Kabla ya kumuua Mbarikiwa /mkewe Anzeni kwanza na mimi. kijana ajitosa. kwani Mama yangu ni kichaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @chachamwita4687
    @chachamwita4687 ปีที่แล้ว +4

    Mungu yupo atajibu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    wow what a voice!
    huyu kijana kama angeamua kuimba nyimbo za matusi za bongo flava angevuna pesa sana kwa lipaji hicho na hyo sauti tamu dah nimesalute.
    si kwa sauti hiyo.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

    nashangaa nankujiuliza kwani kanisa zima ni waimbaj? maana ukifhania umemaliza huyu unapata nyimbo nyingine kali zaidi
    mungu awabariki sana watoto wa mbarikiwa.
    msoigope sababu mungu amawasikia vilio vyenu

  • @stevennjalika-in1fo
    @stevennjalika-in1fo ปีที่แล้ว +4

    Mungu simama katika haki........🙏🙏🙏

  • @mestonianatori7254
    @mestonianatori7254 ปีที่แล้ว +7

    CO SAD😢😢😢 6:30 Kifo NI kigumu Ila ni heli Kufa Ukiwa umesimama Ukiwa na Miaka 25 kuliko kuishi Miaka 70 Ukiwa umeinamishwa Kama Hawa Machawa wa mama akilizao zote ziko mfukoni kwenye rimoti ya MSOGA

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 ปีที่แล้ว +5

    Dah mungu ingilia kati mapema suara la mchungaji MBALIKIWA MWAKIPESILE maana kwa hapa umebaki ww tu

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 ปีที่แล้ว +7

    Mama alisema ataendelea kukaa kimia ilamungu atanenatu minaomba mungu apige mapigo mawilitu utawala huu uanguke mana wengiwatu mioyoyao inajua kuwa haki inakandamiza watu

  • @MosesMwakalibule
    @MosesMwakalibule ปีที่แล้ว +6

    Daaaah hiii nimeielewa toka ndani ya kilindi cha moyo wa mtu,. Barikiwa sana...
    Baba yangu wa kiroho aliwahi niambia mtoto wa Simba ni simba.... Nimeelewa zaidi leo

  • @amoniTv1148
    @amoniTv1148 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mama katuuza kwa mashetani wazungu ndio ndugu zake

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +2

    Hata mimi natamani nikajiunge na kikosi kazi... hii inanitia hamasa, tunaofanana tupambane pamoja 😌

  • @adonaiastoni1703
    @adonaiastoni1703 ปีที่แล้ว +4

    Mch.MBARIKIWA MWAKIPESILE Mimi aliniokota nikiwa mraibu wa madawa ya kulevya na leo naonekana mtu na pia mama yangu alikua na ugonjwa wa presha baada ya kuokoka kwangu akapona kabisa

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt ปีที่แล้ว +2

    Mungu muweza yote atutakase kwa Damu yake ee Mungu tunaomba uturehemu kwa yote tuyatendao mana ulimwengu unatisha

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏Pole Sana mpendwa, nyimbo inasikitisha, ila kwa uwezo wa mungu Hakuna wa kumuuwa mbarikiwa, Amina.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama hana uchungu na Tanganyika,kwani hata wakiuwa,wao nao wataenda wapi, blessed mwimbaji

  • @GabrielPetro-qj2mk
    @GabrielPetro-qj2mk ปีที่แล้ว +10

    Bora wafu wafao katika bwana

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 ปีที่แล้ว

    Inahuzunisha sana,,,Hadi machozi
    Mungu aingilie kati!

