@@namsifumaduhumwita2495yan madam kiukwel mim nime anza kusikiliza nyimbo zako mda san hata live performance kwenye tv pendwa hope channel uwa nabarikiwa san na nyimbo zako, Mungu azid kukuinua
Nakupa Shauri Umwige Yesu, Nakuomba na unihurumie Yesu are still my best songs among the songs! Bwana akubariki, akupe hekima, akuongoze, akuongezee Baraka, na akujaalie Neema,
Mama, Mungu akubariki sana, endelea sana kumtumikia Mungu pekee
Napenda sana kuimba, na ninatamani kama ningelizaliwa kwa familia yako, najua ningeimba kwa furaha sana, 🌹🥀🗣️
Yan madam anaimba kwa utulivu san napenda
Oooh jaman
@@namsifumaduhumwita2495yan madam kiukwel mim nime anza kusikiliza nyimbo zako mda san hata live performance kwenye tv pendwa hope channel uwa nabarikiwa san na nyimbo zako, Mungu azid kukuinua
Nakupa Shauri Umwige Yesu, Nakuomba na unihurumie Yesu are still my best songs among the songs! Bwana akubariki, akupe hekima, akuongoze, akuongezee Baraka, na akujaalie Neema,
Yesu ni mfano ulio bora hakika tukimuiga hatutajutia kabisa🌹⚘🙏
Tunashukuru sana kwa nyimbo hizi.Tunabarikiwa sana.
Baraka zake Bwana wetu Yesu Kristo na akubariki sana
Mungu wetu nenda na sisi katika yote tudendayo kwa siku. Ukawe taa ya miguu yetu. Wimbo mzuri sana.
Mungu awabarik sana wtu wa mungu
Nakupa shauri my best song. Barikiwa sana
Barikiwa saana Dada
Thank you madam Mungu akubariki
Ubarikiwe sana mtumishi
Nyimbo zinanibariki sana, za kiroho kweli kweli
Nice 🎵🎶thanks 🙏🏼
Kuna watu Mungu kawapa karma ya kufikisha ujumbe Kwa watu wake nyie acheni tu.Wimbo unapenya Hadi machozi.Barikiwa mama yetu Namsifu.
Amina asante sana
AMEN! Soul lifting songs and of great blessing. Blessings, blessings Namsifu.
So inspiring...be blessed an happy sabbath
U re a talented musician keep it up
God bless you
Hakika bwana yunawe
Be blessed