Poleni Sana mutumishi was Mungu anajua eti injili ilipo Anza kwa mateso Tena injili itakwisha kwa mateso nasisi wateule wakati huyu tunawungoja.tutafukujwa,tutapigwa,tutafungwa,.....heri mwenye kuvumilia mpaka mwisho atavikwa taji ya uzima.amen musikate tamaa Ni Yesu peke ako naneno la mwisho.
Inauma sana kwer kama anaye tajwa ni muhusika wa haya mauji inauma sana😭😭Ebu kila mtu aangalie pemben amuangalie mtoto wake alafu vuta hisia mtoto mdogo kama uyu ni wako alafu anapoteza maisha kupitia mikono ya watu😭😭😭
Inauma sana tena sana.nilikuwa nawafuatilia mitandaon humu kikos kaz na ulimwengu kuna nini sikupata jibu.kupitia wimbo huu naanza kupata picha..angekuwa mtu mwingine angekuwa kichaa,Mungu akuinui mtumishi zaid ya hapa.jaribu hili ni kubwa sana..japo katka tungo za huu wimbo kuna kama kutaka kukata tamaa ivi kwa hili jaribu...MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE..cha mwisho japo c kwa umwisho tena Mbarikiwa nimefuatilia nyimbo zako hivi karibuni ni mahubiri tosha yaan unaimba kama unahubiri ,mtu anaweza pokea uponyaji hata ukiwa unaimba sokoni na haukusanyi kapu la sadaka
Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu ila shetani mlaaniwa na mungu yuko nyuma yako yeye njia yake ni kuzimu ila wewe mtumishi moja kwa moja imeingia paradiso ya makao makuu ya mungu ila shetani aliye laaaniwa anaona atakwamishe kazi ya mungu kamwe shetani uwezi kukwamisha kazi ya mungu mlaaniwa wewe mwenye mamlaka na maisha yetu ni mungu peke yake
Wanasema kauwawa na mtu mkubwa Serikalini kulingana na maelezo yake wameua mtoto wake mdogo eti ili kumziba mdomo kukemea maovu ya wakubwa kulingana na maelezo ya mbarikiwa mwenyewe kwenye video zake 😢😢
Hatari
Pumzika kwa amani Wokovu,Mungu azidi kuwapanguvu Mchungaji Mbarikiwa na mkewako.
Daaa viongozi wetu wa tanzania ama kweli roho mbaya ila mungu amewaona mungu huyu ninaemjua viongozi wa tanzania mtaria na kusaaga meno siku si nyingi
Poleni Sana mutumishi was Mungu anajua eti injili ilipo Anza kwa mateso Tena injili itakwisha kwa mateso nasisi wateule wakati huyu tunawungoja.tutafukujwa,tutapigwa,tutafungwa,.....heri mwenye kuvumilia mpaka mwisho atavikwa taji ya uzima.amen musikate tamaa Ni Yesu peke ako naneno la mwisho.
Pole sana mchungaji na Mungu akutie nguvu
Pole mchungaji mbarikiwa kiukweli watakatifu ni chache na ndiyo wanaopita sana kwenye changamoto
Umeniliza kakaangu mimi siwezi kupita hapo Ulipopita kiatu chako kikubwa Yesu asiwaze juu yangu kunijaribu hivi sina uwezo huu..ntaanguka jumla😭😭😭😭😭
Pole mchungaji mbarikiwa! Kila siku nauchungulia huu wimbo! Hauchuji kwangu
Mungu akutie nguvu ulifundisha sana juu ya wokov
R I P mdogo wangu mwenyez mungu ailaze mahara pepon na mwanga wa milele akuangazie Amina😭😭😭😭
Inauma sana kwer kama anaye tajwa ni muhusika wa haya mauji inauma sana😭😭Ebu kila mtu aangalie pemben amuangalie mtoto wake alafu vuta hisia mtoto mdogo kama uyu ni wako alafu anapoteza maisha kupitia mikono ya watu😭😭😭
Inauma sana tena sana.nilikuwa nawafuatilia mitandaon humu kikos kaz na ulimwengu kuna nini sikupata jibu.kupitia wimbo huu naanza kupata picha..angekuwa mtu mwingine angekuwa kichaa,Mungu akuinui mtumishi zaid ya hapa.jaribu hili ni kubwa sana..japo katka tungo za huu wimbo kuna kama kutaka kukata tamaa ivi kwa hili jaribu...MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE..cha mwisho japo c kwa umwisho tena Mbarikiwa nimefuatilia nyimbo zako hivi karibuni ni mahubiri tosha yaan unaimba kama unahubiri ,mtu anaweza pokea uponyaji hata ukiwa unaimba sokoni na haukusanyi kapu la sadaka
Rip mtoto wangu nyimbo zote ambazo uliimba zimekuwa za baraka kwa watoto wangu sanasana mtoto wangu wa mwisho Gloria ni Lilian Musiega kutoka kenya
Ameumwa nini?
