wachunguze kifo

  • @peterlove4g869
    @peterlove4g869 5 หลายเดือนก่อน +4

    Sema huyu mwamba yuko vizuri

  • @ellymwamlenga3391
    @ellymwamlenga3391 5 หลายเดือนก่อน +2

    NAUNGA MKONO HOJA....,

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 หลายเดือนก่อน +1

    naunga hoja ya uchunguzi wakifo cha JPM ila mama yetu namshauli asigombee tena amuachie majaliwa awe rais wazili mkuu awe makonda wazili wa Mambo ya ndani awe chalamila

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 5 หลายเดือนก่อน +1

    Utakutwa na kitu kizito... Lkn tupo nyuma yako

  • @JoshuaMbugi
    @JoshuaMbugi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa nalisubili hilo tangu siku nyiiingi sana twende pamoja nakukubali mpina

  • @Emmanuelmbai-in8ie
    @Emmanuelmbai-in8ie 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mhh Aya mpina

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulinďe ktk maisha yako yote Mh. Mpina, nanga mkono

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bado kuna watu wengi Tanzania hata watu kutoka nchi za nje wana wasiwasi na Kifo cha Hayati Magufuli. Tanzania tajiri lakini uongozi ndiyo mbaya. Mali za watanzania zinaibiwa, na wanaoiba hawachukuliwi hatuwa. Kuna watu wanaogopewa wameishika Tanzania Kama Mali yawo binafisi.

  • @lazaroletion
    @lazaroletion 5 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo ni ndoto kutokea, uchunguzi utaundwa tu pale ambako ikatokea ndugu yake akaja kua rais

  • @nicolousmadele8056
    @nicolousmadele8056 5 หลายเดือนก่อน

    Tunapozungumzia wabunge wenye akili na uzalendo tunamaanisha MPINA na siyo hao wengine MAKANJANJA

  • @mwemezirukoijo3868
    @mwemezirukoijo3868 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika nimekuelewa juu ya kufanyika kwa uchunguzi wa kifo Rais Wetu

  • @BabaZuu-fq8zj
    @BabaZuu-fq8zj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina watu kama nyie tanzania amtakiwi sasa hivi na wewe itaundwa tume wachunguze kifo chako

  • @modestamakoye9319
    @modestamakoye9319 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tume iundwe kuondoa sintofahamu bado tunamlilia Magu

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina mpina mpina umeongea ukweli anbao hata sisi wananchi wengi kimoyomoyo tunajiuliza hivyo lkn kwanza tujue aliempiga tundulisu risasi ni nani huyo? Halafu ndio tuje kwa mzee wetu magufuri

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 5 หลายเดือนก่อน

    HUYU Mr.Anapambania kweli Uteuzi Mara Kifo cha Magufuli Mara kadhaa tuliosoma CUBA tushajua hii ni Ghirba tu KiSiaSa
    Anataka Kujionesha yeye ni Mzalendo Kushinda Wengine
    Hahahahaha
    Naamini huyu sio Mkristo Mtakatifu kuwashinda Waroma 😂😂😂
    Ila ngoja Wanaomjua Waje tusikie Madudu yake

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania wengi wanaunga mkono uchunguzi kifo cha Hayati Magufuli. Watanzania wana Mashaka makubwa ya kifo chake. Mabeo statement yake kifo cha Hayati Magufuli, kimeongeza Mashaka makubwa kwa watanzania na wengi kuwa mini kuna jambo limefichwa. Watanzania wana haki ya kujuwa. .

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani wamekufa Viongozi wangapi Katika utawala wake iliundwa tume ipi???
    ACHA uchochezi wewe unatafuta kiki Kupitia kifo Cha mtu,???
    Anza wewe utueleze ukweli wote ,kama unasema hivyo basi unawajua basi tutajie Ili tujue.

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 5 หลายเดือนก่อน +2

    Fanya kazi muheshimiwa waziri yaliopita yamepita sion sababu ya hicho unachokitafuta nchi yetu bado changa tunahitaji watu wafanye kazi nadhani pia ndio njia bora ya kumuenzi magufuli

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 5 หลายเดือนก่อน

      Ufanye kazi gan utoboe Kwa mazingira haya mwamba uko vyema kweli????

