Umeondoka duniani lakini bado unaishi Marco maana bado sauti yako haitapotea duniani bila kugusa mioyo ya wanadamu na wataendelea kumgeukia Mungu wetu aliye hai.
Wonderful!❤️❤️ +254 forever loving Tanzania music ever since the times of Phanuel sedekia,Godwin Ombeni,Rose muhando,Christina Shusho....God bless East Africa
Nimerudi kuwaambieni pole ..hili Ni zito mno Ila wingu la faraja liwafunike.... Mungu anabaki Mungu tu ata Kwa hili lililotuumiza. Ata Sisi tunatuma wimbo kwenu uwafariji
Really being spiritually nourished by this song. Glory be to the Most High Living God 🙏 Hallelujah Weka likes more and more kama umebarikiwa na huu wimbo
Mimi ninaitwa Josiane kutoka nchini Rwanda. Tangu niliposikia wimbo huu niliwapenda mno, baadaye niliumizwa na kifo cha marehemu Marco. Nitawapenda mpaka kufa.
Yaaan Mungu kweli kawaambia mtume wimbo na umenifikia na kunibariki na mm nikawatumia wengine Mungu awepe nguvu mtume nyingi na zenye ujumbe mwema nawapenda Sana 😍❤️ kutoka Moshi Kilimanjaro
Nawapenda sana nyimbo zenu zimetulia sana.......mmeutuma huu wimbo kweli umetufikia Mungu azidi kuwainua juuu zaidi mkayafikie mataifa yote mkahubiri kupitia nyimbo mko juu zaidi Amen.
Najihisi nime barikiwa na huu wimbo kuliko muimbaji ,,,,ila ndo hivo kashasema amebarikiwa na ndo maana kautuma wimbo kwangu nami niweze kubarikiwa,,,, ZABRON SINGERS BE BLESSED
Kama umemwona soloist mpya mdada ( the second one) beautiful girl singing for God, the part she sings is my best part of the song❤ thumb up for her here❤❤
Wenye tuko hapa 2024🙌
I'm leaving this comment here so that every time a person likes it, I will listen to the song over and over
m 😢😮😢😮😅
❤be blessed always.
Come we cry😢😢 ... sing with angels Marco 😢😢
Done. 😊
@@MaryNyantwichacha😅 of
Who is here again after the sudden news of our brother marco to just listen to him again❤❤ Rest in peace
May his soul rest in peace,he has left a great impact
Poleni sana😢
Rip
Rip marco
Rip Joseph
Any ma feel kujoin hii choir
Haki Marko huu haukuwa mpango wa hii familia ya zabron.. hawakupanga uuwache hivi😢😢😢. Nenda salama mtumishi wa Mungu😭😭😭😭
I love, I adore the song.💗💯
Kama una urudi rudia huu wimbo kama mimi gonga like alafu rudia pale kwenye mashairi ya yule dada alie vaa gauni jekundi napenda sana seem ile🙏🙏🙏
Wenye tuko hapa 2024 weka likes tukisonga❤❤❤
I'm in love, with the song
Aki your songs are so sweet pia mm naomba nijiunge na nyinyi
May God bless zabron singers for us
Hii wimbo ikona mafunzo mengi sana
Hii wimbo imenibariki,wapi likes za wakenya?gonga like ukipita🔥🔥🔥🔥
You are great singers
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo Tamu😘😘🎉🎉🎉
Aw😂❤❤❤
The last girl i swear❤❤❤, anafaa aanzishe wimbo maana sauti yake inapendeza ajàbu. Tena ni mrembo sana yule Malkia
Muna imba vizuri sanaaa Tanzania
Nimekimbia huku ku confirm sauti ya Marko.Rest in peace brother 😢😢😢
Anyone here September? Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ✋✋
I'm here it's God can't believe we lost one of our own 😢 let him rest in peace 🕊️
I love this song Nakutumia wimbo
2023 still the song hits on another level, who is here with me team kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇿🇼🇿🇼
I am a Kenyan in Toronto Canada huu wimbo umenifikia na baraka Tele nyi wote mbarikiwe Asante zabron singers tuwape 10k likes
Good song.@@@@@%100%
Pamoja bro
Pamoja bro
A good one
Traduile en français stp
Wimbo mzuri san
Umeondoka duniani lakini bado unaishi Marco maana bado sauti yako haitapotea duniani bila kugusa mioyo ya wanadamu na wataendelea kumgeukia Mungu wetu aliye hai.
Kenyans in the wall show your love to the Zabron's❤️❤️❤️❤️
The 2nd lady soloist such a blessing
1
Turn❤Welcome to Gboard clipboard, any text you copy will be saved here.Welcome to Gboard clipboard, any text you copy will be saved here. To GG😮 kk
Ll
I'm
Nimebalikiwa sanaaaa
Wooow kama umeikubali nyimbo hiii gonga like ...be ever blessed zabron singers....
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
@@maryurioh7369 ol
It's nice.
