MAGARI MAPYA WALIYOPEWA MAJENERALI WASTAAFU LEO, MBUGE AKABIDHIWA FUNGUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 116

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee หลายเดือนก่อน +12

    Kwa kheri Afande major Jenerali Charles mbuge. vijana wa Ruvu hawatokusahau ukiwa CO PALEE. Hata wakati ukiwa Mkuu wa JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) Ulikuwa Kiongozi bora mnoo

    • @selemanseed2476
      @selemanseed2476 หลายเดือนก่อน

      Waziii..🔥🇹🇿

    • @EdwardMazuri
      @EdwardMazuri หลายเดือนก่อน +1

      Hatamsahau JPM alipompandisha cheo

    • @sundaysHassan
      @sundaysHassan หลายเดือนก่อน

      Acha tu😢

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba หลายเดือนก่อน +6

    Nchi nyingi za kiafrika zinatakiwa kuiga mfano wa Ibrahim Traore katika utendaji wake, halafu tutajua kujitathmini wapi tunaeleka kwa hali hii

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 หลายเดือนก่อน +6

    Charles Mbuge huyu aliteuliwa na Rais Magufuli kipindi kile kutoka kanali mpaka brigedia general

  • @RosePetro-ck8pt
    @RosePetro-ck8pt หลายเดือนก่อน +7

    Kiukweli maendeleo yote tunayoyaona ktk taifa hili nikutokana namipaka ya nchi ipo salama nijaki yenu wakuu kupatiwa magar nakuagwa kwaheshma kubwa kama hiyo,asanten makamanda wakivita

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 หลายเดือนก่อน +4

    Mmestahiki kupewa mmevuka mengi magumu kazi ya jeshi mpka kufika kistafuu na ukiwa hai na saluti mshukuruni mungu sana na mkawe na maisha yabaraka huko miendako ....mana kwa umri wangu bila shaka nyie mmeshuhudia tangu kwa baba wa taifa mpak leo .....mmestahiki wazee wetu hongereni sana na twawaombea mungu awape maisha yaliyobarikiwa ..... aamina

  • @DioufPeter
    @DioufPeter หลายเดือนก่อน +1

    Hela za kuzawadia watu magari zipo ila kupeleka dawa hospital hakuna huu ni ujinga

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim หลายเดือนก่อน +1

    Yule Mp Mnamuona Anavyokata Jicho Au Bac Ila Trafk Mkiona T195 EFR Au Bac 😅😂

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p หลายเดือนก่อน +3

    Wanapewa magari lakini kuna wastaafu wanakuta na kikokotoo this is nonsense 😢😢

  • @omarifataki3040
    @omarifataki3040 หลายเดือนก่อน +4

    SIR"Mungu Azidi kuwalinda katika Maisha na Awape wepesi kwa kila jambo,Pamoja na Famiilia Amin Amin Allah,

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do หลายเดือนก่อน +5

    Hawa wakipewa sawa kabisa siyo wanasiasa wezi

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mkuu wa majeshi angejenga dhahanati kwa ajili ya wanamchi angefanya jambo sahihi na kuyapa majina ya hao wastaafu ili wananchi wanufaike kuliko kuharibu pesa na huku wananchi hawana ambulance hospitalini huu ni ujinga

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 หลายเดือนก่อน

      We achatu hapo ndio ujue tuna viongozi wenye kujali maslahi yao tu ukitaka kujua hilo mpka wameewambukiza baadhi ya watanzania umbumbu angali kwenye komenti wanavo wasifu badala yakuwakosoa kua walicho kifanya ni ujinga

    • @jumapilimakondo4250
      @jumapilimakondo4250 หลายเดือนก่อน

      ​@@handenitakuru6696ukiona ujinga kwa wenzako wanaotoa maoni yao nadhani wewe una kaujinga zaidi

  • @anthony_genge
    @anthony_genge 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana afande mhidize

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni kwa weledi mkubwa wa kulitumikia jeshi na taifa letu pendwa tz.Mungu awatunze uko muendapo daima

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mkuu wetu afande JJ MKUNDA.Safi sana wakuu wastaafu.Nawaombea safari njema na afya njema siku zote.Hakika

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +10

    Upuuzi mtupu ni hila za wanasisa kulinda majeshi wasipinduliwe

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      Mkundu wako ujui kitu kenge wewe kjitie kidole unuse mmbwa wewe

