Sikuachi Tena by Zabron Singers +25576433205 (SMS SKIZA 7383816 TO 811).
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Music : Gospel
Artist : Zabron Singers
Songwriter : Japhet Zabron
Audio : Jcb Studios
Video Dr : Anco Timo.
Company : Msanii Records
Choir Cont.
Zabron Singers
Po Box 56.
Kahama Shinyanga
Tanzania.
Mobile : +255755778378
+255764333205
E.mail : zabron56@gmail.com
Message:
We are all nothing without God.
2024 well represented 🎉🎉🎉🎉naipenda snh hii nyimbo
Hizi nyimbo ni mahubiri kweli suluhisho ni kumpa mungu maisha yetu.
We ni mungu wangu sikuachi tena asante mungu ujuae siku yangu kuamka na kulala kwangu
Zyt
Nafunuliwa wimbo mzuri
Wimbo mzuri sana.
Aisha Silaji namibiy
Kassim juma ?
Iam here after listening to SWEETY SWEETY I swear this group can SING i love ur dress cord more like from KENYA.
This group motivates me and gives me assurance to soldier on as the rewards are many
Me to
So me
@@justinariunga9272 gughhuju8 tfvbgt
So beautifull
Hakika Mungu azidi kuwaongoza mfike mbali ila msipotee nawapenda sana
b
Mungu awabariki sana
Mungu awasaidie wasirudi nyuma musonge mbele nawapenda
Amen
For real watu wana roho mbaya yani mumewapa dislike?kama unaangalia na mimi 2020 and love them gonga like
Wana rohoo mbayaa xn
Wanakuwa hawajui wengne wanajua wamelyk kumbe wap au wengine unakuta wanabonyeza tu bila kujua
Jamani nabarikiwa Sana mungu awabariki sana
Maybe wrong typing
@@miltonmachage2462wow
Mungu awabariki waimbaji mmeimba vizuri Sana nimebarikiwa Amennn
Mungu awabariki sana
Sofia
Amen, mbarikiwe.
Kenya msiniangushe nani anawatch hii song 2020 agonge like tuone .
🙋🙋🙋🙋
hapa
👨👨👧👦👨👨👦👦👨👨👧👧👨👩👦👦👩👩👧✌️👍
🙌🙌🙌🙌🙌
🙋
Tunaishi kwa nguvu za Mungu, we are nothing without God Almighty!
Kweli maisha yetu mungu atubaliki
.h
Àmina
Huu wimbo unanifanya kuurudia kila wakati kulingana na maneno ambayo yalio uko ukweli mungu ni mwenye haki🙏🙏🙏
Masololist mko vzr kwa kweli, Mungu awabariki, na kwaya nzima yani mnanibariki mno
I wish 🤞 Marco was still here singing with you guys 👦. He's surely missed. Gone too soon 😢🙌🙏🙏✌️ 😢😢😢😮😮❤🎉😅😊
For sure Christ Jesus knew us even before we were born and He is the only one that knows our destiny..we only need to have a steadfast faith in Him and Him Alone..asanteni kwa wimbo huu ambao unatukumbusha kuwa ni Mungu Pekee anaestahili sifa zote.baraka!!!
Mungu huleta watu tofauti kwa ajili yakutupa ujumbe kuhusu yeye lkini macho ya rohoni kwetu yalishindwa kutambua maana ya nyimbo zko nyingi zilikuwa na jumbe nzuri leoo hii umelala ndo tunajua maana ya hizo nyimbo mwenyezi Mungu akupokee wake mbingunipimzika amanii
Nina barikiwa Sana na nyimbo zenu sauti nyororo kipaji mnacho edelezeni talada ya bwana na mungu atawabariki Ni vyema kutumikia bwana na kipaji alichoweka Dani yenu bila kuweka pesa mbele Kama waimbaji wengine sitaji
Aaaish this group is amazing from Kenya 🇰🇪 we love you, pray that the enemy do not dissociate you
O
If this is how heaven shall be ,I don't want to miss out! Your vocals are angelic 🔥🔥🔥
.
Jmn zabron nawapend bure huwa nafarijika san nikisikia nyimbo zenu mung azid kiwabarik
Mwanibariki na nyimbo zenuuu....mungu awabarikii
The way you dress.. Your natural hair bringing glory to God... May his character always dwell on you.. Your always a blessing to me
God bless you zebron singers you touch lives in Jesus name
Spiritual song
More than a blessing..🙏
Yes sure that's true
@@henrysigira921 u78u
It is presentable before the LORD JESUS, it is touching even to see a brother and a sister leading a worship like this with a lot of love, be blessed do much
Receive love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawapenda sana zabron singers, nyimbo zenu zinanibariki sana,,MUNGU azidi kuwainua mkaifanye kazi mliyoitiwa
I love this songs, zina mpa mtu nguvu, mbarikiwe na mungu awatende mema
Zabron singer s, heko, Mungu awabariki sana, no mkuje Kenya tuwaone
This brother and sister pair makes Zabron singers top notch. Keep it up guys. God loves you
I came here after hearing my nephew 10yrs old singing and I had to ask him what is the title of the song. Wooow, he sang it so well.