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 5 หลายเดือนก่อน +2

    kweli kabisa tume iundwe makufuri hakufa kawaida

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 5 หลายเดือนก่อน

    Tume pekee na amnayo itakuwa huru na tukaiamini na ina uwezo wa kuchumguza jambo hilo la kifo cha Mpigania Wanyonge Hayati Magufuli ni kutoka kwa wale wenzetu wa lugha ya kikwetu, yaani scottland yard au interpol. Halafu ndugu zangu mhe. Mpina hayuko pekee bungeni. Wapo wengine wanaounda kundi lake na kwao hao angaa wananchi tunapata faraja. Nao ni: Aida Kenani, Easter Matiku au Bulaya (nisahihishwe kama nimekosea ubini) na Halima Mdee. Mungu awabariki sana.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina ni mbunge bora sana. Kawaida wabunge bora hunyimwa nafasi za uongozi. Watu wanaopewa nafasi wengi ni wanafiki wenye kumutupia Rais sifa za uwongo huku pembeni wanabeza

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 5 หลายเดือนก่อน +12

    Big up Mpina

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unajuaje hawajaadhibiwa.inawezekana walishwa tumbuliwa

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mkishajua mnafanya nnii???kama mlichelewa vileee

  • @stevenloita9454
    @stevenloita9454 5 หลายเดือนก่อน

    Naunga mkono hoja,taarifa huku mweshimiwa taarifa ,bado tunaumia bado mioyo kwa baba yetu jembe letu Magufuli

  • @MaimunaSikumbili
    @MaimunaSikumbili 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tume iundwe isihusishe watanzania pekee

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unaposema nchi ytu bado ni changa hatukuelewi hatari JPM alishatufumbua macho hii nchi ina rasilimali zote unazozijua na usizozijua itakuwaje changa

  • @sebastianjacob8915
    @sebastianjacob8915 5 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli mpina ukosawa maana viongozi wengine sijui kwanini hawaoni Hilo we unatufaa kabisa kuwa rais uje uchukue form 2025.

  • @geey7893
    @geey7893 5 หลายเดือนก่อน

    Ewaaaaah Kwenye kuchunguza kifo Cha Jemedari wetu ntakuunga mkonoo

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mpina katoka Mbingu ,naomba Mungu akulinde kwa malaika wenye panga za Moto ,damu ya Yesu ikulinde

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo tume iundwe nanani

  • @FatumaHizza
    @FatumaHizza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huna ubnasfisi mpina nakakukubali sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 หลายเดือนก่อน

    MPINA MJINGA TU!!KWANI MAGUFULI ALIKUWA MALAIKA? KWANI MAGUFULI NI BINADAMU WA KWANZA KUFA!!
    ACHA POROJO NA UCHOCHEZI BWANA MPINA!!
    KILA MWADAMU ATAONJA MAUTI!!

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 5 หลายเดือนก่อน +4

    Kufa kupo tu mhe. Mpina hata kama Magufuli kafa kwa sera na michakato ya watu hili tulishalia na kuomboleza acheni kutuumiza na kutukumbusha habari za baba mpambanaji na mwendazake hakika amelala hatuna namna wakati uliopo pambaneni na kujenga Nchi si migogoro kila leo.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน

      Punguza mdomo.umelia sana kwani ni baba yako mzazi.unajifanya una uchungu kumbe mnafiki tu.Uchunguzi husaidia kama kuna watu fulani walihusika wasirudie tena jinga we

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa baba isha bwegwe tuu...!! Hawana lolote wanafanya ivo kwassb uchaguz unakaribia...!!

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@aishakhamis2996 Ila mpina ni mzalendo wa kweli,anayoongea ni ukweli mtupu.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 5 หลายเดือนก่อน

    Maombi ya Watakatifu yanafanyakazi ,majambazi waliomzunguka raisi waondoke haraka kwa jina la Yesu

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi kama wahusika wapo watakubali wakati maslahi yao yaliguswa?hivi kumtoa uhai mwenzio ili uendelee kuiba,kutapeli,ili genge lenu liishi ktk huo uhalifu je unajua umeumiza wangapi?

  • @juliusndillah51
    @juliusndillah51 4 หลายเดือนก่อน

    Iundwe tume kifo cha JPM ni maumivu makali sana kwa wapenda maendeleo ya Tanzania

  • @mwitanyahiri4586
    @mwitanyahiri4586 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Moja kati ya wabunge wanaotokana na ccm amba akianza kuongea unakuwa na kiu ya kumsikiliza

  • @niubility5745
    @niubility5745 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wachunguze

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 5 หลายเดือนก่อน

    Mpina watu wakisema kuupiga mwingi wwe ndo unaupiga kweli kweli. Yani hapo bungeni ccm mkweli umebaki pekeyako tu

  • @RamadhanMwinyimku-dw4od
    @RamadhanMwinyimku-dw4od 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unastahili ulinzi

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hio tume hata isipoundwa na serekal hii IPO serekal ambayo itakuja imtendee haki magufuli n swala la mda tu dam ya mtu hua haipotei Bure

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Mpina ,Mheshimiwa Mpina Safi Sana!!

  • @abdulrahmanngaluma3768
    @abdulrahmanngaluma3768 5 หลายเดือนก่อน

    Kila aliyekufa tukisema tuunde tume ya uchunguzi itakuwa mchezo wa pwagu na pwaguzi, kwani nani asiyeamini kifo ni mpango wa mungu na hutokufa bila kutimia kwa siku zako