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +8

    Mungu tunaamini uwezo wako na nguvu zako.Tuna uhakika sana na wewe hata usipofanya tunavyotaka lakini tunaamini mkono wako hautatuacha

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +8

    Baba yangu Mbarikiwa Mungu anaijua taabu yako kutufanya malaya kuwa watu wema haikuwa rahisi.Baba Mungu anayaona maumivu yako na mateso yako.Mungu naomba utuangalie tulipofikia hali yetu ni ngumu

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      Aliwasaidia nyie na nyie mngemsaidia mnachochea vita mtavuna

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 ปีที่แล้ว

      @@festinamwakipale3919 Umekosa cha kuongea.Tunakujua una roho mbaya wala hatupi shida hata kidogo.Maisha yangu ya kuunga unga na unategemea serkali hii ikusaidie kula kwako na kulala kwako

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      @@festinamwakipale3919 usiongee kwa kiburi ndugu yangu haya mambo hayana mwenyewe. leo uko poa lakini kesho yako huijui. huna roho ya kiutu? humwogopi hata mungu? mungu aliyekuweka wwe salama leo usimdhihaki. Anaweza kukushangaza akakuonjesha ma wewe utamu wa matamshi ya ulimi wako. kuwa na moyo wa huruma kwa wengine

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      @@festinamwakipale3919 vita gani? ameimba vita hapo? wewe ndiye mchochezi wa vita.
      utavuna maneno ya ulimi wako

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      @@marieconnect6389 basi mmepofuka mtoto mdogo anasema maisha magumu anaimba kabisa kwani kuna sehemu imeandikwa serikali itampa mwananchi hela au kanisa litapewa hela na serikali acha kumdharau Mungu rais hakuandika biblia wala guaran wakulaumiwa Tz ni mashoga walawiti wanaotumia biashara uganga na uchawi waasherati hao ndio wanaoweza kuliharibu Taifa.la.Tanzania

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    msife moyo maana mungu anawasikia na atatenda maajabu yake

  • @mestonianatori7254
    @mestonianatori7254 ปีที่แล้ว +5

    Mbarikiwa Amejitaabisha kuwasaidia Ndugu na jamaa zenu usiku na Mchana na Matunda yake Tunayaona Ila Zawadi yake NI (KIFO)Mnataka KUMUUWA/KUMPOTEZA KABISAAA HUKO MAGELEZA baada ya Kumuuwa Mtotowake Hulu mtekelezaji mkiwa mmempa shavu nono NI balozi Sasa M!!!. 😢😢😢😢

  • @mestonianatori7254
    @mestonianatori7254 ปีที่แล้ว +4

    Kifo cha MAGUFURI kilituuuma saana wa Tanzania. Lakini KUMUUWAMCHUNGAJI MBARIKIWA Anae WATANGAZIA WATU NENO LA Mungu Kifo hiki kitatuuma saaanaaa .... Maana Amekuwa na MCHANGO MKUBWA KTK NCHI YA TZ.

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +3

    Hii serkali kama ni kumuua Mbarikiwa muuwe sisi watoto wake maana kimwili tulishakufa hapa ameturudisha kwa gharama kubwa.Hakuna sababu ya kuishi ikiwa maumivu ya baba yetu Mbarikiwa RCO ANDREW KANTIMBO anafurahi.Anatuumiza sana RCO wa Mbeya siyo sisi tuuu watu anachukua simu hatujui anapeleka wapi

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭Mungu Atende Na ipo siku Atajibu Kwa wanaojikweza nakudharau Raia.

  • @severinkinunda5269
    @severinkinunda5269 ปีที่แล้ว +2

    Kabla ya Ijumaa Mungu atafanya miujiza vijana wataachiliwa

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 ปีที่แล้ว +3

    Acha pa nyeshe tuone panapo vuja!

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +6

    😢😢😢😢😢 nashindwa kucomment

  • @MugishoMwenda-sx6xt
    @MugishoMwenda-sx6xt ปีที่แล้ว +7

    Kote ni kufa heri kufa katika imani

  • @barakahhawu2324
    @barakahhawu2324 ปีที่แล้ว +7

    Ukitoka wewe Mimi Niko njiani

  • @Ambwene
    @Ambwene ปีที่แล้ว +5

    Serikali yote ya CCM wote ni Nyani pamoja na hao POLICCM wao

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +14

    tuombe maombi huyu mwizi wa bandari afe kabra ya uchaguzi mungu tusaidiee yatimiee amina

    • @AlexKing-yg2cc
      @AlexKing-yg2cc ปีที่แล้ว

      Ya mungu mengi unaweza kuanza kufa wewe kwa kijiba cha roho.