BEAUTIFUL song indeed.
M balikiwe
We ni mungu wangu sikuachi Tena kwani bla ww me nsingekuwa iv
Amen soo powerful courageous ND inspiring song God bless you all abundantly
Nyimbo zenu zinanitia nguvu
Wasabo nyie mpo tofauti kbsaa nyimbo zenu zinabalikiiijj❤❤❤❤
Makes Adventists proud all over. Keep the gospel on Zabron singers.
Amujamb wandugu wa zabron nina wapenda saaaaaaaaan 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kabisa mimi ninataka nije nijiunge namweye
I love this song.My daily recipe.❤❤❤Wapi likes za August 2024🙏🙏🙏
Haki hii wimbo naipenda❤️❤️❤️ sana juu inanipa mawaidha na matumaini 🙏🙏🙏
Dah huu wimbo unanipa Raha sanaàaa 🔥🔥🔥🔥
Hakika nyimbo ni ujumbe ,sio step na kurukaruka ,napendezwa sana na huduma yenu MUNGU awabariki ,gonga liki kama unakubariana na mimi
Kuruka ni sehemu ya furaha,ujumbe hutolewa kwa namna mbalimbali.Kumbuka wengine hawaimbi kabisa wanasimama nbele ya hadhira na kuwasilisha ujumbe.
Nikweli
I really love your songs
Amen...nyimbo zenu zimevuviwa na Holy Spirit
We ni MUNGU wangu sikuachi tena
JONIA JOHN 8
Mungu awabariki sana enyi ndugu wala asiwapungukie ht kidg.....nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Next month nikienda home
kwa kweli nabarikiwa na nyimbo zenu kutokea nchini Kenya
Mungu awabakir familia hii
I love Zabron singers. Very authentic. Sio sweetie sweetie, nimeuona mkono Wa bwana...Am a Kenyan nawapenda sana
Mbarikiwe kaka na dada zangu kwa jinsi munavyotukuza Mungu mkiwa mumevaa mavazi ya kujisitiri. Waimbaji wengi wanaojiita kwamba wanamtukuza Yesu Kristo, tunashindwa kuwatofautisha na wale wanaocheza miziki ya kidunia ya Las Vegas na Los Angeles. Mubarikiwe, endeleeni kutunza ngozi Mungu aliyowapa .
Am here listening to this beautiful song after what the Lord has done for me. How I wish to serve God for the rest of my life
Indeed
Mumevaa nguo nzuri mpaka chini hakika mumependeza
Thank you Lord, your heavenly music still does exist. Your remnants are here. There is hope.
Nan yupo tena hapa 2025 kuendelea kubarikiwa na wimbo huu mzuri🎉🎉
i love Zabron singer , MUNGU awajalie uzma
Mungu ni mwema
Yaani Mungu alimpa nafasi ya kuaga yaani mwezi mmoja tu akaondoka
Hakika simuachi mungu na pia siachi kusikiza na kuwatch muziki wenu wanazabron...keep up good work and God bless you
Without Him we can do nothing
With him everything is possible ❤
MUNGU Ndie ajuaye kuamka kushinda kwangu Hakika MUNGU ni mwema
Wimbo Safi Sana, nadhani huku Kenya tutawaita zablon singers badala ya zabron!
Wow! The voices!! So amazing!
Love love love from central Kenya!
the got talent.. I love them too
Kwani Zabloni huyudada nindugu yako?
Bonge la nyimbo pia inaonyesha hawa ni ndugu sio kwa kufanana uko
Wow! What are amazing choir, it's cool, utulifu wenu wakati mnapomtuka mungu touches my heart mpaka naishi Holly spirit akitembea rohoni mwangu. Love you guys. May our almighty God bless you more.
Kabisa..ni kwa nguvu za Mungu...asubuhi tumeenda church......jioni mchungaji ameaga......😓 Thanks Zabron for the reminder
indeed inspiring song keep it up zabrones🙏🙏🙏
Kwel mmeimba jmn nimevutiwa cn jmn keep it up waimbaji wa zabron
Mko vzr
Nawashukuru sana zabron singers kwa nyimbo Zn zote,,,zinapendeza saidi
Am in love with the song ...good work guys na mkuje Kenya tena
Mubarikiwa
kabisa
Very blessed
msanali kanisa gani
Jamani hata la kusema sina, Mungu azidi kuwabariki daima,nyimbo hii ni nzuriiii sanaaa
Kila hatua Mungu ndio mlinzi wetu,,,be blessed zabron singers
Tunaishi kwa nguvu za Mungu maana yeye ndie ametueka hapo na hii ni kweli
Woow...at a glance i have seen part o Mt Kenya Chogoria. Inspiring.