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +1

      @@Peterchila-un2lx siku zote mtu ukiona anataja sana kitu ujue kinawasha tatizo uko mbali ungekunwa hicho kiungo

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      @@PrinceHendry-hp8vv jitie kidole mkunduni unuse uone mkundu wako unavyonuka

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +1

      @@Peterchila-un2lx ongezeko la mashoga ni kubwa sana sasa siwez bishana unaweza kuta nashindana na bwabwa

    • @ShafiiIsmail-zk9lq
      @ShafiiIsmail-zk9lq หลายเดือนก่อน

      Hacha usenge we unalala unakoloma mwenzio ana miaka mingi analala nusu usingzi kuwa na shukran hacha hira

  • @benjaminjackson8567
    @benjaminjackson8567 หลายเดือนก่อน

    Heshima na pongezi kwao wamejitoa tangu wakiwa vijana mpaka sasa umri umekwenda pongezi sana sana na Kila la kheri katika safar za maisha yao🫅🫅

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie หลายเดือนก่อน +2

    Asant wazee wetu tunajua uzalendo wenu kwa taifa ❤❤

  • @yonathanandrecus7465
    @yonathanandrecus7465 หลายเดือนก่อน

    Kamanda mbuge operation kikwete 2015 ruvu jkt ,tunakukumbuka sana ulisema tusikeshe 😢

  • @airforce3343
    @airforce3343 หลายเดือนก่อน

    Hivi Brigedia yeye akabidhiwi gari?! hata IST ya bei nafuuuuuuu!!!!

  • @airforce3343
    @airforce3343 หลายเดือนก่อน

    Amepumzika au amestaafu?!! hivi vyeo vya kama yeye wanastaafu kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!

  • @RosePetro-ck8pt
    @RosePetro-ck8pt หลายเดือนก่อน +2

    YES,HILI SASA NDO JESH HASWAA,ASANTEN SANA MAKAMANDA WETU KWA KUTULINDA🙏🙏🙏🙏

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 หลายเดือนก่อน

      Mnalindwa na kamanda sisi tunalindwa na allah

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sna wakuu

  • @samsonkivuyo9548
    @samsonkivuyo9548 หลายเดือนก่อน

    Nchi zisizo na vipaumbele utazijua tuu. Wananchi wanavyoteseka hizo chenji za kununulia magari ya kifahari zinatoka wapi

  • @cliffsalija4692
    @cliffsalija4692 หลายเดือนก่อน

    Hivi wanafanyaga kazi gani baada ya retirement

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 หลายเดือนก่อน

    Kwann waalimu, madktari, hawapewi magari? Au wao hawana maana yoyote kwenye nchi hii ?

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157 หลายเดือนก่อน

    iyo haki mliyoipata bado haitoshi kwa mchango wenu ktk taifa letu , mnastahili mengi mazuri

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 หลายเดือนก่อน +1

    Daah bongo bwana haukuti magaid jela bali ni wezi wa kuku kama chege kwa saidi fela

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 หลายเดือนก่อน

      Unataka jail iwe na magaidi!?
      😅😅😅
      Fikiri Tena !!

  • @ChitaiElish
    @ChitaiElish หลายเดือนก่อน

    Hii ni nzuri Sana Kwa Taifa lakini pia Kwa wanajeshi ambao Maisha Yao Kwa sehemu kubwa walijitolea kuitunza Amani ya raia wao..., you are an example to emulate na kipekee nalipenda Sana Jeshi la Tanzania having lived close to some in Arusha.....mnastahili Zawadi hizi na zaidi

  • @happinessthomas1534
    @happinessthomas1534 หลายเดือนก่อน

    Ni ufala tu ,mishahara yote mikubwa waliyo kuwa wanchukua na bado wanapewa magari ya gharama bora

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🫡💯

  • @IsmailYusuf-nb9jt
    @IsmailYusuf-nb9jt หลายเดือนก่อน

    NIPO HAPA KUMWANGALIA MBUGE 💯

  • @salimali-rf9er
    @salimali-rf9er หลายเดือนก่อน

    Apewae ndio aongezwae,halafu utasema nchi haina pesa

  • @daudilaurence4935
    @daudilaurence4935 หลายเดือนก่อน

    Nidham.hak.weled na uadilfu ndio,,,,

  • @johnnymarenge9071
    @johnnymarenge9071 หลายเดือนก่อน

    Kuna msemo unasema maskini ndio anamatumizi mabaya yahela

  • @FortyMwamba-kq5js
    @FortyMwamba-kq5js หลายเดือนก่อน

    Hawa wote watakutana na KIKOKOTOO

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson หลายเดือนก่อน

    Sisi mtatukuta kwa Mungu tunawasubiri.