    • @kassimualli1755
      @kassimualli1755 ปีที่แล้ว

      Wallah utaanza kufa wew Tena Kwa haraka kuanzia Leo hii

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw ปีที่แล้ว

      ​@@kassimualli1755kumbe waisilamu wanasikiliza kwaya

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 ปีที่แล้ว

      Usimuombee mtu kifo hata kama hakutendei unavyotakà .. inalillah wàinnalilah-sisi sote ni WA Mungu na kwake tutarejea.

    • @prospermnardy9338
      @prospermnardy9338 ปีที่แล้ว +1

      Najua panauma ila mnapuliza

  • @Magufuli.
    @Magufuli. ปีที่แล้ว +5

    Huyu DADA Samia ni mwizi, kwaiyo hata ulie vipi huyu sister samia hawezi kukusikiliza, kwa sababu ni mwizi. Mwizi hana huruma, mlilie Mungu tu.

    • @Pharadge
      @Pharadge ปีที่แล้ว

      amekuibia nini? nyinyi ndio mnaowaponza hao wanajifanya mabaunsa wa vinanda

    • @nasibmbuguni5613
      @nasibmbuguni5613 ปีที่แล้ว

      Jamani acheni ubaya mama anafanya kazi kumbuka serikali ni taasisi bandari bandari kuna nini hapo mnanufaika sana ee sasa mwisho umefika wa kula

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica ปีที่แล้ว +2

    Kila LENYE mwa Lina mwisho wake mwisho wahaya ukaribu

  • @killysamky9373
    @killysamky9373 ปีที่แล้ว +3

    dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว +2

    Ila yote haya mm najua ni mabalaa.ya ulawiti wa watoto mashuleni na ushoga wanaouziwa vijana tanzania Mungu ainue watu watakao sema kama walivoinuka kusema.la.bandari

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 ปีที่แล้ว +3

    Nasikia uchungu huu wimbo umenitowa machozi😭😭 mimi niko nasema mbarikiwa atuhudumie sababu serikali ikimuuwa roho hizi ao watu hawa ànao wa ongoza wata ishi je

  • @MwamedNuha
    @MwamedNuha ปีที่แล้ว

    nao watakufa ata wafanye yapi eti tulienda hija kwamatendo aya kweri ndoo maana mungu alijificha kumbe wote ni🐊🐊🐊🐊🐊🐊

  • @jonasmajogoro520
    @jonasmajogoro520 ปีที่แล้ว +4

    So pain ukweli unatuumiza San lakin uovu saiv ndo Dili siku Moja mtankumbuka maneno ya mwenda zak

  • @severinkinunda5269
    @severinkinunda5269 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ya Samia imeshindwa kupiga vita rushwa, inapiga vita wasema ukweli. Hii ni sifa ya uongozi mbaya wa Samia. Ripoti za CAG hazijafanyiwa kazi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

    nimejiikuta nalia toka mwanzo wa wimbo hadi mwisho. mieurudia wimbo sijaweza kusikiza hadi misho nimelia kwa uchungu sana.
    huyo kijana ana sauti mzuri mno na
    historia yake inaumiza

  • @eliakisinga5360
    @eliakisinga5360 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanalia utasikia nenda kaliangalieni wakati wanaotuumiza ni hao hao

  • @MwamedNuha
    @MwamedNuha ปีที่แล้ว

    yale yamajilan zetu kenya nayaona tanzania

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +1

    Kifo cha mtu upangwa na mungu.Tusiombeane kufa,bali tuzidi kuombea taifa hili mema mungu pekee ndo atatuvusha.

  • @HajiRashid-j5x
    @HajiRashid-j5x 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj ปีที่แล้ว

    Jaman jaman hivi haya lais na wewe unayaona kwel najiuliza sipat jibu,,

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 ปีที่แล้ว

    Naliona jambo kubwa sn linakuja.Tusubiri tarehe 27 mwezi huu.

