Namsifu Maduhu Mwita - Mzao Mteule (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 48

  • @hodaviahnkoswe5069
    @hodaviahnkoswe5069 ปีที่แล้ว +2

    Yaaaani unatamani uendelee kusikia wimbo ukiendekeza imbwa kumbe wimbo umeisha Atukuzwe Mungu juu mbinguni Kwa kukutumia katika uumbaji huu dada namsifu

  • @buyegijoseph9031
    @buyegijoseph9031 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mwanangu Kwa utumishi wako Kwa Mungu

  • @sarahstanley2904
    @sarahstanley2904 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe na Bwana kwa wimbo mzurii madam 🙏🥰💥😍

  • @johnnewland9910
    @johnnewland9910 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen... Mzao mteule, ukuhani wa kifalme, Taifa takatifu watu Wa milki ya Mungu,.... HAO NDIO SISI.
    ....

  • @mwitajohn9153
    @mwitajohn9153 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa wimbo huu mzuri. Nakutia moyo uendelee kumtumikia Mungu wetu kwa njia hii ya uimbaji. Utukufu na sifa zimwendee Mungu mwenyezi.

  • @mathiastemba4784
    @mathiastemba4784 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu akulinde kwa utumishi wako dada yangu nyimbo zako zinafundisha

  • @rogathemakupa6217
    @rogathemakupa6217 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina kwa kazi nzuri Mungu aendelea kuibari sauti hii

  • @mvaramchome2176
    @mvaramchome2176 2 ปีที่แล้ว

    Nimeupenda Mama wimbo mzuri na mtam kweliiii Barikiwa mnoo 💪🤝

  • @frumeseria7964
    @frumeseria7964 2 ปีที่แล้ว

    Amina. Hakika ni ujumbe wa pekee. Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya utume wake. Barikiwa sana dada Namsifu

  • @onesiphoreburuma274
    @onesiphoreburuma274 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki dada Namsifu pamoja na jamaa na waimbaji wote munaoimba nao. Nyimbo zenu ni injili hai, zinaupako na zinatubariki sana.

  • @hembedaudi
    @hembedaudi 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen 💥💫💥Good message and good video ,,barikiwaa Mama ..

  • @joycehiluka1683
    @joycehiluka1683 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutumie zaidi kwa kazi yake, that's my humble prayer for you sister

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 2 ปีที่แล้ว

    So nice and wonderful song. GOD bless and give the strength to continue doing His work.

  • @sagatisfamilyband6167
    @sagatisfamilyband6167 2 ปีที่แล้ว

    Wooow wimbo mzur saan umetusogeza karib na Kristo

  • @michaelshogholo1416
    @michaelshogholo1416 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana dada Namsifu kwa huu wimbo mzuri

  • @isayambetwa6564
    @isayambetwa6564 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtamu,Nazi nzuri,hongera sana sister.

  • @hodaviahnkoswe5069
    @hodaviahnkoswe5069 ปีที่แล้ว +1

    Choose generation uzao mteuleee so great

  • @AdventTVOnline777
    @AdventTVOnline777 2 ปีที่แล้ว

    *🗣️Hii ni sehemu ndogo juu ya mengi yaliyowekwa kwako Dada Namsifu.*
    🌹🌹🌹
    *Tunakuombea udumu kutubariki kwa Hazina kubwa ya Karama na Taranta ulizobarikiwa.🙏🙏🙏*

  • @pr.mafurumajula8709
    @pr.mafurumajula8709 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa wimbo mzuri mama

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 2 ปีที่แล้ว

    hr we go again..beautiful cantique..blessings to you sister!

  • @HappinessJosiah78
    @HappinessJosiah78 2 ปีที่แล้ว

    Tulikombolewa kwa damu ya Yesu si Kwa fedha na dhahabu 🙌
    Amen mama uzidi kubarikiwa 🙏.

    • @marthathomas4807
      @marthathomas4807 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe dada Mungu akutangulie kwakila jambo.

  • @decotha8020
    @decotha8020 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa uimbaji mzuri.

  • @juliaodero150
    @juliaodero150 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe dada Namsifu kwa huduma hii

  • @farajamaduhu1981
    @farajamaduhu1981 ปีที่แล้ว

    Mwananguingole umewakilisha vyema

  • @barakageorge1300
    @barakageorge1300 2 ปีที่แล้ว +1

    To God he the Glory

  • @happynesslevis6458
    @happynesslevis6458 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰wimbo mzur love it

  • @markoimori3493
    @markoimori3493 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mokwe

  • @musapatrick1838
    @musapatrick1838 2 ปีที่แล้ว

    Yeah! Feels blessings

  • @nicholauspaul2589
    @nicholauspaul2589 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana katika huduma hii ambayo Mungu kaiweka mkononi mwako,, Mungu akubariki tena na tena, ila tu usiwe unachelewa sana kutoa nyimbo, maana kiu huwa inanizidi (kama siyo inatuzidi) pale unapokaa kimya

  • @gidionijeremiah2099
    @gidionijeremiah2099 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana

  • @bwanaatosha2938
    @bwanaatosha2938 2 ปีที่แล้ว

    Sebha aghubhariki mayu 🙏

  • @nyachirangimlengwa
    @nyachirangimlengwa 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @maigamajogoro5694
    @maigamajogoro5694 2 ปีที่แล้ว

    Waooooh this is my list again

  • @kanisalawaadventistawasaba2632
    @kanisalawaadventistawasaba2632 2 ปีที่แล้ว

    AMINA my Dada 😘

  • @damaslukando8592
    @damaslukando8592 2 ปีที่แล้ว

    Mungu na akubariki sana

  • @irenetarimo6914
    @irenetarimo6914 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana

    • @decotha8020
      @decotha8020 2 ปีที่แล้ว

      Sichoki kukusikiliza kutokana na nyimbo nzuri zinazogusa moyo. Bwana akubariki sana

  • @luqmanshaban9599
    @luqmanshaban9599 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @Muttajr
    @Muttajr 2 ปีที่แล้ว

    Amina sana

  • @washykhasera8374
    @washykhasera8374 2 ปีที่แล้ว

    Amina!

  • @aganokomba2423
    @aganokomba2423 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @calebmaduhu4901
    @calebmaduhu4901 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @mwitajohn3189
    @mwitajohn3189 8 หลายเดือนก่อน

    Amen