AT AWAPONDA MASHEHE WANAO MSAKAMA HARMONIZE KWENDA KANISANI NA WASANII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y หลายเดือนก่อน +1

    Yani umeanza vizuri sana ila imeyakanyaga hapo kunako uimbaji mzee baba yani unahalalisha kabisa subhannallah

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน +1

    Bangeeeee

  • @kassimhamed9052
    @kassimhamed9052 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali ukimtaja nabbi Mohammad plz sema saw

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu AT anaelimu kubwa sana

  • @SaidMussa-k5i
    @SaidMussa-k5i หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza. Kusoma ila ukawa Kun za moton kwa kuficha ukwel jiteteee tu kwenye uhai huu ila unajua sana mzk haraam labda hujui maana ya mzk mzk ni vyombo vyovyote tofautishavmashair na mzki uwe na akil usichanganye Khack na batwel Allah anatuambia Kila nafs unajua uovu wake sasa hayen

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    UISLAM KWELI UMEVAMIWA
    HADI WAVUTA BANGI KAMA NAO ETI WANAHOJIWA KAMA MASHEIKH.😢😢😢

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v หลายเดือนก่อน

    Yan harmonize kwnda discor swa kwnda knsan c saw kwr africa

  • @MuharamiBakari
    @MuharamiBakari หลายเดือนก่อน

    Huyo At Bora akae kimiya tu asigeuze maneno Dini nikitu kikubwa sana asihalalishe vilivyo katazwa

  • @ShaeebMohammed-e1h
    @ShaeebMohammed-e1h หลายเดือนก่อน

    Mashairi mazuri hayana tatizo lkn tazizo lipo kwenye beat ndo tatizo kubwa

  • @إقرأ-د7ل
    @إقرأ-د7ل 27 วันที่ผ่านมา

    Lo! 😮 haraam na halali zimebainika. Huogopi kudanganya, kupotosha watu. Allah atuongoze

  • @SalomGahi
    @SalomGahi หลายเดือนก่อน

    Shukran Sana, naomba number za simu please

  • @ahmadmullah5579
    @ahmadmullah5579 หลายเดือนก่อน

    hatar kwl naon anajuzong tu hanyoosh maliz 😂 kuimb niharamu siharmu

  • @shehemohammed1761
    @shehemohammed1761 หลายเดือนก่อน

    We acha aloteremshwa aya n Abulahab n si Abutalib tofautisha watu hawa wawili

  • @allysalim7638
    @allysalim7638 หลายเดือนก่อน

    Mziki ni dhambi na haramu kubwa sanaa uyoo bwana asigeuze geuze maneno apo

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj 26 วันที่ผ่านมา

      Kwahio kufirwa halali kuliko mziki ee

  • @IsmailIsmail-ix1yd
    @IsmailIsmail-ix1yd หลายเดือนก่อน

    AT ACHA MANENO YA KUUPOTOSHA UMMA WA WAISLAM, WAPO WATAKAOFUATA FIKRA ZAKO NA WAKATENDA, JE UPO TAYARI KUNDI HILO WATEGEMEE POINT ZAKO MBELE YA ALLAH?

  • @karimnsengimana9161
    @karimnsengimana9161 หลายเดือนก่อน

    Uwo bwana anapoteza watu,

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    JEE PANKI NAYO NI HALALI???

  • @Yehova_Kwanza
    @Yehova_Kwanza หลายเดือนก่อน

    Duuh Adamu ndo kajenga kweli waislam mmepotea
    Swali...HIVI KIPINDI CHA NUHU MAFLIKO YALITOKEA DUNIA NZIMA IKASAFISHWA WAKABAKI AKINA NUHU SASA HIYO ALKABA YENU INGEBAKI MMMMH ?

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน

    Sikia wewe huna elim ya Dini. Mziki ni haram.

  • @AlexMlaba-y5j
    @AlexMlaba-y5j หลายเดือนก่อน

    Kuhusu imani mtu asipangiwe kwasababu siku ya hukumu kila mtu atasimama peke yake na Mungu wake

    • @ahmadmullah5579
      @ahmadmullah5579 หลายเดือนก่อน

      hapan tuta kuwa wote kama umenizulum tutakuw sehimu moj sot tuhukumiw

    • @ahmadmullah5579
      @ahmadmullah5579 หลายเดือนก่อน

      wee kuzaliw ulikuj wee Kam wee ila siulikit watu mbon haukuishi pik Yako py nakufa nihivo hivo ila mung akitak kutufofow tin basa tutatok makaburin soti tuk somiw hukumuzetu

    • @MariyimJumanin
      @MariyimJumanin หลายเดือนก่อน

      Kabsa

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmadmullah5579hakuna mtu atabeba mzigo wa mwenzie

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 หลายเดือนก่อน

    Maskini huyu kijana anatumia fikra tu katika dini, halafu karidhika eti ana elimu, huwez kufanya maasi eti kwa kigezo kuna wengine wanafanya maasi,

  • @SaidMussa-k5i
    @SaidMussa-k5i หลายเดือนก่อน

    Unaweza. Kusoma ila ukawa Kun za moton kwa kuficha ukwel jiteteee tu kwenye uhai huu ila unajua sana mzk haraam labda hujui maana ya mzk mzk ni vyombo vyovyote tofautishavmashair na mzki uwe na akil usichanganye Khack na batwel Allah anatuambia Kila nafs unajua uovu wake sasa hayen