Amen.Tunazidi kubarikiwa na huduma hii.Nakuombea kwa Mola wetu ,azidi kukubariki Sana ili wengi wavutwe karibu naye YEYE mponyaji wa ajabu,hajawahi kushindwa.Amen.
Amen 🙏,Mungu mwenye nguvu, hakika nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua katika kumtumikia kwa Kazi ya uimbaji, nasi watoto wa Mungu tuzidi kutambua Mungu anazo nguvu katika mambo yote.
Kwanza kabisa kila kitu hapa ni Chema na cha kupendeza. Hongera na kongole sana kwa Dada na Shemeji Mwita John, with your Wananzengo Productions thousands are blessed and many souls Uplifted to Jehovah. Hii item ni ya kiwango cha utukufu kwa Mungu. Kipekee sana nikushukuru na kukupongeza kwa namna ya pekee Shemeji yangu Mwita John, I. e the man behind the Camera, Mpwa wangu Wambura, director na mdhibiti wa Ubora, Nasema kuwa Mungu awabariki sana ndugu zanguni. Happy Sabbath to all of Us
Amina sana. Ninakushukuru sana Mungu maana una nguvu. Nina mengi ya kushuhudia kuhusu Uweza wako Mungu. Libarikiwe jina la Yesu.
Mungu akubariki Kwa huduma Yako
Hakika Bwana unazo nguvu
Amina my dear powerful song. Hakika bwana anazo nguvu
Amen endelea kubarikiwa Dada
Ubarikiwe Mama 🙏🙏mimi ni Nyanjara Shimbe.
Nyanjala wangu ubarikiwe sana mwanangu. Asante kwa kunitia moyo. Mungu akubariki sana. NAKUPENDA MWANANGU
Ubarikiwe dadangu hujawahi niangusha
This is very powerful
Hakika Bwana anazo nguvu
Huu wimbo umenipa nguvu sana
Asante sana Manono. Mungu wetu hakika ana nguvu
Mungu mwenye Nguvu kweli 👏 👏 👏 👏
Wow beautiful Song
Hamjawahi kuniangusha
Mwimbaji na Director Wako mbarikiwe sana am proud of you
Ameen wimbo mzuri, kazi bora
Barikiwa sana mate..Ujumne mzuri sauti nzuri wimbo mzuri❤
Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake wifi yangu.Barikiwa sana
Ameen God bless you dada
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
Wow wow, thanks for such a great message, the video is also wonderful.
Keep going wii
Ubarikiwe Mama ,kazi nzuri .ujumbe mzuri piaa 🎉🎉🎉
Wow so amazing niko so proud sanaaa ma madame kazi nzuri sanaaaa video kali shots zimebadilika kwa wakati 🎉🎉🎉🎉
Asante sn nmebarikiwa na hakika Mungu pekee ndo mwenye nguvu
Umechagua kazi njema Bwana azidi kikuimarisha.
Mama kama mama katika utumishi, Mungu azidi kukutumia kuziimba sifa zake zaburi milele
Amen.Tunazidi kubarikiwa na huduma hii.Nakuombea kwa Mola wetu ,azidi kukubariki Sana ili wengi wavutwe karibu naye YEYE mponyaji wa ajabu,hajawahi kushindwa.Amen.
Amen, Hakika Mungu anazo nguvu… barikiwa sana
Amen 🙏,Mungu mwenye nguvu, hakika nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua katika kumtumikia kwa Kazi ya uimbaji, nasi watoto wa Mungu tuzidi kutambua Mungu anazo nguvu katika mambo yote.
Amina asante sana
Amen
th-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri.BWANA akuinue sana katika kumwimbia
Yaaani wewe dada weweee, haya we uzidi kubarikiwa tu kwa kweli
Amina kaka Yohana
God is able
Amen
th-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Mungu akubariki sana
Be blessed by Jesus
Dada big up..ujumbe bora....
Asante sana kaka Tuarira
Amen, God is good. Barikiwa Namsifu
Hakika Mungu anabadilisha ,ameen Mama barikiwa
Nice song and good msg
❤Amina Tubarikiwe na Kutafakari ya Maneno ya Mwenyezi Mungu ,Hakika Anazo Nguvu,
Amen
th-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Kwanza kabisa kila kitu hapa ni Chema na cha kupendeza. Hongera na kongole sana kwa Dada na Shemeji Mwita John, with your Wananzengo Productions thousands are blessed and many souls Uplifted to Jehovah. Hii item ni ya kiwango cha utukufu kwa Mungu. Kipekee sana nikushukuru na kukupongeza kwa namna ya pekee Shemeji yangu Mwita John, I. e the man behind the Camera, Mpwa wangu Wambura, director na mdhibiti wa Ubora, Nasema kuwa Mungu awabariki sana ndugu zanguni. Happy Sabbath to all of Us
Haleluya, Amina.
Barikikiwa sana kwa Wimbi mtamu. God bless your ministry
What a powerful message. God bless you so much Sis in your ministry
Ubarikiwe sana mama
Ubarikiwe sana kipenzi
Asante sana Mate. Wacha tumtumikie Mungu, maisha yetu bila Mungu hayafai kabisa. Asante kwa kusikiliza. Mungu akubariki sana
Hongera kwa kazi nzuri wajina
Amina. Bwana aendelee kuibariki Kazi ya mikono yako, na watu wengi waendelee kubarikiwa na kuokolewa kwa huduma hii!!
Asante baba yangu
Barikiwa sana....nimebarikiwa mno🙌
🎉AMEN! Our LORD is ever MIGHTY to do wonders for His people. Good work, be blessed siz and happy Sabbath!
Good song
Amina Mtumishi wa Mungu
Great message 👏👏
My ringtone
Amazing song
Glory to God!
Amen ❤,,, Barikiwa sana
Amina
👏👏👏
Nice sister
Nnaomba nikutumie kazi yangu uisikilize dada,nnajua kuna kitu utaniambia
Thank you
@@AkyooMoseskaribu
Wow
AMINA
Song ✅
Video ✅
Confidence ✅
Location✅
Color imetulia mnooooooooooooo✅
Thanx
❤
Amen
🎉🎉🎉
Amen
Amen