MPINA AIBUA MAZITO BUNGENI AMTAJA MAKONDA "MAWAZIRI WETU HAWAKUTUSIKILIZA HUYO ANAMCHAFUA RAIS"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @saviorministry4817
    @saviorministry4817 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina nakupenda sana wewe ni jembe sana

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina mwamba furani hivi...wapi yulemzee mwingine aloomba bunge liidhinishe KILIMO ya ngada🌿🌿🌯🌯

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 7 หลายเดือนก่อน

    Kama mollel ni waziri basi mjinga yoyote yule dunian anaweza kua waziri😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ISSAissa-r3b
    @ISSAissa-r3b 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina pekee ndo wakuridi bungeni pekee yekee...... Anaongea peint hata makofi huskiii

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce 7 หลายเดือนก่อน

      Yaan hata makofi tuu hamna daah ila mtu aongee ujinga hapo utaona makofi

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 7 หลายเดือนก่อน

    Kwenye swala la kumpongeza makonda nimekuelewa muheshimiwa mpina na swala la Afya na kulipia gharama za kulipia magharama za marehemu nimekuelewa bg up.mpina nimekuelewa ktk engo hizo.

  • @ClementLushino-x3v
    @ClementLushino-x3v 5 หลายเดือนก่อน

    Ktk wa ccm naependa kufuatilia michango yk ni Mpina wng ni vilaza tu .

  • @philibertmpinzile.6090
    @philibertmpinzile.6090 7 หลายเดือนก่อน

    sometime nikiona unavyowasaidia machozi yananitoka natamani nimuone mzazi wangu akiwa na maiki akueleze ila simuoni machozi yananitoka

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ata mimi siupokei ujinga huo

  • @mohdmnemo9281
    @mohdmnemo9281 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe unafaa kuwaha mbugee wa tanzania makonda hanasimamiya ilani ya chama cha ccm

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Mpina ndiyo maana Niliambiwa kwenye Maombi nikutamkie Neno salama. Barikiwa sana. Figo inaua Watanzania wengi. Mungu mkuu atusaidie sote. Amen.

  • @mcbonlinetv6284
    @mcbonlinetv6284 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uzuri wa bunge bhana kama unaakili timamu na ufikiri mzuri utaelewa hoja ya mtu baina ya mtu....Asa waziri anatoa taarifa kama hiyo mbele ya hoja kama hii....ni wazi kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi.

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce 7 หลายเดือนก่อน

      Yaan wanaonesha kabisa Kuna shida mahali mtu ameleta hoja nzur sana yaan nikajua itaungwa mkono na wabunge wote lkn ona Sasa had wazir anakuja na taarifa ya hovyo kabisa sijui ilimradi tuu aonekane ametoa mchango bungen daaah had unashangaa yaan huyo wazir sijapenda alichokitetea hapo nikajua anaunga hoja nakujazia baadhi ya mambo kumbe anakuja na hoja ya kijinga sana

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 3 หลายเดือนก่อน

    Mpinza umepigaje apo

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 7 หลายเดือนก่อน +1

    Molel sijawahi kumuelewa ..vitu vya maana vinaminywa muda

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hili taifa nyie viongozi watt zenu au ndugu zenu mnawza luusu ndugu zenu watumie izo sifa inamana mnapingana namwezi mungu jinsi alivo umba mtu hili taifa tumuombe mungu atupe viongozi wenye hofu naimani yamwenyezi mungu mungu baliki yzd

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 7 หลายเดือนก่อน +2

    Saf sana mpina pambana Yuko pamoja

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Mpina yuko sahihi sana. Taifa bado halijajitosheleza kuwatibu Wananchi magonjwa mengi kama visukari, moyo, saratani, texi dume nk. Sasa leo mnagharimika na kuleta madawa ya mapambo kama ya kuongeza makalio na matiti. Hii inaashiria kwamba Serikali yetu haina vipaumbele. Ni sawasawa na mzazi ambaye watoto wanalala na njaa lakini baba anakwenda kulewa pombe.

    • @elinisaidiemlay2374
      @elinisaidiemlay2374 7 หลายเดือนก่อน

      Yeye anadhani wananchi wote ni masikini

  • @AibaSaidy-jz3xs
    @AibaSaidy-jz3xs 7 หลายเดือนก่อน

    Mpina ni mmoja tu wapiga kura wa jimbo lake hawakukosea wana mbuge makin kwel kwel.

  • @EzzyEddy-il3ce
    @EzzyEddy-il3ce 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu kama hicho ni umalaya tuu na kupenda wanawake wenye makalio makubwa na matiti makubwa yaan wanaboa sana na hizi taarifa taarifa kwenye point za msingi kama hizi zinaboa sana

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe pekee ndio huwa unanilia bundle yangu ktk bunge hili

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 7 หลายเดือนก่อน

    Gharama za matibabu ni kubwa sana ..siku hizi ukilazwa Taifa na rufaaa hospital ni balaa gharama sana

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shida mnakuja na ushamba wenu wa africa

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 7 หลายเดือนก่อน

    Maiti inalipiwa ,maiti milioni 7 aibu tupu tz

  • @LovelyCentaur-nz5yb
    @LovelyCentaur-nz5yb 7 หลายเดือนก่อน

    Makalio

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 7 หลายเดือนก่อน

    Mpina mimi nakuelewa

  • @elinipendokarisha9570
    @elinipendokarisha9570 7 หลายเดือนก่อน

    Nnn

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @LusekeloMwakatundu-wb8ig
    @LusekeloMwakatundu-wb8ig 7 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 7 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @abdallahyusuph831
    @abdallahyusuph831 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