Amen
Super
Kama wapo wanaosikiliza huu wimbo kama Mimi 2023 tujuane Kwa like❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤ mpaka saa hizi 2024...
Pride of East Africa
FROM TANZANIA AGAIN WHO IS WATCHING ZABRON SINGERS 💜❤ Like
Am watching from Kenya, I like it
a'm here today
Mimi nawapenda saaanaaa
Nakutuma wimbo mungu awe nasi asante
Tuko ndani
Huu wimbo unanitia moyo Sanaa hongera
Emen hauna ubaguzi wimbo
Wonderful!❤️❤️
+254 forever loving Tanzania music ever since the times of Phanuel sedekia,Godwin Ombeni,Rose muhando,Christina Shusho....God bless East Africa
Tanzania gospel is on another level
Wimbo uliobora zaidi. Nasikiza nikiwa Nairobi Kenya. Wakenya rusheni likes
😂😂🤣
Uwe mke wangu basi
One of my favourite songs.
Wimbo mtamu sana Mungu awabariki
From Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
It has a very strong in4 mation kp it up
Nyimbo zenu zina tubaliki sana.. kama na wewe una ungana na mimi kwenye hilo tupia like yako..
Nice
Nimeupenda sana wmb huu, barikuwa
Nabarikiwa sana ninaposikiliza na kuangalia nyimbo zenu
Nyimbo zenu zimekuwa za baraka Sana mungu na amubariki
Barikiwa sana
na umefika hallelujah 🌹
Haki Mungu Tuseme nini , asantee kwa kutupea Marco , heaven has gain RIP
Could imagine broo Marco akh nyimbo zako roho yako ifumzike Kwa amani,,,,, Dance with angels akh ungeamka tu
Mke wangu nakupenda
Uuuuuiiii help me congratulate this gospel singers woooow am blessed,,,,wimbo umenifikia asanteni sana wangapi tumefikiwa Na hujumbe??
Mimi pia umenifikia
May God bless you at most
Wengi
Waaaaaaaaaaaaow
Mbarikiwe San watumishi
Huyu sister Victoria ana kipaji kweli nakupenda🇰🇪nawaombea mungu awaepushe na mabaya...rip marco
Lala salama kaka 😭😭
Ooh my God,,,hii sauti Sasa sitawai isikia tena😭😭😭😭
Nimerudi kuwaambieni pole ..hili Ni zito mno Ila wingu la faraja liwafunike.... Mungu anabaki Mungu tu ata Kwa hili lililotuumiza. Ata Sisi tunatuma wimbo kwenu uwafariji
Mm nawakubali sana
Am here because of bad new of our brother Marko rest well mtumishi😢😢
Daaah ila kifo 😭😭😭Pumzika kwa Amani marco mwenyezi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi 😭😭😭
Hii wimbo imenibariki💥💥💥💥
Nmekuja kurudia tena baada ya kusikia kafariki jaman 😭pumzika kwa amani kaka tutakukumbuka daima🙏 MUNGU awatie nguvu ndg jamaa na marafiki😢
Kuna soloist mpya mrembo sana.
Ana sauti nyororo 💃💃👌🏾👌🏾
Umemuona eeeh
Hizo dimples maze kwenye mashavu
Kumbe umeona kama mm😂😂😂😂
Haki nime kirudis kipande chakee🙌🙌🙌🙌
@3:16 nice vocals, beauty in praising.
Her name jamillah
Really being spiritually nourished by this song. Glory be to the Most High Living God 🙏 Hallelujah
Weka likes more and more kama umebarikiwa na huu wimbo
Who's still listening to this sweet song in 2024❤
Wau, kazi nzuri wapendwa wakenya tunawapenda AMANI iwe nanyi.🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi ninaitwa Josiane kutoka nchini Rwanda. Tangu niliposikia wimbo huu niliwapenda mno, baadaye niliumizwa na kifo cha marehemu Marco. Nitawapenda mpaka kufa.
Every video on youtube has this comment
'I'm leaving this comment here, whenever someone likes I will come back and watch again'
Come back Marco is no more😢
Mungu uliyemtumikiya akupokee kwani ye ndiye anakupenda zaidi we love you so much but He loves you more🙌
Wimbo Mzuri sana
Sisi wakenya tunapenda nyimbo za tz,kuliko tz wenyewe❤
Me too
Yaaan Mungu kweli kawaambia mtume wimbo na umenifikia na kunibariki na mm nikawatumia wengine Mungu awepe nguvu mtume nyingi na zenye ujumbe mwema nawapenda Sana 😍❤️ kutoka Moshi Kilimanjaro
Eimen
more blessings kwa kila anaesikiliza huu wimbo.
I can play this song 100 times per day juu ilinibamba sana wakati wa Ruto 2022 election
❤❤❤❤❤❤ l love the song more than anything else🎉🎉🎉 inanibariki sana like kama hata wewe unaipendaa
Nice song congratulations
Nimeamka nakuingia youtube nakutana na wimbo huu nimebarikiwa sana Mwenyezi Mungu awabariki
Nabalikikiwa sana
This a very nice song God bless you
Amen
2024 who is still here ❤❤❤❤
Nimeirudia tena.Rip marco😢
Nawapenda sana nyimbo zenu zimetulia sana.......mmeutuma huu wimbo kweli umetufikia Mungu azidi kuwainua juuu zaidi mkayafikie mataifa yote mkahubiri kupitia nyimbo mko juu zaidi
Amen.