  • @AbrahamMisanti
    @AbrahamMisanti หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu Likangaga

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ningekua hao majeshi nisingepokea hiyo gari, ni dhulma tu! Hizo hela mnazolipwa ni nyingi sana na hayo magari mnayo mengi tu majumbani kwenu, wengine mpaka watoto wenu munawazawadia magari kama hayo, ila nyie ni kama mafisi tu mnatamaa sana! Hizo ni kodi za masikini ambao hawana hata baiskeli wakati hiyo gari moja unaweza kujenga hata kituo cha afya kidogo vijijini, shame on you.

    • @danielmsungu9419
      @danielmsungu9419 หลายเดือนก่อน

      Huna akili yakufikiria, acha ujinga wakutukana wakubwa hasa wanajeshi, hizo zahanati unazosema zingejengwa vijijini kuliko hayo magari kumbuka bila kulindwa na Majeshi haya hata ulichonacho kwasasa usingekuwanacho, watu wamejitoa kuilinda hii Nchi usiku namchana ndomaana wewe unalala usingizi nanduguzako pumbavu.

  • @mrpaulbinezekiel110
    @mrpaulbinezekiel110 หลายเดือนก่อน +5

    Mtu kastafu magari ya hela nyingi hv ya nini bongo bhana

    • @MusaMoleli-t3k
      @MusaMoleli-t3k หลายเดือนก่อน +2

      Hizo ni Kodi zetu kudadadeki

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน

      Huyo alietukana nahisi kuna mirija ananyonya so muache tu dunia ya sasa hivi imechafuka huwenda ni mke wa mwanajeshi

    • @babalao910
      @babalao910 หลายเดือนก่อน

      ​@@PrinceHendry-hp8vvHujakosea ni Mke mdogo wa jamaa

    • @hamisimkulupalile9461
      @hamisimkulupalile9461 หลายเดือนก่อน

      Ukitakaje

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 หลายเดือนก่อน +1

      Ulitakaje ndg angu!!?

  • @sundaysHassan
    @sundaysHassan หลายเดือนก่อน

    We shall miss you M.g Mbuge.....

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 หลายเดือนก่อน +1

    Bravo bravo

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 หลายเดือนก่อน

    Umasikini Tz hauisha kutokana na matumizi mabaya ya pesa

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂maskini wewe fanya kazi Hawa wamefanya yakwao wamepata ahsantee Yao fanya na wewe yakwako kwa bidii ikupe ahsantee yako...

  • @DavidMaganga-sv1fz
    @DavidMaganga-sv1fz หลายเดือนก่อน

    Watu wanateseka uko vijijini lakn uku wengine hupewa magari 😢😢hawamuoni Ibrahim traole uko Burkina Faso

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 หลายเดือนก่อน

      Hii kitu hwezi kuona kwenye nchi zilizoendelea,, ni unyonyaji kwa raia,, huwezi kumzawadia mwana jeshi gari ya samani kama hiyo ,wakati masikini bado wanaumia mahospitalin,,,,r.i.p uncle magu

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 หลายเดือนก่อน

      Nenda kaishi brekinafaso 😂😂😂😂😂

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 หลายเดือนก่อน +1

    Mjibu na wakujitolea 2013 pale JKT RUVU tumpe heshima ya kutosha
    Generally (CI) wetu Mbuge kafanya kazi vyema Sana Toka zamani mzee wetu JPM akamwamini na Sasa kamaliza salama akiwa na mh rais Samia suluhu anastaili pongezi

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations our brave

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa หลายเดือนก่อน +3

    Jamani hiizi gari si chini ya dolla laki mbili kila moja,,je hapo ni viwanda vingapi watanzania wangepata ajila

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 หลายเดือนก่อน

      Hatari sana ,
      Fanya KAZI ,
      Ili nawe ujenge kiwanda Sasa

    • @newforcejv9721
      @newforcejv9721 หลายเดือนก่อน

      Mimi bado naona ZAWADI ndogo wenzetu wwanapewa gari Tano za thamani nyumba mbili pesa zake zote na Milioni mia 5 za supu na Kila MWEZI wanaingiziwa malipo kiasi Yani wastafu watunzwe

    • @JDCARAGENT
      @JDCARAGENT หลายเดือนก่อน

      hao kwa vyeo vyao wangesema kuanzia leo tunahasi nchi hii hakuna mjinga kutoka nje kuanzia saa kumi na mbili jioni basi wasingeshindwa maana wanajeshi wanawatii wakubwa wao kuliko hata rais.
      waheshimu sana hao hadi kustaafu bila kashkash yoyote ni heshima sana na wameheshimu sana katiba na wananchi na viongozi wetu!