Sisi siyo wanafiki wala atumuogopi mfu yoyote anayejinyoga na tai eti ni kiongozi kiongozi ni mungu tu wewe mlaaniwa mkuu mwana wa mlaaniwa
Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu ila shetani mlaaniwa na mungu yuko nyuma yako yeye njia yake ni kuzimu ila wewe mtumishi moja kwa moja imeingia paradiso ya makao makuu ya mungu ila shetani aliye laaaniwa anaona atakwamishe kazi ya mungu kamwe shetani uwezi kukwamisha kazi ya mungu mlaaniwa wewe mwenye mamlaka na maisha yetu ni mungu peke yake
Mungu ni hakimu wa haki hawezi kukuacha ikiwa unanena Kwa haki.
Mungu mwema nasitupo nyuma
Mungu akupumzishe kwa amani
Imani yako na izi kupanda viwango mtume wa mungu
😭😭😭Mungu ni mwenye haki,,,viatu vyako vinabana na kuuma saana,sisi ni wa Mungu😭😭😭😭
Mtumishi 😢 Yesu Kristo akutie nguvu wakati huu mgumu
Mungu akutie nguvu mbalikiwa
Rip Mungu awatie nguvu kweny wakat mgumu
Pole mtumishi wa wamungu
Mmmhhh pole sana kk
RIP Mungu Ana kusudi jaman wema hawa dumu wazaz mungu awatie nguvu msonge mbele😭😭😭😭
Munguatakuvusha.mutumishi.kamaalivyo.wavusha.wanawaiz
Mtumishi pole sana mpendwa wetu imeniuma sana kweli ni majonzi makubwa sana 😭😭😭😭😭😭
Kazi kaimaliza apumzike kwa amani
Nimesikitika sana
Mungu akupekee 🙏🙏
Pole sana mch mwakipesile
MUNGU AWE NANYI KIPINDI HIKI KIGUMU MUNGU ATAKUVUSHA KATIKA HILI
Pole sana,Fungal mkanda
Kwa akili yake wateule watauwawa sana wale walioshika neno na kuliishi katika neno watapita katika changamoto sana
Mungu ni hakimu,auwaye kwa upanga atakufa kwa upanga .😂
God be with you
Ameni yote memaa kwa mungu.tuturize majonzi inauma
Nilijikuta nalia japo mwislan daah😭😭😭
Pole sana,
HAKIKA LAANA ZA HUYU MTOTO KAMA KWELI KUNA ALIYEHUSIKAA MUNGU HATAMWACHA SALAMA YEYE MWENYEWE NA SIO VINGINEVYO VINGINEVYO 😢😢😢
God bless with you,love from Zambia
Poleni. Kwani ameugua nini?
Mungu mtangulie😭😭😭
hata unywele wa kichwa chake hautapotea mbele za BWANA
Uyu mtt aliniumiza Sana😭😭😭😭. Nenda mtt wa wote nenda😭😭😭😭
Kwa kwel anatuliza apumzike mtt wa wote
Inauma Sana jamani nch hiii nch hiii Jamani
Blessed mtumishi
Pumzika kwa aman bint mwendo umemariza rip
Aliuwawa na hao maskali
Jamani
yupo kipembeni anafanya kazi za babaake vyeo vya kichawi
Ivi vituo vya sharia na khaki za binadam having haya ?
Kwa mungu yote mema
Hata mimi nalia nikimtazama bint huyu jmn
Apumzike kwa amani
Kila siku wokovu ananiliza 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😥 yesuuuuuuuu uko wapi?
Mungu akuangazie nuru zake
mwenyewe hakujiokoa
Duuh hatali
Jamani huyu binti alipatwa na nini ? Mbona sielewi mtoto amepatwa na nini ?
MUNGU anasababu kwa yote,
What did she die from? May her soul rest in eternal peace. May the Lord continue to comfort the Mbarikiwa family.
Wanasema kauwawa na mtu mkubwa Serikalini kulingana na maelezo yake wameua mtoto wake mdogo eti ili kumziba mdomo kukemea maovu ya wakubwa kulingana na maelezo ya mbarikiwa mwenyewe kwenye video zake 😢😢
@@kiazikitamu3985so mbona baba yake anakemea maovu na wauwe mtoto mchanga kama huyu Mungu yupo atalipa yy mwenyewe
Dada ungetoa picha yake kwenye thumbnail,
Baba alisema hivyo
MUNGU akutiye nguvu
RIP
😭😭😭
🥺😥😥😓💔😩💔🙌🏿
Kuna nini hasa sakata la Mchungaji huyu? Kafanya nini hasa? Mchungaji analia kwa uchungu!!! Kwa nini asinyamazishwe? Mbona anatakiwa kusikilizwa!!!
Fatilia video zake nyingine utajua a alia na nini hasa
Hii ndiyo TANZANIA mwanae wamemuua na yeye amefungwa JERA miak mitatu na siku 14
Mi
Huu ni wimbo wa mtu anayeenda kushindwa.
Kushindwa nn
Wanadam niwalewale tu wa enzi za Ayubu. Mengine tuombeane jmn kufiwa sio Jambo rahic tujifunze kunyamaza kimya
@@khadijajacobo627 Ni kweli kama hujafiwa huwezi kuelewa
Híi comment imenitisha. Sikiliza anachoimba kisha jinyamazie. Hii dunia tunapita. Kama wewe hujalipitia, jua siku yako yaja!
Nawe pia si ndo mashetani walewale wasio kuwa na chembe ya utu
q
Mungu wa meshaki,shedrack,na abelinego akaabudiwe na wote.
Rip