Mbalikiwe kwa utumishi mzuri
wonderful, true speaking may the God bless this pple
Haleluya haleluya 3 years and it still sounds fresh 🇹🇿 2023
I love it be blessed by the almighty ✋✋✋✋💛💛💛💛💛💛💛💛
Kila siku i must watch this song nakutuma wimbo like 10times the second girl amegonga ndipo be blesed ni marrio nikiwa canada Amen
naupendaga Sana huu wimbo
Dadangu mola akuinue
Bro R.I.p Hopes we shall meet during the second coming of jesus christ
Can't get enough of this.
Baada ya wasafi nipo huku nani mwingine yupo hapa baada ya wassfi Jamila love u baby girl😍😍😍
Mm hapa
Nimebarikiwa pk nina raha.God fast
God bless this choir greatly ❤❤
Oooh yeah nimebarikiwa na nyimbo nice song💋❤❤❤❤💞💞💞🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤🎤🎤💪💪💪💪
*Wakenya tuko wapi?* 🇰🇪🇰🇪
Wakenya tuko hapa I love this family ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️sauti nyororo maneno matamu 💕💕💕💕💕💕
Wakeny mko wapi,,, Just learn from this guys and get something from them,,,, are zabron singers from the same ancestor???
Tupo hapa twabarikiwa n wimbo huu Sana,
@@abdullahraad4376
Yes
Tuko . Nice song
Amina
Najihisi nime barikiwa na huu wimbo kuliko muimbaji ,,,,ila ndo hivo kashasema amebarikiwa na ndo maana kautuma wimbo kwangu nami niweze kubarikiwa,,,, ZABRON SINGERS BE BLESSED
🤣🤣
Amina very blessed too.
Best song for 2020 #Nakutuma wimbo.... believe in God and everything will be ok .. Hata Mimi nakutumia huu wimbo...God bless Zabron singers. ..
Amina mungu awabariki mufike mbali
Amina .. Mungu awabariki
@@julianajemsi9328 Amina
Amen.
Zunamshukuou mungu kwakila Jambo watanzania wotekwapamoja tuseme ame
This is a good inspirational song
Mmetuma huu wimbo na ujumbe umetufikia. Thank you
So much zabron singers, lots of love from kenya.
Amen
Plesa can I have your contacts?
becosaa@gmail.com
Woooh am so blessing duh siwez eleza had natamani nami niimbe
Ĺ
This song blesses me... Wakenya mko hapa 🇰🇪🇰🇪
This choir make me smile everyday🎉
Asanteee kwa wimbo umenikuta nikiwa nyumbn nimebarikiwa sana
Zabron Singers should consider permanently relocating to Kenya. Huku ndio mafans ni wengi. Much love from 254 🇰🇪
Very nice for this song
Nimeitafuta sana hatimaye nimeipata hakika nimebarikiwa kupitia wimbo huu 💯💯💯💯💛💛
Kama umemwona soloist mpya mdada ( the second one) beautiful girl singing for God, the part she sings is my best part of the song❤ thumb up for her here❤❤
Safi sana
Nyimbo zinatubariki mno
Oh what a blessing to me
I really love her voice! May God guide her always.
@@gideonmugusi7976 mbalikiwe
❤munaprndeza mwedereyi muimikono yamu🙏🙏🙏
Tanzanian Gospel Singers Never disappoints!!!!!!!❤❤❤❤
Tangu zama za ARUSHA TOWN CHOIR
Yes
@@daisyruttoh3701 f
@@angelarugut6867 kj
I thought they were from Rwanda
I'm catholic but wow just wow I enjoy their songs. Hakuna ubaguzi wowote Mungu ni mmoja na Mungu huyo awabariki Sana. Asanteni Kwa wimbo huu❤️❤️✨🙏
Barikiwa sana,karibu kanisani pia
Im surprised. I thought we worship the same God. Anyway. Inanihusu nini.
I can't get enough of this song,,,,,,,,,,,,,,,,. ,
@@Faith-nv4rn continue thinking 🚮😅
Catholics are christians 😊
Don't apologize being Catholic. Being Catholic is being Christian, God's child, saved by Jesus.
Send by God ,you always bless
Mungu awainue zaidi
Wonderful gospel song indeed God bless you zebron singers more and more 🙏🙏
❤❤❤❤❤ touching every part of my heart
Am a Kenyan but I love the choir,long live
Mlituma huu wimbo umefika Kenya vizuri. 💃💃💃
Ulifka vyema kabsaa
0.42 Marco Umebaki na Mungu...maneno yako yatimie ..may your soul be with Him
Pumzika kwa amani muimbaji Marko joseph