  • @cliffsalija4692
    @cliffsalija4692 หลายเดือนก่อน

    All the best seniors

  • @andrewkabalika4690
    @andrewkabalika4690 หลายเดือนก่อน

    all the best

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa ni hazina ya taifa. Bado tunawahitaji katika ulinzi wa nchi hii. Hata wakiingezwa viinua mgongo ni halali yao. Wamekesha kuilinda hii nchi

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน +1

      Umeongea point sana ndugu yangu upo sahihi kabisa Hawa ndio wanalinda nchi yetu

    • @jamesselemani4562
      @jamesselemani4562 หลายเดือนก่อน

      Hawa ni mzigo, kumbuka hayo magari lazma yajazwe mafuta na serikali

    • @Shafikimanga7
      @Shafikimanga7 หลายเดือนก่อน

      @@jamesselemani4562 mpaka Kuon huo mzigo ni kutokana na kujitolea kwao. Jifunze kushukuru au laa andika ujumbe wako unaojitegemea sio kwenye mawazo ya wengine.

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge หลายเดือนก่อน +3

    Kodi zetu hizo😂😂

    • @ChachamartinIruga-lv2yg
      @ChachamartinIruga-lv2yg หลายเดือนก่อน

      Ndio zinafanya ulale usingiz mzuri

    • @hamisimkulupalile9461
      @hamisimkulupalile9461 หลายเดือนก่อน

      Bila wao ungeenda kulipia iyo kodi wapi

    • @abdallahmakombo3866
      @abdallahmakombo3866 หลายเดือนก่อน

      Wabongo uwezo wenu wa kufikiri unapungua Kila siku !!
      Ulitaka stahiki ipi wasipewe hapo !?

  • @mrpaulbinezekiel110
    @mrpaulbinezekiel110 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu kastafu magari ya hela nyingi hv ya nini bongo bhana

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      Usichokijua ni Kama usiku wa giza mkundu wa Mama yako wewe Teena unanuka wewe inakuuma Nini wakipewa ungesoma nawewe mmbwa wewe

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      Ungesoma masikini wewe ili nawewe upewe gari la garama Kuma la Mama yako wewe kinachokuuma ni Nini kenge wewe kwani pesa ya magar niyamama yako

    • @mrpaulbinezekiel110
      @mrpaulbinezekiel110 หลายเดือนก่อน

      @@Peterchila-un2lx cheki hili limkundu

    • @mrpaulbinezekiel110
      @mrpaulbinezekiel110 หลายเดือนก่อน

      @@Peterchila-un2lx cheki hili limkundu

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      @@mrpaulbinezekiel110 hivi Mama yako kapona mkundu kweli juzi walimfira hadi wakammwaga mavi na midamu mkunduni

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 หลายเดือนก่อน

    General mbuge anaonekana ni kiongozi mzuri sanaaaa, I wish him luck on his retirement

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp หลายเดือนก่อน

    Asanteni kwautumishi uliotukuka tunawatakia mapumziko mwema.

  • @babalao910
    @babalao910 หลายเดือนก่อน +2

    Vipi waalimu wastaafu?

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      @@babalao910 acha kufananisha walimu na majenerali wewe kenge

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 หลายเดือนก่อน

      ​@@Peterchila-un2lx general tu kafundishwa na MWALIMU acha dharau kwa walimu ndugu

    • @HamzaChitanda
      @HamzaChitanda หลายเดือนก่อน

      Duuuh walimu tunatukanwa!!

    • @Twahamwela-ch5lz
      @Twahamwela-ch5lz หลายเดือนก่อน

      Ha haha haha ha

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx หลายเดือนก่อน

      @@babalao910 sijawazarau ila ukweli ndio uwezi fananisha jeshi na kitu chochote jeshi ndio linakufanya unakuwa na amani mda wote