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hali tuliyokuwa nayo kabla ya kutusaidia Mbarikiwa tulikuwa waovu sana.Angalieni mchango wake mkubwa wa kubadilisha majambazi,makahaba ,wavuta mbangi,ndoa nyingi amezisaidia.Jamani tazameni kazi zao na wema wao kwa watanzani siku huyu tuuu tuko wengi mno

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 ปีที่แล้ว

    Haki haipotei

  • @Majid-z8q
    @Majid-z8q ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Harafu haya mambo ya kwa mwakipesile kwann yasiishe kwann mbalikiwa usinyamaze ya kaisha kwann wenye hekima Tz wapo watainuka kuna watu hawapendi machukizo watatetea na kwann mnafanya.hivi

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +1

      Nyamaza wewe na uovu wako.Maana furaha yako nikuona umeme unawaka wanavyotaka,mafuta yako juu,bandari na watu wa ngorongoro kulizwa.Nyamaza hakuna uovu utakao nyamaziwa tutapiga kalele mpaka na wewe uache kuunga uovu wa mama yako na serkali yake

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      @@ombendaud5938 endeleeni kuchochea mnachopanda mtavuna yesu alisema msilipe baya kwa baya mnageuza ukweli kuwa uovu mtavuna chocheeni I'li jina LA Mungu litukanwe

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว +1

      Ingekuwa mwanao

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

      @@MiriamAbdallah huyo ni mwana wa Mungu familia ya Mungu shetani amemfanyia tu ilitakiwa wajitokeze watu wa kumshauri cha achabu wanachochea eti anafanya vizuri tunashukuru ndo kuijenga mwili wa kristo Mungu atusamehe

  • @amranikagozi6969
    @amranikagozi6969 ปีที่แล้ว

    Naaona kazi ya uchochezi ya kanisasa eti mpaka Sasa wanakanisa wanaamini RAISI kauza bandari WACHUNGAJI WANAHUBIRI UONGO NA KUWADANGANYA WATU KWA MASLAHI YA MATUMBO YAO
    MTAIMBA SANA NA MUNGU HAJALALA ANAWAONA MAKAFIRI WENYE CHUKI WOOTE
    MNAICHOKOZA SERIKALI ALAFU MNAJITAFUTISHA HURUMA

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 ปีที่แล้ว +2

      Mama yako amesema sisi ni ng'ombe raisi wa mipasho.Amewahi jibu chochote kuhusu bandari? Ameuza kwani uongo

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 ปีที่แล้ว

      Wewe unasema mama amekuita Ngo'mbe mbona yesu alituita sis mbwaa 😢😢 na bado mfuas wake.

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

      Nasema bado hamjaona mpaka muone, awamu hii sindano itawaingia ninyi panya road wa Tanzania kanisa litawatandika mpaka vitandani mwenu jiandae

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

      ​@@babazungu3180unastahili kuitwa mbwa😂

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

    Sijui kwanini mnaachiwa kutaka kuharibu amani ya nchi yetu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว +3

      Ukiwa mjinga huwezi kuwajua wanaoharibu amani ya nchi! Wewe kama ulizaliwa ili uwe mfugo wa mtu mwingine kaa na kufugwa kwako, wengine wanatambua ubinadamu wao

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah ปีที่แล้ว +3

      Wanao haribu ya nchi yetu ni serikali yenyewe

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 ปีที่แล้ว +1

      Serikali inashindana na wananchi wake 😢😢 waliowaweka madalakani

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

    Vichaa.

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

      Kichaa ni wewe usiyejua kama uko uchi, hujui kama huna faida, hujui kama umainiwa hujui kinachoendelea sasa wewe na chawa au ng'ombe waliotajwa na mheshimiwa wenu kuna tofauti gani.. Chawa ndio vichaa. Pole huoni utupu wako

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ปีที่แล้ว

    Ila yote haya mm najua ni mabalaa.ya ulawiti wa watoto mashuleni na ushoga wanaouziwa vijana tanzania Mungu ainue watu watakao sema kama walivoinuka kusema.la.bandari

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica ปีที่แล้ว

    Kila LENYE mwa Lina mwisho wake mwisho wahaya ukaribu