Sana
wimbo mzr jamn usisahau kumtumikia ingawa uko hai uko sku utadaiwa ulichofanya hapa dunian,,,,,usisahau mungu kakuweka
tunaishi kwa nguvu za mungu ndio katuweka hapa
Hey guys you're so amazing may God really help and protect you in this ministry
Mnaimba Sana mungu awabarik sana
You are humbled , Glory to be the Lord .
Mungu awabariki mno nyimbo zenu ninanibariki sana
Wow after watching sweetie, sweetie, again this very fantastic music recieve my love from kampala uganda😍😍😍😍
Nafarijika sana na nyimbo zenu, Mungu azidi kuwainua nawaombea huduma yenu izidi kusonga mbele.
mungu awatangulie mnaimba vizur ujumbe mzuri saaana nawapenda mpka basi
Aiseeeeeee brikiweni sana nyie mnajua hambahatishi yaani Mungu anawatumia vyema
Whenever I watch your songs I must make vigorous movements then pap mi dancing to the end of the song 😂😂😂I don't know how keep still @your songs like you 🙆... loving it more
Ameni barikiwa watumishi
Nawaoenda sana yaani nyimbo zenu zinanibariki mnoooooo
Namugu abapatiye guvusana zakoyiba nyigi
Best song i have ever heard. I listen to it day and night
The ending is pitch perfect. Nice song, be blessed
zablon singers, Mungu awabariki sana, nyimbo zenu zinanibariki sana, Hongera kinara Victoria mpendwa wangu.
God bless this group,ur really a blessing to me...I pray soon I will sing Sweet Sweet on my day.Amen
Choz linanitok kwa ajir ya japhet hakik unajua kuimba
Always I be blessed with the songs of Zablon singers
Rest in peace malko joseph😢😢😢tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi, we will miss your voice germ
Nyimbo ni nzuri pia ujumbe ni mzuri mbarikiwe sana
V
sikuachi iko vizuri MUNGU akubaiki zabroni pamoja na wote walio shiriki katika wimbo huu
Nawapenda sana kwanu mnafariji sana nyimbo zetu, bwana asifiwe.
jamani naipenda hii nyimbo sana namuomba mungu anibariki hii nyimbo lazma ipigwe kwenye harus yangu🙏🙏🙏
You guys are amazing... You fill me with so much love from heaven... May God bless you abundantly in your lives!!
Whenever i hear this😭😭
kupata na kukosa ajua yeye eee mungu sikuachi tena
My friends 🌻🌻🌻👏👏👏🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬,we love ❤❤❤ you, it's just like this 👌👌👌💯😘
Best group in Africa. Much love from +254
Ayiiiiiiii nyimbo nzuri sanaaaa yani imenigusa kikweri sichoki kuisikiriza maana maneno ya huu wimbo yote ni matamu 🙌mbarikiwe.
After mkono wa Bwana I became a fan. You people are a blessing
Paz do senhor irmãos . Amei os louvores, que Deus continue vós usado tremendamente para sua glória. Benção
Nawapenda jmn Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingne
Mnasauti nzuri sana.. Wewe Kaka ninaona unaenda kuwa mtu mkubwa sana ulimwenguni
Sante Dada kwa maneno ya baraka juu ya maisha yangu,ni mara chache kwa Dunia ya leo upate MTU wa ku appreciate kazi yako na kukunenea baraka kama ulivyotabiri,na Mimi nimezipokea,tumuombe Mungu atimize nia ya mioyo yetu kadri mapenzi yake yatakavyoruhsu Amina
You have amazing content in all your songs.... Keep trusting in God for more and the best for tomorrow. Am grateful to watch you on Citizen TV today. Bless you all!
I love this song so much 💕♥️🙏
Nice song....
Cute ladies and handsome men there
Sweet voices
.....am blessed.....happy new year
Yaan,nawapenda nyie watu hatari,mungu azidi kuwabariki mpaka shetani ashangae
Such melodious voices, can't help pressing repeat
Huu wimbo wanitia nguvu Sana...Thank you Lord for being there for me
love your songs zabron singers you really bless my heart,God bless you with his abundant grace
Ujumbe mzuri sana kwetu sis wanadamu
Mungu ndye anatulinda kila hatua
Asanteeee zabron singers
Amen ni kweli tunaishi kw nguvu za mungu